OMBI LANGU BY AMBWENE MWASONGWE (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 дек 2024

Комментарии • 1,5 тыс.

  • @waukweliadolph
    @waukweliadolph 7 месяцев назад +19

    Ambao tuna usikiliza tena 2024👋

  • @kwilasajunior5367
    @kwilasajunior5367 10 месяцев назад +40

    February 20 ,2024 kama umerudi kusikiliza na wewe ufanywe kama yusuph .njoo hapa

  • @sarahakinyi2104
    @sarahakinyi2104 6 дней назад +12

    This is the first time new this song through Diana rose from tiktok.powerfull helling song ❤

  • @nkungujackson7092
    @nkungujackson7092 9 месяцев назад +17

    Tar 16 /3/ 2024 Bado huu wimbo uko kwenye list ya nyimbo zangu pendwa, I love you ambwene mwasongwe tunakuombea maisha marefu sana

    • @THOMASNYAGIROTV
      @THOMASNYAGIROTV 8 месяцев назад

      Mwezi mmoja baadae pia niko huku...

  • @francisamalemba5242
    @francisamalemba5242 Месяц назад +12

    9/11/2024 nimerudi hapa kubarikiwa. Naomba yeyote anaye sikiza wimbo huu abarikiwe pia.

  • @KansiimeKaren
    @KansiimeKaren 9 месяцев назад +13

    Nikiwa namatatizo nakuja hapa naskia this song,nalia for one hour then nasonga mbele😢😢😢😢😢❤❤❤❤❤

  • @paskomilesjohn5892
    @paskomilesjohn5892 Год назад +405

    Wangapi wanautazama mwimbo huu mwaka huu.. naomba like apo chini

  • @PaulinaMajengo
    @PaulinaMajengo 10 месяцев назад +15

    2024 kama Bwana bado haja acha mguu wako usogezwe kwenye mitego yao; sema Amina

  • @susanimbimi7289
    @susanimbimi7289 6 дней назад +3

    Waaw.. very powerful... hearing it for the first time from TikTok.... for real when time is right the lord will make it happen.. 5 yrs.. weeuh

  • @nkungujackson7092
    @nkungujackson7092 Год назад +7

    Kaka hapa ulikuwa karibu na MUNGU kakupa hekima kuimba wimbo unaamsha mioyo mpaka leo 2023 mwezi 8 tar 27, naomba like wanaoguswa maisha yetu yote

  • @SnowSnowing-ov5px
    @SnowSnowing-ov5px 6 месяцев назад +29

    Tuko wangapi 2024?

  • @Mussa-14
    @Mussa-14 6 месяцев назад +15

    June 11 2024 kama umetembelea kuskiliza ombi langu Basi ubarikiwe sana

  • @esthernyaboke7479
    @esthernyaboke7479 Год назад +16

    I listened to this song continuously a month prior to my marriage breaking up, didn't know why. After the incident that's when I keenly listened to the words, I realised that GOD was preparing me, to be strong, to forgive and let go of those who wronged me. It's one year since and honestly God has been faithful, He has kept me, He has restored more than I lost. And the day I forgave them heavens opened floods of blessings over my life, And I know he has soo much in store for me, God let my life glorify your name, AMEN

  • @eliassoingei2046
    @eliassoingei2046 3 месяца назад +7

    Wangapi wamemwona Joel Lwaga humu ndani🎉🎉🎉

  • @christinetina101
    @christinetina101 5 дней назад +5

    Diana amefanya nikakam hapa❤😊

  • @AllyAlly-rp3yn
    @AllyAlly-rp3yn Год назад +10

    Jaman huu wimbo leo umemaliza mb za elf mbili umenipa nguvu sana

  • @elimialevocatus3274
    @elimialevocatus3274 Год назад +6

    Mungu nipigianie kila tatizo nalopitia wakati huu najua upo na mimi naamini nitashida yote haya 🙏🙏🙏🙏

  • @triyarich
    @triyarich День назад +2

    28-Dec- 2024 Bwana Yesu atubariki sote. 🙏

  • @Princess-nn4ev
    @Princess-nn4ev Год назад +9

    23/09/2023. 1:30am l got to hear this song and l can't get enough of it it's 3am and am still listen.God bless your servant for this uplifting sound

    • @THOMASNYAGIROTV
      @THOMASNYAGIROTV 8 месяцев назад

      Amen...late night but you stuck to it...never forget God in your life my sister...lets meet in paradise someday.

  • @Rehynelly3705
    @Rehynelly3705 2 месяца назад +7

    Mungu awakumbuke wote mnaosikiliza hii nyimbo

  • @emmanuelkioko5346
    @emmanuelkioko5346 6 месяцев назад +6

    Kama Yusufu,hili ni ombi langu unikumbuke Mungu mwenye nahema na rehema,Amen

  • @emanuelavaleriani8646
    @emanuelavaleriani8646 Год назад +7

    Huu wimbo urudiwe tena ni bonge la message.

  • @HappyKibure-iz9xk
    @HappyKibure-iz9xk 7 месяцев назад +6

    Eeee mungu napokuwa na huzini ndiyo nyimbo yangu pedwa..talehe 6 mwezi wa 5 nasikiliza

  • @wambiwilliam4946
    @wambiwilliam4946 Год назад +8

    Mwaka huu 2023 ukawe wa baraka kwa wote wanaomtegemea MUNGU baba wa mbinguni kwa kupitia Yesu Kristo pekee yake

  • @FelistaKaywanga
    @FelistaKaywanga 7 месяцев назад +8

    1.6.2024 yaaani huu wimbo acha Mungu aitwe Mungu

  • @mwalimubarakajustin745
    @mwalimubarakajustin745 9 месяцев назад +6

    Hekima iliyo katika nyimbo za huduma yako ni baraka tele. Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu.

  • @diwanikatayankonko2671
    @diwanikatayankonko2671 Месяц назад +6

    Wimbo bora wa muda wote wa ambwene...nautazama 2024

  • @carolkarembo
    @carolkarembo Год назад +8

    Wimbo unanibariki huu! Hav to watch every day Namii nifanye kama Yusuf (waziri mkuu)

  • @emanuelavaleriani8646
    @emanuelavaleriani8646 Год назад +7

    Wimbo umenibadilisha maisha yangu.

  • @eliseemafurebo1032
    @eliseemafurebo1032 Год назад +5

    🇷🇼Kaskazini mwa Jamhuri ya Rwanda tunakupendeni tu!

  • @AsheriEliab-vr9wj
    @AsheriEliab-vr9wj Год назад +8

    Huyu Ambwene nyimbo zake huponya magonjwa sugu na ufariji.

  • @PeaceJackson-di7jo
    @PeaceJackson-di7jo 5 месяцев назад +8

    13/07/2024 still trending to the glory of the name of JESUS.❤

  • @annarosegodfreymuro1194
    @annarosegodfreymuro1194 4 года назад +105

    Mume wangu amenitumia huu wimbo, hakika una mafundisho mazuri nimebarikiwa sana

  • @blessedrai990
    @blessedrai990 5 месяцев назад +11

    Listening to this song today😢2024❤️God remember me

  • @namsifumaduhumwita7742
    @namsifumaduhumwita7742 4 года назад +50

    Nimeurudia sana huu wimbo. Una melody nzuri. Nasikia aman moyon mwangu bora hata nimeingia hapa na kusikia huu wimbo. Mungu atukumbuke tutembee na Mungu kila wakati.Asante

  • @maryamagduzeh6088
    @maryamagduzeh6088 2 месяца назад +7

    21.10.2024 What a blessing ❤

  • @rhyner-tl1ly
    @rhyner-tl1ly Месяц назад +4

    Baada ya ajali ya kariakoo, Mungu awasaidie jamani🙌

  • @JenJen-zl6dk
    @JenJen-zl6dk 4 месяца назад +5

    Mungu nipe moyo wa kuachilia watu walionikosea 😢

  • @deborahrehema5819
    @deborahrehema5819 4 года назад +51

    Nabarikiwa sana sana na huu wimbo sana Ubarikiwe sana kaka 💓😭😭😭😭😭🔥🔥🔥

  • @JeremiaShimba-cq8mq
    @JeremiaShimba-cq8mq 8 месяцев назад +5

    Kaka unaimba vyema mnoo BWANA Akuzidishie ROHO MTAKATIFU.

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 4 года назад +14

    Kwa Tanzania hii mumebaki wawili tu Abiud Misholi na wewe Abwene mwenzenu Fanuel Sedekia katangulia Mungu baba naomba utuinulie watu wengi katika taifa letu la Tanzania ili tukusifu na kukuabudu.May God protect you against all evils in Jesus name Amen.

    • @eliusjohn385
      @eliusjohn385 4 года назад +1

      Good prayer be blessed too

    • @childofgod4412
      @childofgod4412 4 года назад +1

      Ni kweli kabisa wengine Mungu ndiye ajue

  • @priverpriva98
    @priverpriva98 Месяц назад +7

    2024 like hapa tumalize mwaka salama jaman❤❤

  • @salhaoman5002
    @salhaoman5002 4 года назад +35

    Joel lwaga nimemuona hapa, kweli watu tunatoka mbali tusikate tamaa

  • @nzingambandibabile8114
    @nzingambandibabile8114 Год назад +6

    Husiruhusu maneno yakuvuruge, husiruhusu hasira ikae kwako, hili ni ombi langu kwako, MUNGU akukumbuke. Yamenipa nguvu mno. 🙏

  • @SalmaBakar-z4c
    @SalmaBakar-z4c 3 месяца назад +4

    Niliifiwa na mwanangu nilikua nawaza kidogo nichanganyikiwe,nyimbo hii imenifariji sana barikiwa sana

  • @realscholarships-bolde.2344
    @realscholarships-bolde.2344 2 года назад +8

    Wewe ni bwana wangu
    Wewe ni fahari yangu
    Wewe ni mwaminifu kwangu
    Wewe ni kisima
    Wewe dawa ya moyo wangu
    Asante Mungu Baba kwa yote mema, mbarikiwe nanyi wote.

  • @filleliliane2090
    @filleliliane2090 3 года назад +24

    Ninapo sikiliza huyu wimbo najivuniya kuwa Na Yesu ndani yangu😊🙌🙏

  • @musaambonisye6046
    @musaambonisye6046 11 дней назад +3

    Gonga like kama unatazama wimbo huu 2024.
    Pia Gonga like kama umemuona Joel Lwaga akiwa katika wimbo huu😅😊

  • @MargueriteCleophas
    @MargueriteCleophas 2 месяца назад +6

    Am blessed againg today 12/10/2024 after long time not listening to this song

  • @bernicemurugi6461
    @bernicemurugi6461 5 дней назад +2

    My prayer today 23rd December 2024...mwenye tutarudi apa with answered prayers tuweke likes❤❤❤

  • @christinarogacian6109
    @christinarogacian6109 3 года назад +9

    Kila siku lazma niskilize huu wimbo unanibariki sana ubarikiwe mtumishi wa Mungu🙏

  • @reggyroby6153
    @reggyroby6153 7 дней назад +2

    Dear God siku hii iwe ya mwisho kwangu kuumia December

  • @joycekitundu9335
    @joycekitundu9335 9 месяцев назад +6

    My all the time favorite song ❤God Bless u Man of God Ambwene

  • @says782
    @says782 Год назад +9

    Hili ni ombi langu, Mungu anikumbuke even through this tough season am going through 🙏

  • @edinamfinanga8391
    @edinamfinanga8391 4 года назад +68

    ambwene ulizaliwa mbinguni huku duniani ulikuja tuh kuukamilisha ukuu WAMUNGU

    • @abneranyona7297
      @abneranyona7297 4 года назад +1

      Amen may God bless you

    • @pddthobias1030
      @pddthobias1030 4 года назад +3

      Mm nafarijika Sana na nyimbo za huyu kaka narudia mala mbili mbili

    • @paulinas.3631
      @paulinas.3631 4 года назад +3

      Yanii kwel kabisaa, yanii anaimba katika Roho, sio kwa umaarufu bali kwa utukufu wa Mungu

    • @samsonnzisabira768
      @samsonnzisabira768 4 года назад +1

      "Na Mimi niinuwe Kama Yusufu eeh Mungu" ,hili Ni ombi langu!!

    • @happinessomary2713
      @happinessomary2713 4 года назад +1

      Hili ni jembe nabarkiwaga sana na nyimbo zake

  • @evalinemasaky7935
    @evalinemasaky7935 2 года назад +1

    Adui akija asikumeze.safi ujumbe umenitia nguvu

  • @anicetmutsunga9524
    @anicetmutsunga9524 3 месяца назад +5

    Bado siachi kusikiza na kuimba mwibo huu, Mungu wangu fanya jambo maishani mwangu na jina lako liinuliwe.

  • @chailamustapha8872
    @chailamustapha8872 7 месяцев назад +7

    2024 ❤❤if you are here ..show some love🙏🏽

  • @estherwstar5772
    @estherwstar5772 Год назад +4

    Powerful song full of wisdom. Nimesaidika kutoka kwa huu wimbo. Mungu na azidishe chemichemi ya maji ya uzima kwa mwimbaji/waimbaji huo/hao. Asante.

  • @eliseemafurebo1032
    @eliseemafurebo1032 Год назад +3

    Ndugu Obadiah Mungu akukirimie upako kwa nyimbo nyingine Zamu kulijenga kanisa lake. Kivyangu nimebarikiwa kwa wimbo huu na ule mwingine wa kinyakyusa Gwe mbilika hata ijapo sielewi maneno ya wimbo!

  • @msongore3880
    @msongore3880 5 месяцев назад +4

    Hii ndio nyimbo yangu Bora kwa Ambwene!! Hii ni sala Muhimu sana!!

  • @afyachamber7705
    @afyachamber7705 3 месяца назад +7

    "Usiruhusu hasira ikae kwako''

  • @paulinanzalanje607
    @paulinanzalanje607 4 года назад +26

    Haijawah pita cku bila kusikiliza wimbo huu, aiseee barikiwa sana kaka.

  • @bonifacemahona6434
    @bonifacemahona6434 Год назад +3

    Mungu yupo kila wakati ndie atupinganiae sisi sote. Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @rosegalus5037
    @rosegalus5037 4 года назад +13

    Ubarikiwe sana Abwene kwa wimbo Wa faraja kwangu na umenipa nguvu mpya . na Nina Amini utabariki na kuwainua wengine

  • @g.gwemela5159
    @g.gwemela5159 2 года назад +1

    Mungu aliyeumba vyote duniani na mbinguni , asikupungukie katika huduma yako na katika mahitaji yako ya kimwili. HILI NI OMBI LNAGU KWAKO .

  • @janetshao6423
    @janetshao6423 4 года назад +37

    Mungu wewe ni fahari yangu😇

    • @glorymlay9127
      @glorymlay9127 3 года назад +1

      Amen Amen..hakika Mungu ametujengea boms tuwe salamaa🙏🙏🙏

  • @MoiseMashauri
    @MoiseMashauri 8 месяцев назад +4

    Hakika napata tena nguvu , katika heka heka za maisha,, Mungu Ani kumbuke na mimi ,, wimbo huu una ni tiya tumaini kabisa

  • @judithkitime8583
    @judithkitime8583 4 года назад +10

    😭😭😭kinachowafanya wasinizuru bado hawajapata sababu ahsante Mungu 1.1.2021😭😭😭💖💖💖💖💖

  • @JOHNMAGOMA-ye6lz
    @JOHNMAGOMA-ye6lz 7 месяцев назад +4

    Hupaswi kuwa na ubaguzi wa kimadhehebu,bali kubali ujumbe uusikiao.🎉

  • @kanisiakaduma925
    @kanisiakaduma925 Год назад +7

    Yaani Haya muda huu nipo hapa nauangalia

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 3 года назад +1

    Naomba upigane na adui zangu wote Mungu

  • @winniemakeup9422
    @winniemakeup9422 5 лет назад +11

    duuu...nilichelewaje kuufaham huu wimbo mapemaa

  • @SindanoMosses
    @SindanoMosses 4 месяца назад +3

    Leo 3/8/2024 huu niwimbo unanifanya nisikate tamaa wimbo unaishi ktk moyo wangu 🎉ambwene napenda nyimbo zako mungu akulinde

  • @glorydavid387
    @glorydavid387 6 месяцев назад +8

    Mit 4:23
    Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.

  • @FatumaOmary-v5o
    @FatumaOmary-v5o 4 месяца назад +3

    Hili ni ombi langu ubarikiwe Ambwene nice song the song is real ni baraka

  • @johnndalekitumaini9727
    @johnndalekitumaini9727 Год назад +4

    Uwa nabarikiwa sana kupitiya nyimbo zako Mtumishi wa Mungu Mkubwa 👏👏
    🇨🇩🇨🇩

  • @MarcelonByamungu
    @MarcelonByamungu 8 месяцев назад +2

    na kuwaka na mkubali sana huyu mtu, sana nazipenda nyimbo zake,

  • @francoisesifachishugi-vn4fv
    @francoisesifachishugi-vn4fv 2 месяца назад +3

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu,piya aliye iba hiyo sauti ya ténor abarikiwe piya 🙏🎉❤

  • @MakeneBhihemo
    @MakeneBhihemo 6 месяцев назад +5

    Kila siku huu wimbo unapanda chat❤❤❤❤

  • @naomytom1646
    @naomytom1646 6 месяцев назад +6

    Naamini huu mwaka atanitendea naacha hii comment I'll come to shout in joy and happiness

  • @babraathumani5923
    @babraathumani5923 8 месяцев назад +3

    napenda sana nyimbo zako mtumishi nisikiliza nafurahi sana

  • @BemungaEnock
    @BemungaEnock Год назад +4

    Huyu mwimbaji ambwene mwasongwe anakipaji uwimbajiwake niwamakinisana Tena anahimba kwahekimasana jamani tumrudieni mungu chamahana ni mungu basi

  • @felistangua3887
    @felistangua3887 8 месяцев назад +3

    Huwa nabarikiwa sana na wimbo huu,Uishi sana Ambwene, Amen!

  • @pandoemmanuel2051
    @pandoemmanuel2051 5 лет назад +8

    Ubarikiwe sana na Bwana, unaubariki moyo wangu sana kwa nyimbo zako

  • @fredrickymahenge5764
    @fredrickymahenge5764 Год назад +5

    Mwaka wa 5 huu bado nasikiliza

  • @magrethmtuya7336
    @magrethmtuya7336 4 года назад +37

    Napenda sana nyimbo zako be blessed.

  • @ChepkemoiJesca
    @ChepkemoiJesca 7 месяцев назад +7

    01/06/2024 its an inspiration song 💫💫💫

  • @fortunatafilbert7245
    @fortunatafilbert7245 4 года назад +13

    tulikotoka ni Mbali tukitazama nyumaa nabarikiwa Sana na nyimbo zako, continue to sing in Holy Spirit Blessed Singer

  • @nyanduva
    @nyanduva 3 месяца назад +4

    Huu wimbo umenileta hapa leo all the way from instagram

  • @EliezerMahena
    @EliezerMahena 19 дней назад +6

    9/12/2024 MUNGU AZIDI KUKUBARIKI AMBWENE.

  • @lindahtiony
    @lindahtiony 5 дней назад +4

    Diana Rose made me know this song from TikTok

  • @LevotaPius
    @LevotaPius 3 месяца назад +4

    Nyimbo yangu ninavyopenda OMBI LANGU ❤❤ barikiwa kaka ambwene❤❤

  • @mosesmuriithi3469
    @mosesmuriithi3469 Год назад +4

    Niliona huu Wimborne kwa album yake bukuku I love it

  • @AnethManonga-eu8kf
    @AnethManonga-eu8kf 7 месяцев назад +4

    Mungu akubariki mtumishi ninapenda sana kusikiliza nyimbo hizi zinanipa faraja ❤

  • @thomastshibasus8296
    @thomastshibasus8296 2 года назад +1

    wimbo mzuri saaaaaaana hooo mungu wangu aksanti bariki mtumishi wako tena😭😭 rho zangu na ina pataka ufariji kupitiya wimbo hu mina liya furahha

  • @mamaabudant8568
    @mamaabudant8568 10 месяцев назад +4

    This man is soo deep🥹🥹🙏🙏🙏God bless us all

  • @josephkiteleja5102
    @josephkiteleja5102 Год назад +5

    My friend PJ make me feel this the song …your blessed Ambwene

  • @samuelwanjala-hg5rn
    @samuelwanjala-hg5rn 6 месяцев назад +4

    I used to play this song again and again in 2019, 2024 and it is still a light in my life. 🙏🙏🙏

  • @godfreyhiza1075
    @godfreyhiza1075 2 месяца назад +2

    Pale ROHO ananiamsha na kuniambia sikiliza huu wimbo!!! U aona namna moyo anavyoujengea boma uwe salama!!I LOVE JESUS!