Am not a catholic but this song is so emotional and touching these young souls in christ has delivered a message may God never forsake them and there directors am so blessed with their powerful bwana tawala,,,, Gilbert muriuki from Kenya
The piece is well harmonized and the voices are amazing. The articulation is on point too, Kenyans in the building let's show solidarity to this young and amazing talents. Hit the like button.
Hongereni sana wanangu,nimewahi kuongoza uimbaji na hii kwaya pale shuleni kwao siku ya ufunguzi wa muhula wa masomo mwezi July mwaka huu,nilifurahi sana kuona shule nzima wanaimba kwaya,licha ya kuwa ni mchanganyiko wa madhehebu na dini tofauti tofauti lakini wote wanapiga kwaya safi,hongereni sana pia HT kwa kazi nzuri,Mungu azidi kubariki vipaji hivi.
I don't know whether it only applys to me but, any message communicated by children it talks to my emotions and it really sinks deep into me, May God bless these young souls and their Mentors
I am repeating this song 100 times can't get enough of it. I can't believe those are voices of these little angels...so nice, keep it up Girls. I love this💞💞💞 my song in 2020
My favourite Thanksgiving song. Thanku so much gals. If I reflect upon my life, this song fits so appropriately. It does me good. Blessings your way gals❤
Hii record company inayojiita Holy Trinity Studio waache kuweka introduction ya nyimbo yao katika kila nyimbo walizo record, yaani inaudhi unapo taka kusikiliza nyimbo lazima kwanza usikize introduction ya sauti yao kitu ambacho kinaboa. Tunajua mmerekodi hii nyimbo sasa hakuna sababu ya kutufanya tuwasikilize nyinyi kabla ya nyimbo. Rajo na Verony na Tanganyika production hawaweki signature sound yao, unakwenda straight kwenye music. Makampuni makubwa ya kurekodi wahaweki introduction ya nyimbo kwenye musiki walio record Mnasound mpo patronize and hungry to be known and recognized
Hakika Ahadi zako ni Amini na Za kweli.. Hongera sana kwa uimbaji mzuri.. Najisikia faraja kusikiliza wimbo huuu nikiwa ugenini..... Bwana na awaongoze wadogo zetu katika utume na masomo yenuu... Bwana Wetu yuko pamoja nanyi.. Salam nyingi kutoka Berlin Ujerumani..
I just can't stop listening to this song daily....... Uzipokee shukrani zangu, uipokee maisha yangu, bwana tawala..... Unifundishe upendo...... Ahadi zako Bwana na ya kweli....
Nyimbo. Nzuri sana mungu. Awabariki. 🎉🎉❤
Hongereni Collegina girls secondary school mmeinjilisha kweli.🌹🌹🌹🌹🌹🥀🥀🥀🥀🥀🥀
Shule nzurii sana na yenye maadili
Am not a catholic but this song is so emotional and touching these young souls in christ has delivered a message may God never forsake them and there directors am so blessed with their powerful bwana tawala,,,, Gilbert muriuki from Kenya
Amen
Aise nyimbo za romani naamini zinasali na Mimi kwenye maisha yangu mbarikiwe wote mlioshiriki kazi zuri
Kila nikisikiliza huuu wimbo unanifanya najihis niko mbinguni amina kubwaaaaa
The piece is well harmonized and the voices are amazing. The articulation is on point too, Kenyans in the building let's show solidarity to this young and amazing talents. Hit the like button.
Nice
Ahadi zake ni amini na kweli
Wimbo uko poa sana mbarikiwe sana wimbo,uzipokee shukran zangu, uyapokee maisha yangu,bwana tawala unifundishe thaman ya upendo, amina sana jaman
Mungu awabariki wanangu. Ginsi munavyo vaa ni mahubiri. Mungu awabariki, katika jina la Yesu. Amen
Hongera wanachama wa tycs wa njombe kwaku injilisha hongeraeni sana
Mmeimba vizuri sana watoto wazuri ,mpiga kinanda pia umepiga vizuri sana Mungu awabariki wote .
Job well done. May God continue to pour his blessings upon these young souls 🌺🌺
I always feel blessed and happier listening from this well organized singers 🙌. May God continue to poor His blessings upon these young Souls 🙏 🙏
Wimbo umenibariki sana jaman.
Mbarikiwe mnoo
Hongereni sana wanangu,nimewahi kuongoza uimbaji na hii kwaya pale shuleni kwao siku ya ufunguzi wa muhula wa masomo mwezi July mwaka huu,nilifurahi sana kuona shule nzima wanaimba kwaya,licha ya kuwa ni mchanganyiko wa madhehebu na dini tofauti tofauti lakini wote wanapiga kwaya safi,hongereni sana pia HT kwa kazi nzuri,Mungu azidi kubariki vipaji hivi.
nice
Hongeren nyote mlioshirik kuandaa na kukamilisha wimbo mzuuuur wenye ujumbe mzuuuur👏, Mbinguni kunawahusu 🤲Mungu awabirik nyote...Amina 💯🤝👂
Amina saana, Asantee uwe na weekend njema na sku njema 🥰
@@HOLYTRINITYSTUDIOS hapo kuna kipaji cha uimbaji kikubwa mnooo...naomba mrekodi mwingine. Dada mdogo wa hapo mbele ananibariki mnoooo
huu wimbo kila siku nautazama video 🙏🙏 mbarikiwe hongera sana kwa utume mzuri
Aliyechukua video imekaa quality Sana saut ziko bomba ujumbe umefika mahala pake Mungu awabariki sana
Yaani shuile hiyo wako vyema kama wanajeshi wanaskauti ya mabint sijaona Tz ila.korea
Hi
Ndivawendite. Sana waimbaji wezangu voko safi Mungu asimame nanyi daima Hongereni
Hongera mtunzi wetu Ayoub Myonga mungu akubariki pia wadogo zangu hongereni😍😍
I don't know whether it only applys to me but, any message communicated by children it talks to my emotions and it really sinks deep into me, May God bless these young souls and their Mentors
Touchable song let the almighty God integrate your talent through singing and praising him.......
Stay blessed Organist B.Mashibe
I am repeating this song 100 times can't get enough of it. I can't believe those are voices of these little angels...so nice, keep it up Girls. I love this💞💞💞 my song in 2020
nimeipenda watoto wa mungu mbarikiwe
Asante Mungu kwa wimbo mtamu hivi. Sichoki kuusikiliza. Mungu awabariki waimbaji hawa vijana.
Naupenda sana huu wimbo unanifariji sana.
Jamni mungu apokeee shukurani zangu pia na za wengine i love this song because is touchable within our heart may almight God bless uu umwaaaaaaa
Oooh GOD, ahsante kwa zawadi hii..pongezi Sana sauti tamu utunzi ulotukuka ... Honera Tena na Tena..
Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapo kuwa mzee. Mithali 22:6
Hongereni sana wadogo zangu,HT kwa kazi nzuri pia my br.AYUBU JULIUS MYONGA kwa utunzi uliotukuka.Kuimba ni raha mno!!!!keep it up!!!!!
Hongereni Sana kwa uinjilishaji, Mwenyezi Mungu awaongoze daima.
waaaaaoooo... hawa watoto wametisha saaana saafiii...... HT,MYONGA..... MASHIBE MZIKI SAAAAFIIIIII!!!
Wow what a sweet song and good message..."Bwana pokea sifa nakushukuru"
Still here years later and still hitting the same...God bless these souls and let God reign in our lives😊😊
Unifundishe thamani ya upendo.....big up kwa waimbaji, studio, organist na mtunzi......Mwenyezi Mungu aendelee kukuza vipaji hivi🙏😘
Hongereni sana. Nyimbo nzuri mno. Mmefanana na malaika mbinguni mkimsifu Mungu wetu
Nyc song, mara ya kwanza nanimeipenda,be blessed as you continue serving God
very solemn song continue shining grls with all support here in Zimbabwe. By Br Lungisani Marshal
Mtoto Wa nyoka hafundishwi kuuma ,nice song mungu awatangulie katika masomo yenu be blessed to all
Sichoki kuusikiliza huuu wimbo,Uzipokeee shukrani zangu uyapokee maisha yangu Bwana wangu Tawala unifundishe thamani ya upendo
Who else is watching in 2020? I love this
Me..
Lokidor Philip a wonderful piece of art
I am, super refreshing
Naweza download aje hii song aki
catholic my church,my body,my soul,i feel blessed nikiwa lukenya hills ,Nairobi, Kenya
in love with this school blessed baby girls i wish u cud be in kenya i would enrol my girls there
Nimekuona ukiwa nami..... Wimbo wabariki kweli...
Uzipokee, shukrani zangu,uyapokee maisha yangu, mbarikiwe Sana kwa wimbo huu mzuri
Wow keep up with the good work 👏👏👏👍 may God bless you 🙏🙏
Wimbo mzuri kweli, Asante I Sana wasichana was collegine, Mungu na awabariki zaidi. Holy Trinity mko👌👌 Mungu awazidishie baraka zake
Godlucky
Indeed it's touching. ❣️❣️❣️. This song is always my prayer.singing is praying twice. ❤️
Akisema atakubali hakuna atakayezuia kwan yeye ni Mungu mwenye baraka zote
Proudly being a collegian.. girls you rock!🙌🏾🙌🏾 mmetisha like wow
Uzipokee Shukurani zangu, maisha yangu.Wimbo mzuri sana umejaa mafundisho na hekima tele.
Mungu mwema, Asante kwa uumbaji na vipawa vyema kwa watoto wetu, wafundishe zaidi na zaidi kujua Siri ya uwezo wako ktk maisha yao. Amina
Dah! Kila nisikilizapo na kuutazama wimbo huu machozi ya ujazo wa furaha hunibubujika. Mwenyezi Mungu awabariki sana
I just love this song. The message is is so touching, the voices are in Harmony🙏🙏. Thanks for touching souls through the talent of singing😊
My favourite Thanksgiving song. Thanku so much gals. If I reflect upon my life, this song fits so appropriately. It does me good. Blessings your way gals❤
Mungu kawabariki hawa wadogo zangu kazi nzur kuna wengne wamepotea hawakumbuki kurudisha shukrani
Hongeren kwa nyimbo nzur sana, Mwenyezi Mungu awabariki mno@collegine girls
Myonga..mashibe..holy Trinity kazi Safi wakuu..
Wanafunzi kautendea wimbo haki.. mbarikiweni kwa uinjilishaji🙏
Daaahh Kazi Tamu Kama Nini....Hongera Sana HT Na Wanakwaya Na Baraka.... Mnajua Hadi Mnaboa Yani
young angels be blessed and may the power of the living God be upon you
Mungu atawale kweli ndani ya maisha yetu Amin
Mmbarikiwe wanakwaya pamoja Team ya HT kuzidi kutuletea vitu vizur
Mungu awabariki Sana, nyote mlioshiriki katika album, kuimba ni Raha sana
Asante watu wa mungu toka manyara tunabarikiwa sana Njombe mnatuweka kifua mbele
good song .uzipokee shukrani zangu e yesu .tawara maisha yangu
watoto wameimba vizuri sana,Mungu azidi kuwabariki
Hii record company inayojiita Holy Trinity Studio waache kuweka introduction ya nyimbo yao katika kila nyimbo walizo record, yaani inaudhi unapo taka kusikiliza nyimbo lazima kwanza usikize introduction ya sauti yao kitu ambacho kinaboa.
Tunajua mmerekodi hii nyimbo sasa hakuna sababu ya kutufanya tuwasikilize nyinyi kabla ya nyimbo. Rajo na Verony na Tanganyika production hawaweki signature sound yao, unakwenda straight kwenye music.
Makampuni makubwa ya kurekodi wahaweki introduction ya nyimbo kwenye musiki walio record
Mnasound mpo patronize and hungry to be known and recognized
Hongereni sana kwa wimbo mzuri Mwenyezi Mungu aibariki kazi ya mikono yenu
Nawapongeza sana Kwa kazi nzuri mungu awabariki
Pokea shukurani zangu uyapokee maisha yangu nasikia neno c dini🎤🎤🎤❤❤
Hongereniii Sanaa wanafunzii nimebarikiwaaaa na wimboo huuu Soo nice hongeraaa Holy Trinity studios
Bonge la nyinbo safi sana mungu awabaliki
BWANA pokea shukrani zangu,uyapokee maisha yangu,
This song jus makes my soul weep to see young souls so much devoted in Christ...........
spiritually very nice song, keep it on!! VANYALUKOLO!!
Ni 🔥 kumwimbia Mungu......🤝
Pongezi kwao🎉❤🎉🎉
Wimbo mzur sana wenye mandhar ya kuvutia, Mugu awabariki sana
Haichuji Kila ck ni mpya Amina kazi nzur🙏🙏🙏🙏
Jesus Christ son of the living GOD is quite enough to accomplish flourish Nourish and strengthen all souls straight CLEARED
Big up vijana kwa uenezaji wa injili kwa njia ya wimbo
Nyimbo nzuri sana hongereni sana.Binafsi ninashukuru sana kwa kuniinjilisha aiseee
Hongera sana mmeimba vizuri mno, Kinanda kimepigwa vizuri. Kazi nzuri Holy Trinity👏👏👏👏👏
excellent
Hongereni saaana , mmeimba vizuri.....Mungu awatangulie ktk kipawa mlichojaliwa
Nimebarikiwa Sanaa mungu azidi kuwaonyeshea mafanikio
Hongera sana baraka Otieno Ernest Thomas Mashibe kazi nzuri kijana
Wimbo na sauti vinabariki. Hongereni watoto wa Yesu
Hakika Ahadi zako ni Amini na Za kweli.. Hongera sana kwa uimbaji mzuri.. Najisikia faraja kusikiliza wimbo huuu nikiwa ugenini..... Bwana na awaongoze wadogo zetu katika utume na masomo yenuu... Bwana Wetu yuko pamoja nanyi..
Salam nyingi kutoka Berlin Ujerumani..
masamwaipaja
Mungu awaonekee
Hongereni sana jamani
I just can't stop listening to this song daily....... Uzipokee shukrani zangu, uipokee maisha yangu, bwana tawala..... Unifundishe upendo...... Ahadi zako Bwana na ya kweli....
Nawapenda wanangu mungu awape maisha marefu
Am back again after commenting three years ago.... Bwana Yesu uzipokee shukrani zangu....
Thanking God for safe delivery... and a newborn
Wimbo mzuri Sana Mwenyezi Mungu awabariki
Hongereni sana watoto wazuri muendelee hivohivo siku zote mana kumwimbia Mungu kuna baraka nyingi mno
Mbarikiwe watoto wazuri Yesu awatunze
Proudly catholic,,,may God bless you all Amen
Wimbo mtamu Sana,sauti za upako. wimbo huu utaenea mbali.
Enyi wapendwa Mungu awaimarishe wimbo mzr sana
Feeling blessed. Wonderful song beautiful voices God bless you all!❣️🌹
hawa wasichana wanatesa kutesa proud of being a catholic
Receive my thanks more and more and. God bless you value of love is wat I pray
Nimebarikiwa na huu wimbo kwa kweli
Hongera Baraka, balance ya kinanda nimependa sana
Bwana asifiwe milele kweli nimefursishwa na wimbo huo na ni mafundisho kwangu ajili ya maisha ya moyo wangu
AMINA barikiwa sana ambassadors of Christ
Kila siku nauona wimbo mpya kwangu be blessed sana