KIGOMA KUMEWAKA, WAGOMBEA ACT-WAZALENDO NA CHADEMA WAKATWA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI ATOLEA UFAFANUZI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 ноя 2024

Комментарии • 43

  • @FimbombayaKimbwi
    @FimbombayaKimbwi 21 час назад

    Hongera Sana mjomba Gindi kwa ufafanuzi, Hapo zindueni operesheni ya kata ukatwe.

  • @JohnTendwa-gn1nl
    @JohnTendwa-gn1nl 3 дня назад +3

    Yaani ccm tu ndio waliojaza fomu vizuri nchi nzima? Nyie Kama chama shiriki ktk uchaguzi hamuwezi kuusimamia uchaguzi kwa haki.

  • @peterantony5890
    @peterantony5890 2 дня назад

    Mkurugenzi, Mungu anakuona.

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 2 дня назад

    Bado kwa madiwani wabunge na urais ndo mtacheka sana😂😂😂

  • @godfreymjuni6752
    @godfreymjuni6752 2 дня назад

    Sema msemaji umeongea vizuri hongera kama kweli umesimamia sheria

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 2 дня назад

    Huyu Mkurugenzi ni Kisena Mabuba, chawa la maccm.
    Kafundisha chuo cha Kumbukumbu ya Mwl Nyerere yaani MNMA (zaman ikivukoni)
    Hana huruma wala utu hata maneno yake msiyaamini!!

  • @winniefridamutakyawa5943
    @winniefridamutakyawa5943 3 дня назад

    Hapa ni mkulilia Mungu aingilie kati kwa sababu Jicho lake linaona na atasimamia haki .Hivi mnakumbuka Farao alicho fanyiwa kuna watu wanzima data zao ila nawaonea huruma kwa sababu Yeye hajalala na yuko hai.

  • @Dastanpantaleo
    @Dastanpantaleo 2 дня назад

    Ni nchi nzima kaka wote wamekatwa majina yao vyama vya upnzani

  • @BungeyiSaiboku
    @BungeyiSaiboku 2 дня назад

    We Mzee Acha uongo ogopa mungu inamaana CCM hawajakosea

  • @salama1113
    @salama1113 3 дня назад

    Hani yy mwenyewe anajiona sura navyo msaliti anaongea uongo😂😂😂😂

  • @alphoncekagezi4950
    @alphoncekagezi4950 2 дня назад

    Rufaa au kupinga uchaguzi usifanyike.

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 2 дня назад

    Nenden kwa umoja wa afrika ndio kuna haki ya kisheria kusanya michango mwende kufungua kesi hapa tanzania ni kelele tu na mnajisumbua tu hiyo ndio ccm ya samia na makala.

  • @luthermartin1098
    @luthermartin1098 3 дня назад

    Kama sio raia kweli haruhusiwi lkn hizi za typing errors?

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 2 дня назад +1

    Chadema mmetia aibu wajinga kabisa.2024 ndo umezariwa? Pumbavu mkubwa

  • @traudkamugisha8051
    @traudkamugisha8051 2 дня назад

    Kwanini msiwape form zingine wajaze na mkawaelekeza??? Hiyo sio sababu ya kuengua wagombea acheni hizi mambo kama vip futeni vyama vingi hii ni mbaya kwa nchi

  • @HelenikoBusagara
    @HelenikoBusagara 2 дня назад +1

    mzee mabuba wewe ni musabato kabisa nakuomba tenda haki maana ukwel wote unaufahamu hebu mtukuze MUNGU

  • @godfreymjuni6752
    @godfreymjuni6752 2 дня назад

    Wa ccm wako sawa nchi nzima , ccm wote ni rahia na wako sawa wote

  • @godfreymjuni6752
    @godfreymjuni6752 2 дня назад

    Siyo kama ni kweli kuna watu wa ccm .

  • @colombanipaulo8953
    @colombanipaulo8953 2 дня назад

    Km siyo raia alikuwa anaishi wapi? Kwa utaratibu upi? Hivi lakin lakini lakin lakin??????? Nitarudi baadaye kidogo

  • @traudkamugisha8051
    @traudkamugisha8051 2 дня назад

    Kwahiyo kama mmeengua mpaka ccm maana yake hakuna uchaguzi acheni haya mambo

  • @BensonTemu-h6h
    @BensonTemu-h6h 3 дня назад

    Hiyo ya watendaji wa vijiji kujaza fomu ni nchi nzima. Nimeikuta kilosa mgombea akipmba fomu yake ioanishwe na hiyo iliyobandikwa anajibiwa akate rufaa😂

  • @kakawataifa6752
    @kakawataifa6752 2 дня назад

    Ivi Rufaa inaenda kusikilizwa na Nani nchi yetu kwa sasa haingozwi kisheria

  • @luthermartin1098
    @luthermartin1098 3 дня назад

    Nyie viongozi mnazarau sana WanaNchi , hivi mnalipwa na nani? Hamjui kwamba wanaNchi ndio waajiri wenu ,nadhani kuna haja ya kiongozi yeyote kupitishwq na ss ili wapate kazi sio hawa wa kuletewa

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 3 дня назад

    Mmmmh nchi hii ngumu saaana.

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 2 дня назад

    Pia mmeondoa wagombea wangapi wa ccm.

  • @MaxCharles-wj5dg
    @MaxCharles-wj5dg 2 дня назад

    Ccm sto ipenda

  • @godfreymjuni6752
    @godfreymjuni6752 2 дня назад

    Kwa nini wawe wa upinzani ni siyo hata wa ccm mmoja.

  • @michaelmlyuka6032
    @michaelmlyuka6032 2 дня назад

    Kwa nini hamjawaita warekebisha taarifa zao

  • @batwelimahenge7850
    @batwelimahenge7850 2 дня назад

    Mda umefika ❓❓❓❓❓✔️

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m 3 дня назад

    Kama sio raia uhamiaji sindio wahusika mlikuwa wapi siku zote hadi msubili uchaguzi? Ccm hamkubaliki kilichobaki hapo ni kutumia nguvu na hila

  • @mohamoudhussein4570
    @mohamoudhussein4570 2 дня назад

    Wakati Rufaa kwenda kwa nani?

  • @godfreymjuni6752
    @godfreymjuni6752 2 дня назад

    Huu ni utoto . Kucheza na haki za wananchi

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 2 дня назад

    Watendaji wababwe mpaka waludushe majina

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 2 дня назад

    Toa mewani wewe mjinga tukuone vizuri kwani wewe upo sawa au vizuri kwanza hapo ulipo umepepwa na CCM hata wewe hafai na hauna adhi ya kukaa hapo ni uchawa subuli Mungu anakuona utakuja kujibu siku ya hukumu ya mwisho mlala hoi wewe matumbo ccm ni bora kuliko hata Mungu hapa Tanzania.

  • @PatrickNgwaulanga-x2u
    @PatrickNgwaulanga-x2u 2 дня назад +1

    Pumbavu kabisa nimeliwa badolangu bule

  • @RashidiAlly-cl7fo
    @RashidiAlly-cl7fo 2 дня назад

    Yaani wewe ni muongo mpaka kwenye kidevu chako

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 3 дня назад

    Tunamacho tunaona wakati unakuja mtakwenda Burundi miaka 5 peke yenu wy mnaogopa

  • @mohamoudhussein4570
    @mohamoudhussein4570 2 дня назад +1

    Jitu zima linaongea Ujinga bila ya hata Aibu.Mshenzi mkubwa wewe

  • @senirobert5314
    @senirobert5314 День назад

    Acha unafiki wewe ni chawa

  • @evelina9621
    @evelina9621 День назад

    Ccmndio.hwenguliwa.serikali.ilone.hili

  • @michaelmlyuka6032
    @michaelmlyuka6032 2 дня назад

    Kwa nini hamjawaita warekebisha taarifa zao