AISEE! MAGUFULI AMECHUKIA - "KICHWA Kama GN, KAKAE Nisijekutoa MAAMUZI MENGINE"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 175

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 28 дней назад +3

    Huyu mzee alikuwa SMART sana ni vile tu VIZURI HAVIDUMU

  • @viootanzania9080
    @viootanzania9080 6 месяцев назад +4

    7/7/2024 bado tunamfatilia raisi wa watu raisi wa wanyonge,raisi anaejitambua mwenyez mungu amjaalie pumziko la milele amina❤

  • @rodgersodhiambo1892
    @rodgersodhiambo1892 3 года назад +21

    Currently addicted to watching Magufuli's clips..
    RIP Magufuli

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 4 года назад +18

    Mungu aendelee kukutumia raisi wetu kwa Taifa letu la Tanzania mpaka tutaelewana tu

  • @shizaarfred4059
    @shizaarfred4059 3 года назад +19

    Najikuta nishakumishii shujaa wangu kama umeondoka mwaka mmoja nyuma Kumbe ndo kwanza leo ulikuwa umetembelea uwanja wa uhuru kwa mara ya mwisho .ndomana napitia hotuba zako pengine zitanifariji Aki 😭😭😭 wa TZ tumeumia mioyo yetu imepasuka 💔💔👋👋

    • @mwajumamussa8848
      @mwajumamussa8848 3 года назад +1

      Yaan acha tuu jmn.. mwenyew napitia hotuba zake kujifariji kama bado yupo maana akil na moyo vimekataa kabisa kukubali kama Maguful ndio katuacha hivyoo jmn Moyo unaniuma saana kila nikiona picha yake ikiwa namaandish R.I.P 😭😭😭

  • @noelnoel4916
    @noelnoel4916 4 года назад +8

    Magufuli your the best president in our generation. Mungu akubariki

  • @emmanuelmohammed1294
    @emmanuelmohammed1294 4 года назад +16

    Mzee mda mwingine nakuhurumia Sana, kazi za kawaida wanasubiri mpaka Rais aseme, duuhhh!

  • @missangela6720
    @missangela6720 4 года назад +22

    Waafrika mpaka fimbo ndipo kieleweke tu jamani

  • @josephnjamasi549
    @josephnjamasi549 4 года назад +22

    Mzee uwe unatembea na fimbo

  • @zefamange7281
    @zefamange7281 4 года назад +16

    WASIO KUPENDA JPM WAFE TU MKUU

  • @rithapaschal8141
    @rithapaschal8141 4 года назад +8

    Mh MUNGU atakulipa kwa kazi nzuri unajitahidi sana ,lkn hakuna anayefanana na wewe watendaji wako sio wazuri wanakuangusha wananchi tuna shida sana hatupati msaada tutaishi kwa kuvizia misafara yako mpk lini? Du rais wetu MUNGU akutunze unapambana sana

  • @kayugumyajoozey6679
    @kayugumyajoozey6679 4 года назад +11

    i feel great to have this mindset, focused, committed, jah bless Tanzania

  • @Smartmoneymakerz
    @Smartmoneymakerz 10 месяцев назад

    Mwaka 2024 still watching Magufuli🥺

  • @insanecliipz-2794
    @insanecliipz-2794 3 года назад +6

    Mungu akuweke kwa amani mzee ❤️

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 4 года назад +22

    katiba sio msahafu,ibadilishwe na utawale milele

    • @bukheribukheri798
      @bukheribukheri798 4 года назад

      Mnhuuuuu!!!!! Akili ni nywele hata ndevu ni nywele pia

    • @abuyunusmohamed6961
      @abuyunusmohamed6961 4 года назад +9

      @@bukheribukheri798 najua mafisadi watachukia tu.Watanzania tunataka Rais wa wanyonge magufuli atawale muda mrefu

    • @andulilemwakihabha2048
      @andulilemwakihabha2048 4 года назад +4

      @@abuyunusmohamed6961 kweli kabisa mafisadi majizi na mivivu ndio hawataki kabisa kusikia hizi habari na watanyooka tu

    • @kingcopper_tz
      @kingcopper_tz 4 года назад

      umevuta bangi leo?

    • @upendotarimo9324
      @upendotarimo9324 4 года назад

      @@abuyunusmohamed6961 Kweli mafisadi, wezi, wazembe na wavivu ndo wanaomchukia magu maana yuko kinyume na wao

  • @neemamtega737
    @neemamtega737 3 года назад +1

    Tulikupenda magufuli ulikua mkweli mpenda maendeleo

  • @RahabuSimba
    @RahabuSimba 10 месяцев назад

    Kwakweli acheni Mungu aitwe Mungu!!Rais wetu mpendwa pumzika kwa Amani

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 4 года назад +3

    Anachoka mpaka akili huyu mzee kwa kweli..... good job JPM

  • @johnmasinde1875
    @johnmasinde1875 4 года назад +5

    JPM, come vie in Kenya. We'll elect you

  • @shebaminde7656
    @shebaminde7656 4 года назад +17

    Mkuu wanyooshe hao lazma itifaki izingatiwe,wasikuletee vichwa kama GN 😂

  • @sophialaurent2406
    @sophialaurent2406 4 года назад +17

    Nimecheka sana Jaman, kichwa kama GN😂😂😂😂😂😂😂

  • @peterkamana1265
    @peterkamana1265 4 года назад +3

    Baba yetu magufuli uendeleee mpaka miaka 25 Sisi waelewa na vijana wazarendo wa Tanzania tuko nyuma yako,asante

  • @mohamedhaji2200
    @mohamedhaji2200 4 года назад +5

    "Sema kweli japo ni uchungu" Amesadikisha Rasuulullah SAW

  • @ahmedmalick1898
    @ahmedmalick1898 4 года назад +1

    Magufuli mitano tena baada ya 2025 kuisha

  • @ليلىفاكي
    @ليلىفاكي 3 года назад +2

    Tanzania imeondokewa NA kiongoz

  • @twaibutwabibu8809
    @twaibutwabibu8809 4 года назад +4

    Afu unamkuta MTU ety Magu afai

  • @sabrinaiboma2444
    @sabrinaiboma2444 3 года назад +1

    HOTUBA ZAKE ZOTE ndiyo husikiliza zanipa Moyo kwa kweli ...MAGUFULI JEMBE 💔🇹🇿😭

  • @geopolitics94
    @geopolitics94 4 года назад +5

    Mungu akulinde Rais wetu 🇹🇿 🙏🏽

  • @mossyfimbo3577
    @mossyfimbo3577 4 года назад +2

    Mungu azidi kukutia nguvu Rais wetu

  • @emiryfaida2437
    @emiryfaida2437 3 года назад +3

    Tutakumic sana jpm watanzani wenye mapenzi mema na inchi yetu

  • @husseinking2346
    @husseinking2346 3 года назад +3

    Daaaah mung katuondolea shujaa sana yan daah

  • @gosbertireneus5558
    @gosbertireneus5558 4 года назад +9

    Hawa wazilankende wanajuia GN????
    Kichwa kama GN,sijui ni kichwa gani hiki...
    Hapo ndo kazi itafanyika

  • @mandalorian_4.11
    @mandalorian_4.11 3 года назад +1

    naanza kukumbuka maneno yako ( ipo siku mtanikumbuka ) yes we do Mr President 😢😢😭😭😭😭

  • @sabrinaiboma2444
    @sabrinaiboma2444 3 года назад +1

    JEMBE nakumiss mnoo daah kichwa kama GN Nani kama Wewe??? Hakunaaaaa kama wewe...Moyo wangu upo kwako Hata kama wamekutanguliza bado unanipa nguvu kwa hotuba ZAKO ✍️💔🇹🇿😭

  • @paulrwechungura4958
    @paulrwechungura4958 4 года назад +1

    Rais wetu Mungu akulinde,

  • @rajabungereza8755
    @rajabungereza8755 4 года назад +1

    Magufuli Rais wawanyonge Ila tunaomba uje huku wilaya ya kilindi kuna matatizo mengi sana ila hatujui tuseme kwa nani tunakuomba uje kilindi nako ,wanakilindi wanakupenda sana

  • @pascalmstaarabu4372
    @pascalmstaarabu4372 4 года назад +2

    Tz haijawahi kutoa Rais kama huyu

  • @lauriannicas401
    @lauriannicas401 3 года назад +1

    Hii ina uma sana, alimwambia mkandarasi mpaka tarehe 1.6.2021. Na sasa ni tarehe 7.6.2021 simsikii tena Magufuli wangu, heart break 😭

  • @adamgobeka5664
    @adamgobeka5664 4 года назад +10

    Gud presdaaa

  • @rezegerezege691
    @rezegerezege691 3 года назад +2

    Baba yangu R.I.P 😭😭😭😭😭😭

  • @ericksonsosion7044
    @ericksonsosion7044 3 года назад +1

    Ukweku Tanzania mmepotesa kiongozi wakazi ,poleni ,na mungu atube kiongozi kama bombe hapa Kenya nayo ni Ruto .

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 4 года назад +9

    Hahaaa jamani nimecheka kweli kweli kichwa kama GN, Baba Askofu nimefanya dhambi kweli hahaaaaa hii ni kali kabisa

  • @vascojuma2158
    @vascojuma2158 4 года назад +3

    Jmaaa kapone kwenye tundu la sindano

  • @athumansaidi7663
    @athumansaidi7663 11 месяцев назад

    Nalia na magufuri 🇹🇿 😭 😭🇹🇿🇹🇿

  • @angeljohannes8630
    @angeljohannes8630 3 года назад +1

    Kabisa Baba kiboko kiwe Karibu yako ili utendakazi ufanyike Vyema nakwahaki,

  • @jacintabati6238
    @jacintabati6238 4 года назад +3

    Mheshimiwa JPM hoyeeeee🔥🔥🔥🔥

  • @catholicvibemusic3151
    @catholicvibemusic3151 4 года назад +1

    DAWA YA ALKALINE kiboko ya kibamia..na nguvu za kiume ..... .
    Ni dawa ya kudumu yenye mchanganyiko wa dawa zaidi ya tisa ni maalumu kwa kutibu na kumaliza matatizo yote ya kibamia na nguvu za kiume kw asilimia100 % kama ifuatavyo.
    1⃣ kuwa na dhakar ndogo/fupi na nyembamba yaani kibamia
    2⃣ dhakar kusinyaa na kulegea wakati wa tendo
    3⃣ mishipa iliyolegea kwa kujichua nk
    4⃣ kuwahi kufika kileleni/kutoweza kuhimili katika tendo round nyingine kwa haraka
    5⃣ Inarutubisha mbegu na kuziboresha
    6⃣ Kuzipa speed mbegu ule uwezo wa KUOGELEA vizuru ( sperm mobility)
    7⃣Ina balance HOMONI na kuimalisha misuli ya eneo lake husika
    8⃣Inakupa nguvu za kawaida MWILINI ( HUONDOA UCHOVU NA UVIVU)
    9⃣ Inaongeza idadi ya mbegu za kiume
    🔟 Inarutubisha mayai
    NB: HAINA MADHARA NI LISHE NA MMEA SALAMA
    Epuka aibu hii tumia" ALKALINE " ndio kiboko yao
    Karibuni sana ofisini kwetu msaada zaidi
    Wasiliana kwa 0622945360 /whatsapp 0719174248

  • @soplisjoachim5884
    @soplisjoachim5884 4 года назад +3

    Reginal managers wote wa barabara wanatoka chato mzee

  • @marcondokeji8982
    @marcondokeji8982 4 года назад +3

    Swali utamaliza lini? Siyo ndani ya mwaka huu.

  • @Milcah2
    @Milcah2 3 месяца назад

    Magufuli baba tumekukumbuka😢

  • @mjtz7778
    @mjtz7778 3 года назад

    Huyu rais atawale mpaka achoke mwenyewe

  • @jumakalukule5312
    @jumakalukule5312 4 года назад +5

    Hahahaha watakuelewa tu mzee kazi njemaaaa

  • @shantalismailhassan9878
    @shantalismailhassan9878 4 года назад +1

    Raisi unapiga kazi na hongera. Lakini jaribu kuongea na watu wazima kama watu wazima punguza kuwadhalilisha . Kauli Mali.

    • @petromtakati2975
      @petromtakati2975 4 года назад +1

      Wafanye kazi bhana mambo mengine wanajizalilisha wao sio lawama kwa raisi

    • @shantalismailhassan9878
      @shantalismailhassan9878 4 года назад

      Kufanya kazi kupo pale pale ndugu ila kuna namna ya kuongea na watu wazima wenzake. Kumwambia mtu kichwa kama GP si fresh ktk lugha ya kiutu uzima na si mara ya Kwanza . Kusema kwamba raisi ni mchapa kazi na anataka watu wawe wachapakazi na wakweli hilo halina mjadala linaonekana na ni vizuri ktk kuleta maendeleo lakini sio tiketi ya kuwadhalilisha watu.

    • @shijamakoye6013
      @shijamakoye6013 4 года назад +1

      Mimi sijaona kibaya hapo kama yeye angekuwa ametenda majukum yake ipasavyo wala Rais asingekasilishwa nakupelekea kuongea hayo maneno aliyoongea maana tunapewa logic za kishamba kweli yani daraja 25 mita then three years, and you still defending the offender siwezi support this stupidities, for real acha Rais awafokee tu cause it seems his supporters are nothing at all, yani Rais anapambana but these guys are letting him down, so let him imbalance them, maybe they will change and back on the track

  • @fredyphilimon38
    @fredyphilimon38 3 года назад +1

    Tanzanian, stil watching all over the event involved by JPM. We will miss you so much.

  • @eliakimchaiikobellah358
    @eliakimchaiikobellah358 4 года назад +2

    Yaan
    Viongozi huko chini mna shida gani nyie
    Hadi bakola au ndo mmezoea kukuna vitambi ofisini

  • @mandalorian_4.11
    @mandalorian_4.11 3 года назад

    🗣 Mr President John Joseph Magufuli najuta kukupinga baadhi ya mambo, ni kwasababu wewe ni binadam sio malaika lakin..... watanzania tunakiri kua TUMEANZA KUKUKUMBUKA 😢😢😢 ( haya endelea kuongoza malaika huko uliko chuma )

  • @abdulatifmoxamed8047
    @abdulatifmoxamed8047 4 года назад +1

    Daraja fupi kama hilo miaka mitatu some people are not serious

  • @yusraswalah4734
    @yusraswalah4734 3 года назад

    No one will replace your party in Tanzania

  • @imocymusic
    @imocymusic 10 месяцев назад

    Rip magufuli😢

  • @rajmkonje7149
    @rajmkonje7149 3 года назад +1

    Yani sasaivi ukiniuzi kichwa kama gn

  • @sabrinaiboma2444
    @sabrinaiboma2444 3 года назад

    Moyo wangu huwa waniuma mnooo nakutoa machozi nikiona hiki chombo ya kazi....hivi ni kweli baba umetuacha kweli???💔🇹🇿😭

  • @hassanussein1817
    @hassanussein1817 3 года назад

    kama Raisi Magufuli amumpendi mtupeni Burundi tutampokea

  • @wmmtztv6963
    @wmmtztv6963 4 года назад +9

    🤣🤣🤣🤣kichwa kama GN

  • @emmiesulee4620
    @emmiesulee4620 3 года назад +1

    Goooo baba😭😭😭😭
    Umetuweza🙏

  • @mathiasnicodemus7531
    @mathiasnicodemus7531 4 года назад +2

    kichwa kam GN

  • @naamangidion
    @naamangidion 10 месяцев назад

    Eet kichwa kama Gn

  • @abdallahrajabu4401
    @abdallahrajabu4401 3 года назад

    Da akuna km magu hakuna nimeshasema

  • @nicksongreyson1759
    @nicksongreyson1759 4 года назад +2

    Mheshimiwa tutembelee hata kyerwa tunakuhitaji

  • @eliakimchaiikobellah358
    @eliakimchaiikobellah358 4 года назад +1

    😀😀😀
    Acha nicheke tu

  • @fredymugha6697
    @fredymugha6697 3 года назад

    Hotuba za Raisi yaani akili tupu ivi mtu akifa na akili zake amezikwanazo jamanii!!

  • @benjaminabisemba5331
    @benjaminabisemba5331 3 года назад +1

    RIP mzee wetu JPM 😭😭😭

  • @adrianomduda5293
    @adrianomduda5293 10 месяцев назад

    Wacha niendelee kufuatilia hotuba ya mheshimiwa

  • @kasumbapaulo9228
    @kasumbapaulo9228 3 года назад

    Nilikuwa namkubari Sana mtemi we2 Wa nchi

  • @johnsangida5158
    @johnsangida5158 4 года назад +1

    God is Great for my Nation and leader

  • @Fundi12345
    @Fundi12345 4 года назад +1

    Nataka kuamini kuwa hawa watendajibwengi wanajuwa kuiba tu utendaji wa kaxi 000Tu wanafanya makusudi yote hiyo aonekane jpm hafanyi kazi ya harali piga chini mkuuuu

  • @valeriaveda7519
    @valeriaveda7519 3 года назад

    Tutakumiss baba ehee! Mungu umetupiga kiboko kwakwelii

  • @JamalJuma-o9h
    @JamalJuma-o9h 9 месяцев назад

    😢dar ,nnchi yetu ingekuwa nnzur sna Yan sio Kama SS iv magu ninoma ,kimsaau ,inakuwa ngumi ,Yan

  • @bahatihappy5693
    @bahatihappy5693 3 года назад +1

    RIP magufuli

  • @abdallahrajabu4401
    @abdallahrajabu4401 3 года назад

    Nakupenda saaaaaaaaana

  • @denisrukangula7086
    @denisrukangula7086 4 года назад +1

    kwakweli barabara ya kyerwa ni mbovuuuu

  • @jamesakhabuhaya6194
    @jamesakhabuhaya6194 4 года назад +3

    Baba asante nakuelewa sana

  • @nadyamohd6820
    @nadyamohd6820 3 года назад

    Makufuli baba lao

  • @edsonmunuo7112
    @edsonmunuo7112 4 года назад

    Good Mr president viva Tanzania viva JPM

  • @jeromekantambi8193
    @jeromekantambi8193 4 года назад +1

    Kuna daraja pia huku kwetu mkuu lipo wilaya ya Ludewa,daraja la mto Ruhuhu linaenda mwaka wa nne Sasa

  • @issazakaria863
    @issazakaria863 3 года назад

    CHUMAAA 😥😥😥😥😥😥😩😩😩😩😩😩

  • @paschaltsaxara2376
    @paschaltsaxara2376 4 года назад +3

    Engineer anafeliiii

  • @daudmtange8005
    @daudmtange8005 3 года назад

    Mama Samia suluhu mzee kashatangulia fatilia na mwezi wa sita daraja likamilikee

  • @hadijaalpha7547
    @hadijaalpha7547 4 года назад +1

    My President ❤ my prayers 🤲 always 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @evanstum5032
    @evanstum5032 3 года назад +1

    Addicted with this clips, rest in peace Pan Africanist.

  • @sadikidaudi1223
    @sadikidaudi1223 4 года назад +1

    Mhe Rais tunakuomba uiangalie Barabara ya Mbezi Msumi maana tumesahaulika japo kiwango cha Lami🙏

  • @simonnderitu79
    @simonnderitu79 3 года назад

    woishe mwezi wa sita hukuuona baba

  • @omaryrashid4720
    @omaryrashid4720 3 года назад

    KICHWA kama GN 😊😂😂😂😂😂😂😂? R.I.p fatHer

  • @rumdeesonsoa1811
    @rumdeesonsoa1811 3 года назад

    Duh! Kumpata kama huyu ni vigumu 😭😭😭😭

    • @explorelondon3695
      @explorelondon3695 3 года назад +1

      Mungu aliyetupatia Uncle Magu ataleta mwingine lakini Uncle Magu alale Salama. Kazi ameifanya kama vile Mungu alimuagiza huyu mtumishi wake Mungu🙏🙏

  • @DottoKinyamagoha
    @DottoKinyamagoha 3 месяца назад

    Askofu sema kweli uone?

  • @pastorymushy416
    @pastorymushy416 4 года назад

    Hiyo Cheka inaniachaga howi adi nakuwa na furaha kupitiliza

  • @aokinsindi6948
    @aokinsindi6948 4 года назад +1

    Na huku mwasanga mbeya jiji tangu mwaka juzi mwezi wa kumi tumekuwa kisiwani japo mbunge mkuu wa mkoa mkuu wa wilaya mkurugenzi wote wapoo!!wanasubiri turushe kwenye mitandao uone bila hivyo hawaendi hujakosea kichwa kama GN kweli tuone na mwasanga na huku yawezekana tatizo GN,,

  • @amininassoromirambo5610
    @amininassoromirambo5610 3 года назад

    SHUKRANI ALLAAAH

  • @mchinafamily-cg9ky
    @mchinafamily-cg9ky Год назад

    Mkojani

  • @MosesJohn-pn4vo
    @MosesJohn-pn4vo 7 месяцев назад

    Tyson

  • @christinamsuya8857
    @christinamsuya8857 3 года назад

    Tushakumisi raisi wetu,pumzka kwa amanii