Nchi hiii niyaovyo kweli, ety mwenyemiaka 68 anajiuzulu ila mwenye mika 80 anasimama nakusema nitafanya kazi usiku na mchana daaaa!! Hatarii sana, Dk mpango ameona mbali anahofu ya mungu sio umri hapo ni uongo kuna kitu, kauli ya Mzee wachawi wameshakufa ilajamani mungu yupo, pumzika kwa Amani JPM Taifa umliacha ktk wakati mugumu
Hivi kweli hizo nafasi za wakubwa kuondoka kabla ya wakati si ni mzigo kwa taifa nao wapate stahiki kama wastafu, fikiria ipo siku taifa litatawaliwa na 3 president kwa muhongo1 je?wote watapata stahiki au ni kulipa taifa mzigo mkubwa.....
Pole na kazi mkuu mungu akusaidie na akujalie maisha marefu Ameni.
Aisee mungu mkubwa
Somo wangu Philip nakushukuru kwa kazi nzuri kila la heri
🎉
Big up MAMA👍
Hongera sana Dr. Mpango.
Anajua kua apo mbele kunaharari
Kazi umeifanya
Ameona apumzike maana hii serikali ya watu wasio na hofu ya Mungu
Napendekeza Kikwete kuwa makamu wake ama vip jaman?
Anakiogopa kikombe kilichopo mbele...wenye macho makavu tu ndio hawawezi kupumzika kamwe....
Ulimtuma kusain mikataba ya kipuuz . kunyanyasa watu . Hamna jipya
Nchi hiii niyaovyo kweli, ety mwenyemiaka 68 anajiuzulu ila mwenye mika 80 anasimama nakusema nitafanya kazi usiku na mchana daaaa!! Hatarii sana, Dk mpango ameona mbali anahofu ya mungu sio umri hapo ni uongo kuna kitu, kauli ya Mzee wachawi wameshakufa ilajamani mungu yupo, pumzika kwa Amani JPM Taifa umliacha ktk wakati mugumu
NAONA LABDA AMEONA MAMBO HAYAENDI VIZURI SANA HIVYO AMEAMUWA KUACHIA NGAZI AMEKATAA LAWAMA UMRI WAKE SIYO SABABU KUNA JAMBO NDANI YAKE
Hivi kweli hizo nafasi za wakubwa kuondoka kabla ya wakati si ni mzigo kwa taifa nao wapate stahiki kama wastafu, fikiria ipo siku taifa litatawaliwa na 3 president kwa muhongo1 je?wote watapata stahiki au ni kulipa taifa mzigo mkubwa.....
Mama samia chapakazi ccm chamachetu tunakuamini
Team Kikwete huyo mmmh 😂😂😂😂
Anafaaa uyo jembe la kaz
Hii serikar sio ya cha chama kimoja maana naona mnaanza kuteuana tu
Nchii hii haitendeleya kamwe km ufisadi hunaendeleya
👍
Naww pumzika
Mama nawewe utupishe sasa