Mwanaume ili usiachwe kirahis nilazima uwe napesa na power fulan katk Jamii utasamehewa ata ukizingua mara milioni ila kosa pesa af zingua ndoutaona😅😅😅
Unaweza ukawa na pesa na ukaachwa watu tunaangalia roho safi mapenzi hayana mwenyewe yoyote anateswaa kaachwa bill gate Elon musk mwenyewe kaachwaa pesa sio Kila kitu Huwa tunaangalia moyo wako je utakua baba bora , ukomavu wako wa akili na namna unavyoyapokea mambo sasa ww kutwa hasira,jambo dogo unalikuza ,haujui kutengeneza amani hakuna atakae kaa na wewe Mana bila masikilizano hakuna kitu hapo
Heeh njo akome kutuhusisha na mambo yake, wakati wanapendana atukuwepo... Sisi tunapenda yeye kama ZUCHU sio ushuzi wake yeye na BIG 🚶🏾🚶🏾🚶🏾tuheshimiane
Tatizo umaraya unakutesa sura mbaya chek wenzako wazuri pisi kali kina zari hamisa wamekaa pembeni lakini wewe kipusa kina tanasha dona warembo wazuri tatizo njaaa
Zuchu forever 🥰.. wajiamin Sana zuu hongera
Leo nimempenda more Zuhura ❤❤❤❤She’s very real ako honest sana
Thank you. If only every haters can realize that hatred is killing your own soul while loving is for a peaceful soul
I love u Zuchu stay STRONG ❤❤
People forgets that Zuchu is so brave,out spoken and have self confidence. She is intelligent and wise.
Safi sana zuchu❤❤❤❤❤
Mtazamo Wang wanatusumbua akili tuu...waache ata wakipigana sie sawa tu mana wanatuchosha bwana wee..hatuna mtizamo wowote ule
Yy ndo anaropokwa tu social media Ila diamond naye kimya. Kama kawa.... Love you Nassib
Lv y Zuuu❤❤❤
Zuchu msema ukweli, si mtu wa kiki na muamini
Mwanaume ili usiachwe kirahis nilazima uwe napesa na power fulan katk Jamii utasamehewa ata ukizingua mara milioni ila kosa pesa af zingua ndoutaona😅😅😅
😢😢😢
Kabisa sikupingi mi mwanamke 😊😊😊
Unaweza ukawa na pesa na ukaachwa watu tunaangalia roho safi mapenzi hayana mwenyewe yoyote anateswaa kaachwa bill gate Elon musk mwenyewe kaachwaa pesa sio Kila kitu Huwa tunaangalia moyo wako je utakua baba bora , ukomavu wako wa akili na namna unavyoyapokea mambo sasa ww kutwa hasira,jambo dogo unalikuza ,haujui kutengeneza amani hakuna atakae kaa na wewe Mana bila masikilizano hakuna kitu hapo
Zuchu ❤️❤️❤️❤️
Zuchu ANAHASHUO APUNGUZE KUJIHASHUA MTOTO WA KIKE TUNAPENDA MZIKI WAKE ILA HASHUO APUNGUZE ANATUBOA SANA MASHABIKI ZAKE🙄😏
Heeh njo akome kutuhusisha na mambo yake, wakati wanapendana atukuwepo... Sisi tunapenda yeye kama ZUCHU sio ushuzi wake yeye na BIG 🚶🏾🚶🏾🚶🏾tuheshimiane
Usitumie neno kuachana bali tumia neno Umeachwa
If your relationship doesn't have a lot of fights and less happy moments jua it's fake
KING'ANG'ANIZI AT HER BEST? ALLIYAH NDIYE MKE MKUBWA!
Mbona simjui huyo Aliya,,niondoke na wenye wamefichua kama bangi
Basisi atakubali wakati wali pendana walitwambiya akubali hilikuwa kiki ache maneno mengi kinganga
Duniani Hakuna mwanamke ambae sikinganga
Kabisa duniani hakuna mwanamke ambae si kinganga@@munirasallim6450
Cheza na Diamond wewe nani anaweza kua kinganga kwa Diamond ingelikua hivyo A asingetoka kwa sababu alijaribu mengi.@@munirasallim6450
Jifunze kwanza kuandika 😂😂😂
@@munirasallim6450Mwambie huyo mpumbavu 😂😂 hajielewi
DIAMOND PLATNUMZ AKIMUOA HUYU ATAKUWA MJINGA KULIKO, MAANA ASTHMA NI DOMINANT TRAIT, NA SIJUI KAMA PLATNUMZ ANAELEWA HIVYO!!!
DELUSIONAL 😁😁😁😁😁😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂
Tatizo umaraya unakutesa sura mbaya chek wenzako wazuri pisi kali kina zari hamisa wamekaa pembeni lakini wewe kipusa kina tanasha dona warembo wazuri tatizo njaaa
Wakenya ni wapumbavu
ANAEMCHUKIA ZUCHU NI MCHAWI ANAROHO MBAYA
Mama ako ndo anaroho mbaya achana na Zuchu wetu nonsense
Hamukuelewa hii comment huyu amesema anaemchukia zuu nimchawi na roho mbaya hajamaanisha zuchu ndio mchawi
@mwanamisiali5712 saw saw
Mimi ni mkenya lakini buyu binti anajua mahaba
Kabisa mchawi hyo na wivu
kiki kiki kiki
Njaa na umasikini choko ww
Sas hiv ngoma zime buma