Mambo 6 aliyoyazungumza Rais Magufuli baada ya kufika Kenya

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 окт 2016
  • Rais wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ameanza ziara ya kulitembelea taifa la Kenya ambapo kwenye siku yake ya kwanza amepokelewa na mwenyeji Rais Uhuru Kenyatta Nairobi na haya ndio mambo 6 ameyazungumza kwenye hotuba yake.

Комментарии • 32

  • @jiddahadam578
    @jiddahadam578 4 года назад +4

    Hongera baba magufulli mungu akujaze imani ivyo ivyo

  • @allywalid1172
    @allywalid1172 5 лет назад +5

    President Uhuru Kenyatta and President Magufuli have a lot to share and teach each other for the benefit of two countries and East Africa without any sort of hate or jelousy but unity and development purpose..

  • @dinahnyadzualwambi6369
    @dinahnyadzualwambi6369 7 лет назад +9

    karibu mheshimiwa Pombe pia mimi ntakuja huko tz kuona kaz yako nzuri unayoifanya

  • @vumilialeonardi109
    @vumilialeonardi109 Год назад +1

    Jembe retu jamani kamwe utasaurika katika yote MUNGU akutagurie kiongozi wetu mpedwa mpenda haki

  • @austinmabele3132
    @austinmabele3132 4 года назад +1

    Hongera sana maraisi wetu wapendwa, uganda,rwanda,burundi na sudani kusini waje pia

  • @kilalaurio9922
    @kilalaurio9922 Год назад +1

    RIP son of Africa.

  • @robertmahiri2983
    @robertmahiri2983 7 лет назад +6

    mh magufuli kenya kuna ufisadi sana mwelekeze uhuru jisi ya kufanya

  • @goodlife6725
    @goodlife6725 6 лет назад +3

    Safi sanaa Mr President

  • @allenchisunga5378
    @allenchisunga5378 6 лет назад +2

    Asante Baba Umeclear

  • @dicksama7366
    @dicksama7366 3 года назад +2

    R I P

  • @jastinieliudi4632
    @jastinieliudi4632 7 лет назад +5

    john ukojuuu

  • @doreenmalesi6039
    @doreenmalesi6039 7 лет назад +2

    well said doct Maggufuli

  • @tatoorashedi1787
    @tatoorashedi1787 3 года назад +2

    Mwamba wa Afrika sauti yako ntaisikiliza .milele

  • @trumpmcharo906
    @trumpmcharo906 5 лет назад +3

    Haya

  • @amazn_king_ii8151
    @amazn_king_ii8151 6 лет назад +2

    Good deed Mr.President

  • @almahdy1900
    @almahdy1900 7 лет назад +2

    Mr president peoples need development

  • @moziidavchonchi3338
    @moziidavchonchi3338 6 лет назад +1

    sounds good

  • @mcjabbyevents4938
    @mcjabbyevents4938 6 лет назад +3

    Mungu abariki uhusinao wetu wa nchi zetu ili kufunguwa fursa za uchumi kwa nchi zote

  • @sagaradhikari5185
    @sagaradhikari5185 5 лет назад

    regards deepened dar es salaam nairobi kilimanjaro

  • @lilianhelbert9421
    @lilianhelbert9421 3 года назад +2

    Magu babalao

  • @Chingagirl123
    @Chingagirl123 7 лет назад

    At least sasa umesema biashara zifanyike.wakulima fursa sasa imerudi. and what abt East Africa Communities.

  • @zephaniakilango3973
    @zephaniakilango3973 6 лет назад +3

    Hakuna kama ww tanzania unatimiza matamanio ya baba yetu wa taifa yote aliyotaman yawe tanzania wewe umeanza kuyatimiza.Mungu akulinde raisi wetu.

    • @amiryhamza1984
      @amiryhamza1984 3 года назад

      rais wetu jpm nimzarendo sana mwenyezi mungu akupe afya njema

  • @hytechworld572
    @hytechworld572 7 лет назад +5

    magufuli jembe ,, anajua uchumi n nn ,c kama hawa majambaz

  • @bintirashidantybaby8146
    @bintirashidantybaby8146 7 лет назад +1

    wakenya na watanzania ni ndugu lakin viongoz wa kwetu254 hawaendi sawa uonevu ufisad na ubinafs ndio unaumiza wanyonge

  • @mohamednasser2085
    @mohamednasser2085 6 лет назад +2

    Tanzania and kenya have both common problems such as corruption ...poverty ..poor economy ...poor public services ...and poor standard of life...drought and good scarcity.

    • @bensontito8723
      @bensontito8723 5 лет назад

      Broooo i see youuu hahaha you are here

  • @muiggz84
    @muiggz84 7 лет назад +1

    we want business talks not nationalities or tribes .