Mtoto wa Mfanyabiashara wa Urembo Dodoma auawa kikatili! Wazazi walimuacha na dereva bodaboda!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии • 353

  • @OmarionChobo
    @OmarionChobo День назад +29

    Daaaah imeniuma San Kuna binadam hawana kabisa utu hata kidogo inalillah wainalillah rajiun mtoto mzuri

  • @hezronjoseph405
    @hezronjoseph405 День назад +8

    Starehe usiku moja ,,maumivu milele,Hilo Ni pigo la milele 😭😭😭😭

  • @FaudhiaWadongo
    @FaudhiaWadongo День назад +18

    Ahadi ikifika aina Kinga Allah Msaidie Mama wa mtoto 😢😢😢

    • @idanysedrc1200
      @idanysedrc1200 День назад

      Umalaya hakuna Cha ahadi kwanza huyo mwanamke kama hajakamatwa anapaswa kuwa ndani muda huu huo ni uzembe wahali ya juuu unamuachia vipi bodaboda mtoto?

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 День назад +67

    Unamuachia vip mtoto mtu ambaye sio ndugu na unaenda kulala na bwana kwa amani kabisa mpaka asubuh 😢😢😢😢sisi wanawake tupo tofauti sana

    • @josephineokama2200
      @josephineokama2200 День назад +6

      si angeenda naye akamchukulia chumba chake jamani

    • @chunanachu2529
      @chunanachu2529 День назад +6

      @@josephineokama2200 yani na usingizi alipata jamani😭😢

    • @Wakiomiss.78
      @Wakiomiss.78 День назад +7

      Starehe ndio aliziweka mbele,sasa huyo boda boda nani kwake, heri angenda nae tu, ndio maana hua sisheherekei Christmas,🎄 kwanza sijui hua kwasheherekewa kitu gani 😂maana hata kwa bible hamna sikuku ya 25 December,hua ni uhuni tu,RIP dogo ❤❤

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 День назад +8

      ​@@Wakiomiss.78umeongea kimihemko tu , Christmas wala haijasema watu wauane ,au wafanye maovu ni watu na tabia zao mbovu , je Kuna watu wangapi wamepatwa na mabaya siku tofauti na Christmas?? Jamii yetu inatakiwa kubadilika ,tuwe watu wa upendo ,tuache kumuumiza , bila hivyo ,tutaendelea kuona msululu wa maovu jumapili to jumapili

    • @rahmaabdallah4514
      @rahmaabdallah4514 День назад

      Sasa hivi hata baba mzazi haaminiki

  • @christophermsekena616
    @christophermsekena616 День назад +39

    Masista Duu wanabarikiwa watoto ila kulea hawawezi

  • @lilianmbeyu
    @lilianmbeyu День назад +13

    Mtoto mzuri kadhulumiwa uhai,😢😢😢pole cute boy,pole mama mtoto,poleni familia,Rip.

    • @Jurbeg
      @Jurbeg День назад

      ☹️☹️☹️

  • @modricseif1018
    @modricseif1018 День назад +20

    Dunia ina watu wabaya wengi kwa kweli, malaika hna kosa lolote anauliwa bila huruma, SubhanAllah

  • @nikkimbishiunju2402
    @nikkimbishiunju2402 День назад +9

    Waendelee na mate Mbezi washenzi wakubwa!

  • @KamikaziSalma
    @KamikaziSalma 15 часов назад +1

    Kunawatu niwakatili kweli alofanya icho kitendo Mungu amlani 😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @bensonscott3491
    @bensonscott3491 День назад +7

    Daaaah nashindwa ata chakuandika Coz niko na mtoto 😢😢😢

  • @emmanuelmmbaga5209
    @emmanuelmmbaga5209 День назад +8

    Hapa kuna jambo haliko sawa , yaani boda boda awe nyumbani na mtoto ,KIVIP MBONA HAIINGII AKILINI🤔 alaf nyie mrudi asubh mkute mtoto amekufa akiwa na majeraha ....hapa kuna ukweli unafichwa , POLICE WAWACHUNGUZE KWA MAKINI WATAGUNDUA JAMBO😭😥😢 Nyakati hizi watu wameharibika.

    • @BarakaKusalula
      @BarakaKusalula День назад +1

      Kweli Inafikirisha sana lakini Je ni kweli wazazi wanaweza kuua mtoto wao wenyewe??? Au unahisi kitu gani kilisababisha kifo Cha mtoto huyo??

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 День назад +1

      ​@@BarakaKusalulaanaweza kwa kumtowa kafara ya biashara. Au baba awe na shaka kwa mtoto. Inaskitisha sana kwa mtoto kama huyu Malaika wa mungu. Inalillahi waina ilayhi rajioun

  • @Naju645
    @Naju645 День назад +12

    Mtoto unamuacha na Dereva bodaboda 😢😢😢jaman alikosa hata jiran wakike amuachie Mtoto

    • @Bintimrembo-y1v
      @Bintimrembo-y1v День назад +1

      Kuna kitu hapo si haba

    • @mwanas2
      @mwanas2 День назад +1

      hata jiran wa nini jmni si angekaa tu na mwanae unazaa ya nini kama unajua unataka kula maraha

    • @Naju645
      @Naju645 День назад

      @mwanas2 tusijifanye wema Sana jaman kutoka hukatazwi Ila Mtoto awe namtu wakumuangalia wauhakika sio wakuokota okota kisa mnajuana jujuu

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 День назад +9

    Wanawake tuangalie wanaume wakuwa nao sidhani kama huyo kaka angekuwa mtoto wake angekubali kumuacha mtoto chini ya bodaboda mwanamke mpumbavu hajajali mtoto kangalia mapenzi ....jamani ikiwa huwezi kupata mwanaume atakaejmkujali na mtoto wako bora ubaki mwenyewe 😢

    • @OdeAbedi-qo8mp
      @OdeAbedi-qo8mp День назад

      Sasa hapo mwanaume kaingia vip ,, wakt baba wa mtoto yupo Ila huyo Dem ndo kataka aish na mtoto mwisho wa cku kaenda kudanga

  • @Brunoh90Tv
    @Brunoh90Tv День назад +3

    Haya ndo madhara ya kuwa single mother😮😢

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 День назад +3

    Pumzika kwa amani mtoto mzuri ❤❤❤🙏

  • @BeatriceKitembe-gs9si
    @BeatriceKitembe-gs9si День назад +2

    Kwa kweli wee mdada unamuachaje mtt mdogo unaenda kuspend... Daaaa Yaaani sijui hayo maumivu yatakuisha lini maana labda ungetulia na mtt wako yangetokea wapi.... Daaaaaa. RIP handsome boy🙏

  • @gracengunga348
    @gracengunga348 День назад +4

    Mungu watetee watoto wetu😢

  • @Benny318m
    @Benny318m День назад +30

    Inawezekana boda alitaka kumlawiti mtoto akawa msumbufu ikabidi apigwe nabhicho kitukizito😢😢😢😢😢 Lakini pia inawezekana huyo mwanaume aliyetoka nae huyu mtoto sio wake anaweza pia kuwa sababu maana ni mala chache mwanaume kukukuta na mtoto akampokea mwanao kwa moyo mmoja

    • @SimoniThomasi
      @SimoniThomasi День назад +5

      Labda hii ndo point ila mama kutoa kafala mtoto hapana

    • @IdarousPossy
      @IdarousPossy День назад +6

      We mpumbavu nyinyi ndo uwa mnatoaga ushahid pasipokujua ukwel,unauhakik km ni boda ndo amefanya hivo? Itakuaje kama sio boda boda akawa mtu mwengine?itakuaje uwenda boda boda alitoka na akaingia mtu mwengin akafany hico...tusiwe watu wakutoa hukumu wakat hukuwepo kweny tukio

    • @Benny318m
      @Benny318m День назад +1

      @@IdarousPossy mkuu inawezekana wewe ulikua eneo la tukio leta ushahidi hapa, mpelelezi lazima awe na maswali ya kumfunga mshukiwa mshukiwa ni jukumu lake kujitetea kwa ushahidi

    • @IdarousPossy
      @IdarousPossy День назад

      @@Benny318m mim ndio nikwambie wew mtoa ushuhuda/hakimu/ ambae ulichunguza mpk hospital akapimwa mtoto ukapata majibu kua alitaka kulaitiwa hahhaha aiseee wew ni mjinga sana,...Muombe Mungu akupe hekima za kuongea ichi kimbelembele chako kuna siku utaishia jela,

    • @Benny318m
      @Benny318m День назад

      @IdarousPossy 😂😂😂😂

  • @shabanJuma-fe6wf
    @shabanJuma-fe6wf День назад +5

    Uwo ni umalaya ndio umemfanya uyo Jojo arudi asubuhi pumbavu kabisa 😢😢😢😢

  • @ivankadaudi8161
    @ivankadaudi8161 20 часов назад +1

    Nyie wa mama ivi uchungu unavo uma vile ni kweli tunafanana mm nakataa, sababu ule uchungu niliopata kwa wanangu siwezi hata ndugu yangu kumuamin kumuachia mtoto wangu dunia ilivo Isha yan,sembuse boda boda wanaovuta bangi na walevi uku kwetu we subutu. Uyo dada kamkosea sana mtoto maskin, unampaje kipaombele mwanaume ambae sio baba wa mtoto nakumuacha mwanao nyuma na boda boda kama anakupenda sana kwa nn asikuchukue na mtoto wako kwenda kula bata wakat anajua fika huna mtu wakumlinda. Jaman mungu tupe ufaham wa mama wote aise inaumiza nakutufanya tuonekane wote hatuna akili, kwa mm wanangu nilipo wapo mpaka wapate ufahamu na mungu nipe uhai nizidi kuwalinda na hii dunia mbaya iliyojaa ukatili bila huruma.

  • @benmabebajr.6551
    @benmabebajr.6551 День назад +3

    Can't believe what I learn from here. Hainiingii akili kwenda kukatisha maisha ya malaika huyo asiye na kosa. Hata kama kuna differences within or out of a family, huwezi kwenda kufupisha maisha ya mtoto. Huyo aliyefanya hivyo naye anapaswa to face the same adhabu aliyoitoa kwa huyo mtoto. Mama mwenye mtoto naamini next time hawezi kumwacha mwanaye kwa mtu ambaye anaweza kuwa questionable 🤭😭

  • @wadantz123
    @wadantz123 День назад +24

    Kihandsome MashaAllah ivi kweli mama uache mtt kwa bodaboda mliozoeana huogop ulawiti au kuibiwa mtt shame on you hustahili kuitwa mama

    • @jeremiahevodius925
      @jeremiahevodius925 День назад +2

      Ujuwi walikuwa wanaish vip na boda imani kwa boda acha kukulupuka

    • @jeremiahevodius925
      @jeremiahevodius925 День назад +1

      Mpaka mtu kuachiwa mtoto ujuwe alikuwa anahaminiwa sana

    • @wadantz123
      @wadantz123 День назад +4

      @@jeremiahevodius925 ww kwa matukio yanayoendelea Amna kumuamini mty mwisho juz tumesikia mtt wa miez 6 kabakwa na baba Ake mzaz sasa vp kwa boda boda ambae ata jina lake halisi ulijui umeamua kuzaa achana na dunia kaa Lea mtoto wako

    • @PromiseSimkwai
      @PromiseSimkwai День назад

      Huyu Jojo angekuepo ndani naamini angeuawa itakuwa ni hasira za wauaji kuamua kumuua mtoto baada ya kumkosa mama.

    • @BONGOINMOTION
      @BONGOINMOTION День назад +1

      Hawa wazazi wa siku hizi,,,kuku tu akitotoa Huwa mkali ila binadamu unaacha mtoto kichawi tu,,,matokeo yake inakuwa hivo so sad,,na unaeudi saa Moja comfortably,,na huko uliko kuwa unajichana tu ,,pole

  • @robertigohe7477
    @robertigohe7477 День назад +1

    Mwanzo 9:5-6
    Hakika damu yenu ya uhai wenu nitaitaka; na kwa mkono wa Kila mnyama nitaitaka;na kwa mkono wa mwanadamu,kwa mkono wa ndugu ya mtu nitataka uhai wa mwanadamu.
    6.ATAKAYE MWAGA DAMU YA MWANADAMU,DAMU YAKE HUYOTU ITAMWAGWA NA MWANADAMU,MAANA KWA MFANO WAKE MUNGU ALIMFANYA MWANADAMU.😭😭

  • @givenessdavid3743
    @givenessdavid3743 19 часов назад

    Pole mama na Familia yote ya mtoto. Mungu awafariji

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 День назад +7

    Wanawake kwa sasa wanathamini BATA kuliko hata IBADA.
    Unamuachiya mtoto bodaboda na huyu ulawiti ulio tapaka.

    • @Neema-qm9kk
      @Neema-qm9kk День назад

      Ni kweli. Wanawake wa sasa tunathamini kula bata kuliko kulea

  • @zaburi2386
    @zaburi2386 День назад +1

    Huyo mama wa mtoto nae ahojiwe uweke mtoto miez tisa tumbon unamuachaje kwa boda boda

  • @chizabuganilo3203
    @chizabuganilo3203 День назад +4

    HUYU MAMA NI MWEHU KWEL ANAZINGATIA URODA MTOTO KHAAAAAAA PUNGUANI KABISA

  • @jescanyange7631
    @jescanyange7631 День назад +1

    Faida ya kuendekeza mapenzi kuliko uzao wa tumbo lako . Mtoto mdogo huyo ulikuwaa unamuachaje na mtu Baki na unakaa na amani mwanao umelala mbali nae jamani hivi we mwanamke una Nini jamani wa kupigwa wewe

  • @Jamila_1996
    @Jamila_1996 21 час назад +1

    Anapata na nguvu za kupost😢

  • @dadimagoma5779
    @dadimagoma5779 День назад +1

    Ukweli usemwe tu Single mother walio wengi hawajitambui

  • @ZuhuraAthuman-u2i
    @ZuhuraAthuman-u2i День назад +1

    Hivi dunia ya leo ni mumwachia mtu mtoto kama unauza nyanya sokoni?aiseeee inaumiza sana kudhulumu nafsi ya malaika huyo mdogo asiyejua lolote ktk ulimwengu huu😭😭😭😭pole sana mama mzazi japo kuna uzembe mkubwa umeufanya kwa kujali mapenzi ya mtu mliyekutana ukubwani,,hlf cku hizi mabinti hamjuh uchungu wa mtoto sbb za Operesheni zenu na kunyonyesha hamtaki ndo matokeo yake hayo mnakuwa hamjali watoto wenu ipasavyo..lkn mungu analipa hapa hapa duniani damu ya huyo mtoto haiendi bure😭😭😭Pumzika kwa Amani mtoto mzuri😭😭

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 День назад +4

    Aisee poleni sana wazazi ushauli wangu somesheni alalbadiri kila aliehusika hata kutowa ushauli awe chizi maisha yake yote naaseme tukio alilofanya

    • @JacksonAloyce-kq6nh
      @JacksonAloyce-kq6nh День назад

      Hiyo albadiri ni mapepo tu sio mungu huyo mungu huwezi kumuamrisha akamfanye mtu fulani awe kichaa au afe yy atajibu kwa wakati wake kwahyo tumuachie mungu mwenyewe

    • @jumapiliissa4835
      @jumapiliissa4835 День назад

      @JacksonAloyce-kq6nh alalbadiri sio mapepo nimaombi ya kumuomba M/MUNGU akusaidie kumfichua alie tenda ubaya huo

  • @MahdouMomba
    @MahdouMomba День назад +2

    innaaa lillah wainnaaa ilayhi raajioun, mtoto mzuri tuu jamaa wamemfanyia ukatili huuu

  • @jescanyange7631
    @jescanyange7631 День назад +1

    Umemkosea MUNGU na huyo malaika Kwasabsbu ya uzinzi umempoteza Mtoto hii ni aibu sana Kwa mwanamke umetutia aibu wanawake wenzako jamani . Mtoto alikuwa mzuri .

  • @CatherineKabelege
    @CatherineKabelege День назад +1

    Uyo dada hana akili vizuri

  • @amriamraan2612
    @amriamraan2612 День назад +4

    Mama anajua kila kitu, huwezi kwenda kujirusha ukamuacha mwanao nyumbani na dereva boda ambae sio ndugu yako halafu usiku mzima. Huwezi kua na amani. Halafu hiyo nguvu ya kushika simu kupost picha ya mwanao aliefariki unaitoa wapi? Sema hawezi kuchukuliwa hatua sababu hilo jambo lina harufu ya ushirikina ,labda wakamatwe wauwaji waseme aliewatuma.

    • @ScolaMasao
      @ScolaMasao 12 часов назад

      Mama yake anauchungu namwanae kuliko ww

    • @amriamraan2612
      @amriamraan2612 11 часов назад

      @ScolaMasao asingemuacha na bodaboda akaenda kufanya umalaya, usikute wewe ni malaya mwenzio au ndio mganga wake uliemwambia amtoe kafara mwanawe. Hakuna mzazi mwenye akili timamu na mapenzi ya dhati kwa mwanawe akamuacha nyumbani mtoto wa miaka 6 usiku wote na kijana mliejuana barabarani tu

  • @MohamedSaidMojr
    @MohamedSaidMojr День назад +17

    Kuna kitu kimejificha nyuma ya kifo cha huyu mtoto,nahisi boda kauziwa nyumba bovu wabanwe vizuri huyo mama mwenye mtoto na huyo mpenzi wake.

  • @matataog
    @matataog День назад +6

    Kizazi cha sasa Hakina Muda wa Kulea watoto.
    Unamwachaje Mtoto na Dereva Boda...!!?

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 День назад

      Sema kizazi hakuna upendo Wala huruma , suala la kumuacha mtoto hata wewe inaweza kukutokea ukamuacha ,je utakuwa naye mazingira yote ? Shule ,kazini ,unaweza Toka tu hata dkk mbili ukarudi ukakuta tayari ubaya umetendeka 😢

    • @Thatgurl-l8n
      @Thatgurl-l8n День назад

      😢😢alafu unalala unarud asubh💔

  • @VeronicahBuhembwe
    @VeronicahBuhembwe День назад +2

    Mm hata mdogo wangu tumbo moja wa kiume siwez kumuachia watoto wangu yesu .wewe unaacha mtoto na bodaboda dah

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x День назад +2

    Mimi Simuonei Huruma Hy Mama Nasikitika Wameidhulum Nafsi Ya Mtoto Wewe Kama Mama Unakwenda Kuinjoi Eti Unamuacha Mtoto Wako Na Boda Boda Kwa Nini Usitoke Nae

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh День назад +2

    Big up sky kwa taarifaa

  • @fatmamsallam437
    @fatmamsallam437 День назад +4

    Jamani wazazi wa siku hizi wanajali starehe zao tu hawajali watoto duh yaani imeniuma Sana

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay День назад

      Swadakta tena hsa hpa kwetu oman mtu anaenda kuranda amuachia mfanyakazi mtoto yy starehe gharama

  • @ConsolataWilla
    @ConsolataWilla День назад +1

    Au basi😢😢😢😢

  • @NassormasoudHilal
    @NassormasoudHilal День назад +2

    Binadam utu umekwisha tunaelekea wapi jamani,Mtoto mdogo kama huyu hana hatia roho inauma kama mzazi.Waliofanya hilo tukio kwa Uwezo wa Mungu watabainika

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 День назад +1

    Allaah Amswameh kumuuwaaa mtoto malaikaa hanaaa dhambii kumtiyaa mama maumivuu moyonii kwakee maskini mama Allaah Ampee subrah na imani kwa kumtulizaa moyo wakeee…

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 22 часа назад

    Pole sana

  • @OscarlucasKagombogombo
    @OscarlucasKagombogombo 20 часов назад

    Ila wa bongo yan mtoto miaka6 tu muna2mia nguvu kama mnapigana na andateķa ulingon kitu kizito aitoshi kisu aitosh n.k jaman kwan daah😭😭😭😭😭😭🥱

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 День назад +1

    Mimi mtoto wangu nimuachie mtu tu nnawazimu...heri niende naye

  • @Deloveally-o8g
    @Deloveally-o8g День назад

    Daah imeniuma sana binadam ss kwan tunann tunakuwa kama wanyama xax mtt mdg kama uy amakufanya nn mpk unamfanyia ukatili kiasi iki inauma xana wallah😭😭😭

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 День назад +1

    Dah! Yani Sina comment yoyote 😢😢😢

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 День назад +4

    Mungu akupokee mtoto mzuri 😢

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj День назад +9

    Vp Mtoto mdogo umuachie bodaboda usimuache na mtu zmn nyumbani 😢jmn mtihani huu

  • @AshaRamadhani-r2o
    @AshaRamadhani-r2o День назад +1

    Jamn dada kwel inauma sana

  • @hurumamushi1059
    @hurumamushi1059 День назад +3

    Kifo ni fumbo zito saana, itoshe kusema hivyo

  • @AminaAwadhi-f5m
    @AminaAwadhi-f5m День назад +4

    Kapata wap nguvu ya kuingia mtandaoni jmn kwa kifo kma iki ni bora ata angeugua lkn mm kbsa kaweza kuingia mtandaoni kweli jmn

  • @austinfoster4512
    @austinfoster4512 День назад +3

    Trust no body 💯
    Everyone is suspect 😢

  • @FadhilaOmary-t8j
    @FadhilaOmary-t8j День назад +8

    Sio kila mtu anaweza kuwa Mama bora kwa mtoto wake

    • @ashurahatibu5069
      @ashurahatibu5069 День назад +1

      mkisema ivyo hadi amekuwa hapo nani alimlea😊

    • @mohamedlegacy255
      @mohamedlegacy255 День назад +1

      Amekosea ila naona tusiwe very harsh kwake.Kama ameweza kumlea mtoto mpaka umri huo basi anastahili kuwa mama.

    • @petercostakisoka
      @petercostakisoka День назад

      lkn kweli kbs kwann aende kula bata au matembezi mpk asbh

    • @Nanah18
      @Nanah18 День назад

      Simjui, sijui ila sidhani kama Mmama serious anaweza kufanya alichofanya huyo Dada

    • @Nanah18
      @Nanah18 День назад

      ​@@ashurahatibu5069Kuna watoto kwenye familia nyingine wamelelewa na wadada wa kazi kuliko Mama zao, Mama anajua tu kutoa hela, hata kumlisha mwanae hawezi

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 День назад +3

    Inna Lilah wainna Lilah laijun

  • @imeldamahendeka
    @imeldamahendeka День назад

    Inauma Sana saivi dunia imeisha kuaminiana hakupo jaman aisee inauma

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 День назад +1

    Alifuata utamu kasahau hadi mtoto Hawa wanawake changamoto sana!!! Kafuata bwana huyu mwanamke mbaya sana!!

  • @rumdeesonsoa1811
    @rumdeesonsoa1811 День назад

    Na usikute ndio alikuwa anae huyo huyo. Inauma sana😢😢😢

  • @AbdallahOmary-e9z
    @AbdallahOmary-e9z День назад +1

    Et pumzka kwa aman mwanangu mzuri!!!! Tunapata mashaka sana skuhiz kupata watoto moja ya sababu n hii hatujui malezi sio tu kupelekea kifo na ndo inapelekea kuongezeka hata kwa mashoga pia, yan mazngra yaliyopelekea huyo mtoto kupatwa na kifo ni upuuz uliopndukia

    • @Jamila_1996
      @Jamila_1996 21 час назад

      Yani hadi anapata na ujasiri wa kupost

  • @YunisJerald
    @YunisJerald День назад +1

    Mama unafiwa unawezaje kuandika capition eti 😢😢

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 День назад +4

    Imeniuma sana

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c День назад

    Poleni. Hii mbegu ya mauaji iliyokwishapandwa kwa wa Tza itachukua muda sana kuondoka. Na kwa jinsi Tza tunapendaga sifa kujitaja kujitaja na1 kwenye ishuz usikute kwa sasa tunaongoza kwa mambo ya utekaji na majaji

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 День назад +2

    Selkali ianze na wao

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 День назад

    dah so sad RIP mtoto mzur

  • @wangagirl3508
    @wangagirl3508 День назад

    Jamani 😢😢😢😢😢wamama kaeni karibu na watoto wenuu haya mapenzi mpya si mazuri kabisa

  • @AishaNgoyi-vi2ku
    @AishaNgoyi-vi2ku День назад

    Duuh! Hatari sana jamani

  • @geomangi6123
    @geomangi6123 День назад +1

    Apana kuna kitu nyuma ya pazia watu hatujui hapa. mimi naona hii ni deal kapangwa ikaiva.😊

  • @Sam_me01
    @Sam_me01 День назад

    Unamuacha vipi mtoto wako na mtu tu hata kama unamfaham lakini sio kitu sahihi. Yani unajiamini vipi kumuacha mtoto mdogo kama huyo eti na dereva wa boda kweli

  • @AshaRamadhani-r2o
    @AshaRamadhani-r2o День назад +1

    Mnapewa watoto lakn hamjuy kulea jmn

  • @banajuliana758
    @banajuliana758 День назад

    Mungu ampe nguvu uyu mama

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d День назад +3

    Sasa mfanyabiashara akose pesa ya mdada wa kaz kwel mpaka akamuqche kwa bodaboda haijulkan walkuwa wanaish vp 😢😢😢.Mtt mzur maskn ukute.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 День назад +1

      Siku hizi wa dada wa kazi nao kupatikana shida na wengine hawapendi kuishi na wadada ila kibongo bongo huwezi kukosa ndugu hata jirani kutoka kijijini kwenu mwenye shida ukaishi nae na mksaidiana maisha kuliko kumuachia mtu baki mtoto we kwenda kujirusha. Kumtoa kafara hata mm siamini. Nampa pole sana.

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d День назад +1

      @MsAggie5 cdhan kama ndg zake wote wanajweza au kusoma angechukua ndg yake aish nae amsaport kwa v2 vdogo vdogo dar mtt cjui kmemkuta nn ukute huyo boda nae almfungia ndan haielewek

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 День назад

      @@FatumaJumanne-p4d nimeongea na rafiki WA mama WA huyo mtoto kumbe ana house girl ambaye anamwangalia mtoto yeye akiwa kwenye shughuli zake, huko mtoto alikoenda ni kwa rafiki yake ambaye wanafahamiana na mtoto huwa anaendaga huko mala nyingi na kukaa hata wiki.......mambo ni mengi lakini mtoto ameuawa kikatili sana inatia uchungu. Naomba Mungu polisi wafanye uchunguzi vzr wampate muuaji.

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d День назад +1

      @MsAggie5 Mthan WALLAH yackukute haya ila MUNGU amtie nguvu huyo dada.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 День назад

      @FatumaJumanne-p4d sana yaani huyo rafiki yake anasema mtoto ubongo wote nje 😭 kashonwa lakini inauma kufikiria ni nani anayeweza kumshambulia malaika WA Mungu kiasi hicho hata kama alikuwa ana ugomvi na mama ake. (Mwanangu anasema huenda mdada alimchukua mume wa kidogo 😭) Umbea tu!

  • @JutheHammed
    @JutheHammed День назад

    😢😢😢😢jmn

  • @SallmaXg
    @SallmaXg День назад

    Poleni sana

  • @Rawdha-y8t
    @Rawdha-y8t День назад +2

    nimuachie mwanangu boda boda licha ya kumuua je akimbaka nyoooo

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 День назад

    Kifo ni kifo ila nimeumia sana na kifo chahuy mtot Eee Mungu kila ayehusik naomba umpatie azabu kali dunian mpk Akhera

  • @FekiHappy
    @FekiHappy День назад +2

    Unapataje ujasiri

  • @Babyzay178
    @Babyzay178 День назад

    Tulia tuishi wazuri hawaishi huuu msemo unafumbo kubwa nyieeee nimeliaaa 😭😭😭😭😭

  • @swalehemusa4546
    @swalehemusa4546 День назад +2

    Ndio wanawake wenu hao wa ckuizi nendeni kwenye maklabu uwone wanawake walivokuwa na wazimu wa kula maisha

    • @FestoMadumba
      @FestoMadumba День назад

      Wew ulienda kufanyaje huko kwenye ma club

  • @MamaKidy
    @MamaKidy День назад

    Mungu baba why binadamu tuna roho mbaya

  • @godloveemanuel1417
    @godloveemanuel1417 День назад +1

    Hao nao wazembe sana siku ya sikukuu unashidwa vipi kutoka na mtoto wako itakua huyo mwanaume sio baba mtoto

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 День назад

    Kosa kubwa kumuacha mtoto na mtu sio hata ndugu😢😢 na ame enda kudanga 😢

  • @JustineWangi-j2t
    @JustineWangi-j2t День назад +1

    Inawezekana hakuwa na uangalizi wa mtoto kazi yake kuomba hela ya matumizi ya mtoto anafanyia mambo yake kama mnabisha mtaona siku si nyingi atafulia.

  • @JACKSONFESTO-nf8ek
    @JACKSONFESTO-nf8ek День назад

    Wanajua walichokifanya

  • @nellymans-f1v
    @nellymans-f1v День назад

    Matembezi?? Usiku ?? +wine

  • @OmegaJustine
    @OmegaJustine День назад +1

    Kwanini waende matembezi wamuache mtoto na huyo bodaaa kuna namnaaa!

  • @roseafrael75
    @roseafrael75 День назад +1

    Yanai hawa wazazi wa siku hizi wanaona starehe ndo muhimu kuliko chochote,, unamwaamini vipi mtu baki tena mwanaume unamwaachia mtoto wako?? Huu ni uzembe wa hali ya juu.

  • @IreneSilayo-e2f
    @IreneSilayo-e2f День назад +1

    So painful 💔 😢 may his soul rest in peace 🙏 so sorry mom

  • @sunrisekitchen1
    @sunrisekitchen1 День назад +1

    Mtoto wa watu hana hatia jamani watu tuna roho mbaya sana

  • @saimarmuhsin9578
    @saimarmuhsin9578 День назад

    Sasa unamuachaje mtoto na boda jamani uwii eeeh Mungu tusaidie tuwe na akili

  • @chrispinantabaye4866
    @chrispinantabaye4866 День назад +1

    Wamemtoa kafara,wote watatu wanahusika kunogesha biashara,Jojo my fooot😏!

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 День назад

    So sad jamani 😢😢

  • @mesaidikazungu4299
    @mesaidikazungu4299 День назад

    Innalilahi Waina ilayhi rajiun 😢😢

  • @fatmamsallam437
    @fatmamsallam437 День назад

    Maskini mtoto mzuri Sana

  • @SimoniThomasi
    @SimoniThomasi День назад

    Aisee hii inawezekanaje jaman😢

  • @mwitasteven8759
    @mwitasteven8759 День назад

    Naomba mniwie radhi polisi chunguzeni kwa undani ikiwezekana chukka na mfanyabiashara na mwenzake tia ndani bodaboda inawezekana kawekwa bila yeye kujua auziwe msala. Watu wa siku hizi wanapenda Mali kuliko utu ukizingatia ni muda wa marejesho mwisho wa mwaka huu ni muda wa kutimiza maagano.

  • @EmmyNamoyo
    @EmmyNamoyo День назад

    Am speechless 🙊 😢

  • @Emmy-w2c
    @Emmy-w2c День назад +1

    Wazembee