WAZIRI SILAA ASHTUKIZA USIKU OFISI ZA ARDHI JIJI LA DAR KUONA UTEKELEZAJI WA AGIZO LAKE,ALIPA KODI..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 май 2024
  • WAZIRI SILAA ASHTUKIZA USIKU OFISI ZA ARDHI JIJI LA DAR KUONA UTEKELEZAJI WA AGIZO LAKE,ALIPA KODI..
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 25

  • @andreap.assenga8480
    @andreap.assenga8480 21 день назад +1

    Hongera sana Mh, Wazir Mungu akubariki na akutangulie ktk majukumu yako ya kila siku.

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 21 день назад +1

    Ubarikiwe sana Mtumishi Mungu Atusaidie kuna mahali tunaenda Tunawaombea viongozi wetu wote tupone Raisi Abarikiwe Sana kwa kuona yapasayo kwa Wakati

  • @bongo39
    @bongo39 21 день назад +2

    Hongera hivi na hawa mawaziri wengine hawamuoni mwenzao jinsi anavyofanya kazi eneee jamani

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 21 день назад +1

    Yaani kunawatu waliachwa kwamuda bila kujulikana kma niwatenda kzi wazuri waadilifu,wenye utashi mkubwa nawamepewa moyo wakuongoza kwauledi.Mungu anajmbo lake kwawatu hawa.Muda nawakati ulikuwa haujafika.Tunamwomba mungu atufunuliwe wengine wliofichwa nawatu wabaya ili wake waikoe Tanzania ytu,nawatu wake ,masikini wapate hki,urasimu ukome,wenye uwezo mkubwa wasinyanyase masikini.Hongera raisi Samia kwakupewa upeo mubwa wakufikiri jinsi yakumsadia mtanzania masikini kupitia wtenda kzi wako.

  • @thelalas9204
    @thelalas9204 21 день назад +2

    Nafikiri tufike muda tutenganishe baina ya siasa na utendaji,chama na mahitaji ya nchi na rai wake,ulaji na utendaji kazi.tukiipenda haki na kumuamini mungu kuna sehemu tutafika

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 21 день назад

      Hapa hata kukuelewa ni ngumu. Huyo Mheshimiwa anakagua kama ofisi ziko wazi hadi saa 2 usiku ili Watanzania tukalipie kodi ya ardhi. Sasa nasaa (lecture) ndefu hivyo inahusu nini?! 😄

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 21 день назад +3

    Huku Slaa kule Makonda,
    Mama tunaomba vijana watendaji kama hawa kila kona, wapo wengine wenye hii mioyo lkn wako mitaani hawan ajira.

  • @joycekisamo4896
    @joycekisamo4896 21 день назад

    Kazi nzuri, Mheshimiwa. Lazima watu wapende na kuheshimu kazi zao na kufuata maelekezo. Ifike sehemu tufanye kazi kwa bidii angalau kama Wakenya 😄

  • @josephmgeni3997
    @josephmgeni3997 21 день назад

    Mnaposema ashtukiza hivi...
    Kwa hiyo hadi camera nazo zimeshtukizwa?

  • @ramadhanhaddad7348
    @ramadhanhaddad7348 21 день назад

    Mheshimiwa hongera kwa kulipa kodi...ila sisi wananchi wako huku viwege jimboni kwako hatuna barabara

  • @user-ez7lv8yg9d
    @user-ez7lv8yg9d 21 день назад +2

    Wakwanza mm like dang

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 20 дней назад

    Kodi si waaanza kulipa mwezi wa saba

  • @ombeniulime2768
    @ombeniulime2768 21 день назад +1

    Tanzania 🇹🇿 ninayoitaka

  • @emmanuelelisha173
    @emmanuelelisha173 21 день назад

    Kazi nzuri sana.
    Lakini ilikiwa habari nzuri sana kwama waziri wa mambo ya ndani kushitukiza cental police,Wazari wa uchukuzi kwenda bandarini,Waziri wa ulinzi kwenda kambi yoyote ya kijeshi.Lakini hii ardhi usiku hata usipo wakuta nini kina impact kwa wananchi ikiwa wanaamini majukumu yao yalipaswa kufanyika mchana?Wakati mwingine Waziri mwenye wizari kama hii anashitukiza mchana tu pale wanapo kuwa wapo kwenye majukumu yao ili ujionee udhaifu wa watendaji wako.

  • @ChrisMwambeje
    @ChrisMwambeje 21 день назад +1

    Duuuuh hatari

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 21 день назад

    Na mahakama vipi makama kuu na ya lufaa kesi myaka Kuna kitu notisi of apili utekelezaji ni mateso heli aende silaa au makonda

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 21 день назад

    Makalane wa mahakama ni zaidi ya majaji kupata mwenendo wa kesi mpaka ulipe lakimoja hata ulipe hupati

  • @nicksonmremi3412
    @nicksonmremi3412 21 день назад

    Tukipata watendaji Kama Hawa vijana kumi basii mama ulaleee kabisa usingizi watendaji waovu watanyooka

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 21 день назад

    Hizi ni ofisi za Manispaa ya Ilala na sio ofisi za Wizara ya Ardhi.

  • @songombingo108
    @songombingo108 21 день назад

    Kwahiyo ofisi zinafungwa saa ngapi

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 21 день назад

      Waliambiwa wafunge saa 2 usiku ili tukalipie kodi

  • @jacksportman5181
    @jacksportman5181 21 день назад

    Sasa huu usku ofisi inafanya kazi Wakat ofcin wanafika saa 5 asbh, maigizo

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 21 день назад

      Hamna jema waja loooo! Jamani!😢😢😢

    • @jacksportman5181
      @jacksportman5181 21 день назад

      @@dorothmsuya1686 masaa ya kazi yanafahamika hizi zingine ni drama tu ndugu yangu

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 21 день назад

      @@jacksportman5181 Sasa jamani kama mtu kaamua kuongeza muda ili amalize kazi za wananchi kakosea wapi?? Sio jambo la kumpongeza??