SIFA KUBWA KULIKO ZOTE YA MKULIMA NI UVUMILIVU; YAK 5 : 7 - 11

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 май 2024
  • UVUMILIVU maana ya kibiblia ni wateule tumngojee Bwana wetu Yesu Kristo katika maumivu yote bila ya kuwa na manung'uniko ya aina yoyote mioyoni mwetu.
    - Kuvumilia hadi Bwana Yesu atakapotokea na kutatua shida zetu (matatizo) yetu bila kunung'unika ndani ya mioyo yetu; bila kutafuta njia nyingine za mkato;
    bila kujilinganisha na wana wa ulimwengu huu jinsi wanavyopata mafanikio yao kwa njia za ajabu ndivo mtihani mkubwa mno kwa wateule wa Mungu.
    - Shujaa yeyote wa kiroho katika Biblia tunayesoma habari zake na kubarikiwa; ni yule ambaye alikuwa na uwezo wa KUVUMILIA
    Malaki. 3 : 13 - 15, Zaburi. 73 : 2 - 19.

Комментарии • 3

  • @magdalenamkelemi54
    @magdalenamkelemi54 28 дней назад

    Amina baba, ni wengi tunaobarikiwa kupitia ibada hizi. Pamoja sana kutoka Mpanda, Katavi.

  • @Sindato-xy3xu
    @Sindato-xy3xu 29 дней назад

    Amen sana watumishi wa mungu awabariki ila naomba basi wekeni namba ya sadaka

  • @audakisa8685
    @audakisa8685 29 дней назад

    KABISA BABA ASKOFU,MMEFANYA VEMA SAAANA KUWA LIVE,NAFUATILIA KUTOKEA SANYA JUU,SIHA,KILIMANJARO,