@@lucky9285 it depends on the heart of a man..if no one can do it, he will try thou he wont cover the whole thing. his ministers would have learned his ways from the get go but we dont see none doing what he is doing unless the media isnt covering it
Mungu azidi kukutunda, kukuheshimisha, kukuongoza, kukulinda, na kukubariki sana Mh. rais wetu mpendwa Mh. Dr. JJPM na serikali yetu kwa ujumla! Mungu azidi kuibariki, kuilinda, na kuitunza Tanzania na watanzania wote!
Huyu baba mungu alimleta kwa makusudi malumu na ndiyo maana ibilis akupendezwa na utendaji wake tangia ulipotolewa katika ulimwengu huu umetuacha yatima baba umetua chia majanga tupu akuna kinacho endelea baba magufuli
Rais mlandizi inafa ongoze east Africa kwa maoni yangu inafa ongoze UGANDA 5yrs KENYA 5yrs tangu nizaliwe wewe ndio Rais ambaye nimependa tusipoteze elimu Live longer in the name of god
Hawa watendaji mbunge na wengine woote wanamfanyia Rais kusudi ili wasimchague ili warudie wizi wao wa zamani sasa wanawafanyia wananchi kusudi Mungu anawaona wanachokifanya
Walikuua Baba walijua uongozi wako ni wa haki wakakupoteza mapema walijua hakuna wakukushinda ungeweza kuongoza maisha yako yote hakuna mtu wakipawa kama chako wakukufikia
Viongozi wa Mlandizi hawana mawazo ya maendeleo kuanzia mkuu wa wilaya, mkurugenzi hata Mbungu, ndio maana Mlandizi ni mji mkubwa ila hauna miundombinu ya kueleweka, soko bovu , stand mbovu barabara mbovu
Ivi huyu ndiye wanasema anawakandamizwa wanasiasa anawezejee kukubalika ndani ya watu wake wakati ni dikteta inabidi tuwe wakwel kesho Kunamoto jehanaamu tusiawaminishe uwongo watu wasiojuwa kupambanua mambo
Mheshimiwa Raisi Maghufuli naomba ufike Moshi wilaya ya Rombo kijiji cha katangara. Wengi ni masikini hawana TV, walau wakuone na waongee yaliyo moyoni mwao
Mheshimiwa Raisi walau wenye viti wa kijiji walipwe chochote. Mshahara wa kima cha chini. Miaka yote wanatumikia Taifa mpaka wamezeeka wakitumikia bila hata chupa ya maji. Wanashinda wakisuluhisha kesi nyingi na kulinda usalama wa kijiji. Wapewe chochote Kwaajili ya utumishi wao.
Upinzani wakaege wanapiga kelele tu na upumbavu wao wamekalia bla bla kila kukicha kuichafua serikali wanadhani watu watabadirika kuwafuata wao nonsense.
yani u yu jamaa siku nikikutana naye kero ya Kwanza niyayule askari pale bendera Tatu ukipita bp anaitwa shabani ana kirava 4 chabluu mnyanyasaji ssana
Wewe ndo ulikuwa Rais wakwel namwenye mapenzi yakwel ambae ulikuwa unajua kusimama njian na kusalimian nawananch nandomaan ulikuwa unajua shida za wananch wako
Mheshimiwa raisi naomba ufike na mkoa Wa Singida wilaya ya manyoni barabara ya itigi kama unaerekea mbeya.mheshimiwa raisi kule wananchi wana nyanyasika sn na apajawahi fika kiongozi yeyote kule. Naomba mheshimiwa ufike utusaidie
Magufuli wewe ni bonge LA Rais mungu akuweke maisha marefu
Aweke mifumo hawezi kuzunguka nchi nzima...TZ ni kubwa sana one man show can't work
@@lucky9285 it depends on the heart of a man..if no one can do it, he will try thou he wont cover the whole thing. his ministers would have learned his ways from the get go but we dont see none doing what he is doing unless the media isnt covering it
@@lucky9285dll hmbhnhhm LLY roll
@@lucky9285dll hmbhnhhm LLY roll
JPM u r one in a million in Africa if all de African Presidents could hv bn like u then Africa could be far
Kweli kabisa
Mungu azidi kukutunda, kukuheshimisha, kukuongoza, kukulinda, na kukubariki sana Mh. rais wetu mpendwa Mh. Dr. JJPM na serikali yetu kwa ujumla! Mungu azidi kuibariki, kuilinda, na kuitunza Tanzania na watanzania wote!
Paulo
Mungu akutangulie kwakila hatua.... Uncle haya uyafanyayo hawataelewa leo wala mtondo goo.... Inshaallah uwe na afya njema for next period 2020/2025..
Tusipitilize mungu tumuache rais tunampenda ila tusimchonganishe na mungu..
Tuna rais bora ila asifananishwe na mungu...
Ni kweli ndugu yangu
A
Mungu akupe maisha malefu kiongozi wetu kila binadam mapunguf hayakosi na sio wat wote watakupenda
We are proud of you President John Pombe Magufuli. The best President in the Africa and in the world. Rip Rip Hurray
Huyu baba mungu alimleta kwa makusudi malumu na ndiyo maana ibilis akupendezwa na utendaji wake tangia ulipotolewa katika ulimwengu huu umetuacha yatima baba umetua chia majanga tupu akuna kinacho endelea baba magufuli
L0
@@thomastarimo0
Acha usenge ww uyo ni raisi na sio mungu usimtie matatizoni kwakumfananisha na mungu
Rais mlandizi inafa ongoze east Africa kwa maoni yangu inafa ongoze UGANDA 5yrs KENYA 5yrs tangu nizaliwe wewe ndio Rais ambaye nimependa tusipoteze elimu Live longer in the name of god
Uongozi wa hayati,Dr.John Pombe Magufuli,sidhani kama,anaweza kutokea,kama yeye,labda,ipite miaka 20,"namkumbukapia,Edward Moringe Sokoine,naye,alikuwa CHANGAMOTO,NDOMANA AKASEPESWA
Ewe mwenyez MUNGU tunazidi kukuomba enderea kumuongoza kumsimamia kumrinda na kuzidi kuimalisha afya yake raisi wetu
Rais wa wanyonge
Mungu Akujaalie baba Anaekupinga anayake Baba mwenye Maamuzi Magumu sijawahi ona Mi nakupenda tuu😍
Maghuful safi
Kweli Tz tulichelewa ila me naona ndo wakati sahihi huu wa kunyosha nchi yetu
Me hata ukipiga 20yrs sawa tu
It is you are great leader and for that I will always thank you.....but what about those with shops don't they deserve to do there business ?
Love u so much magufuli
Mm napendaga maamuzi yakooo tuuu. Wengi yanawashinda . Wee una akili ya ajabu Sana katika kutatua matatizo. Sijui wengine kwa nn wanashindwa.
mimi mkazi wa mlandizi yaani hilo tatizo lilikuwa shida sana
Tuna nafasi hii mungu ametupa watanzania tumutumie huyu raisi ni wa miaka 30 atutengenezee nchi jamani
Hawa watendaji mbunge na wengine woote wanamfanyia Rais kusudi ili wasimchague ili warudie wizi wao wa zamani sasa wanawafanyia wananchi kusudi Mungu anawaona wanachokifanya
@@ernestsinje9221 daaaah😪😢 ila mwenyezi Mungu azidi kumlaza pema peponi
Sijawahi kuona mtu mwenye hekima ya juu kama baba magufuli wa tanzania.mungu akuinue zaidi na zaidi
Walikuua Baba walijua uongozi wako ni wa haki wakakupoteza mapema walijua hakuna wakukushinda ungeweza kuongoza maisha yako yote hakuna mtu wakipawa kama chako wakukufikia
Hakika Mh.Rais unakazi kubwa!
Ila usivunjike moyo ubebe tu mzigo wetu.
Mheshimwa Rais wa jamuhuri wa mungano wa Tanzania tunakuomba ufike mkoa wa Tanga wilayani kilindi
daaah kwa kweli vitu vizur huwa havidum all the people remember that one we see you again the JPM
Hajaanza leo tokea waziri ni mtu wa kazi huyu ni baba Lao tanzania itabadilika sana
Naitwa Mary Thomas mu ngu akupe maisha marefu raisi wetu kazi unaifanya Sana
JPM for change yes we can
A good leader is always a good leader
Sijui nisemenini kwa RAIS MAGUFULI
Baadhi ya Watendaji wa rais hawana msaada
Wanao chafua sifa ya rais niwale ambao wanaochaguliwa nawanachi kishahatendi hki
Eti maguful hapendwi , naona wapinzan wamekosa cha kusema
Hapendwi kwenye akaunt za chadema
ni kama 0.1 percent ya watz! wengi ni ushabiki tu na kudanganywa!
Kweli
21qq
Good
Viongozi wa Mlandizi hawana mawazo ya maendeleo kuanzia mkuu wa wilaya, mkurugenzi hata Mbungu, ndio maana Mlandizi ni mji mkubwa ila hauna miundombinu ya kueleweka, soko bovu , stand mbovu barabara mbovu
Ndiyo MaanaWakakuondoaDuniani."tutakukumbukaDaina".
Mungu akulindae rais wetu tunakupenda
Asante sanaaaaaaaaa
Hata kama unahitaji msaada wa raisi lakini yeye in kama wewe ana cheo tu hana sifa ya uungu mungu hana mfano
Tulia ww usiogope. Mungu pia ni cheo.
Magufuli Baba Laoooo!!!!%%%@
Ivi huyu ndiye wanasema anawakandamizwa wanasiasa anawezejee kukubalika ndani ya watu wake wakati ni dikteta inabidi tuwe wakwel kesho Kunamoto jehanaamu tusiawaminishe uwongo watu wasiojuwa kupambanua mambo
Achana na hao kama hawawezi kumukubali magufuli akili zao muozooo
Jembe letu hiiiilooooh
Uyo mlinzi WA Rais kanenepa iyooooooo ivi anamlinda kweli Rais wetu uyo mbona anatutia mashaka
Jitahidi kujadili mambo ya maana ya kujenga na wala siyo kujadili maumbile ya watu.
@@fulgencendyamukama742 nakupnda bre kwa moyo wko msaf
Aaminina kukubali sana mheshiwa raisi magufuli
Mungu kwel umemuchukua mtetezi Wetu ? hakika kazi yako haina makosa
Daaah tutakukumbuka sana JPM
Hivi kweli mambo kama haya yatakwishaje bila kuwepo ujasiri wa ziada wa kuwasikiza?
Hakika mh Magufuli alikuwa kiongozi mzur sio kiongozi tu bali ni zaidi ya kiongozi bora sijawahi kuona.
Wewe ndo kiongozi unanyenyekea na kuheshimu Wananchi si kuwatunishia misuli na kujiproud kwa urais. Nakupenda baba
Mheshimiwa Raisi Maghufuli naomba ufike Moshi wilaya ya Rombo kijiji cha katangara. Wengi ni masikini hawana TV, walau wakuone na waongee yaliyo moyoni mwao
Umenifanya nicheke kwanguvu
Mheshimiwa Raisi walau wenye viti wa kijiji walipwe chochote. Mshahara wa kima cha chini. Miaka yote wanatumikia Taifa mpaka wamezeeka wakitumikia bila hata chupa ya maji. Wanashinda wakisuluhisha kesi nyingi na kulinda usalama wa kijiji. Wapewe chochote Kwaajili ya utumishi wao.
Nakukubali sana baba hongela
Thanx presendaaaaaaa
J.p.m Daina watanzania wantonge wanakukumbuka,pumzika kwa Amani Raisi wetu ,akika tunakuku kwa mazuri uliyotufanyia😭😭😭😭😭
Amri ya mungu Haina makosa😭😭😭😭😭
Punzika baba kazi yako bdo inaishi na mungu akupe punziko la milele
Safi sana
wangapi wananipenda
Upinzani wakaege wanapiga kelele tu na upumbavu wao wamekalia bla bla kila kukicha kuichafua serikali wanadhani watu watabadirika kuwafuata wao nonsense.
Mbona kero kila kona ajenge mifumo...one man show can't work nchi ni kubwa sanaaa
Duuu hiyosafi sana bado mbunge waandeni mjinisimuelewagi
Yanga daa afilika
May Magufuli continue resting in peace. Natamani Kenya tuwe na Kiongozi shujaa na mpenda watu kama hayati Buldozer.
God bless you my president rest in peace.
Our lovely magufuli may your soul continue resting in power daddy we miss you.
Watanzania wote navizazi vijavyo wainge utendaji kazi uliotukuka wa hayati Magufuli
Ahsante magufuri Allah akulinde akupe umri mrefu
yani u yu jamaa siku nikikutana naye kero ya Kwanza niyayule askari pale bendera Tatu ukipita bp anaitwa shabani ana kirava 4 chabluu mnyanyasaji ssana
Weye hukutani nae kwasababu hujatumwaa. Walipagwa tu
Huyu jamaa hajaeleza shida kaja kupiga kampeni
Gud saana jpm
I feel crying anytime watching bulldozer solving cases... rest in peace
raisi mchapa kazi
Nimekukubar brooo
Tutakukumbuka daima kipenzi chawa tanzania
Wewe ndo ulikuwa Rais wakwel namwenye mapenzi yakwel ambae ulikuwa unajua kusimama njian na kusalimian nawananch nandomaan ulikuwa unajua shida za wananch wako
Rest in peace baba 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Best President in Africa.
We still mourn you Our President
Yanga ihefu
Mama Salmin una nini lakin?
Ramadhan Steven sijui ana hari gan sasa hiv?
Atakuwa kazimia 🤣🤣🤣🤣
Kutumia mamlaka na hazina ya serikali vibaya kufanyia kampeini. Ange amrisha wizara husika kutekeleza haya. Nchi zilizoendelea haifanyiki hivi.
Leo nmemkumbuka ... shujaa
Big up Jpm
Ni kosa kusema kumuona fulani kama nimemuona mungu, hata awe nani
Nakupenda magu yani ww baba lao
magufuli ww nitosha kabisa karibu kenya tukupatie uraise mbaka Kenya tunakupenda sana
mlandiz hawaogopi ila,chalinze ukabil,Mwingi!mm kama mm mbuge wetu simuelewagi kbc
Waooooo so nice
Huyu bodyguard wa Magu kawa na kitambii, Sasa unavyokusanya watu hivyo watajikinga na corona kweli
Yani hadi nimemsahau
My president until 2025. Rip JPM
Dunia muzima hakuna president kama magufuli
Sawaaa baba mwenye maamuzi magumu tunaomba ufike katika eneo la Arusha national Park utatue matatizo ya wananchi
Fika na mwenge magufuli wetu
Huyu ndio rais aliechaguliwa na mungu tukafata watanzania mungu mpe nguvu na uzima amen
Nyie mnao'dislike ndo nyie wenye rohombaya mnaopenda kuona wenzenu wanasumbuliwa na wanaendelea kuteseka kwa uonevu.
Rayvan zuwena
Vizuri
Mheshimiwa raisi naomba ufike na mkoa Wa Singida wilaya ya manyoni barabara ya itigi kama unaerekea mbeya.mheshimiwa raisi kule wananchi wana nyanyasika sn na apajawahi fika kiongozi yeyote kule. Naomba mheshimiwa ufike utusaidie
Askari wanestuka😂😂😂
Hiyo ndo nguvu ya Rais
Kahawa maguful
Usajiri wa young
Magufuli mngu akibariki kwa kazi nzur
wakati mwingine mimi utazama uamuzi wako nabaki machozi ikitiririka tu uku kenya ni shida tupu
Kweli kabixa l love u maguvuli mm nko Kenya enyewe we nkaa mungu
😭😭
Kahawa
Yes
Natamani kenya tungekua na rais kama Dr Magufuli
Mungu nimkubwa
Sana magufuri
Duu kaka imejitoea hongera sana
Napumzisha moyo Asia utama