Wow! Sauti nzuri kweli, Mungu awabariki tu Sana wana-collegine. Holy Trinity mko juu kweli, naona Mwaka huu mtatubariki kweli kweli. Mungu awazidishie baraka tele.
COLLEGINE Na wanafunzi wake mmetokea kuwasha moto wa imani kwangu, Wimbo wa pokea shukurani zangu.umenifanya kuwafuatilia mda wote natamani kuona sasa collegine inakua shule inayotoa elimu pia inayotangaza neno la mungu kupitia uimbaji,maana tayari mungu anawategemea kulisambaza neno lako hata pale ambapo jalijafika bado.nawatakia masomo mema na malezi mema.
not sure if anyone gives a shit but if you guys are stoned like me during the covid times you can watch pretty much all the new movies on InstaFlixxer. I've been watching with my brother for the last few months xD
@@josephlugome3838 ok sawa kiongozi Nawapa pongezi zenu ni kazi nzuri mno? Tunduma saizi tunaiimba kanisani waumini wanafurahi sana Karibuni sana tunduma
Mpangilio mzur kazi nzur wanafunzi wako vizuri hata mavazi yana vutia.kama umeikubali kama mm gonna like zakutosha
Wanapendeza sana sana... Very smart too
Wanapendeza kweli kweli tena nyimbo nzuri sana🥰 mungu azidi kuabariki
Naupenda sana huu wimbo hasa ule wimbo wa pokea shukrani zete.
Sanaaa
Hongera kwa wimbo mzurii
Sauti ya pili mpaka raha So nice song be blessed much dadaz of jesus
nasi RWANDA mnatupendeza sana wanafunzi Collegine lkn mpiga kinanda hodari sana!
Hongereni mabinti, ukombozi wa mwanamke uanze nanyi wenyewe
Safi sana, sauti imepangiliwa vizur, kinanda vidole vinatembea, pedal wonderful.
Mungu awabariki kwaya ya wasichana 😍😍😍 sauti nzuri kweli
nawakubali sana #HT kwa kazi nzuri na yenye ubora pia Organist Mwlm Baraka Mashibe
@@HOLYTRINITYSTUDIOS Amina sana ila napenda nijue nota jamani nipo Mwanza kama kuna mwalimu yupo mwanza Mjn tuwasiliane tafadhari
@@HOLYTRINITYSTUDIOS Naomba unisaidie kwa hilo Mkuu utabarikiwa sana
@@HOLYTRINITYSTUDIOS Asante Mkuu
Wow! Sauti nzuri kweli, Mungu awabariki tu Sana wana-collegine. Holy Trinity mko juu kweli, naona Mwaka huu mtatubariki kweli kweli. Mungu awazidishie baraka tele.
Mwaaaaa
Semeni dada zanguni nimependa sana nimeyakumbuka kabisa maisha ya shule mubarikiwe sana
wimbo huu ni mzur mungu awbariki katika kaz yenu ya utume......
Wapendeza balaaaaaa🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Hakika MUNGU atukuzwe kwa kazi nzuri kama.hiii....kweli karibuni sana
Hongera sana mwalimu wa stepu Mgalilaya❤
Best formation best education, karibuni sana shule bora Collegine
WIMBO MZURI SANA...TUZIDI KUBARIKIWA
wooooo nice work aseee.... fireeeee.....
HT KAZI SAFI
WADADA SAFIII MNOOOO
Asante saana MUNGU awabark wadogo zetu kwa kaz nzur AMINA
The chorus is so good that I just want it to repeat and repeat and repeat and repeat.....
Kuna dad mkali humo gonga like kam umemuona
Waoh.. Beautiful
Hongereni sana for the good Music.
Wacha Beautiful melodies zisonge mbele...
Hadi nimeipenda hiyo shule
COLLEGINE
Na wanafunzi wake mmetokea kuwasha moto wa imani kwangu,
Wimbo wa pokea shukurani zangu.umenifanya kuwafuatilia mda wote natamani kuona sasa collegine inakua shule inayotoa elimu pia inayotangaza neno la mungu kupitia uimbaji,maana tayari mungu anawategemea kulisambaza neno lako hata pale ambapo jalijafika bado.nawatakia masomo mema na malezi mema.
Hyo saut ya 4 nimeikubaliiiii😙😙😂😂so amazing
Woi the best work ever, ...kazi Nzuri sana
Safi sana Holy Trinity Studio
Wadogo zangu nimewaelewa Sana'a hongerni sana sauti zimejipanga yani daa sauti ya 4 imekubaliii
HT STUDIOS hongereni Sana,
Organist: Baraka Thomas Mashibe, unatisha broo,
Na Collegine mmeutendea haki wimbo! Hongereni Sana, na tumeupokea ujumbe wenu 💪💪
Nimependa bure Mungu awabariki nitaleta mwanangu.
Brother fanya kusubscribe St.Benedict ndanda cohas choir kesho mapema tu tuna jambo letu tunatoa bonge la ngoma haijawahi kutokea na mtunzi emily shayo
Waaaoh... Kibwagizo safiii saaaanaaaaaaa... Bwana awatunzee
Hakika wimbo huu hauniishi hamu kuusikiliza.kazi nzuri sana
Nimeipenda hii. ila Hamjasema kuwa Makambako kuna baridi, hahahaaaaa!
Nawapenda COLLAGINE GIRLS,Walimi hongereni Kwa kazi nzuti
Wimbo mzuri sana hongera zenu
safi sana aisee... mdundo umepangika vema... hongereni collegine kwetu!
Tunaomba mzidi kutuleta nyimbo kama hii kwa wingi na hongereni sana
Asante kwa kazi nzuri. Mungu awabariki!
Good song may God bless you abundantly , good voices
Wimbo mtamu sana. Ujumbe wapokelewa vyema. Kwa watunzi na Holy Trinity Studios kazi ya kupigia mfano mliyoifanya
Saut ya pili tam sanaaaa hongereni sanaaaa mtunzi
ht mko vzri sana sana hakuna wakuwagusa
NawApenda woooteee collegine
Yani naona matunda ya rucu duuu heshima kwenu sr lernada Na wengine asante Kwa malezi
I like the organist .......Baraka Thomas mashibe....Its cool
Kazi nzuri sana. God bless you
Wimbo mzuri sana shule hii iko wapi
Kazi nzuri sana. Hongereni sana kwa kazi nzuri.
Inapendeza hatari
Hongeren Sana! Mungu azidi kuwasimamia!!
Jamani shule inapatikana iringa maeneo gani
Ni makambako njombe
Nawatakia mitihani mema mfauru woteeeeee mmenibariki sana
MUNGU awabaliki vijana wa YESU
Hongereni sana HT,Mashibe & Mushobozi, hongereni wana Collegine
Kazi nzur jmn penda kanisa langu daima Catholic
Hakika wimbo wa pokea shukrani umenifanya nipende kuwapenda daima
Namba za simumawasiliano muhim
Wahoooh 😍😍😍😍Mungu awabariki you just made so good😍😍
Kazi nzuri, Kaka Thomas napenda uchezaji wako wa organ...
You are my role model
Mimi pia napenda sana kazi nzuri sana ya kaka Mashibe. Hongera sana.
@@edwardkioko4455 ñññ la,
yes, he is awesome
Hongereni sana walimu na walezi wa wanafunzi ,,,,,,that is good foundation to our youngs
HT never disappoint, kazi imekubalika
Ilike the song I wish could be the one who's singings its very nice congraculation
Good song and nice voices my sisters in Christ be blessed
Wimbo mzuri pamoja sauti na picha
First Experience, one song, multiple composers , Fantastic.
muko vizuly hongeleni sana
muko vizuly hongeleni sana
Good school in town Makambako
Phenomenal! A million likes for the school
not sure if anyone gives a shit but if you guys are stoned like me during the covid times you can watch pretty much all the new movies on InstaFlixxer. I've been watching with my brother for the last few months xD
@Rodney Julian definitely, have been using Instaflixxer for months myself :)
Wimbo nzuri na sauti nzuri.Hongereni sana
Nimemleta mwananangu mwaka huu ni pazuri sana
Hongera,ninafanya kazi hapo pia.
Nimeipenda sana
Iko wapi hii shule my dia
Wimbo mtamu sana. Hongera kwa kazi nzuri
Jamani nimependa mnooo.. Wimbo mzuri sana
Woooow I like this song with gud information
Bonge la kwaya mungu awabariki
College nehe,College nehe.
Mpigaji wa kinanda naye aliwatendea haki watoto
Mi naomba namba husika
Keep it up my students.
Safi sana, Mungu awatuze
Hongera kwa masista wa collegine
Acha to leo nikuwe wa kwanza its nys song
Toleo limetoka tayari
mko juu San all the best
inapatkn wp
Asante sana
From uganda
So proudly ❤❤❤❤
Voix angelique.Merci bcp mes petites .
Mpangilio nimeuelewa mno hongereni wadogo zangu
I like ur vocals very beautiful, may mother Mary bless u always for ur gud work heko wanadada.
Agrey nilikuwa naisubiri hiii kitu aiseee
Mambo vipi kiongozi
@@fredricksanga7829 poaa nambie mze
@@josephlugome3838 freshi
Samahani sijui nakufananisha
Wewe ni miongoni mwa vijana wa uvikanjo na umeshiriki kwenye wimbo wa Tuiombee Miito
@@fredricksanga7829 ndio ni Mimi
@@josephlugome3838 ok sawa kiongozi
Nawapa pongezi zenu ni kazi nzuri mno?
Tunduma saizi tunaiimba kanisani waumini wanafurahi sana
Karibuni sana tunduma
Wimbo mtamuuuuuuuuuuu
nawapenda xna hongereni kwa kuwa na kway good
Kazi nzuri sana hongereni sana
Ntawaletea bint yangu mumfundishe
Congrats, my daughter is graduating from primary this yr, how can she join. Am so happy for this school... wow
Mwaaaaaaaaa wajameni mungu awaongezee uzima
Hvga
Nice work HT
Good work
Mungu awabariki sana
Félicitations mes chères soeurs.Je suis au Rwanda.Votre soeur.
Je dis un grand merci à leur place
May God bless all of you.
A very nice song
So sweet . Well balanced and beautiful. Would appreciate to have lyrics on English subtitles .🙏👍👍👏👏
@@HOLYTRINITYSTUDIOS I'm from the US.
Muko vizuri
Good kwaya
Naomba kujua hii shule iko wapi jaman
Iko Njombe Makambako
@@serapiaewaldi7267 asante
Watoto wametulia
Education pour tous.Courage.
Asanten mbarikiwe