Rais MAGUFULI Alivyowabana TANESCO, Nusura AWATUMBUE!
HTML-код
- Опубликовано: 13 янв 2025
- Rais MAGUFULI Alivyowabana TANESCO, Nusura AWATUMBUE!
Rais Dk John Magufuli amelitaka shirika la umeme nchini TANESCO kuwasaidia wabunifu na wazalishaji ili waweze kuzalisha umeme mwingi zaidi.
Rais Magufuli ameyasema hayo leo alipokutana na John Mwafute pamoja na Gairos Ngairo ambao ni wakazi wa Mkoa wa Njombe wanaojishughulisha na uzalishaji umeme kwa njia ya maji na kusambaza kwa wakazi katika maeneo yao, Ikulu jijini Dar es salaam ambapo wazalishaji hao wamepewa jumla ya shilingi millioni 55 kwa ajili ya kuendeleza kazi zao, ambapo Rais amewachangia milioni tano,
Aidha katika hatua nyingine Rais Magufuli ametoa maagizo wabunifu hao kupewa cheti cha kutambua mchango wao katika maendeleo ya Taifa, na kuongeza kuwa kwakuwa wao hawana elimu yoyote juu ya umeme CHETI hicho ndicho kitakuwa utambulisho wao.
#IKULU
Https://www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers
Instagram: globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho
Wangapi tunaangalia 2024 tunatamani siku ziludi nyuma tuwe na raisi wetu MGFL leo umeme umekua dhahabu 😢😢😢😢😢
Dah inauma sana
hamna tumlaumu tu si alikua dikteta? haya sasa na tujionee..... @@sixberthcostantini9290
Nipo naangalia baada ya shida ya umeme kutokea 2024
KAMA UNAAMINI MAGUFULI ATALUDI NGONGA LIKE HPA
Jamaa anatisha,, kweli hujui faida ya kitu mpaka kikutokee 😢😢
This man was something else... May his soul find eternal peace
Huyu ndie kiongozi tunae mhitaji Tanzania. Na atakae kuja ajipange tunataka awe zaidi ya huyu "Tudhamini Vyetu kwanza".🇹🇿 kama tupo pamoja gonga like!
Hapo umeanza kuzungumza
Kama umesikia gonga like apa
Huyu ni OUR HISTORY PRESIDENT KATIKA NCHI YETU,JAMANI SIJAWAHI KUPIGA KURA MAISHA YANGU,TO BE HONESTY KURA YANGU NA YA RAIS WANGU TU JPM,ni kuomba uzima tu INSHAALLAH tuombe uhai🙏🏻
Mh. Rais hongera sana kwa kuwaona wabunifu wetu wa ndani. Hao watu wapewe kibali mh. Rais wauze umeme na wapewe makadirio wachangie kodi serikalini. MUNGU AKUBARIKI SANA
Mh Rais wewe ni wamfano Duniani, Mwenyezi mungu akupe Afya njema ili ulitumikiye Taifa hili la Tanzania. Mh, Rais kwa uchapakazi ulionao wewe, miaka kumi ya kikatiba haitoshi , Mwenyezi mungu ametuchaguliya kiongozi sahihi, kwa maoni yangu, utuongoze miaka kumi na Tano, Inchi yetu itakuwa ya mfano wa kuigwa Duniani.
Raisi mwambie akujibu uyoo
Mheshimiwa raisi, sisi wote tunakukubali.Kwa kweli ni hodari ktk. kila sekta, hudanganyiki. Tunakukubali ,hongera sana.
jembe LA tz imulike manyara kiteto Sunya utaona mapungufu makubwa sana tena sana
Asante hiyo point ya vyura,fuvu la mtu wa kale lipo karibu kuibiwa tanzania hii,hawamsaidii raisi
Really if we go in this way really we are going to fly soon and reach to Canan, congraturations our beloved president
Lugano imon
KAMA UMESIKIA MKURUGENZI AKIMWITA RAIS MH. WAZIRI GONGA
😂😂😂 keshafurugwa yule
So proud of this president. God Bless 🇹🇿
Kunawakati mguu , useme utetee kazi
And you will never see these type of people - kwasababu hamna 10% - hapa.
Raisi Mugufuli you are God sent. Mungu akulinde, akupe afya, na nguvu undelee na kazi njema unayofanya.
We miss you JPM,Itatuchukua miaka mingi sana kupata kichwa kama hiki
Hatutampata
8:10 mungu turudishie john wetu japo nikama ninakukufuru ira tuurumie😢😢❤
Akili nyingi mpaka zinamwagika,pumzika kwa amani baba Magufuli❤❤❤❤
Baba Nkulu Wiswe Magufuli Olame Welelo..Nakupongeza nakupenda raisi wangu!!Mungu NDIYE aliyekuleta Tanzani.Wabunifu tuko wengi tumsaidie baba.
kwel iv ndo kiongoz anatakiwa kuwa..,Dr.JPM I real appreciate this man.
Hili jamaa lina akili sana mpaka basi, a kind of genius president Tanzania ever had including Nyerere and Mkapa, big up JPM, karibia kila field anajua, engineering and Chemistry so far!.
Mr President Dr Magufuli aka Ability nyingi.
hili jamaa ni noma la manoma
Want the full video.
Rest in power Dr JPM 🎉 🙏
Forever in our hearts 💕
A true son of Africa.
In our eyes, you will always be a hero ❤️
Everlasting love and respect kwako uncle magufuli wewe kweli ni kocha mchezaji
Dah😢 inauma sana watamzania tulikuwa kwenye mwanga nakujikwamua kwenye umaskin
Kwa mtu mahir na jasiri
Daah tunaumia sana watanzania
Hatuna jins tofaut nakumuombea Mungu
R.i.p mwamba.tutakukumbuka daima😢
HApo kazi TUUU MH Rais MAGUFUli utendaji bola
Nashindwa niseme nini kumpoteza uyu baba mungu ndo anae jua.nitalia mpaka na Mimi nitakapo mfata uko aliko baba angu magufuri😭😭😭
Yani mpaka namuonea imani huyo Baba wa Tanzania 🇹🇿 badilikeni jamani tu m support Rais wetu haya maendeleo ni ya kwetu sio yake acheni ubinafsi watu mko kwa matumbo yenu tu
Najisikia kulia ninapoona Rais wangu anaumia kiasi hiki!!!
Tubadilike jamani!!
Pwagu umepwagua Leo million 10 😢😢😢
Dah. Namkubali sana mkuu wa majeshi yetu. Hakuna keshe, mi ningejibu naenda sasa hivi mzee.
mungu wangu akuongezee hekima zaidi ktk haya
Ndio rais
Kweli rais wetu Magufuli una utu ndani yako, Mwenyezi Mungu akujalie hekima, busara na uzalendo ambao unaendelea kuionyesha.
Tunakuombea sana, we ni wetu
I'm proud of you my president! This country needs you more! May God bless you.
Mr president aliipenda sana TANZANIA ❤
Raisi wangu mm nakupenda sana Mungu akurinde skuzote na udumu miaka mingi ktk uongozi wako
Uliwah kusema tutakukumbuka si kwa mabaya bali kwa Mazur ..Dah😢
Duuu kufanya kazi na Magufuli inabidi uwe na akili nyingi sana. Mungu ibariki Tanzania mungu ibariki Africa.
2024 bado tunakuona upo hai Baba
Mungu unisameh!!🥹Naomba mrudishe Magufuli pls👏🏾🙏🏾
Hongera sana raisi wetu kwa kuongoza nchi kwa ufasaha na kuomba utukumbuke huku tanga lushoto baba asante
RAIS MAGUFULI 7:16 SIMAMA KABISA UKIKAAA MAELEZO HAYATOKI VZR😂😂😂😂
Jamaa sayansi ilikuwa imelala kichwani
Mungu utupe mwingine kama huyu ❤❤❤❤❤❤❤❤
Big up Mr President JPM yaani tulizoe maneno meeengi upigaji mwiingi lakini utendaji ulikuwa zero... Sasa Umeingia JPM maneno kidogo vitendo super.. Good.. I admire you so much...
Walijua kutuibia kwa maneno wakishasema habari za tathimini na research basi tunaishia apo na ndio inakuwa imeisha
Dah pumzika kwa amani Baba Magufuri hakika sichoki kukusikiliza hakika
Alisema mtanikumbuka na kweli tunamkumbuka kweli kweli 😭
Just tell me, to defend your job, Kama umesikia hiyo gonga like hapa..
Hapana mchezo na JPM subutuu utumbuliwe...
Duh kweli ww ndio raisi
Baba ni baba ...ila mama hapa kwa tanesco kapoa sana ..
Rais Wangu. Mungu akutunze, akupe Maisha Marefu. Unahitajika sana. Mambo ni mengi inasikitisha sana. Mungu akutie Nguvu una kazi Ngumu sana.
Mkawe vibaruwa wa hawa huyu mzee noma sana 😅😅
I cant see a president like you GOD bless
Watu wanjombe Wana akili Sana. Pongezi kwa watu wanjombe🤸🤸👏👏
Our president Magufuli sina neno kwako, nakukubali haijawahi kutokea.
MR. PRESIDENT 🇹🇿🇹🇿
Tanesko wamejiumauma sana wanajifanya hawawajui hao wazee wkt wanawajua😂😂😂 Hao wazee wapo kitambo sana mitaa hiyo na habari zao zinafahamika sana
Muheshimiwa Rais ww safi nakukubali sana 100% president ww geneus
Zaid ya genous
best president ever
Rais ww wazir ww hii noma
Nakukubali rais wangu kwenye utendaji
Hahahaaa. Kuna mjeshi kajibu naondoka nao. Safi sana, hapa kazi tu. Lazima tufike tu hata kwa bakora. Hakuna wiki tatu hapa. La saba yulee, kapata uboss juu. 😆😆😆Nani mwingine anataka kuongea. 😆😆😆
Lovely president its only God can provide a person like u
Namkubali sana Rais wangu mungu mkubwa
Aloooo MZEE BABA nakukubali , muda sio mrefu tutasonga mbele ka mishale, bravo Mr President JPM
Darasa la saba tupo apa niite mimi siku unipe kitengo chochote niongoze awo wasomi nakumbuka bibi zetu awakusoma kama hao lakin utendaji wa kazi ni zaid ata ya hao wasomi
Pamoja sana
Hongera sana Mheshimiwa Rais Magufuli kutuonyesha mapambano ya kila siku kuwafungua macho viongozi na raia
Jamani huyu mtu talented man
MR. PRESIDENT 💪
Huyu ndo alikuw raisi wa kweli aiseh, Mungu amlaze mahala pema peponi
Mhe Rais nakupenda mno kwa utendaji wa hali ya juu.Hongera sana my president.
Mimi ni mkenya lakini nafwatilia sana Raisi bombe magufuli wa Tanzania. Ni Raisi wa kumwenzi sana,nampa heko kwa Kazi nzuri anayo fanya.
Naomba Naomba sana Mheshimiwa Rais Magufuli aongezewe muda angalau miaka 20 katiba sio msahafu ibadilishwe!!!!!
Mama yupo Vatican city anakula bata nchi inaenda mlama🚮🛌
Magufuri is seriously Genius of Tanzania
Safi sana mheshimiwa raisi yaaani upo vizuri sana katika uongozi wako mungu akuweke miaka mingi sana
Safi sana wabunifu hawa wainuliwe ili kutatua changamoto vijijini. Cha kushangaza meneja tanesco kanda ile alikuwa kama anadiscourage wakati hadubin ilipofika ofsini kwao kuwahoji juu ya wanascience hawa.
Three years unaona watu wanazalisha umeme 28kw unanyamaza kimya...industrial revolution ndio ilifanya nchi nyingi za ulaya kufika pale walipo...kulikuwa na wanascience wabunifu waligundua power na vitu vingine....Tanzania ya viwanda hoyee...safi sana JPM.
I miss you my lovely president
10:40 Heart touching
😭 Mungu ana deni kwa watanzania, lakini anao uwezo wa kulilipa, ni swala la muda tu.
Magu ni Mwamba❤ulipo tunaamini unawaongoza Malaika
Mzee aliwabana kma watoto 7:55 😅
Ila huyu raisi ana hakili sana
Who is watching this after this big mess of Tanesco & Dawasco Nov 2021
Yaani hadi nimesisimka. Huyu jamaa tulikuwa nae kweli? Hakika hii kichwa duh,. Yako majitu makwamishaji tu😮😮😢😢
Magu baba tunakukumbuka naendelea kujifunza kupitia kumbukizi zako #25/04/2021
Mungu akupe maisha marefu
Huyu RAIS angetawala miaka 40 😂 TANZANIA INGEKUA DUBAI 🎉🎉🎉🎉
Umeona eeeee
@@ziddyziddy2524 kabisa mtu kwangu, NA hii NDIO MAANA HALISI YA KUA KIONGOZI/PRESIDENT
Mungu akulinde mpaka tuonane, Watu wema maisha yao mafupi"Tungekuwa mbali Magufuli! Kama kulipita njama ya kuutoa uhai wako,Mungu atawaumbua mchana kweupe ' wameshaanza kuropoka hadharani"
Hapo magufuli nampenda Sana
Rais miaka 10 hajanitosha Kwa maoni yang uendelee mpaka 2030 itakuwa powa Sana saluti kwako siyo Kwa ccm
Mimi kwa miaka 2030 ajatosha kwa maoni yangu awe wa maisha kwangu ndio safiii iiiii
Yaani mpaka awe anashikiliwa na watu ndio tutamuondoa
Kwer
sio 2030 awe kama wale u.a.e ingekuwa poa Sana my opinion
pongezi kwako Mh Raisi asee kwakweli una uchungu na hii nchi
Kweli kabisa saf rais
Mungu akubaliki Baba
🙏🙏🙏
Magufuli has to be given more time to fix the country. Tanzanian should stand up and add more time for him
TANESCO njooni huku
Hongera Anko Magu Unamaono ya kuwasaidia Watanzania
JPM alipenda Sana kufanya kazi na watu wenye akili nyingi kwasababu aliamini katika uwezo mkubwa wa kufikiri.
Kusema kweli Tanzania 🇹🇿 imepoteza kiongozi, Africa tunahitaji kiongozi kama huyu, Mungu mrehemu msamehe makosa yake na amlaze mahali pema peponi Amen.
Hongera Rais magufuli.
Mwanaisha Hemed mungu akutunze baba
Ha ha ha magufuli nani yuko hapa baada ya kupata 84% 2020
Jamani ongeeni daaaah watu wanaogopa uyu mtu alikua kichwa sana
Huyu ndio mzalendo halisi wa Tanzania Rais J P M
Kuna mambo mawili hapa yalinifanya nicheke nifurahi tu hahaha 1.kuitwa rais mh waziri badala ya rais 2.hapo umeanza kuzungumza ,kama umesikia kama mimi gonga like basi hata 5 tu zinatosha hahaha😂😅😅