Waliofunika kwa namba 1. P Mawenge (Kwa sababu anaflow kali, vocal kali na Punch kali pia hana sifa za hiyo mistari ya kicomedy lakini ukimsikia lazima utacheka na kufurahi pia utajifunza na ujumbe wake hufika sawia kabisa) 2. Moni Centrozone ( Ana sifa inayokaribiana na Pmawenge ila kikubwa anapochana kwenye Bum Bap anakuwaga wa tofauti sana) 3. Nacha( Ana sifa ya mistari ya kicommedy na kudeliver ujumbe fulani hivi) 4. Manengo(Mistari ya kiComedy ni mingi kuliko Content, nimeishia kucheka au umeniburudisha lakini sijajifunza kitu. Ila sio mbaya kwa kuwa umenifurahisha pia naongeza siku za kuishi) 5. Stamina(Umewapa watoto ujinga wa mistari ya kicommedy sana kuliko content, ila pia hiyo mistari ina raha yake sio mibaya mwanangu STAMINA. Nakukubali sana kaka unatisha. Pia unazo ngoma zako za ujumbe na mafunzo ikiwemo ile uliyo fanya na Proffesor jay na zingine za zamani) EXTRA-(Heshima pia ziende kwa #nuhmziwanda kwa Chorus Kali. Kiujumla woote mmeua kwa aina ya mistari yenu hakuna aliyekuwa na mistari mibaya humo.
Anaitwa Manengo hatari mtu huyu pumzi hazikati kama straika wa tukuyu .....Nacha kaua ila Mawenge kaua zaidi Legend Roma kaset standard ya juu alafu sasa mwanangu wa majengo sokoni duuuuh we yani asilimia mia kwa mia hauna mpinzani kwa hii manengo Asante kwa hitsong
Hahahahahahaha hii ndiyo Tanzania... Aiseee nimejikuta nacheka kwa furaha.. daah hii ngoma kali kupita maelezo. Nahene bhabha Manengo, natogwa sana lyembo lya wiza nkoyi.
Nawaona matozi jumapili wako na denga tu kidimbwiiiii, ndoo ya barafu hennesy mmja coca nying...UNAHISI WANA WAMEKUTENGA NA UMESHARE NAO MADESA NIGGA, HAWAJAKUTENGA WANASUBIRI UPATE PESA NIGGA...🤝
Kila wakiskia NACHA 🔥🔥🔥
Wapi likes za Nyasubi
Bandle ni moto wa kiotea mbali
Muhindi anamawazo🦻🏼🎶🎶
Mziwanda korasi umeinyosha sana
Sitaki mechi na vibonde Dimba la kati la kwangu MUKOKO TONOMBE
watu wa Yanga tuishinayo hii 💚💚💛💛
majengo sokoni 👏🏻
Stamina na nyi daaa. Munatisha sana
Ila mawenge jmaaa
P mawenge 💪💪💪💪💥💥💥💥💥
Walio chizika Na verse ya MONI CENTROZONE GONGA LIKE HAPAAAAAA
Yupo tangu watu wameolewa na king konk
Hip hop ni juu
pmawenge baba unajua 🔥🔥🔥
Ndoo ya barafu henessy 1
Coca nyingiii😁😁👊
Daaa Hili Song La moto sanaa ,Ivi nani kwanza anaangalia video huku anasoma comment Tujuane Haraka aisee
Iddy munyamwez apa man👊
Na Nina mkubar xana p mawenge Ogg 💪
@@iddyismaily4914 Nakubali man
Nalikubali pia
Nom san
P the Mc yuko level tofauti🔥🔥😍 kama unaiubali gonga like ukipita
BONGE LA PUMBU WANANGU YAANII 💥💥💥💥💥💥💥💥 ILA MONI CENTROZONE KACHIIIIINJAAAAAAAAAAA
Kama umekubali p mawenge nionee like yako
Hennesy moja coca nyingiii😀😀😀
P mawenge kaua track
kama richard munduri na mradi wa richmond dondosha like za @moni centrozone hapa
Ngone💯💯💯
Ni mimi tu ndo narudiarudia verse ya P Mawenge? 🔥🔥🔥🔥🔥
Tupo wengi
Tupo weng
Mm pia
Mawenge kaua sana
Huyu Mwamba ni hatari sana mzee
❤❤moni centrozone hatari balaa
Waliofunika kwa namba
1. P Mawenge (Kwa sababu anaflow kali, vocal kali na Punch kali pia hana sifa za hiyo mistari ya kicomedy lakini ukimsikia lazima utacheka na kufurahi pia utajifunza na ujumbe wake hufika sawia kabisa)
2. Moni Centrozone ( Ana sifa inayokaribiana na Pmawenge ila kikubwa anapochana kwenye Bum Bap anakuwaga wa tofauti sana)
3. Nacha( Ana sifa ya mistari ya kicommedy na kudeliver ujumbe fulani hivi)
4. Manengo(Mistari ya kiComedy ni mingi kuliko Content, nimeishia kucheka au umeniburudisha lakini sijajifunza kitu. Ila sio mbaya kwa kuwa umenifurahisha pia naongeza siku za kuishi)
5. Stamina(Umewapa watoto ujinga wa mistari ya kicommedy sana kuliko content, ila pia hiyo mistari ina raha yake sio mibaya mwanangu STAMINA. Nakukubali sana kaka unatisha. Pia unazo ngoma zako za ujumbe na mafunzo ikiwemo ile uliyo fanya na Proffesor jay na zingine za zamani)
EXTRA-(Heshima pia ziende kwa #nuhmziwanda kwa Chorus Kali.
Kiujumla woote mmeua kwa aina ya mistari yenu hakuna aliyekuwa na mistari mibaya humo.
Msikilize TN stamina Kwa makini
Ujamuelewa kwa umakin stamina rudia ten vizuri
Nataka Dem wa Tz naezapata huku
Napika walimwengu na mboga dagaa mchele ivi ninani apo kapita ivyo majibu tafazali💥💥💥💥
Hapa hakuna aliyefunikwa wote wakali japo... Like twende mbele
Maweng3ee🔥🔥🔥💥
Mmeua wakali🔥🔥🔥
Moni hiyo sauti balaaaaaah (indodomya)
Central Zone, Unahisi wana wamekutenga na ulishare nao madesa, Hawaja kutenga wanasubiri upate Pesa....... noma sana
Simuoni Bagdady humu jmaniiiii
Nilidhan n macho yangu tu ndo hayajamuona
Nacha and stamina you are rocking❤
Hawa wote mafundiii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mwanetu moni unatubeba centra zone! we proud of u
Nawapeleka toy kuwakatisha magogo
Un enfant nande du Kivu 🇨🇩 FT un enfant de tabu ley depuis Tanzanie🇨🇩🇹🇿
Humu kawakalisha majengo sokoni 🔥🔥🔥
Anaitwa Manengo hatari mtu huyu,🇰🇪
P Mawenge💪💪💪
nengo mwanza mwanza✊
Anaitwa Manengo hatari mtu huyu pumzi hazikati kama straika wa tukuyu .....Nacha kaua ila Mawenge kaua zaidi Legend Roma kaset standard ya juu alafu sasa mwanangu wa majengo sokoni duuuuh we yani asilimia mia kwa mia hauna mpinzani kwa hii manengo Asante kwa hitsong
We need another one of 2023 from this crew❤
The beats tu wueh 🔥 🔥 🔥
My boy Nacha n mr bonventure
Hatariii
Hapa ni punchlines tupu 🔥🔥🔥🔥 na hii ni warm up tu
Nmeikubali ✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️ kinomaaaaaaa
Ukweli nikwamba *MONI CENTROZONE* Kawaumiza wenzake humo ndani 😂😂😂😂😂😂😂😂 Ndoo ya barafu Herynesy moja Coca nyingiiiiiiiiiiiiiii 😂😂😂
Oi oi .. dah kidogo tu stamina acheze shaku shaku😁😁
Sana wanangu presoo ni Ile ile 💪👊👊
Kama ninge kuwa mimi ningempa tuzo Manengo,Nini alifikiria kuwapa collabo hao wana,then wakaua kweli 💪💪💪
🎉🎉moni centrozone
Hom Boy Manengo hapa tushatoboa mwamba, wengi tunaishi tegeta nyuki ila hatujui utamu wa asali.
Ngoma Kali san
*Tulioisubiri VERSE ya BAGHDAD bila mafanikio tuombeane kwa MUNGU tu* 😥😥😥😥😥😥 sema ngoma iko 🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪💪💪💪 amekosa na *DIZASTA VINA* iwe matanga
P Mawenge kawaonea sana madogo 😀😀😀😀
Hassynary toka mwsnza nimekubari kaka hongera sana
More love nengo kuwaleta hawa jamaa pamoja
Hennessey moja coca nyingiiiiii😂
Wamemchokoza bea😀😀😀
Nacha is killin in, “Muhind anachachawa namuua Fernabache nampa Basel!!”
nyasubi ndani ya mbanyu. hatar sana uyu mwamba
Mimi naupiga kila saa
Wengeeeeeeeee wakisikia Nachaaaaaaaaaaaaaa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 mkumbuke hii ni *Warm up tu sio Mechi*
Mawengeeeee
Mohdy kutoka 254,naikubali bongo hip hop
Na hii ni warm up tu!!Kenya mpo wapi ama mnanyamba tu!
Yuko professor j jamani angezidi kulipamba hli goma
M ni papa mobimba elsaadath kama nyoshi,hua napitaga arusha nikienda na gari moshi🔥🔥
Hatari huyu mtu💪💪💪💪🔥🔥🔥
Ndo ya barafuu hennessy moja coca nyingiii😂🔥🔥moni centozone
MALUME UMEUWA
Bado #pmawengeee kafunika wooote nyie. Mawengeeee ni moto wa kuotea mbali.
Nyimbo INA choma kwahakiiiii
mawenge umepita kama goma lako iviii
Oyaaa mzee ft Jaivah & Frida amani
Damn it,hiyo kitu ni hatari p mawenge, Moni centrozone
Nakuani sans broo
Hip kaz Nakubali wahuni kazin
Kuna marapa Bora halafu Kuna p mawenge 🙌🙌🙌🙌🙌
mbati Kali zaidi ya kawaida
Hahahahahahaha hii ndiyo Tanzania... Aiseee nimejikuta nacheka kwa furaha.. daah hii ngoma kali kupita maelezo. Nahene bhabha Manengo, natogwa sana lyembo lya wiza nkoyi.
Ebwana stamina wemtu atalii
Nacha mnomaa Sanaa umepita🔥🔥🙌🙌
Hawajamaa wamekill hii beat asee Stamina, P Mawenge & Nacha kaunakubali twende na hizi ✓✓✓✓✓✓
nengo kawaua kabisa
Manengo hatajwi ila mitaa ndio inamtaja...
Mawenge na moni centrozone wameua balaa
Mawenge❤
“Nawa ona matozi kidimbwi, Ndoo ya barafu, Hennessy 1, Coca nyingiiii” 😁 - M Centrozone
🤙🏻✔️💯💯💯✨️✨️✨️✨️✨️✨️
Sitaki mechi na vibonde 🔥🔥🔥🔥
Nyasubi kahama ndo kwetu respect kaka nacha popote ulipo tupo Kaka natamanigi Sana nikutane naww nacha nakukubali Sana 🤜🤛
Hamna kitu kabisa
ndio iyo mwanangu """ Upo tu sahihi #MajengoSokonCrew#malume
Bloody of bloody salute NACHA💪💪💪
@Kingmapesah yes buanaa
hapa kakosekana Mr Blue Simba mwenyewe
Jamaa ukweli usemwe majengo sokoni aka centrozone kaua🔥🔥🔥🔥
Moni kaumiza sana kwenye hii Colabo
Nawaona matozi jumapili wako na denga tu kidimbwiiiii, ndoo ya barafu hennesy mmja coca nying...UNAHISI WANA WAMEKUTENGA NA UMESHARE NAO MADESA NIGGA, HAWAJAKUTENGA WANASUBIRI UPATE PESA NIGGA...🤝
Uyu p Mawenge anabalaa sana
Daima me ni mbele tu...💪💪
Vichwa vimekutanaa ni hatriii
Goma litaishi sana wajanja tunaelewa
p mawenge
Umu namba1
nacha2
Stamina wameuwa