KUMEKUCHA MH.SIMAI M SAID NJIA YA IKULU IFUNGULIWE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 май 2024
  • TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
    #Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi#Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi
    #Muuminina​ #Dida​ #Juhuditz​ #Al​-Muuminin #Adila​
    #Mwanacha​ #Afnania​ #Stumai​ #Zuchu​
    #muminina​ #Qadiria​ #zanzibarqaswida​ #AFNAANIA​ #DIRECTORONE​.T #Future​ Tz #Wasafi​ Media #Z​MASTORY #Juhuditz​ #JUMA​FAKIH #Zanzibar​Qaswida #AQAZ​Studio #Al​-muuminin #Yas​mediaTv #stumai​ #zbc #tbc #futuretz #youtubeislife #subscriber #youtubeguru #youtubecontent #newvideo #subscribers #youtubevideo #youtub #youtuber #youtubevideos #youtube #youtuber #youtubechannel #revolutionreal #blacksmokeyeye #smokeyeye #glow #glowingskin #discoverunder5k #discoverunder10k

Комментарии • 27

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 27 дней назад +2

    Wananchi wanao iishi hapo Unguja ndio wanajuwa tabu ya kufungwa hiyo njia. Ni bora njia ifunguliwe. Maana haimkeri alokuwa ndani ya Ikulu. Haikuwahi kwenye tarehe ya Zanzibar njia ile kufungwa.

  • @userKAZIEYENDELEE
    @userKAZIEYENDELEE 29 дней назад +1

    alie fungiwa kupita mungu amrehem

  • @mohamedhajj9881
    @mohamedhajj9881 Месяц назад +3

    Hakuna shida mana ilikuwa ikitumika bila shida..

  • @user-tu2ne7so3b
    @user-tu2ne7so3b 24 дня назад +1

    Mwisho wa ubaya aibu

  • @kylesmeight4837
    @kylesmeight4837 29 дней назад +1

    "Politics isn't the way u see From Outside" Joram

    • @user-nq2np6de6l
      @user-nq2np6de6l 27 дней назад +1

      Joram Nkumbi Alisema Hili na Mm Huwa nawaambia watu siku zote kwamba maisha Unavyoyaona sivyo yalivyo kuna siri kubwa ndani yake utaona kuna umoja au uhuru kumbe sivo ule umoja wa watu fulani ni utenganifu mkubwa sana utaona vile macho yanaona ila ubongo unakataa

  • @user-xv4tl8iv4l
    @user-xv4tl8iv4l 29 дней назад +1

    UPO SAHIHI

  • @mwinyimsellem2689
    @mwinyimsellem2689 24 дня назад

    tunaunga mkono 100% usalama upo wa kutosha, ni kweli kabisa

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh Месяц назад

    Ameongea on pwent sana

  • @mohamedhajj9881
    @mohamedhajj9881 Месяц назад +3

    Mbona huku sema kabla

  • @user-wr1iu5re2c
    @user-wr1iu5re2c 29 дней назад +1

    Munachosha sana hizi shule zinamanisha nini sijui munafanya nini humo angefufuka father k et kafa mtu 1

  • @user-zk2cn7xf9g
    @user-zk2cn7xf9g 28 дней назад +1

    Ww unaesema ikulu ni sehem muhimu tatizo hujatembe duniani ofisi km izo haziwekwi kizuizi unaweka kizuizi unaogopa raia wako umewafanya nini basi endeleen kufunga namlinde mpaka kufa kwake anapo ka mueke kizuizi watu wasipite na migombani pia ekeni kizuizi si ni nchi ya viongozi peke yao hii

  • @saddiqsaddiq6880
    @saddiqsaddiq6880 28 дней назад

    Ifunguliwe kwa muda wote barabara si sababu ya uhalifu

  • @hatimmohamed4299
    @hatimmohamed4299 25 дней назад

    Tunataka Ajira, Kwanza
    Kelele tu

  • @user-zk2cn7xf9g
    @user-zk2cn7xf9g 28 дней назад

    Mwijivi hiyi haiamini watu

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 Месяц назад

    Ushauri mzuri

  • @scoutpwanimchangani6711
    @scoutpwanimchangani6711 29 дней назад

    Ikulu ni sehemu muhimu na siju zote iwe salama.
    Mimi nashauri iendelee kufungwa tuu.

    • @AyoubPapiy
      @AyoubPapiy 29 дней назад

      Tangu 1903 kwanini ifungwe sasa? Unamaanisha Zanzibar siyo salama au"!? Mana hukonyuma kote haikufungwa

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 21 день назад

    ile njiaalianza kuifunga dr sheni hamkuyaona hayo mpaka leo awamu ya mwinyi au mnataka mkavunje nazi zenu mlangoni pale

  • @komboruga4271
    @komboruga4271 29 дней назад

    Ya mji mkongwe waachie wenyew. Tungu tuna mengi huyasem

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 29 дней назад

    Njia ya Ikulu iendelee kufungwa kama ilivyo na ikibidi wawepo wana Jeshi pande zoote mbili kutokea Spitali na upande wa Vuga japo wawepo Wanajeshi wanne wanne kila upande na kila siku Wanajeshi wawepo pale eneo la IKULU.

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 27 дней назад

      Kwa ajili ya nini??? Na yameanza mwaka gani mambo haya ya kufungwa njia hapo Unguja sehemu hiyo ya Spitali? Basi tu kuwatesa Wananchi na kuzidisha fujo hapo Mjini.. Maisha yote ni tabu hapo Zanzibar.

    • @albaharyhaji8231
      @albaharyhaji8231 25 дней назад

      Hiyo bara bara toka asili ilikuwa ikipitika sema siasa zetu mbovu ndo zimesababisha kufungwa hiyo bara bara..

  • @jumayussuf6786
    @jumayussuf6786 Месяц назад

    Hana lolote uyo mwizi mkubwa uyo

  • @zinjibaryetu8451
    @zinjibaryetu8451 27 дней назад

    Kwenda zako huko mwizi mkubwa wewe miaka yote ulikua wapi mbona hata siku moja hutujakia ukiyasema haya? Sasa ushapigwa na chini ndio ati unatafuta yanayowakera wananchi upate point za kuzungumza.
    Hio issue ya kufungwa barabara au raisi kuuza public properties ni mambo you should have said long ago sip leo tena...its too late.
    Wewe na huyo alokupiga na chini nyote wawili ni mijizi tu wanafik wakubwa hamuna faida yoyote kwa Zanzibar. Dr Mwinyi hana nia njema wala hisia kwa waZanzibari kwahio sio yeye wala wewe unaeabudu watalii hamuna jipya hata moja la maana la kutwambia so stop wasting our time