MY DAUGHTER I ep 11 I

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии • 363

  • @baloziwaMamtukuna
    @baloziwaMamtukuna 17 часов назад +15

    Clam hii movie nikali sana kaa mnakubaliana na mm naomba ulike

  • @Shukurubigirimana-g5s
    @Shukurubigirimana-g5s 17 часов назад +45

    Wa kwanza kutoka Congo RDC les congolais 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 manifester vous

  • @Ticah_Tz
    @Ticah_Tz 17 часов назад +9

    Ngoja nijaribu kuwahiii😂😂😂😂

  • @Denoohcomedy
    @Denoohcomedy 17 часов назад +16

    WA kwaza tena tafathali naomba nafasi ya kuigiza kwako clam
    Kutoka Kenya

  • @salumualoyce5620
    @salumualoyce5620 17 часов назад +13

    Huyu jamaa Clam Vevo jaman movie zake zinaelimisha mno, haya maisha ya humu yapo live kabisa kwenye jamii zetu.

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 17 часов назад +19

    My daughter inazidi kupamba moto sio poa 🔥🔥🔥umetisha sana kaka 🙌

  • @Mwanamisi-q2v
    @Mwanamisi-q2v 17 часов назад +9

    Yaani dakika saba tu hamchelewi😂😂😂

  • @FattyDapetty-tj9vr
    @FattyDapetty-tj9vr 17 часов назад +9

    Mapema sana tunaluka nayo❤❤❤🎉🎉🎉

  • @nobletz
    @nobletz 17 часов назад +12

    Clam video zako zimenyooka sana kaka nakuona mbali sana upewe maua yako ❤❤❤❤

  • @filexingutia3620
    @filexingutia3620 17 часов назад +20

    Wakenya wangu jamani 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nimewakilisha, Kakamega 🇰🇪

    • @sipiliankwamboka5193
      @sipiliankwamboka5193 16 часов назад

      Pia mm hapa nmewakilisha kutoka Kisii,embarambamba mwenyewe 😅😅

  • @HudhaimaYussuf
    @HudhaimaYussuf 17 часов назад +7

    Nilijua wamwanzo kumbe kama wote 😂😂😂😂

  • @Gaki_01
    @Gaki_01 17 часов назад +11

    Daaah nikajua me ndo wa kwanza kuiangalia😢😢

  • @calebkiprotichjelulesenior2017
    @calebkiprotichjelulesenior2017 17 часов назад +12

    Ongera bna clam watching from bomet, Kenya

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 17 часов назад +6

    Napenda sana clam vile hucheleweshi kazi❤🎉

  • @wafulathevillageboy
    @wafulathevillageboy 17 часов назад +8

    Good job vevo..wapi likes za wafula movies Kenya

  • @salmasalam3268
    @salmasalam3268 17 часов назад +13

    Tunasubiri mwka mapya tujuane🎉🎉🎉

  • @RommyDekizzy729
    @RommyDekizzy729 17 часов назад +8

    Aya ngoja niseme namimi nimewahi sasa 😂😂😂

  • @EusébioisaiaspauloPaulo
    @EusébioisaiaspauloPaulo 17 часов назад +8

    Wa kwanza leo..good job vevo in moz

  • @jerominalfonce
    @jerominalfonce 17 часов назад +7

    Hapo mwishon na hisi itakuwa ndoto huyo dada anaota 😂 ila movie 🎉🎉

  • @calebkiprotichjelulesenior2017
    @calebkiprotichjelulesenior2017 17 часов назад +11

    Wapi like zangu the first to watch from capital city of Africa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @maimunfaridah5448
      @maimunfaridah5448 17 часов назад

      😁😁😁😁🤣😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 i love my country

  • @shabsoomary2514
    @shabsoomary2514 17 часов назад +12

    Kim sasa hivi umepata mwili ase pesa nzur😂😂😂😂😂😂

    • @ZenaKambi-d6n
      @ZenaKambi-d6n 16 часов назад

      sio mwili to na kuji criim ana jicriim 😂😂😂

    • @rehemajulias-p9c
      @rehemajulias-p9c 16 часов назад

      😂😂😂😂😂😂😂 na brichi anapaka​@@ZenaKambi-d6n

  • @ziro-creativity
    @ziro-creativity 17 часов назад +8

    I say pongezi sana naipenda sana kazi yenu

  • @MrishoPazi
    @MrishoPazi 17 часов назад +8

    Leo wa kwanza mm kutoka to like za vevooooooooo apa

  • @Kurtcmfalme
    @Kurtcmfalme 17 часов назад +6

    Alafu mniambie mwakatobe mlimpeleka wapi😂😂😂

  • @kipandezegreat7652
    @kipandezegreat7652 17 часов назад +5

    Hii bora zaidi yaoooo🎉

  • @DjsimpleAlitchoki67
    @DjsimpleAlitchoki67 17 часов назад +7

    Na comment toka congodr mwaka mpya kwa wote

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 17 часов назад +9

    Happy new years vipenzi nawapenda wte 🎉❤❤❤

  • @Rukua-i3o
    @Rukua-i3o 17 часов назад +2

    Umetoka kwa CHADO ukaenda kwa Donta tv umerud kw my daughter 😂😂😂😂😂😂hd raha ❤❤❤❤❤ ety nimeolewa na wanaume 24 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @KelvinBaraka-io7yb
    @KelvinBaraka-io7yb 17 часов назад +13

    Clam hatar sanaa🎉🎉🎉

  • @JosephMutembei-y2n
    @JosephMutembei-y2n 17 часов назад +3

    Wakwaza kitoka Kenya 🇰🇪 ❤❤❤ nipee like zangu banaaa😅😅 CLAM NAKUPENDA SAANA BROO WANGU GOOD JOB SIR LIKE ZANGU KUTOKA KENYA NAIROBI ❤❤PLEASE

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express 16 часов назад +4

    ABINIMBI usije kutumia mikorogo 🙏 weusi wako ni zawadi kubwa kwako 🤝🏆 unapendeza kama Wahindi wa Kusini

  • @Shukurubigirimana-g5s
    @Shukurubigirimana-g5s 17 часов назад +7

    Naombeni like mimi hapa wa kwanza kutoka Muji wa Goma

  • @DavidIssa-hj2oz
    @DavidIssa-hj2oz 17 часов назад +6

    Wa kwanza nipeni like zangu tafadhali 🎉🎉🎉

  • @JacksonNgede-k4q
    @JacksonNgede-k4q 17 часов назад +3

    Nakubalii huyu dada pia apew maua yake anawezaa

  • @muzihilipiusdaudi6792
    @muzihilipiusdaudi6792 17 часов назад +5

    Na mm wakwaza Leo second ya 12❤❤❤

  • @Rehema-h6t
    @Rehema-h6t 17 часов назад +12

    From oman gys like zangu jaman 🎉❤wa kwanza leo

  • @ibrahimmalata418
    @ibrahimmalata418 17 часов назад +6

    Mimi wa kwanza leo jamani nioneni hapaaaaaaa😅

  • @bongoherbstv6893
    @bongoherbstv6893 17 часов назад +3

    Sawa wote humu nyinyi wa kwanza hakuna wa mwisho..haya faidini

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 17 часов назад +9

    Abigail ana sauti nzuri mnoooo ❤❤❤❤

    • @monysanga7516
      @monysanga7516 16 часов назад

      🎉🎉🎉🎉🎉
      Hamjatucheleweshea leo

  • @NathanLukambinga
    @NathanLukambinga 17 часов назад +4

    hatari sana hapo mwishoni😀😀😀

  • @JustinBonaneharerimana-zg1td
    @JustinBonaneharerimana-zg1td 17 часов назад +4

    wakwanza mimi toka congo🇨🇩🇨🇩 Goma

  • @kinarachimbi5095
    @kinarachimbi5095 17 часов назад +2

    Kazi safi claam🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 16 часов назад +2

    Suda vevo punguza uchawi😅😅

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express 16 часов назад +1

    Kipande cha huyu mzee anayeishi na kivuli kimeongeza mvuto na uhondo ktk tamthilia hii ❤

  • @AimanAimanRashid-gq3gc
    @AimanAimanRashid-gq3gc 17 часов назад +12

    Kama unamkubali clam gonga like apaaaa

  • @MiujizaNiyonzima
    @MiujizaNiyonzima 17 часов назад +3

    Achaniwe wakwanza leo okay 👍 🎉

  • @mkariwanyota5222
    @mkariwanyota5222 17 часов назад +4

    Nakubari kaka 👊👊🇹🇿

  • @mametemokili4363
    @mametemokili4363 17 часов назад +3

    Wa kwanza from Kenya 😊

  • @Titilove-c6z
    @Titilove-c6z 17 часов назад +7

    Yani CLAM nakukubali 🫡 vile ma views ziko zinamiminika mu daika 3 palikuwa pamesha ingiya 1500 duuuu wewe ni kiboko

  • @phinny_b3639
    @phinny_b3639 17 часов назад +4

    Leo mimi wakwanza kama unamjubali clam nipe like zakutoshaa

  • @kalebeMmangyu
    @kalebeMmangyu 17 часов назад +5

    Nimechelewa leo naomba like nipo usa🇺🇸

  • @ZalikaHamy
    @ZalikaHamy 17 часов назад +2

    ❤❤❤ nawapend wot jaman

  • @MwanengoMbogo
    @MwanengoMbogo 17 часов назад +4

    Wakwanza Kuona hii

  • @funnyvideo-j2n
    @funnyvideo-j2n 17 часов назад +1

    nimekubali hii movie sana FROM usa🥰😍😍❤

  • @DelphinAmani-i1i
    @DelphinAmani-i1i 17 часов назад +2

    Wakwanza kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 naomba likes jameni

  • @titusmwange4988
    @titusmwange4988 17 часов назад +4

    Kazi safi nikiwa Nairobi Kenya wabongo mnatufraisha Sana na kazi zenu

  • @FahimuFarao
    @FahimuFarao 16 часов назад

    Daah hii move mi ata siiyelewi yaani ni tofauti na ilivoanza kbsaaaa ilivoanza ilikuwa nzuri saiv naona ndvy sivyo

  • @Patrickshukuru-l1e
    @Patrickshukuru-l1e 16 часов назад

    wakongo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tuko Tano kwa tano We ni 🤴🤴🤴🤴 of movie from tz, 🎉🎉🎉🎉💪💪

  • @TimaBofulo
    @TimaBofulo 17 часов назад

    Napenda snaa calm vevo n wenzko kutokea 🇰🇪 🇰🇪 🎉🎉🎉❤❤

  • @TanashaPamelah
    @TanashaPamelah 17 часов назад +3

    Atakae soma hii comment Mungu amfikishe mwaka unaokuja salama 🙏♥️

  • @Cheusi_media
    @Cheusi_media 17 часов назад +3

    Big up kwa Wote tunaozid kitoa saport kwa BIG BROTHER CLAM VEVO 🎉🎉 mimi Cheusi naomba tuwe na moyo wa kuzidi kutoa support kwa kila kaziii .. MUNGU atuvushe huu mwaka LAHAULAAA ❤❤

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 17 часов назад +1

      Lahaula cheusi nakubali sana unavosapoti wenzako❤🎉

  • @CASIMIROVEVO
    @CASIMIROVEVO 17 часов назад +3

    WAKWANZA LEO KUTOKA MOZAMBIQUE 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @MariamMustafa-w8e
    @MariamMustafa-w8e 17 часов назад +2

    Mimi wa kwanza mnipe like zangu

  • @salmasalum9946
    @salmasalum9946 17 часов назад +2

    Wa kwanza from zanzibar

  • @dulakibali
    @dulakibali 17 часов назад +1

    Dah leo kwa mara ya kwanza 🎉🎉🎉😊

  • @ErvinMaridofu-f1l
    @ErvinMaridofu-f1l 16 часов назад

    Nami na furai Sana Ku Pata mwenzangu toka Congo Rdc

  • @AloisTarimo
    @AloisTarimo 17 часов назад +1

    Wa kwanzaaa😅😅🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

  • @chadrackrunogeza3302
    @chadrackrunogeza3302 17 часов назад +1

    Kutoka Drc kalemie wa kwanza naombeni likes zangu bwana CLAM ❤❤❤🎉🎉

  • @Jaydanny_Chawaboy
    @Jaydanny_Chawaboy 17 часов назад +2

    John hakimbilikiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😢

  • @HUpendo
    @HUpendo 17 часов назад

    Ixhilini na nne wana umee kwa xhimo moja😂😂😂😂

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 16 часов назад

    Mashallah ❤❤❤❤❤❤mungu awajalie sana washilika

  • @AyoubKhan-k3l
    @AyoubKhan-k3l 17 часов назад +3

    Jaman naombenii like zanguu

  • @alencleophace2182
    @alencleophace2182 16 часов назад +1

    Kim you have black natural beauty congratulations to you

  • @Marty-z8q
    @Marty-z8q 16 часов назад +1

    Sisi sote ni family ya Clam VEVO gonga like my all friends

    • @Marty-z8q
      @Marty-z8q 16 часов назад +1

      ♥️♥️

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 17 часов назад +1

    Kivuli alichoka kuteswa kumbe 😢😢😢😢

  • @World11-m4o
    @World11-m4o 17 часов назад +1

    Am from Kenya napenda video zako bro 👏

  • @DevJon-v6f
    @DevJon-v6f 17 часов назад +1

    Mimi hapa wa kwanza, kutoka 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @japhetrunya04
    @japhetrunya04 16 часов назад +1

    Wa kwanza kutoka kenya likes kwangu piaaa

  • @johnsabu-co7fb
    @johnsabu-co7fb 16 часов назад

    Huyu Mzee ananogesha sna movie mzingatie ila nakukubali sana vevo hakuna kupowa

  • @adaletemleteboy8092
    @adaletemleteboy8092 17 часов назад +1

    Cjawa wa kwanza lkn leo nimewai🎉🎉

  • @lidamudy2842
    @lidamudy2842 16 часов назад +1

    From 🇧🇮nipe like kama unamkubali hi movi

  • @ElianeNininahazwe
    @ElianeNininahazwe 16 часов назад

    Eti aliikuwa anakutania Kim😀😀😀subiri yakukute

  • @Kurtcmfalme
    @Kurtcmfalme 17 часов назад

    Hila hongereni kwa kazi nzuri clam naaminia ujai tuangushaga 🎉

  • @sharonnanjala3461
    @sharonnanjala3461 16 часов назад

    Nzuri sana natakana mtoe haraka haraka maana nashindwa kusuburi mda mrefu😢

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 16 часов назад +1

    Asalaamu walekum bwana yesu asifiwe yeyote atakayesoma hii coment uwe na maisha marefu ❤😂🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲😊

  • @HafswaBakar
    @HafswaBakar 16 часов назад

    Dah! Jaman naogopa sana kuangalia huu mchezo😢😢😢

  • @mtendebeachzanzibar
    @mtendebeachzanzibar 17 часов назад

    Watu wa clam naona mupo faaaasta kwa kweli

  • @TemboMjeshi-k4c
    @TemboMjeshi-k4c 17 часов назад +2

    Wa Kwanzaa

  • @OfficialMaxKing
    @OfficialMaxKing 17 часов назад +2

    Wakwanza Mimi Leo Kutoka USA 🇺🇲 Nahomba like hata 100 Tu ❤❤❤

  • @ndayisabaneema9514
    @ndayisabaneema9514 17 часов назад +1

    Hatimae leo nimewahi 😂😂kama wengine nami like

  • @TheyoungDreams-mv2of
    @TheyoungDreams-mv2of 17 часов назад +1

    Wa kwanza mumipe like zangu 🔥🙏😁🇧🇮

  • @HajraDame
    @HajraDame 16 часов назад

    Kwanza nimecheka kwenye boda boda kim😂😂😂😂😂😂

  • @ZubedaMbegu
    @ZubedaMbegu 16 часов назад +1

    Lahaula kim😂😂😂

  • @SalamaTaura
    @SalamaTaura 16 часов назад

    Mwenzio kaolewa na wanaume 24 😅😅😅😅we huogopi

  • @SharonKemunto-f4y
    @SharonKemunto-f4y 17 часов назад +1

    Wa kwanza leo kutoka Kenya 🇰🇪 naombeni likes

  • @ManuelV-z2q
    @ManuelV-z2q 17 часов назад +2

    Kama unaipenda hii movie ya clam like moja 🇲🇿

  • @AmisiAkilimali-i7h
    @AmisiAkilimali-i7h 17 часов назад

    Tuko pamoja apa Congo🇨🇩/ Kalemie Clam Vevo❤

  • @MR_RAMSATZ
    @MR_RAMSATZ 17 часов назад

    kaka clam kazi iendelee hata wakileta majungu kwakoo

  • @eyshazybeauty
    @eyshazybeauty 17 часов назад

    Tunashukuru kwa move nzuri cram vevo

  • @SuarezbyaombeComijek-k9b
    @SuarezbyaombeComijek-k9b 16 часов назад

    Kitu kizuli sana Ila hongeza dakika ❤❤❤❤❤