RAIS MAGUFULI AMPA MAKAVU LAIVU WAZIRI MKUU MAJALIWA - "SIJASEMA UTAKUWA WAZIRI KWA MIAKA 5".....
HTML-код
- Опубликовано: 15 ноя 2020
- RAIS MAGUFULI AMPA MAKAVU LAIVU WAZIRI MKUU MAJALIWA - "SIJASEMA UTAKUWA WAZIRI KWA MIAKA 5".....
RAIS Dkt John Pombe Magufuli, leo Novemba 16, amewaapisha Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Dkt Philip Mpango na waziri wa Mambo ya nje, Profesa Palamagamba Kabudi...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 739 750 910)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u6Dk3QxRsVCJ7kW2e
😂😂😂
Hapo kazi tu.
Mheshimiwa Rais Magufuli hongera kwa kutoa Ukweli wako..
Kazi kubwa unayo Mheshimiwa waziri mkuu.
Mwenyezi Mungu atakuongoza usiwe na hofu..
Kama umesikia lowasa katanjwa na Raisi magufuli gonga like nyingi kwangu
Nimejifunza kitu... Kazi na urafiki havikai pamoja
Mungu aiweke mahari pema ww urikuwa mwamba
My og president Magufuli miss you so much
Mwaka 2024 lakin bado nakuangalia JPM. Rest In Paradise
Dah....!!!uncle kweli hatabiriki na Hana urafiki kwenye kazi &hajizuii kuzungumza anacho kiamini hata Kama wengine hawapo tayari kukipokea ili mradi ni sahihi.
Unasema rafiki yy hata mkewe alikuwa anamsema
Safi sana walobahatika Waziri Mkuu nawapongeza Sumaye wakwetu Manyara umedumu miaka kumi Hapa ni miaka ya mavuno awamu ya tano Tz Mpya ya Dr JPM imebarikiwa kwa pamoja tusonge mbele HAPA KAZI TU
Nakupenda sana Mh. Rais, Jpm ndio kila kitu. Tunakuombea na nchi utaisaidia kusonga mbele.
Ubarikiwe baba nakupenda sanaaa
Mungu akupe pumziko lenye heri huko MBINGUNI.TUTAONANA BAADAYE.NIMEMISS UTENDAJI WAKO MAHIRI.
Yani apo akuna ukingunge wakujifanyizia ukingunge, kula kwenu mazima apa ni demokresi, ishi maisha yako the pari over here
Care uncle love so much
Safiiiiiiiiiii best one
Huyu ndo Rais wangu
Mmmm sawa
Ninacho kupendea raisi wangu wew ni mkweli unawambia watu Ukweli nakukubali Sana JPM 👍🏼👍🏼
Vijana wa jkt
Hyo ndo alikuwa kiongozi nchi hii
Aaaaaa alieleza ukweli sana Magu tunakukumbuka sana viongozi wengine wanaona wao Ni wao
Da jembe liko kazini kila siku ikilima natarajia mavuno Tutakalo vuma baaada ya miaka tano lijalo ni makubwa sana na maisha tatakuwa ni raha tu baada ya miundo binu zote kukamilika
Enzi hizi ulikuwa ukiteuliwa unajua cheo ni dhamana na unakinyenyekea lakini Leo? Toa comment yako chini
We caming from the high lands on a Bus of we never right Daar every the police STOP as . I asking wat nou. Is there a problem of the Bus . I not see the police cam to the problem. The condator gou out whiff close hands when she cam back hire hand in open. I asking hir what nou on this matter of the police. The people in the Bus talk to me . Tanzania is back . Hou you can tack Tanzania forward. Think cappel years bag . Think of now voting 🤔🤔
Rais Magufuli ampa makavu majaliwa
Laisi Magufuli ampa makavu majaliwa
Vizuri havidum mwenyez mungu uilaze roho ya Mareham babaet mahala pema peponi😂😂
Dahhhhh
R I P UNCLE
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI.
apo unamanisha nin
Tunamkumbuka sana
6:40
Hiki cheo alikua anataka kumpa mtu wa kanda ya ziwa lakini hakufanikiwa mara huyo kaitwa kwa Allah akaitika wito wake bado mm na wewe kuitwa tu..!
Duh Magufuri ilikuwa kichwa nyingine kabisa
Mmmh
26/2/2023.😭😭😭 RAIS WETU kipenzi UMETUACHA NJIA panda.2025,nipo tayar kuipigia kula KABURI lako.labda Majaliwa huyo akiteuliwa KUGOMBEA Urais.
Hapa kazitu pumzika babayetu Sasa msemo ulisha badilika Sasa uwizi uendereee Sasa mpaka asikali niwezi takukuru nao huwaoni raiya ushuru mdogo tunafungi ilawao wanaiba matiliyoni haya takukuru hawahojiwi nishida sasa ulisema tutamkumbuka nikweli tumekukumbuka
Mzee alikuwa mwamba sana
Duh
Kweli hayo Makavu live.
Huyu Mbaba Hana Urafiki Na mtu Hataki Utani Na Mtu
Rais
Mzee mpaka utoke marakani tutatambaa manaake haitaki mchezo mchezo na hiyo ndio kuwajibika
Hahah.....!!!!Dah...!!!kwel uncle hatabiliki Hana urafiki kwenye kazi
Mmm
Mtengue majaliwa,2025 tumpe Nchi
Mmmmuh!
Hatutakuona Tena maneno yako yanaishi
Ukweli unaomezwa kiuchungu
Huyo ndo rais hatabiriki kwa vyovyote nikwere kweche bbk
Hapo alitakua kumtumbua majaliwa alikua anatafuta upenyo
Ndio ilikua kusudio lake amlete msukuma au mhaya 😅😅😅
WAZIRI MKUU MAJALIWA,CHUNGA MAGUFULI HAELEWEKI
Nakuombea khasim utumikie Miaka 20
Ilikuwa sawasawa kweli?
Hapepesagi
JPM JPM JPM PUMZIKA KWA AMANI MZEE.
Munguwaraze. Maharapeemapeponi
Ngumu kumezahiyo
skupend we mbaba
Humpend kwa nn
na sio lazima umpende wew kaa na chuki zako
Kwann
Wewe anakupenda nani mbwa wewe
Mpumbavu tu
wazili muku
Kweli kabisa ningetamani Sana tukifikia hapa ukwel mtupu baba
ila hili jembe tulipoteza chuma
Nin maana ta tai nyekndu
Rais Magufuli ampa makavu majaliwa
Rais Magufuli ampa makavu majaliwa