Manengo Ft Stamina & Mr blue - Bomba ipepee (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 355

  • @husseindatto8359
    @husseindatto8359 4 года назад +2

    Naombeni like

  • @zezenature
    @zezenature 5 лет назад +67

    mko na bahati saaana Mr Blue hajachana hpo ndani cz mgefunikwa vinoma...love from 254

    • @datikazumari515
      @datikazumari515 5 лет назад +2

      Zeze Nature kweli kabisa

    • @sultanhassan7928
      @sultanhassan7928 4 года назад +1

      Hamna wewe...unamtambua stamina unamjua

    • @brianescobar6578
      @brianescobar6578 3 года назад +2

      Punchline ni manengo
      flow ni stamina
      enjoy the good music acheni comparison za kisenge

    • @zezenature
      @zezenature 3 года назад

      @@sultanhassan7928 namkubali pia bt byser ndio msee wa hardcore Sana kuliko yeye

    • @zezenature
      @zezenature 3 года назад

      @@brianescobar6578 umetuambia fikra zako nawe pia....acha tuwe huru

  • @dishangib
    @dishangib Год назад +1

    Banger Hit Noma Sana Hatari Sana Aiseeee Noma Sana Nakubali Aiseeee Noma Sana 🔈🔉🔊🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @mathewsephraim7425
    @mathewsephraim7425 5 лет назад +17

    Ngoma kali aseeeeeeee
    Ira huyu manengo ndio kwanza gonga like km umeielewA
    Bomba ipepee

  • @anasio-h7i
    @anasio-h7i 2 месяца назад +1

    Hataukienda Mozambique watakuambia kua nauza chai ya rangi 😂😂 atari sana

  • @kevincray5591
    @kevincray5591 5 лет назад +14

    rock city similiki demu similiki shem💥💥💥✍✍✍dogo unaandika sana utawauwa

  • @Ishengoma1
    @Ishengoma1 5 лет назад +1

    Jamaa anavyo itamka bodaaaaah dah!

  • @tomplexbrigedier2282
    @tomplexbrigedier2282 5 лет назад +4

    Pole sana mnafiki Mr yuda mbele angu huwezi tamba"
    Naona unapoteza muda kama mshenga wa dogo janja"
    Bba lao jeshi la watu wafupi heshima Sana

  • @musaally5493
    @musaally5493 5 лет назад +17

    Manengo nakukubali sanaa hyo umeua zaid ya kwa mbinde salute kwa wanaa mkuyun mwanza @Jimmy tz adolf beat

  • @christophersoty101
    @christophersoty101 5 лет назад +21

    😂😂😂😂😂Amenikimbia MWANZA kaenda TABORA kaliwa
    wapi like za @MANENGO

  • @shozylamparboom8393
    @shozylamparboom8393 5 лет назад +5

    wazee wa doria Tujuane hapaaa...Team Hip hop no bana bana pua na vidole juu hapa

  • @BONGO_FILAMU
    @BONGO_FILAMU 5 лет назад +18

    Nani kagundua ngoma Kali... Kabla hujamsikia Blue na stamina

  • @tgeofrey
    @tgeofrey 3 года назад +1

    Shikamoo Manengo, Stamina, Mr Blue

  • @amolove_tzamolove_tz9655
    @amolove_tzamolove_tz9655 5 лет назад

    Wewewewewe!! Naona mmepenya kisa mkali weni kaimba coras ila mmetishaaaaaaaa maan na mm nikilalaliaga MTO huwa na.......

  • @hmatta3024
    @hmatta3024 5 лет назад +76

    Unapoteza muda kama mshenga wa dogo janja 😂😂 like kwa stamina

  • @listerboyka2672
    @listerboyka2672 5 лет назад +4

    Nipo Bar nakunywa Pombe Magufuli 😂🔥🔥

  • @witnessanga3670
    @witnessanga3670 5 лет назад +2

    Bonge moj la ngom manengo sio poa

  • @ayubauyb1233
    @ayubauyb1233 5 лет назад +3

    Bonnge la bitiiiii

  • @ramadhanminani314
    @ramadhanminani314 4 года назад

    yani mmeuwa kinoma kabisa iyi nyimbo kali kiukweli hip pop halisi

  • @daprinceonit909
    @daprinceonit909 5 лет назад

    Yani me nimtam mpaka nandi Ali niomba Nim nogeshe. Kauli mbiu. Blue Nika subiri rap yake aaah ingekua kamili au sio. Bomba ipepee. Pika like ukienda kwani iko nini

  • @emanuelmwakibuja4598
    @emanuelmwakibuja4598 4 года назад +1

    Daaa mistar babkubwa big Sana stamina manengo na Mr blue mnanifanya nienjoy hip-hop stand-up

  • @marjanmahrez5465
    @marjanmahrez5465 5 лет назад +1

    Manengo pamoja sana ngoma kali

  • @abdulrahmanomar6963
    @abdulrahmanomar6963 5 лет назад +2

    Mzee baba hatari fire 🔥🔥🔥yaani moto we gas......"

  • @sefusai5334
    @sefusai5334 4 года назад

    Niko bar nakunywa pombe magufuli😎😎😎😎😎manengo

  • @rajabumatuwira8792
    @rajabumatuwira8792 5 лет назад +4

    "wambieni watabiri wa ndoto mi hiz ndoto znanionea, maana nkilala na mto huwa naotaga naogelea, na ununda wangu wote cjawahi kwenda segerea, gheto navuta subira kuliko poda na mmea"

  • @kadaawizaa5588
    @kadaawizaa5588 5 лет назад +1

    XAFII Xanaa Mr Blue imeweze Hawatosh wanaingaa # wasafii

  • @johnsonmarick45
    @johnsonmarick45 5 лет назад +1

    Stamina umetisha kama kawaaa

  • @barnicoztv491
    @barnicoztv491 5 лет назад +1

    bonge la ngoma hili

  • @madraxnative1303
    @madraxnative1303 5 лет назад +4

    Mziki wa bongo jitaid kuwa na easy name bro...huoni kinachowaghalimu watt wa kiba wote majina yao yamekuwa mazito kwa mashabiki

  • @mkapaliberatus3636
    @mkapaliberatus3636 5 лет назад

    Noma sana an hapo mmekutana wote mnajua kaz

  • @abduljumbetfujujgfypuujjiu7472
    @abduljumbetfujujgfypuujjiu7472 5 лет назад +10

    Rock city iz in the house..raphael manengo ngoma kali umeuwa

  • @abubakaryngajima1341
    @abubakaryngajima1341 5 лет назад +1

    Sema nyiny mmekosea hpo kuhusu ucmba na uyanga mnapunguza mashabiki

  • @kibwamoko8767
    @kibwamoko8767 5 лет назад +1

    ni noooma manengo, stamina wote mmekaza. Ila manengo unakuja vizuri sana.

  • @HabilyTech
    @HabilyTech 5 лет назад +28

    Moro stand up say STAMINA 💥💥💥💥💥💥

  • @afrotrending9037
    @afrotrending9037 5 лет назад +1

    Nimeelewa kaz

  • @sadcommpalestina516
    @sadcommpalestina516 5 лет назад +1

    wambien watabir wa ndoto, izi ndoto mimi zinanione mana nikilalaga na mto naota naogelea

  • @ibrahimndelwa673
    @ibrahimndelwa673 5 лет назад +2

    Bahati yenu Mr.Blue hajachana...angewaKill wote🔥🔥

  • @mathiasmkude362
    @mathiasmkude362 5 лет назад +7

    Kiukweli stamina unakipaji unajua nini unafanya kazi nzuri sana

  • @jeffchurum1431
    @jeffchurum1431 5 лет назад +10

    Hip hop irudi. Love from 254

  • @harrismalone2316
    @harrismalone2316 4 года назад

    Nakubal boi unajua xana

  • @KuppeBurrows
    @KuppeBurrows 5 лет назад

    sina dem sina Shem ##na ukiona najichua jua namaumivu sehem##

  • @hajjichibu8117
    @hajjichibu8117 5 лет назад +3

    kali mr blue no nooooooooma big up gonga like kama una mkubali mr blue😍😘

  • @daudiluhaga4594
    @daudiluhaga4594 5 лет назад +1

    huyu jamaa anajua sana, manengoooo

  • @yussufyeezyunclejoe2462
    @yussufyeezyunclejoe2462 5 лет назад

    Blue wazimu katika chorus..STAMINA DAMN BRO OF CAUSE tuna vichwa viwili..

  • @kizingahamimu5577
    @kizingahamimu5577 5 лет назад

    Umetisha iii ngoma makini sana

  • @francisleonardkusekwa5754
    @francisleonardkusekwa5754 5 лет назад

    Hahahaa, ukiniona najichua ujue namaumivu sehemu!!!

  • @youngtaiz8359
    @youngtaiz8359 5 лет назад

    mwanangu manengo umenyooshaaaaa

  • @shanizyusuf8210
    @shanizyusuf8210 5 лет назад

    Stamina vichwa viwili😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃nyinyi watu atarii

  • @shanizyusuf8210
    @shanizyusuf8210 5 лет назад

    Ukiona najichua jua nina maumivu sehemu😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃noma sanaaa

  • @alexdanis7478
    @alexdanis7478 5 лет назад +1

    Stamina ni mkali wao 👊💯💯

  • @habarimtaani2254
    @habarimtaani2254 5 лет назад +9

    Ukiona natingisha kichwa angalia na Nazipu mana nina vichwa viwili ninavyotumia
    Nimecomment tena jamanii😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @KuppeBurrows
    @KuppeBurrows 5 лет назад +1

    Yan manengo kaza killer mchumba

  • @mkubwasolo1874
    @mkubwasolo1874 5 лет назад +1

    Pamoja boy!!!👍👍👍

  • @خسنموس
    @خسنموس 5 лет назад

    Manengo umeuwa nmekuelewa sana umechana hatari stamina ukona maneno wewe...

  • @alexsadala4059
    @alexsadala4059 5 лет назад +1

    nitaendesha ata garilaya

  • @ibramuramadhani8769
    @ibramuramadhani8769 3 года назад

    Nomaaaa

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 5 лет назад +1

    Wakalingwa wamepatana kwa beat kali..... Much love from +974 🇶🇦 🇶🇦 🇶🇦

  • @paulnchanjiwa8669
    @paulnchanjiwa8669 5 лет назад

    Nauza chai y rangi ubungo maziwa like kwa manengo

  • @rainzaskatenga5643
    @rainzaskatenga5643 4 года назад

    Big up full time

  • @alexmerck2568
    @alexmerck2568 5 лет назад +2

    sitamina nakuaminia kinoma sauti yakibabe mistari unajua kuchana💪👆👆👆👆👆👆👆👆🗣

  • @hassanngea8430
    @hassanngea8430 5 лет назад

    Big up sana mmetisha mbaya humu

  • @neemabeib5472
    @neemabeib5472 5 лет назад +6

    from +254 i rly love tha song ...viva mr blue n stamina

  • @anordjosphatmasenemangosha1565
    @anordjosphatmasenemangosha1565 5 лет назад

    daaaaaaaaaaa ngoma kal sanaaaaaaa MANENGO

  • @mosesmhina9980
    @mosesmhina9980 5 лет назад

    Mmesimama sana maninja kwenye hichi kichupa

  • @deebrown7908
    @deebrown7908 5 лет назад +1

    Weka like hapo

  • @bujiboytz4650
    @bujiboytz4650 5 лет назад +2

    "Nipo Kenya napewa papajones na kaligraph". Manengo

  • @salimkombo7119
    @salimkombo7119 2 года назад

    Uko juu mwanangu stamina

  • @domydocta.
    @domydocta. 5 лет назад +1

    Ngoma kali sanaaaaaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @manothotz813
    @manothotz813 3 года назад

    Mistali imetulia kweli kweli

  • @semenihassan7920
    @semenihassan7920 5 лет назад

    Unaweza kufa na kiu hata kama unakaa Ubungo maji. Noma sana

  • @dauddismas1898
    @dauddismas1898 5 лет назад +10

    Wap like kwa ngoma kali kutoka kwa manengo Tz

  • @damsafir2576
    @damsafir2576 5 лет назад +2

    Style iyo mzaz utamfunika young killer 🔥🔥

  • @rajabubisusa3470
    @rajabubisusa3470 5 лет назад +1

    hii ni moja kubwa💪💪💪💪💪💪💪💪💪

  • @silassteven9682
    @silassteven9682 5 лет назад

    Hii ngoma kaliii kinyama

  • @robsondalink6206
    @robsondalink6206 5 лет назад

    E bhna e ukiwa unajua unajua tu hii chuma nyngn jo, mwisho tunasemaga ukiona natingisha kichwa bax angalia na zipu maan na vichwa viwil #STAMINA

  • @richardmajula7488
    @richardmajula7488 4 года назад

    Ukiniona Natingisha Kichwa Nicheki Na Zipu Maana Nina Vichwa Viwili Navyotumia Haaahaa 🔥🔥🔥😀😀

  • @afterx3172
    @afterx3172 5 лет назад +1

    NGOMA KALI , FLOW HATARI

  • @pedrorachide6932
    @pedrorachide6932 5 лет назад

    Mozambik 2nakumis sana Brow unaweza sana.

  • @miturhy.v115
    @miturhy.v115 5 лет назад

    Staminaaaaaaaa...........stamina kweli kaua

  • @rockgenic3901
    @rockgenic3901 5 лет назад +6

    manengo umeuwa Sana aldof sasa amekuwa

  • @aziziwailu7531
    @aziziwailu7531 2 года назад

    Nomaa saanaaaaa

  • @tuyizereghadi1619
    @tuyizereghadi1619 5 лет назад +9

    stamina knew he violated the language when he said eti nina vichwa 2 😂😂 he almost lost his character 😂😂

  • @mwandegeplaza6504
    @mwandegeplaza6504 5 лет назад

    Ngoma kali saaana

  • @famitoissanawanda7011
    @famitoissanawanda7011 5 лет назад

    Kweli kaka ngumu kumeza

  • @fatmahamisy4912
    @fatmahamisy4912 5 лет назад +2

    Manengo 😷😷🙌🙌🙌

  • @madamcolethaa641
    @madamcolethaa641 5 лет назад +1

    Nakuona Rafael Charles mjukuu wamanengo

  • @aixhajumaa6362
    @aixhajumaa6362 5 лет назад

    mnauza k wakati mwanza ziwa ni bure nomaaaa sana

  • @yusuffabian4773
    @yusuffabian4773 4 года назад

    rock town nakbali wanangu

  • @habarimtaani2254
    @habarimtaani2254 5 лет назад

    Piga keleleeeeeeeeeeeeeee😀😀
    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mtaalamwamambo2099
    @mtaalamwamambo2099 5 лет назад

    Hatareeeee fayaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @MK-xw7zr
    @MK-xw7zr 5 лет назад

    Sana bro

  • @machimulubinza5646
    @machimulubinza5646 4 года назад

    Nmeipenda manengo

  • @djratigan7280
    @djratigan7280 5 лет назад

    Touch touch touch!!

  • @kelvinpatrick886
    @kelvinpatrick886 5 лет назад

    Ngoma kali nakubali 👍👍💝

  • @rodgersgingila9367
    @rodgersgingila9367 5 лет назад

    babylon angechana mngekimbia bora kaimba chorus... mzee wa kuwafunika

  • @aloycemagogwa1203
    @aloycemagogwa1203 4 года назад

    Aliyesikia tabora kaliua gonga like tuendelee ✌️

  • @dicksonisakwe3063
    @dicksonisakwe3063 5 лет назад +7

    Aliyeshirikishwa katisha kuliko mwenye wimbo,,,,,maoni yang lkn##stamina

  • @tonycousin423
    @tonycousin423 5 лет назад

    Go maniga let's get it

  • @leonizroque9874
    @leonizroque9874 5 лет назад +1

    Kenya tuko tuned🔥🔥🔥🔥hot banger💣💣💣

  • @mkapaliberatus3636
    @mkapaliberatus3636 5 лет назад

    Wacha bomba ipeeeeee woyooooooo