Aiseee nimeipenda hii hadidhi hakika niyakweli,nakumbuka shuleni pia kilikua kitambu cha huyu mwamba,pale walipoenda porini kuchukua dawa na akatokea kifaru yule kifaru alikua ni yule bibi alijigeuza kuwapima,na alipozinduka kweli alimuuliza ng'wana malundi wapo wapi wenzio mwisho akamwambia tuchukue haya magome ya mti yaliobanduliwa na kifaru yatatufaa kwa dawa, Hongera sana mhadisiaji hujakosea hata kidogo🎉
@@humphreykiwia9814 Naam, ni kweli kabisa sisi waandaji wa makala hii mimi mmoja wapo, nilisoma na huyu mjukuu wa Mwanamaludi , na Baba yake SITA ambaye ni mmoja wa watoto wa Mwanamalundi mwenyewe tuliishi nae kijiji kimoja, MZEE SITA KISHOSHA (mtoto wa MWANAMALUNDI) alifariki mwaka 1990, na kwenda kuzikwa alipozikwa Baba yake MWANAMALUNDI.
Nakumbuka nilisoma kitabu nikiwa shule ya msingi wakati huo kiliitwa mwanamakundi mtu maarufu katika historia ya usukuma kilikuwa na kurasa 11 tu hakika mzee alikuwa mashuhur kwa kutunza vitabu mbalimbali vya kihistoria
Daah usukuma raha
Wasukuma big up
Aiseee nimeipenda hii hadidhi hakika niyakweli,nakumbuka shuleni pia kilikua kitambu cha huyu mwamba,pale walipoenda porini kuchukua dawa na akatokea kifaru yule kifaru alikua ni yule bibi alijigeuza kuwapima,na alipozinduka kweli alimuuliza ng'wana malundi wapo wapi wenzio mwisho akamwambia tuchukue haya magome ya mti yaliobanduliwa na kifaru yatatufaa kwa dawa,
Hongera sana mhadisiaji hujakosea hata kidogo🎉
@@humphreykiwia9814 Naam, ni kweli kabisa sisi waandaji wa makala hii mimi mmoja wapo, nilisoma na huyu mjukuu wa Mwanamaludi , na Baba yake SITA ambaye ni mmoja wa watoto wa Mwanamalundi mwenyewe tuliishi nae kijiji kimoja, MZEE SITA KISHOSHA (mtoto wa MWANAMALUNDI) alifariki mwaka 1990, na kwenda kuzikwa alipozikwa Baba yake MWANAMALUNDI.
nimekubali hii😅🎉❤
Safi
Proud Africa
Hii ni Kali sana
Wasukuma tupo vzr Sanaa
🔥🔥🔥🔥
Afrika kulikuwa na watu wa miujiza .
Mwanza hoyeeeee,shinyanga hoyeeee,Bariadi hoyeeee,😅
Mzee bungomola wa mlyasungw
Wana fb someni Sana histolia hii ya Babu ukimaliza kusoma fikilia Jambo la kusema kaneno
Zisha pigwa Sana hizo
Hapo nimeelewa nilosoma tu kumbe ndivyo ilivyo
Dah! Story nzuri sana😂
Karibu sana. Shea link ili wengine pia waupate uhondo huu
Hawa ndo kina Yesu wa ukweli
Wakwanz jaman
Huy msomaji c nikuanza kusinzia2
Tunaosoma 2024
Africa superiority
Ukishindwa kumuuamini huyu tafuta unayeona atakupa ukweli zaidi
Kweri usukumani ni rahassss
Co nyandekwa ni Ngaya
Nimeielewa stor
Dhaa story zuli kwelii dhaa
Basi ipatikane miladi ipewe majina ya mababu hawa
Kwani tanzania ilipata uhuru mwaka gan maana alizaliwa 1890
Nakumbuka nilisoma kitabu nikiwa shule ya msingi wakati huo kiliitwa mwanamakundi mtu maarufu katika historia ya usukuma kilikuwa na kurasa 11 tu hakika mzee alikuwa mashuhur kwa kutunza vitabu mbalimbali vya kihistoria
Kitabu cha mwanamalundi
Mbona story inakuwa kama za kwenye biblia
Historia ya uongo hiyo
Nenda kanda ya ziwa ukapate ukwel na vithibitisho
Historian ya mwana malundi
Historia ya ajabu
Hapana si ya ajabu, ni mambo yetu na sisi waafrika tunaweza kutaja yaliyotoke kipindi hicho si kila mambo ya ajabu weupe tu wao tu.
Hapana ukweli oote hapo
Unabisha usilolijua
Ongea na watu watakuelekeza na makumbusho yake yapo km unahitaji kuyaona nitakusaidia
We utakua wa 2000 huwezi elewa😂
nimekubali hii😅🎉❤