Ila Ally is handsome jamani ,alafu yaani hana yale mauchafu uchafu sijui hereni,tattoo,mirasta kichwani. Weee,yaani akifika ukweni hawatoamini ni mbongo fleva😂,sema anaonekana jeuri hatari.........
Harmonize kazi yake ni Bangi na Hakuna Brand inaweza kukupa Deal kama Inakuona umekaa kama Dishi, imagine alipewa deal na Kampuni ya Sigara ikamshinda.
Watu mnachuki sana na Harmonize, sasa kila mtu afungue media na ukizngatia katoka juzi tu kimzki. Mpka una anza ku-compare with, its means ameupga mwingi na Bhangi zake
Tupe evidence kwamba ni ya kikeke, kama huna evidence just shut up ua fucken mouth. Cc tunajua ni ya Kiba na kikeke mfanyakazi kama kina Pablo na dulla
Kwa akili yako kikeke angeamua kutumia jina lake unafikiri isingetrend?..Ok kwahyo kafungua radio kwa jina la Ally halafu akasaini kama mtangazaji?..Haya tufanye ya kikeke hivi huoni kama mwanaume mwenzio anapiga pesa hapo point yako ni nini labda?..
Ina maana KIKEKE hana jina nani asiyemfahaum mpaka amtumie KIBA...? ok, nisema hivi all in all ya baba levo, tukate mzizi wa fitina radio sio ya KIBA ni ya KIKEKE .. Unakoelekea utaliwa wewe kodi ya nyumba imeisha Lazaro.
Hongera sn my brother King kiba wakati wa mungu ndio sahihi snaaaaaaaa mkuuu wa kazi
Huyu Jamaa anamajina mengi sana ,yeye ni kiba,kipusa,yebaba,king,crown,salute bro
Kiba kaubalance mzan vzr Sana asinge fungua midia baadhi ya watu wange endelea kumbeza kw kiasi kikubwa now you now king is powerful ✊😍:
Kipindi hana media walimzihaki sana wachafuni😂
Point
Sw
Noma
King sasa kheri zinamiminika ndugu funga buti kabisa brother.
Ongera sana kaka.
Ally kiba anajiheshim sana na nimsikivu pia ❤❤❤❤king kiba👑
Huyu jamaaaa slow slow but sure wakati wa mungu ndio sahihi tumsubiri na harmonize
MashaAllah Allah Azidi kukufungulia milango ya kheer InshaAllah
Tufanye kazi zaidi king❤❤❤
Congratulations to King kiba ❤️❤️💪💪
hii ending tune umeipatia sana sky......I believe the sky is truly the limit for u brother, keep it up.
Hongera kiba 🎉
Asikatae na makampun ya bia biashara n biashara tu My King KIBA you can you know❤❤❤❤❤
Try bia lazima unywe sasa yy hanywi
Hivi wenzqngu mnawezaje kujua kama anakunywa au hanyw
Kwa hapo hawezi kila mtu ana matakwa yake, haimaanishi kwamba pombe, sigara, na beating ndio vitu muhimu sio kila zambi uifanye shika ilo
Hongera kiba
Now you know king is powerful
King 👑👑👑👑👑🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Kidogo niseme alikuwa ana subiri nini 😂nika kumbuka kama kila kitu kina wakati wacho ama awake😊
Congratulations from Kenya
King kiba 💯👑👌🙏
Alhamdhulillah Allah kareem anafungua zaidi King kiba ❤❤❤😊
Masha Allah❤🇹🇿🤗
Wow I am love ❤️ ❤️ Ali
Kingkiba salute
Mfalume ni mmoja adi afe
Naomba mwenye kujua jina la wimbo,unaimbwa mwishoni mwa habari hii,naupenda sana tafadhali! 🙏
Wimbo wa sns unaitw It's the buzz you need
Mwijaku Sasa yeye anavaibu mda wote,!!! Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mwijaku bhana 😂 anyway congratulations Ali Kiba 👏
Mashallah 🙏🙏🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Mwijaku noma sana
Mabroook ❤❤❤❤❤
Mashaallah
Go kiba 👍
Sawa king kiba
Hii Radio na TV itakua Tishio
Ongera King 👑 kiba.😂😂😂🇹🇿 Mwijaku bwana😂😂😂😂😂
❤❤❤❤❤❤pongezi kwake
Alhamdhulillah 🤲
Bba keyan
Mashaalla
Kiba ni billionaire kwasasa
Kiba hana pupa anajielewa sana
Ila mwijaku apewe mauwa yake kama chawa 😂😂😂
😂
King
thanks stanbic is the bank
Fact
😊❤❤❤❤💪💪🤲🤲🤲
King king
#kingkiba
nyie Ally🎉🥰
Sns there is this trending story about Mercy johnson an actress from Nigeria, kindly why don't you highlight it
What is it about Vivy?
@@SimuliziNaSauti it's about her being criticizing by her fellow actresses
LOL 🤣😂🤣this comment explains why Africa still has problems
its not a big contet,thus, there is no need . we're busy with our internal issues 1st.
Mfalme ni Mfalme tu
🎉🎉🎉🎉❤
Ila Ally is handsome jamani ,alafu yaani hana yale mauchafu uchafu sijui hereni,tattoo,mirasta kichwani. Weee,yaani akifika ukweni hawatoamini ni mbongo fleva😂,sema anaonekana jeuri hatari.........
❤❤
Harmonize kazi yake ni Bangi na Hakuna Brand inaweza kukupa Deal kama Inakuona umekaa kama Dishi, imagine alipewa deal na Kampuni ya Sigara ikamshinda.
Si harmo kahanza juzi husani iwe mara hii yuko porepore
Watu mnachuki sana na Harmonize, sasa kila mtu afungue media na ukizngatia katoka juzi tu kimzki. Mpka una anza ku-compare with, its means ameupga mwingi na Bhangi zake
Iyo midia nia salim kikeke nakupa iyo ishi nayo
Kwahiyo unatakaje 😅mtoto wakiume embu fungua naww kama rahisi
Ata km ni Yako lakini ishazdi kumtengenezea jina na keshalamba karata ww endlea kulala 😂😂😂😂😂😂
Tupe evidence kwamba ni ya kikeke, kama huna evidence just shut up ua fucken mouth. Cc tunajua ni ya Kiba na kikeke mfanyakazi kama kina Pablo na dulla
Kwa akili yako kikeke angeamua kutumia jina lake unafikiri isingetrend?..Ok kwahyo kafungua radio kwa jina la Ally halafu akasaini kama mtangazaji?..Haya tufanye ya kikeke hivi huoni kama mwanaume mwenzio anapiga pesa hapo point yako ni nini labda?..
Ina maana KIKEKE hana jina nani asiyemfahaum mpaka amtumie KIBA...? ok, nisema hivi all in all ya baba levo, tukate mzizi wa fitina radio sio ya KIBA ni ya KIKEKE ..
Unakoelekea utaliwa wewe kodi ya nyumba imeisha Lazaro.