Dec 2023, like hapa kama UNAAMINI ni MUNGU TU sababu tupo hai mpaka sasa. Naamini tutakutana hapa tena Dec 2024 tukiwa wazima na tuliofanikiwa sana pia.🙏🙏🙏🏻
From January to December nimejua ulienilinda ni wew😭😭😭😭😭😭ninapokosa ujasiri na nguvu zitaponiishia msaada wangu ni ww,,mwisho wa njia ni nzuri kuliko mwanzoni
Kaka Godfrey MUNGU akubariki sana.... Una sauti tulivu sana... Endelea kunyenyekea chini ya mkono wa MUNGU ulio hodari yeye atakukweza kwa wakati wake.
Leo nikitaka kuacha kazi ,sababu TU ya moyo kukata tamaa sababu y changamoto za kazi lakini niliingia Instagram nikakuta mtu anacheza wimbo huu nilisikia kipande kidogo TU ,nikapenda nikakumbia you tube kutafuta ,mungu wangu nimeskia roho mtakatifu ananiambia usikate tamaa kupitia wimbo huu thanks ,
Nimeusikiliza huu wimbo Leo na nimeurudia mara kadhaa aisee huu wimbo umenibariki sana. Asante kaka Mathias. Mungu akamtimizie kila mtu anaesikiliza wimbo huu kila hitaji la moyo wake.🙏🙏
Mungu ni wokovu na uhai wa milele siyo kutimiza hitaji la mioyo yetu. Sisi twatakiwa kutimiza hitaji lake Bwana Mungu Wetu. He is not a genie granting wishes. Only by His Grace.....
Have just discovered this song and let me tell you it touches my heart😊,it deserves millions views and million subscribers 😊 this is more than talent ☺️
I HEAD THIS SONG FROM THE STATUS OF MY FRIED ON WHATSAP I DECIDED TO FIND IT SO THAT I COULD HAVE A COMPLETE SONG, IT REAL BLESSING ME GO KEEP BLESSING YOU MAN OF GOD
Wimbo mzuri sana, sichoki kuusikiliza, ni wimbo wangu wa mwaka. Ni wimbo ambao unabeba ushuhuda wa maisha yangu, unafariji na kutia moyo sana hasa ukitaka kukata tamaa kwenye maisha wimbo unakukumbusha kuamka na kukung’uta mavumbi na kusonga mbele ukiamini ni Mungu Pekee wa kukuvusha salama. Mbarikiwe sana kwa nyimbo tamu, nyimbo zako zote nazipenda na zinanibariki sana🙏
UNAJUA sana,nakupenda Bure,najitabilia mabaya hayana nafasi, ASANTE KWA JUMBE ZAKO NA UMENIRUHUSU KU DOWNLOAD ASANTE SANA,NAAIKILIZA NYIMBO ZAKO MUDA WOTE
huu wimbo daah nimechelewa kuujua daah wimbo mtamu na unanibariki kila kukicha aisee ubarikiwe Mathias endelea kutupa mambo mazuri yenye kutupa amani ya rohoo 😍🥰🥰🥰😍😍😘😘love from,🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Sauti nzuri wimbo mzuri.. for the first time listening to it. On December 2024 bila kusahau mungu amenilinda hio miezi ya mwanzo bila upungufu . Ni wewe bwana. Be blessed
Sina mwingine ila wewe tu bwana ......ufutae uso wangu aibu na fedhea....ninapo kosa ujasiri na nguvu kuniishia msaada wangu ni ww......nani mwingine anapata hisia anaposikiliza huu wimbo ....
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you.
Nilisikia huu wimbo kwenye radio tu na ukanipa amani moyoni sana😊. Nisiwe muongo huu wimbo nimeutafuta sanaaa kwanza sauti yako imenichanganya nikafikiri ni Joel lwaga🙆🏿♀️ ......wapiiii nikaandika ni wewe Bwana hatimaye nipo hapaaa😃. Barikiwa sanaa mtumishi wa Mungu👋🏾🙏🏽
Nabarikiwa kupitia huu wimbo. umenikumbusha uwepo wa Mungu ni Mkubwa kwenye maisha ya mwanadamu kwa wakati wowote... Mungu azidi kuwaongezea nyimbo za kumsifu na kumuabudu .. mbarikiwe
May God bless you dears, Wimbo unabeba ushuhuda wa mtu, wimbo unagusa maisha moja kwa moja, hakika hakuna mwingine awezaye kuyafanya haya bila kuchoka ispokuwa ni BWANA YESU, nikitafakari tunavyokosea na bado Yeye anatuhurumia na anayafanya hata kama hatustahili, HAKIKA NI YEYE, maombolezo 3:22-23 Mbarikiwe sana sana sana.. Mungu awajaze kwakweli
Sijachelewa sanaa kukufaham leo nmeona nyimbo zako upendo kwenye selection aisee sijui nilikua wap kupata huduma yako nzurii ubarikiwe sanaa kwangu hii nyimbo inaimba rohoni namtukuza Mungu kwaajil yako mtumishi mafuta mabichi yawe nawe yamiminike zaidi
Fadhili zake n za milele yote AMEN 🙏🤞🤞 Akuna Kam yeye Alinihon toka mbali akaniita kutoka gizan Akika YESU ww wa tosha thank you so much my lord 🙏🙏🙏🤞🙏🤞 AMEN Ubarikiw sana mtumish wa YESU Mtumikie BWANA wako kwa roho n kweli kaka yang n yeye aliye juu ya yote atakushika mkono Asante 🙏🤞🤞🙏🤞
Nimebarikiwa na nyimbo na kunifariji kipindi hiki cha kuondokewa na mpendwa wetu Rais John Pombe Magufuli Mungua awabariki kwa kazi nzuri vijana wenzangu🙏🙏🙏
I cant get enough of this song! Been listening and watching this number for months now! Be blessed both. Just awesome!! Where is the repeat button someone!
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you.
BWANA YESU awainue kwa viwango vingine. ROHO MTAKATIFU wa MUNGU awafunulie mafunuo mapya kila iitwapo leo. Nimemuona MUNGU ndani ya wimbo huu. ROHO MTAKATIFU awalinde na kuwaepusha na majaribu yote. BLESSINGS ON YOU
Wow! Niliisubiri hii video kwa hamu kubwa sana. Audio yake ilishanipeleka mbele za Mungu Mara zisizohesabika nikimpa utukufu, Leo nimepata unafuu kwa kuiona hii video maana sikutulia kwa shauku ndani yangu. Hakika ninamfurahia Mungu kwa ajili yenu. Mpangilio Wa sauti zenu, muziki hadi video ni kazi zenye ubora na zinazoinua mioyo ya kila asikilizaye na kuutazama huu wimbo. Natamani kila mtu anayejua maana ya kumtukuza Mungu autazame huu wimbo, hakika Mungu awabariki na kuwapandisha viwango juu zaidi, nainua mikono yangu kwa Mungu nikimtukuza na nikitazamia kuwaona juu zaidi na zaidi......
I was feeling so low today, I heard this song and decided to search for it. Now my spirit is lifted and my hope is renewed. God bless you for this song.....🙏🏾❤️🇹🇿🇰🇪
Whenever I listen to this song I umderstand the power of God .I feel lifted up again and more power to continue with my journey.Be blessed alot brothers
Just what my heart needed, thank you for this song ooh, ubarikiwe sana, keep ministering to many, i discovered you from tiktok and i am grateful for that..
2024anyone for those who were blessed by God🙏🙏with much of success...AMEN
December 2024 gonga like apa, From January to this December……🙏🏽🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇷🇼🇨🇩
Anyone here Dec-2024 to praise the LORD 🙏
Dec 2023, like hapa kama UNAAMINI ni MUNGU TU sababu tupo hai mpaka sasa. Naamini tutakutana hapa tena Dec 2024 tukiwa wazima na tuliofanikiwa sana pia.🙏🙏🙏🏻
😊
How else is here 2024❤
❤❤❤❤❤❤🎉
Jan to Dec ni Mungu
Me
Thanks to praise party Dj Krowbar
Hii song nimeirudia kusikiza Mara sijui mia ,,I tell you inaniblessssss tu sanaa
Me siku ya pili Leo najiskia kusikiliza hii song tuh
Me siku ya pili Leo naskiliza tuh hii nyimbo ina ni bless hadi sio poa watu wa Mungu
Me tooooo
Huchoki kusikiliza huu wimbo umejaa mafuta 💪
@@angelmunisi9789 r
If you can feel the Anointing in this song...Press like🇹🇿🇺🇬
Nice
.
Deep anointing on this song 🙏🙏
Nimebarikiwa mnooo
Da song ya maana had mtu waweza lia
Nimechelewa sana kuujua, m blessed with this song
Heheh its never too late to find a right thing. This song is surely a right thing everyone should find.
@@lugendolila5094 siwem jamess
Siwema James
@witness kunyatila sasa mi ndo nimeujua leo😩
bonge la song hawa jamaa ni noma sana nawaona kwa mbali wakienda kuwapoteza akina, Joel lwaga, Goodluck gozbert, na paul klement
Haleluya, from January to December 2024 thanks Jehovah
2024 mwaka nimepass through various mountain and valley but God he is still alive in me
From January to December nimejua ulienilinda ni wew😭😭😭😭😭😭ninapokosa ujasiri na nguvu zitaponiishia msaada wangu ni ww,,mwisho wa njia ni nzuri kuliko mwanzoni
Hayupo mwengine ila ni wewe bwana
Be blessed brother
@@graceramsey2209 ikkjnupppppll
Long oki
Oo
Kaka Godfrey MUNGU akubariki sana.... Una sauti tulivu sana... Endelea kunyenyekea chini ya mkono wa MUNGU ulio hodari yeye atakukweza kwa wakati wake.
The song gives me blessings and much couragers... Nikiuckiliza ckat tama nazid songa mbele😘😘😘
Huyu jamaaa ni mkali csaana Mungu ambarki sana
Amen Amen 🙏
Nyimbo inaleta amani ya moyo sana Mungu simamia kila mmoja wetu na nchi yetu Tanzania iwe na amani siku zote🤲🏿🤲🏿
Ameeen ameeen🙌
Amen
Amina
Amina kaka yangu mungu azidi kukutia nguvu
Amina mungu atupe nguvu za wokovu
Leo nikitaka kuacha kazi ,sababu TU ya moyo kukata tamaa sababu y changamoto za kazi lakini niliingia Instagram nikakuta mtu anacheza wimbo huu nilisikia kipande kidogo TU ,nikapenda nikakumbia you tube kutafuta ,mungu wangu nimeskia roho mtakatifu ananiambia usikate tamaa kupitia wimbo huu thanks ,
ujumbe umeenda shule. hii nyimbo huwa inanikumbusha mbali mno
@danielmalongo AMEN ❤❤❤❤❤❤
Nimeusikiliza huu wimbo Leo na nimeurudia mara kadhaa aisee huu wimbo umenibariki sana. Asante kaka Mathias. Mungu akamtimizie kila mtu anaesikiliza wimbo huu kila hitaji la moyo wake.🙏🙏
Mungu ni wokovu na uhai wa milele siyo kutimiza hitaji la mioyo yetu. Sisi twatakiwa kutimiza hitaji lake Bwana Mungu Wetu. He is not a genie granting wishes. Only by His Grace.....
Wimbo unanipa faraja wakati huu ambapo raisi wangu mpendwa ameondoka magufuli😭😭😭😭😭
😭😭
Hakika ❤
Kama umekuja kipindi hiki Cha kuondokewa na kipenzi chetu gonga like twende sawa...huu wimbo ukafanyike faraja kwetu sote
Mambo kaka
Kuondokewa na nani tena
Mbn mnatuchangny nan tn uyoo
Nani huy aliyeondoka
Dec 2024, My birthday is on 17th Dec, and I can only attribute everything to God🙏🙏♥️♥️
Have just discovered this song and let me tell you it touches my heart😊,it deserves millions views and million subscribers 😊 this is more than talent ☺️
Wimbo huu unanipa faraja sana na unanfanya nijisikie fahari kuwa mkristoo
I HEAD THIS SONG FROM THE STATUS OF MY FRIED ON WHATSAP
I DECIDED TO FIND IT SO THAT I COULD HAVE A COMPLETE SONG, IT REAL BLESSING ME
GO KEEP BLESSING YOU MAN OF GOD
GLORY TO THE KING JESUS 🙏
@@mathiaswalichupa AMEN
Like wise to me
The same to me
Same to me niliuona status kwa MTU nkaudownload hakika umenibariki
Oyeee!Am a Muslim but this song has touched my heart ❤️ so much impressive and encouraging.May God bless you InshaAllah
Ameeen ameeen endelea kuguswa zaidi mpendwa 🙌
I like u
Amen
Kilaaa siku lazimaaa niusikilizeee asubh na wakati wa kulala
Amen
Ngonga like kama bado unasikiza 2024
😆😆mm
Sana tu.Bado naburudika sana nahuu wimbo.Nahisi Niko paradiso
Mm hapa 😂
Wimbo mzuri sana, sichoki kuusikiliza, ni wimbo wangu wa mwaka. Ni wimbo ambao unabeba ushuhuda wa maisha yangu, unafariji na kutia moyo sana hasa ukitaka kukata tamaa kwenye maisha wimbo unakukumbusha kuamka na kukung’uta mavumbi na kusonga mbele ukiamini ni Mungu Pekee wa kukuvusha salama.
Mbarikiwe sana kwa nyimbo tamu, nyimbo zako zote nazipenda na zinanibariki sana🙏
UNAJUA sana,nakupenda Bure,najitabilia mabaya hayana nafasi, ASANTE KWA JUMBE ZAKO NA UMENIRUHUSU KU DOWNLOAD ASANTE SANA,NAAIKILIZA NYIMBO ZAKO MUDA WOTE
"Nchi ya ahadi ni nzuri imejawa na asali" this verse give me courage and hope to march on...be blessed brothers 🙏
Ubarikiwee zaidi aisee🙌
Mwisho wa njia........
God is in control of this song,very interested ...
ruclips.net/video/y2r975J7S1k/видео.html
Leo mara ya elfu 1000_ kusikiza hii nyimbo ndani ya siku 5 mbarikiwe sana nyie watu
huu wimbo daah nimechelewa kuujua daah wimbo mtamu na unanibariki kila kukicha aisee ubarikiwe Mathias endelea kutupa mambo mazuri yenye kutupa amani ya rohoo 😍🥰🥰🥰😍😍😘😘love from,🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Halleluyah halleluyah 🙌
Cjawah kuuchoka hii song jmn♥️♥️♥️
Sauti nzuri wimbo mzuri.. for the first time listening to it. On December 2024 bila kusahau mungu amenilinda hio miezi ya mwanzo bila upungufu . Ni wewe bwana. Be blessed
Sina mwingine ila wewe tu bwana ......ufutae uso wangu aibu na fedhea....ninapo kosa ujasiri na nguvu kuniishia msaada wangu ni ww......nani mwingine anapata hisia anaposikiliza huu wimbo ....
Nyakati za huzuni furaha zote unanpa Amani 😭😭🙏🏼🙏🏼
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you.
Tangu mawio hadi machweo ulinipa mwangaza ni wewe....milimani, mabondeni kote unakuwa nami.....Nchi ya ahadi
Mpk December amenilinda thanks God for here I am ❤❤❤
Nilisikia huu wimbo kwenye radio tu na ukanipa amani moyoni sana😊. Nisiwe muongo huu wimbo nimeutafuta sanaaa kwanza sauti yako imenichanganya nikafikiri ni Joel lwaga🙆🏿♀️ ......wapiiii nikaandika ni wewe Bwana hatimaye nipo hapaaa😃. Barikiwa sanaa mtumishi wa Mungu👋🏾🙏🏽
Same here nilijua n Joel lwaga😅
huu wimbo kwa siku nausikiliza mara kumi naupenda sana
Jamani nilikuwa wapi kuckiza huu wimbo,Wako na sauti nzuri sana, ujumbe ulio ndani ya huu wimbo ni faraja kubwa sana kwangu, Nawapenda mnooooo!
I was having misunderstood with my husband , but when I pray this song my husband call me . I thanks God for this song .
😢
It's so amazing 😍
Nabarikiwa kupitia huu wimbo. umenikumbusha uwepo wa Mungu ni Mkubwa kwenye maisha ya mwanadamu kwa wakati wowote... Mungu azidi kuwaongezea nyimbo za kumsifu na kumuabudu .. mbarikiwe
Ubarikiwee Sana YESU azidi kukijaza kikombe chako🙏
wimbo huu umefanyika baraka kwangu,Mbarikiwe watumishi wa Mungu
Good song
i just love this song, nilikua wapi kusikiza it has really blessed me
Hi nyimbo Ina hit ndo nmejifungua kijana wangu mpk saiz mtt Wang amefunga mwaka mmojaa nikiiskia nakumbuka meng naipenda na haichuj❤
May God bless you dears, Wimbo unabeba ushuhuda wa mtu, wimbo unagusa maisha moja kwa moja, hakika hakuna mwingine awezaye kuyafanya haya bila kuchoka ispokuwa ni BWANA YESU, nikitafakari tunavyokosea na bado Yeye anatuhurumia na anayafanya hata kama hatustahili, HAKIKA NI YEYE, maombolezo 3:22-23 Mbarikiwe sana sana sana.. Mungu awajaze kwakweli
Barikiwaa Sana dada YESU akubariki
Inanibarik sana jaman
Siwezi kulala bila kuusikiliza wimbo huu,kiukwl ni wimbo unaonibark sn.Mbarikiwe sn na mfike mbali.
Blessed 🙏🙏🙏 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 in the house
Wale wanataraji kufika nchi ya ahadi likes plzz
Good music
Nabalikiwa nanyimbo zako nazipenda
Nyimbo Zina ujmbe wakat wote zinanifarij kwel❤
Amazing song ❤❤❤
2po hukuu
Ahsante sana nimebarikiwa na wimbo mzuri leo desember 23.2024
First time here. Heard the song kwa mat and I'm obsessed ❤
Sijachelewa sanaa kukufaham leo nmeona nyimbo zako upendo kwenye selection aisee sijui nilikua wap kupata huduma yako nzurii ubarikiwe sanaa kwangu hii nyimbo inaimba rohoni namtukuza Mungu kwaajil yako mtumishi mafuta mabichi yawe nawe yamiminike zaidi
Ninaposikia huu mwimbo nalia sana nikifikilia maisha niliyopitia nashukuru mungu am so blessed ini wewe bwana ahsante mungu
i feel happy more
kutoka kwa baba keigan wimbo mzuri
barikiwa sana
Wapo wap wanaotaka Bwana Yesu awafute machozi,
Bwana wewe ni ujasiri na msaada wangu
Fadhili zake n za milele yote AMEN 🙏🤞🤞
Akuna Kam yeye
Alinihon toka mbali akaniita kutoka gizan
Akika YESU ww wa tosha thank you so much my lord 🙏🙏🙏🤞🙏🤞
AMEN
Ubarikiw sana mtumish wa YESU
Mtumikie BWANA wako kwa roho n kweli kaka yang n yeye aliye juu ya yote atakushika mkono
Asante 🙏🤞🤞🙏🤞
Kazi nzuri yenye viwango!!!hakika ni baraka iliyokamilika katika kila eneo
Nimebarikiwa na nyimbo na kunifariji kipindi hiki cha kuondokewa na mpendwa wetu Rais John Pombe Magufuli Mungua awabariki kwa kazi nzuri vijana wenzangu🙏🙏🙏
Whoever reading this, God knows what you are facing through, He heard your cry, He is going to deliver you. Just trust in him. Amen
Ameen
Amen
Amen
Amen 🙏
Mungu akuongezee maarifa ya kumsifu yeye
Ni wewe Bwana ...Sina mwingine...hayupo mwingine wakunifuta machozi ..msaidizi wangu
Nìlimpoteza mdogo wangu mwaka jana, huu mwimbo umenipa amani sana RIP young bro
imenichukua muda kujua kama mpo wawili tofauti, amazing do another song together pls
Daaah real huu wimbo umenifungua san na kunifny nijitafakarii sana😥😥😥😥😥😥
Aki huu wimbo unanibariki sana namsikiliza asubui mpka jion huuu 🥰🥰🥰🥰🥰🥰mbarikiwe
🥰🥰🥰🥰🥰huu wimbo unanibarikii mno ninapo usikiliza
This song is so nice it deserves more views 😭
Ooh hallelujah
Stress zote kwisha after listening this song
I cant get enough of this song! Been listening and watching this number for months now! Be blessed both. Just awesome!! Where is the repeat button someone!
Really
Cmm
Nyakati za uzuni furaha zote unanipa amani kwa kipindi hiki kigumu cha simanzi moyoni mwangu kwa kuondokewa na rais wangu 😭😭😭 🇹🇿
Najua anaenilinda na Imani sana kumuhusu❤😊Nina Amani
Nina utajiri
Na wingi wa shukurani
Naipenda sana inyimbo mung akujalie kwaujumbe mzuli wamung
Hongereni sana watumishi wa Mungu kwa nyimbo nzuri ✊🔥
Yani this is my favorite song.....aseeh mmefanya kitu kikubwa Sana nyimbo inautulivu I feel connected in spirit
Utukufu kwa YESU mwema hakikaa 🙏
Fabulous and fantastic item
Huyu godfrey watu hawampi thamani anayostahili jamaa anaimba mpaka unaona kama umesamehewa dhambi zote wale wa 2024 comments hapa
From January mpk December hiii MUNGU bado umenipiganiaa umenilinda ahsanteeee MUNGU pamoj na changamoto zote umekuw namiiii
Ujazaye podo langu mishale vitanii🙇♀️
Tunaofunga mwaka na hii nyimbo like zenu plz🙏🇶🇦
Nabarikiwa sana nahii nyimbo
Nabarikiwa sana kila ninapousikia huu wimbo
Huu wimbo ni zaidi ya faraja Mungu yupo hakika. Ubarikiwe🙏
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you.
It 2024 thank u lord
Ubarikiwe sana mwana wa Mungu, wimbo wako ninao kwenye cm yangu! Unanifariji maombi ya usiku.
BWANA YESU awainue kwa viwango vingine. ROHO MTAKATIFU wa MUNGU awafunulie mafunuo mapya kila iitwapo leo. Nimemuona MUNGU ndani ya wimbo huu. ROHO MTAKATIFU awalinde na kuwaepusha na majaribu yote. BLESSINGS ON YOU
Ameeen ameeen 🙌🙌🙌
Huu wimbo unanifariji mno,,, ni kweli msaada wangu ni yesu,,
Mngu akubaliki sana
Just lost my mom a month ago God you know better than us human this song hit me different God give me and my family strength 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Yesu wangu sikia wimbo yooo baba sifa kwa Yesu alie kupa haya maneno
Wimbo wangu pendwa
The most played song in my list since last year Nov😭😭..Can't wait to sing on 31 Dec 2021
Just reminding you on the song... Happy New year
@@clarawamonge1610 2022 is here God I am greatful.. Hitherto the Lord has been faithful
@@clarawamonge1610 Happy New Year Clara
2023 I am still here. Lord thy word is a lamp unto my feet and a light to my path. Show us the way in 2023
@@clarawamonge1610 Happy New Year 2023
Wow! Niliisubiri hii video kwa hamu kubwa sana. Audio yake ilishanipeleka mbele za Mungu Mara zisizohesabika nikimpa utukufu, Leo nimepata unafuu kwa kuiona hii video maana sikutulia kwa shauku ndani yangu. Hakika ninamfurahia Mungu kwa ajili yenu. Mpangilio Wa sauti zenu, muziki hadi video ni kazi zenye ubora na zinazoinua mioyo ya kila asikilizaye na kuutazama huu wimbo.
Natamani kila mtu anayejua maana ya kumtukuza Mungu autazame huu wimbo, hakika Mungu awabariki na kuwapandisha viwango juu zaidi, nainua mikono yangu kwa Mungu nikimtukuza na nikitazamia kuwaona juu zaidi na zaidi......
Sifa na utukufu vina YESU kwakweli 🙌
Am blessed indeed najikuta machozi ya bubujiko yananitoka hakika Mungu yu hai ndani yao
Aisee godfrey Steven sauti yako ni fire 🔥.?Mungu azidi kukuinua sana.
Glory to God🙌🙌🎤🎤❤❤nchi ya ahadi ni nzuri I love the promise
Dah katika nyimbo zinazonibariki na sijawah kuichoka yaani ni huu inanipa faraja mnoo ,naupenda
Am muslim but am in love with your voice may Allah keep blessing you❤️
Mnaimb vizurii sanaa.sarah
Asante .Mungu akutunze warda
Jesus Christ is king
Waao! That's Real Lovely.. U're Blessed Mom
Karibu sana dada, Yesu anatupenda kuliko tunavyozani.
Godfrey steven your realy talented bro plus the politeness , May lord God bless you with more annointing song like this.
Politeness yeah, I think zat is natural, I Grolify Almighty for u friends
Am so blessed with this song..I cried al lot,being touched with words and mixed cool melody. May God lift you higher
Nhu76u8ujkijjj
@@queenbhatari5171 😭
@@tumainingogo4444 why ar u crying brethren !?
Kwakweli!wimbo huu niliusikia ukipigwa radio ya T.l.f.ikabidi niingie hapaniutafute nimebarikiwa sana.nakuombea kwa mungu akuinue.
Huu wimbo mtamu kama asali
Napitia wakati mgumu sana 2023-2024 Mungu kawe mfariji kwangu ❤
Nimebarikiwa sana Leo 🙏🏾
MC WETU PENDWA 💌
I was feeling so low today, I heard this song and decided to search for it. Now my spirit is lifted and my hope is renewed. God bless you for this song.....🙏🏾❤️🇹🇿🇰🇪
Whenever I listen to this song I umderstand the power of God .I feel lifted up again and more power to continue with my journey.Be blessed alot brothers
Cant hold my tears.
Kila ninaposikiliza ninalia tuu.
Daah.MUNGU awabariki sans.
Just what my heart needed, thank you for this song ooh, ubarikiwe sana, keep ministering to many, i discovered you from tiktok and i am grateful for that..
Start your day with a prayer.
tuliotoka kwa wolpertylish kuja hapa tujuane blessed
godfrey umebarkiwaa kaka unaimbaa sio utani!🙏🙏mbarikiwe jaman
Whenever am in any worst situation kila nikisikiza this song I just remember ni yeye amenifikisha hapa...its always you my Jesus ...powerful song
Ninapokosa ujasiri na nguvu zinaponiishia msaada wangu ni wewe🙏🙏🙏 Amen mungu azidi kukutumia bro,kazi ya mungu isilale
Nyimbo Yako nzuri sana mungu akulinde na kazi Yako nzuri ya uimbaji