MUONEKANO MPYA WA YAO 'JESHI' | AZIZ KI AMSHANGAA MAZOEZINI KMC, MWENGE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии • 99

  • @JenifaNyamhanga
    @JenifaNyamhanga 16 часов назад +16

    Msheri katisha mtuletee nyingine tuone wachezaji wengine walivoshangaa kama mzize alivonyoaga diara akawa anashangaa kinafiki😂😂😂😂😂😂

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 16 часов назад +10

    Wanafuraha wenyewe 😊😊🔰💚🖤💛

  • @ISMAILMATLE-j3n
    @ISMAILMATLE-j3n 16 часов назад +7

    Hongereni sana wana yanga yao azz ki kiukweli nawa kubali wote timu nzima ok

  • @KaswakaIsmail-du3sy
    @KaswakaIsmail-du3sy 16 часов назад +30

    Sheria za jeshi lazima zifuatwe😂

  • @RebekaTweve-s9m
    @RebekaTweve-s9m 10 часов назад +1

    😅😅🤣🤣 mambo ya gusa achia yanafanya kazi hadi nywele mnaona nzito💪👌💛💚

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 16 часов назад +6

    Hatari gusa achia itabafilisha wengi ila kapendeza sio kwa ubaya😂😂😂

  • @2while
    @2while 16 часов назад +9

    Yanga inashinda na bado chama, max, diara, musonda wote hawachezi ukiongezea na baleke duh yanga ni freemason kama unakubaliana na mimi gonga like hapa👇

  • @hemedrashid2921
    @hemedrashid2921 15 часов назад +6

    ahahahhhhahaa TUPACK SHAKUR😂😂😂😂 YAOO KWASSS🎉🎉🎉

  • @LeganNtambi
    @LeganNtambi 14 часов назад +3

    Kapendeza❤

  • @SethMpulule
    @SethMpulule 14 часов назад +4

    Azizi ki anamshauri mwenzie anyone na nyusi😂

  • @dicksonmwenyembegu2523
    @dicksonmwenyembegu2523 15 часов назад +3

    Ila Aziz😂😂 eti anamwambia Pacome akiweka dreds atapendeza😂😂

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 13 часов назад +2

    Yanga timu yangu naipenda sana❤❤❤❤

  • @fadhiliomary1802
    @fadhiliomary1802 12 часов назад +1

    Kibwana kapita Kama hawajui vileee😅😅...daaa muda mchache na mambo ni mengi Sana..... kibwana anawaza kulogwa tu muda wote

  • @stapinuswilliam860
    @stapinuswilliam860 15 часов назад +2

    Machine ya kazi Yao 🔥🔥

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 16 часов назад +4

    Jeshi letu ilo yaoyao🎉🎉

  • @HabibaKhamisi-xo8tz
    @HabibaKhamisi-xo8tz 8 часов назад

    Pacome anavyo waangalia 😂😂😂 Azizi na jeshi sijui anawaza nn😅😅😅😅

  • @OmaryMajivuno
    @OmaryMajivuno 6 часов назад

    ❤❤❤❤ good 👍👍👍👍👍

  • @HabibaKhamisi-xo8tz
    @HabibaKhamisi-xo8tz 8 часов назад

    Napenda wachezaji wanavyokuwa na furaha muda wote hongereni sanaa 🎉🎉🎉 ndo inavyotakiwa sio makasiriko tu kama majirani zetu wang'oa viti fc😅😅😅😅😅

  • @lameckkomba4827
    @lameckkomba4827 12 часов назад +1

    Kama qakanda😂💚

  • @franciscomlelwa6458
    @franciscomlelwa6458 14 часов назад +5

    Hapo safi sana tp mazembe watachanganyikiwa kabla ya kuingia uwanjani

  • @Neycent
    @Neycent 15 часов назад +2

    Unafiki tuu Aziz ki 😂😂

  • @maxmiliankadawiibalaja2198
    @maxmiliankadawiibalaja2198 16 часов назад +3

    Jeshi Lazima Kipara kihusike

  • @obedymajaliwa2040
    @obedymajaliwa2040 16 часов назад +2

    Duh! Amwupiga mwingi😂😂😂😂😂

  • @SamiraseifAlfan-ph4ke
    @SamiraseifAlfan-ph4ke 16 часов назад +1

    😂😂😂😂 aki nimechekaa sasa azizi mpka umpige mwenzio😂😂

  • @MuslihiShafii
    @MuslihiShafii 10 часов назад

    Kazi indelee

  • @EzekielKiringisho-v8u
    @EzekielKiringisho-v8u 9 часов назад

    Upara umeng'aa kama umemwagiwa chipa ya mafutaa😂😂😂😂

  • @SarahMbise-vt7jg
    @SarahMbise-vt7jg 15 часов назад +1

    Azizi anamwambia hapo inatakiwa uweke kipini puani Yao kamaindi kakwambia aaah bwana hebu segela hano ninyoa chipala kononera gere 😂😂😂😂

  • @IddNgakonda
    @IddNgakonda 12 часов назад

    Jeshi hiyo style ya upala ndivyo YENYEWE.

  • @sophiaazizingaiwa3857
    @sophiaazizingaiwa3857 11 часов назад

    Aziz ki anamshawishi jeshi atoboe pua 😂😂😂

  • @JumaMtawatawa
    @JumaMtawatawa 16 часов назад +6

    hahahahahah yanga laha sana

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif 16 часов назад

    Yanga oyeeeeeeeee daima mbele ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @msanjilajames4961
    @msanjilajames4961 15 часов назад +1

    Namuona 2Pac 😂

  • @saidmagayuka4939
    @saidmagayuka4939 10 часов назад

    Uyu sio mkude aliemnyoa upara na wembe kwasi yao😅😅

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 11 часов назад

    Allaah Akbar

  • @rachelcheyo-p5z
    @rachelcheyo-p5z 3 часа назад

    Yanga bingwa

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 16 часов назад +1

    Ila Yao Bana✅✅✌️

  • @MarinaIragi
    @MarinaIragi 10 часов назад

    Aziz Ki nae anamwambia aongeze na kipini puani 😂😂😂🤣

  • @gyestudios267
    @gyestudios267 16 часов назад +1

    alisikia azizi akimwambia unatakiwa utoboe na pua hapa chaaah

  • @TrezyNyeriga
    @TrezyNyeriga 12 часов назад

    Upendo mkubwa sana

  • @MerkizedeckChapakazi
    @MerkizedeckChapakazi 11 часов назад

    azizikii mjinga kwer eti anamwambia yao aweke kipin puan atakua staar mkubwa sikilizeni vizuri hii crip

  • @hakiba1207
    @hakiba1207 16 часов назад

    Hakiba Tone
    Nimekubari sanaa huo upaaa wa yao kwas

  • @chrissantkaunda9958
    @chrissantkaunda9958 15 часов назад

    Azizi alivyoshangaaa😂😂😂😂😂😂

  • @Mhappy5
    @Mhappy5 16 часов назад +3

    Azizi😂😂😂

  • @martinsichalwe6717
    @martinsichalwe6717 16 часов назад +6

    Eti atoboe na pua😅

  • @ibrahMhindi
    @ibrahMhindi 15 часов назад +1

    azizi anamwambia ukiongeza na pini apo aah tusha kusahau

  • @noshatv2638
    @noshatv2638 16 часов назад +2

    😂😂azizi anaongea kama kala frashdick

  • @imma_billy
    @imma_billy 15 часов назад

    Aziz ni mchochezi sana 😂😂😂

  • @MagangaJuma-w9d
    @MagangaJuma-w9d 14 часов назад

    Jeshi kama jeshi

  • @ThomasMtui
    @ThomasMtui 15 часов назад

    Sijui iyo luga lakin nimewaelewa sana

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 13 часов назад

    Kipara lazima wachezee mazembe,al hilal na mc alger.😂😂😂

  • @rich.kizza10
    @rich.kizza10 14 часов назад

    Mshery busu la kinafiki😂

  • @SOPHIASALUMU-u3b
    @SOPHIASALUMU-u3b 16 часов назад +1

    Tim ya 2ajanja

  • @KaswakaIsmail-du3sy
    @KaswakaIsmail-du3sy 16 часов назад +2

    Wow😂

  • @estonmwandondwa9021
    @estonmwandondwa9021 12 часов назад

    Jesh

  • @Tassyomy
    @Tassyomy 13 часов назад

    Hilo Para Maanina Kama Solo..😂

  • @emmaswai5653
    @emmaswai5653 16 часов назад

    KIBWANA JANDAE ATA MZIZE ALINYOA IVI NAKUMBUKA SOUTH AFRICA AMEWAKA ADI LEO KIBWANA HODI APO

  • @ElizabethFinias
    @ElizabethFinias 15 часов назад

    😂😂😂 Azizi anavyomshika put yao ukute anamwambia ungeweka na puani

  • @sophiaazizingaiwa3857
    @sophiaazizingaiwa3857 11 часов назад

    Aziz ki anamshawishi jeshi atoboe pua

  • @AnnaMzava-o2j
    @AnnaMzava-o2j 16 часов назад +1

    Safiiiii

  • @mushimadege
    @mushimadege 16 часов назад

    Leo na mm nimeelewa kifaransa

  • @JeniphaRobert
    @JeniphaRobert 15 часов назад

    🤣🤣🤣🤣 atapigwa mibao kama mzize😊

  • @Jamaammojahivi
    @Jamaammojahivi 16 часов назад +1

    Para jeshi 😂😂

  • @BenPeter-vp2cy
    @BenPeter-vp2cy 16 часов назад

    Hehehh😅 uyu isingekuwa mpira angekuwa mwizi

  • @AnnaMzava-o2j
    @AnnaMzava-o2j 16 часов назад +1

    ✅✅✅✅

  • @abuusuhayl7830
    @abuusuhayl7830 16 часов назад

    Kipara kama kipaa Cha K

  • @manasecharles894
    @manasecharles894 16 часов назад +1

    Kamekuwa kama katoto😂😂😂😂😂😂

  • @TabiaMwaisumo-ss7pz
    @TabiaMwaisumo-ss7pz 15 часов назад

    Sema kapendeza😂

  • @issahpaul4510
    @issahpaul4510 13 часов назад

    Ila Yao 😂😂🙌

  • @GodwinMtungi
    @GodwinMtungi 15 часов назад

    Jesh amekuwa komando solo

  • @antonshuuran-ru5mi
    @antonshuuran-ru5mi 16 часов назад

    Msheri ana sifa

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 15 часов назад

    Yao kama shoga

  • @tonyelshabbaz
    @tonyelshabbaz 15 часов назад

    Eti Tupac 😂😂😂😂

  • @fredFrancis-d3l
    @fredFrancis-d3l 16 часов назад +1

    Msheri ndo nn xx

  • @Yassin-z6o
    @Yassin-z6o 16 часов назад

    Huo ni UDAN'GA😅

  • @unclegmihale455
    @unclegmihale455 16 часов назад

    Kipara ngoto😂😂

  • @patsonnzogoro-sh7yb
    @patsonnzogoro-sh7yb 16 часов назад

    Njoomapele

  • @TTt-vi2ks
    @TTt-vi2ks 16 часов назад

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇧🇮🇧🇮🇧🇮💛💚💛💚💛💚🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @FaridaMussa-l2j
    @FaridaMussa-l2j 16 часов назад

    Nishampenda yaoyao siwezi ishi bila yeye😢😢

  • @jackobchavala3384
    @jackobchavala3384 16 часов назад

    😂🎉

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 15 часов назад

    😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Mudimalove
    @Mudimalove 16 часов назад +1

    ruclips.net/video/Ny6Cm7cQbLg/видео.htmlsi=rNQ-3DJdVVqKNlBG

  • @scandshighnews8417
    @scandshighnews8417 16 часов назад

    2pac😂😂

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 16 часов назад

    😂😂😂😂

  • @pro_the_dj
    @pro_the_dj 16 часов назад

    😂😂

  • @salumukatani03-u8b
    @salumukatani03-u8b 14 часов назад +1

    😂😂😂😂😂

  • @FaridaMussa-l2j
    @FaridaMussa-l2j 16 часов назад

    😂😂😂

  • @PriscusKimath
    @PriscusKimath 16 часов назад

    😂😂

  • @mgenimoosa5252
    @mgenimoosa5252 13 часов назад

    😂😂😂😂

  • @AmosShija-w2o
    @AmosShija-w2o 13 часов назад

    😂😂😂😂

  • @RahmaAlly-y1f
    @RahmaAlly-y1f 9 часов назад

    😂😂😂😂😂😂