🔴LIVE: MKUTANO WA CHADEMA SUMBAWANGA , MBOWE ,HECHE WATEMA CHECHE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 65

  • @abdallahngola
    @abdallahngola Год назад +2

    Mbowe mungu akubaliki sanaaaa uwendelee kuipigania Tanzania tupo gizani kwasasa

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 Год назад +2

    Hongereni makamanda wacdm mungu awapehekimazaidi ili tupate hakisawa kwakila mtz hakakakundi kawatawala wenyedhulma tukisimama nakujizatiti kesho aukeshokutwa katafutika malamoja twendenikwapamoja watzwote tuamke tuache kushabikia maovu yamaccm

  • @IssaMeragi
    @IssaMeragi 7 месяцев назад

    ❤ Sana congratulations all all leaders of chadema

  • @eliajimmy95
    @eliajimmy95 Год назад +3

    Asante Mbowe

  • @princeriwa4000
    @princeriwa4000 Год назад +4

    People's power
    Chadema baba lao

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 Год назад

    Asante sana barikiwa

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat Год назад

    Tunawasikiliza sana

  • @FridayEnos-rg7dc
    @FridayEnos-rg7dc 11 месяцев назад

    Xawa kamanda

  • @innocentbernard9912
    @innocentbernard9912 Год назад

    ❤❤❤❤

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 Год назад

    ✌✌✌Best

  • @naftalimhemi4163
    @naftalimhemi4163 Год назад +1

    CCM ni nambari wani

  • @ivanrobert3071
    @ivanrobert3071 Год назад +7

    Chadema lazima iindoe ccm 2025 itake isitake hifadhini huu ujumbe

    • @amanafi1288
      @amanafi1288 Год назад

      Lazima ni kufa tu... Chama hamna umo... Ruzuku 2b kila mwezi ku miaka kadhaa Watu wameishia kujineemesha tu na familia zao...
      Hata Makao Makuu tu ya Chama kujenga strong Office 'O'.... Chezea Mchaga weew

    • @ivanrobert3071
      @ivanrobert3071 Год назад

      @@amanafi1288 ni hivi Chadema ina Office kubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania ccm bila dola hakuna chama hapo ikiwepo tumehuru na katiba bora mpya ccm na vyama vyake vyote shikizi wajiunge Chadema inawashinda asubuhi

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 Год назад

      @@amanafi1288 na ccm je wamewafanyia nini watanzania zaidi ya kujenga maofisi yao ya Chama na kujineemesha wao na Familia zao kwa kupeana vyeo

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 Год назад

      @@amanafi1288pole sana.... kwaiyo wewe unataka ofisi iliyojengwa kwa matofali, bati na mbao. na siyo ofisi iliyojengwa kwenye mioyo ya wananchi wa tanzania

    • @amanafi1288
      @amanafi1288 Год назад

      @@ramadhanmahongole9293 Rama na wewee nini Ndg yangu... Wee na Chadema wapi na wapiii...

  • @hassanrcharokiwa
    @hassanrcharokiwa Год назад

    Mmbona mikopo ya elimu ya juu haitoki!!

  • @mosaidi2633
    @mosaidi2633 Год назад +1

    Mumewaficha waliokuja mkutanoni ,namuona mbowe tu na 🎤

  • @RashidMwalingo
    @RashidMwalingo Год назад

    Endeleen kuwafungua watanzania

  • @deusmoris3036
    @deusmoris3036 Год назад +4

    Mbona camera mani hainyeshi mkutano

    • @ngwananchambi2403
      @ngwananchambi2403 Год назад +3

      Camera haina uwezo wa kuonyesha mkutano wate makamanda wetu liangalieni sana hili asaten sana pamoja san

  • @amanafi1288
    @amanafi1288 Год назад

    Makamanda sawaa... Ilaa hapo kwenye ndoa Jinsia1 hapo ni kipengele kwa kwelii Ndg zangu Chadema.

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 Год назад

      ndoa ya jinsia moja mnaowana huko ccm maana mmejaa machoko hata chaguz hamuwez kushinda maana mlishalegezwa mikundu hamuwez kupigana kiume maana mmelegezwa shenz kabisa.

    • @amanafi1288
      @amanafi1288 Год назад

      @@emmapaul1766 Emma Chalii wangu utafungwa bure hayo maneno makali mno TCRA wapo strong Bwasheh.... Lissu ameshathibitisha clip zipo kua yeye Ushoga hana kesi nao. Sisi huku tunaulaani mbele zao hao wanaotaka Tubomoane wenyewe kwa wenyewe.

    • @allanmapamba4765
      @allanmapamba4765 Год назад

      @@amanafi1288 Lissu alisema serikali haihusiki na mambo yanayoendelea vyumbani mwao wala siyo kazi yake au ww hujui kiswahili

    • @amanafi1288
      @amanafi1288 Год назад

      @@allanmapamba4765 Ninajua sana Kiswahili labda wewee ndio una mtihani na hiyo Lugha.
      Ndio nikwambie alichomaanisha Lissu Serikali cha Chadema haikemei Ushoga...

    • @allanmapamba4765
      @allanmapamba4765 Год назад

      @@amanafi1288 Lissu yy alisema Kwanza katiba yetu hairuhusu ushoga naomba kipande chcht cha video anachosema hayo maneno Lissu maana nyie wa tangi ya mbogamboga mkizidiwa hoja mnatengenezeza tumaneno twenu t kutunga maana hamuwezagi kushindana Kwa hoja hata kidogo

  • @MWIGAADAM-r3e
    @MWIGAADAM-r3e 10 месяцев назад

    TANZANIA uhuru 61? Mnapotosha kuanzia viongozi wa CCM hd wachadema

  • @GervasoPalangyo
    @GervasoPalangyo Год назад

    Ooo, lmeenda

  • @wilsontarimo7467
    @wilsontarimo7467 Год назад

    Weka vizur ulichokuwa unataka kuuliza

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 Год назад

    Heche unaakili Ila chama Chalo hakitachukua dola kikishinda mahama Tanzania

  • @kulwastima3993
    @kulwastima3993 Год назад

    Kikokotoo jmn ccm hkn kitu

  • @eliaszenda7935
    @eliaszenda7935 Год назад

    Tunaomba Pensheni hiyo ya Universal ilipwe kwa Wazee wore kuanzia umri wa miaka sitini sawa na umri wa UHURU wa Nchi yetu Tanzania.

  • @PriscusDaud
    @PriscusDaud 10 месяцев назад

    Wewe mtu wa ccm huruma hamna hunasema Hawa awafai watoto wenu watawalaani.

  • @wilfredmmbando689
    @wilfredmmbando689 Год назад

    😢

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 Год назад

    Heche ujinga acheni hamna Sera ni wajinga wanaowaunga mkono! Hakuna mtakachokifanya zaidi ya wizi hata mkipewa nchi

  • @dullahkalanjedullahkalanje1422

    kuna wanafunzi wameambiwa wachimbe kisima cha shule sijuwi shule aina bajeti

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Год назад +1

    Tangaza sera yako ukipata dola utawafanyia nini watanzania acha ngonjera

    • @rosemichael4765
      @rosemichael4765 Год назад

      Msaidie kutangaza mbuzi wewe

    • @sebastianmwantuge5597
      @sebastianmwantuge5597 Год назад

      Kwani amekwambia anafanya kampeni?

    • @amanafi1288
      @amanafi1288 Год назад

      ​@@sebastianmwantuge5597 Weew hapo unajua anafanya nn...

    • @amanafi1288
      @amanafi1288 Год назад

      ​@@rosemichael4765 Wee Mama wa Kichaga punguza maneno makali.
      Hao bado Wana Siasa zile walizofanya 1994,95,97 nk... Zile za kutia wenzao madoa eti waonekane wao Bora... Wanasahau kuwa walipewa mpaka Gari la Serikali la Kiongozi kambi ya Upinzani Bungeni mwisho ck... Ameishia kubebea Nyara tu.

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 Год назад

      kafilwe ccm wewe kuma acha kushobokea wanaume nguruwe wewe

  • @frankkimaro3477
    @frankkimaro3477 Год назад

    Propaganda,hii ni siasa unawadanganya watanzania,maana ww unaishi tz tufundishane namna ya kutumia rasilimali zetu,ccm imeshiba nilikuwa siwaelewi ss nimejua,ccm ikitoka madarakani tutakufa siasa inauongo mkubwa.

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 Год назад

    Yale yale tu

    • @livingstoneshakur5970
      @livingstoneshakur5970 Год назад

      Mbwa wewee wa ccm

    • @edwinkimambo7592
      @edwinkimambo7592 Год назад

      Tupe mapya yako

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 Год назад

      ukitaka kudanganywa nenda kasikilize mikutano ya ccm ile ya" maisha bora kwa kila mtanzania". huku chadema tunaongea vitu vile vile ambavyo ni mhimu kwa watanzania

    • @judicateurassa7817
      @judicateurassa7817 Год назад

      Niwambie ukweli mbowe Hana shida na hela yenu sasa hivi anatumia pesa ya babu yake sasa bado ya Baba yake na ya kwake huyu anatatutea ss wanyonge