MKOBA WA MAMA Episode [ 22 ] {S2 } Tradition & Love story

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 155

  • @ShariphaSaid
    @ShariphaSaid 18 дней назад +3

    Halima halima halima nakuita mala 3 unakipaji kizuri na unavaa uhusika sana Mungu akupe maisha marefu na yenye balaka❤🙏

  • @sabraMakwaya
    @sabraMakwaya 18 дней назад +3

    Ila hata Hao vijana wenzie na kidari nawapa maua Yao jamani nimewapenda sana🎉🎉🎉

  • @JasintaSalum-p9k
    @JasintaSalum-p9k 18 дней назад +6

    ZAKAYO, VAITO ❤❤❤❤❤ NAWAPENDA SANA

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 18 дней назад +9

    Halima kushangaa gan huko 😂😂😂😂😂umeniudhi khaaaaaa

  • @NshomaSayi
    @NshomaSayi 18 дней назад +2

    tunaomuangalia vaito gonga like 🎉🎉🎉🎉

  • @taleboychannel9448
    @taleboychannel9448 18 дней назад +18

    Dahhhh!!! Jaman nimewahi leo wakwanza, kama unamkubal Vaito dondosha like yako hapa kwenye hii comment ili mungu amlinde na maadui zake❤

    • @salmasalum9946
      @salmasalum9946 18 дней назад

      @@taleboychannel9448 hongera taleboychannel kwa kupata like nyingi kuliko sote sisi washiriki wenzako

    • @salmasalum9946
      @salmasalum9946 18 дней назад

      @@taleboychannel9448 nakuongezea na ya kwangu

  • @JasintaSalum-p9k
    @JasintaSalum-p9k 18 дней назад +5

    Zakayo please 🙏🙏🙏🙏 tuna kutegemea cn usije ukatuangusha na ww kama samir, na kakomon

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 18 дней назад +5

    Alima pole sana mana sikwakofi ilo ila Tofa Mungu anakuona😢

  • @angelraphael4500
    @angelraphael4500 18 дней назад +3

    Kaka Tanu hii movie ni kali mnooó season 1 mpaka sasa haijawahi kupoa kwakweli 🎉🎉🎉🎉🎉hongereni sanaaa❤❤❤

  • @EVEFILMS-s2s
    @EVEFILMS-s2s 18 дней назад +3

    Nimemmiss mwakatobe jamani

  • @JohnChibanhila-ld6vv
    @JohnChibanhila-ld6vv 18 дней назад +8

    Safi sana kwa kupost kazi zako mfululizo bila kuchelewa kama mwanzo had siku 5 zipite Ila sasa naona mabadiliko safi sana Endelea hivyohivyo wewe na Team yako kwa ujumla hongereni sana,Tupo pamoja🇹🇿🔥🙏

  • @gloryjohn4531
    @gloryjohn4531 18 дней назад +6

    Wahuni wakajua kuna muhuni kashaleta zesheni😂😂

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 18 дней назад +31

    Nilikuwa nishapoteza tumani😂😂😂 jamani sijamuona baby dakika za mwishooo ndo namuona😂😂😂😂😂 much love vaito❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉 siwezi kuish bila vaitooi jamani mieee 😂😂😂😂😂

  • @JasminKilimo
    @JasminKilimo 18 дней назад +4

    Vaito uko vizuri

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 18 дней назад +9

    Mzigo umeachiwa saa 4:56 naushuhudia unavoingia mjini you tube😅😅😅

  • @IradukundaCharlene-u6c
    @IradukundaCharlene-u6c 18 дней назад +12

    Tanu naomba like toka uanz niko nawew hujawai nip lik tok Burundi

    • @tanuplus
      @tanuplus  18 дней назад +4

      Sawa boss

    • @annamwaka2326
      @annamwaka2326 18 дней назад +1

      ​@@tanuplustunachojua wewe Tanu toka unaanza ulikua na sabla sasa uyu anasema mlikua wote duu

    • @salmasalum9946
      @salmasalum9946 18 дней назад +1

      @@tanuplus hahahaha !!! Hongera kwa kuheshimu followers wako👍❤️

  • @MessyProsper
    @MessyProsper 18 дней назад +2

    Yani kaka tanu upo juu sana endelea hivy hivy

  • @ISSACKFRANK
    @ISSACKFRANK 18 дней назад +19

    Kwahiyo toka mbwela amuage mke wanke anakuja mjini kumtafuta mganga mbk leo hajafika et

    • @tiffahjuma1970
      @tiffahjuma1970 18 дней назад +5

      😂😂😂😂😂bado yuko njian

    • @SarahLekinado
      @SarahLekinado 18 дней назад +5

      Bora ata umekumbuka kuhusu mbwela jamani

    • @Samiasasha
      @Samiasasha 18 дней назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂bado

    • @SwalehSaibu
      @SwalehSaibu 18 дней назад +2

      Aisee nilishasahau kabisaa😂

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 18 дней назад

      😂😂😂na mm nilijiuliza kitambo leo ndo unanikumbusha

  • @Mumfortune
    @Mumfortune 18 дней назад +2

    Adui wa mwanamke n mwanamke 😂😂😂😂😂😂akii Saha😂😂😂😂🙌🙌

  • @AbdulrazaqueNfaumeAli-s4u
    @AbdulrazaqueNfaumeAli-s4u 18 дней назад +7

    Wakwanza jamen naomba like 🎉 from mozambiqui 🇲🇿

  • @EdwardMolell
    @EdwardMolell 18 дней назад +5

    Naona gurudum likisonga vizuri sana

  • @WaithiraGift
    @WaithiraGift 17 дней назад +1

    ❤❤❤naomba like yako mpenzi Mhina...ila staki mbegu ya mwanga😂😂😂😂

  • @simonmachuka
    @simonmachuka 18 дней назад +4

    Muwache kutupima akili ,
    Alima anamuona tanu eti akikimbia Hadi hapo alikua anampotelea mtu anatembea anakupotelea aje na unakimbia

  • @AshuraHassan-w3s
    @AshuraHassan-w3s 18 дней назад +4

    Halima bwana alipigwa shen ganda

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 18 дней назад +4

    Mama vijacho wanachambana tena

  • @gloryjohn4531
    @gloryjohn4531 18 дней назад +5

    Mzee wa fyuuuuu😂😂😂mapombe kaa mbali na huyo vaito

  • @salmasalum9946
    @salmasalum9946 18 дней назад +5

    Da Halima wanakufanyisha mazoezi tu

  • @Teddy-k9o3v
    @Teddy-k9o3v 18 дней назад +3

    Zakayo huyu nisawa na zakayo yuleeee aliyecheza
    Movie ya yesu😅😅😅
    Afu zakayo huyu huyu anafanana na mcheza mieleka mmoja hivi anaitwa Exvier Wood 😅😅

    • @Mustykhan
      @Mustykhan 17 дней назад

      😂😅🙏🥰🤝😂

  • @Samiyabahatinanti
    @Samiyabahatinanti 18 дней назад +4

    Vaito weye nimamba alima maskini😢

  • @BrownOffset
    @BrownOffset 18 дней назад +4

    Kaka tanu me nataka like yako tu maan tumeanza wote toka season 1

    • @AliIddi100
      @AliIddi100 18 дней назад +1

      Alikufa Tanu labda wake tofa

    • @tanuplus
      @tanuplus  17 дней назад

      Asante

  • @InfoMwamba
    @InfoMwamba 18 дней назад +7

    Vaito we noma saana

  • @NuuhIslamic
    @NuuhIslamic 18 дней назад +8

    The first time nakuwa wa kwanza kukiangalia kipara cha tanu😂😂😂 naombeni maua yanguuuu

  • @LusianaKomba
    @LusianaKomba 18 дней назад +4

    Tunaomkubali faita tujuane

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 18 дней назад +8

    Salha kimekuramba unanuniya watu nyote mlitaka zawadi kwa muhina amewapatiya sasa nini dada salha ?halima alikukanya ukamuona adui mkubwa bila kuchunguza sasa nyote mnazawadi za muhina 😂😂😂😂

    • @cristaezekiel1036
      @cristaezekiel1036 18 дней назад +2

      😂😂😂😂Tena bora hawa kahongwa sana 😂😂😂kala

  • @zenamiraji5325
    @zenamiraji5325 18 дней назад +4

    Safiii. Sana munawahi kutoa ❤❤❤❤❤ from Dubai

  • @zhonxheylions9752
    @zhonxheylions9752 17 дней назад +1

    Tanu unajua sana Natamani kuja Dm kuelezea vizuri sema tu ndo sijui unaingilia wapi msema ukweli mpenzi wa mungu sijui kabisa DM unaingilia wapi ila maua upewe Kuna ukanumba mwingi sana humu ndani nauona Kiufupi chakuongezea sikioni na chakulunguza sikioni yaani uko full mzee Baba Yafaa tukuite Anord jeni au iLe ya Prideta umeuwa sana season 1 mpaka huku kwenye season 2 moto ni ule ule huna baya kaka mungu azidi kukupa afya njema ili nasi walaji wa matunda yako Tuzidi kunenepa bruh.🎉🎉🎉😂

  • @khalidmwinyi1981
    @khalidmwinyi1981 15 дней назад +1

    Zakayo big up❤❤

  • @JamilaSalim-k5g
    @JamilaSalim-k5g 18 дней назад +5

    Khaaa😂😂 wenye mimba simpigane basi

  • @VasilinOmar-td7eg
    @VasilinOmar-td7eg 18 дней назад +5

    Ila da halima usije dondosha maziwa hayo mana si kwa mbio hizo

  • @princeGabriel-u2q
    @princeGabriel-u2q 18 дней назад +4

    Wananifurahisha kwanza ✌️ tanu bwana ah ni noma

    • @tanuplus
      @tanuplus  18 дней назад +4

      Asante

    • @princeGabriel-u2q
      @princeGabriel-u2q 18 дней назад +1

      @tanuplus 🇨🇩🇨🇩 🇨🇩 nipo youtube kila Siku nahishunga bro

  • @AgnesMasoud
    @AgnesMasoud 18 дней назад +2

    Ila zakayo ni hams boy😅😅😅

    • @Mustykhan
      @Mustykhan 17 дней назад

      😂😅🫣🫣🥰🙏🙏🤝

  • @anitakerubo-x7e
    @anitakerubo-x7e 18 дней назад +1

    Vaito na mapombe hio biff😂😂😂 kali🎉🎉🎉

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 18 дней назад +10

    😂😂😂😂😂Mie vaito ananichekesha anavyoongea 😂😂😂😂😂😂😂

  • @gloryjohn4531
    @gloryjohn4531 18 дней назад +1

    Ndio salha mpe makavu nae huyo hawa😂😂😂😂ila muhina noma sana😂😂😂🎉🎉🎉

  • @swabramulanga2851
    @swabramulanga2851 18 дней назад +1

    😂😂ila halima jamani alikua anakitafuta😂😂😂❤❤❤kazi nzuri sana

  • @SamAlone-h8n
    @SamAlone-h8n 18 дней назад +3

    Kaz kaz

  • @JacobKithuka
    @JacobKithuka 17 дней назад

    apo apo nawatambua sana naitwa jacob kutokakenya mauwa kwenu kaka tanu🎉🎉🎉🎉🎉

  • @TheophileNiyonkuru-g1s
    @TheophileNiyonkuru-g1s 18 дней назад +3

    Wa kwanz kutok Burundi

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 18 дней назад +1

    Naupenda sana mkoba wa mama❤🎉

  • @MonahAbdull
    @MonahAbdull 18 дней назад +2

    mutalambwa nyote😂😂😂😂😂

  • @TheophileNiyonkuru-g1s
    @TheophileNiyonkuru-g1s 18 дней назад +3

    Burundi

  • @MkayulaDavid
    @MkayulaDavid 18 дней назад +1

    Jiwe la kufunga mwaka hili🎉🎉🎉🎉

  • @ZanaaIssaa
    @ZanaaIssaa 18 дней назад +1

    Ww.dada.Acha.kuuwa.utabeba.dhambi.zake

  • @BeniHavyarimana
    @BeniHavyarimana 18 дней назад +1

    Kazi zuri kaka🎉🎉

  • @gloryjohn4531
    @gloryjohn4531 18 дней назад +1

    Salha uwezo wa kumuua muhina hauna😂😂😂

  • @salimkombora2742
    @salimkombora2742 18 дней назад +1

    Nakukubali sana chuma

  • @smartlovemediasministries
    @smartlovemediasministries 18 дней назад +3

    Watching from Kenya

  • @jofreymzungu2874
    @jofreymzungu2874 18 дней назад +1

    team tanu plus+nakubali 👊🎉🎉🎉🎉

  • @Badablaise-vc6zu
    @Badablaise-vc6zu 17 дней назад +1

    Vaito namba1❤❤❤❤

  • @WaithiraGift
    @WaithiraGift 17 дней назад

    Tandu naomba like yako❤❤#Naaarabuuu

  • @RehemaMwango-xy8qo
    @RehemaMwango-xy8qo 17 дней назад +1

    Miss u vaitoh

  • @JonathanChacha-tj9hj
    @JonathanChacha-tj9hj 18 дней назад +1

    Wivu tu kwa wakewenza

  • @Awoshy
    @Awoshy 18 дней назад +3

    🔥🔥🔥🔥

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 18 дней назад +1

    Umeona mambo hayo🎉🎉🎉🎉🎉

  • @IrakozeAssia
    @IrakozeAssia 18 дней назад

    Siku mutarud kijijin munabie maan mjin mim sipawez😢😢😢

  • @Yusco_Rhynova
    @Yusco_Rhynova 17 дней назад

    #TANU UNAJUA SANA BRO JAPO HUPEWI HESHIMA YAKO MPANGILIO WA MATUKIO MPAKA STORY YENYEWE UKO VIZURI ILA NAIMANI IPO SIKU HESHIMA YAKO UTAPEWA WANAOPEWA HESHIMA SAHIVI BAADHI HAWA DESERVE ZAIDII YA KUPEWA PROMO NAKUONA MBALI SANA SIKU MOJA🙏

  • @RendinaaEliabi
    @RendinaaEliabi 18 дней назад +3

    Mmetuibia dakika 3 kututizamisha kitu tulichokiona sijapenda

  • @Cheedinvestment
    @Cheedinvestment 18 дней назад +1

    Wakwanza kutoka congo

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 18 дней назад +1

    Movie Kali Sana big

  • @SamirThabit-pt5mx
    @SamirThabit-pt5mx 18 дней назад +1

    Muhiinaa anagonganisha magariii😂😂😂

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 18 дней назад +1

    Leo wa kwanza tanu uwiiiiii🎉🎉🎉🎉

  • @gadafimuemede2985
    @gadafimuemede2985 18 дней назад +1

    Wakwanza Leo from 🇲🇿🇲🇿

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 18 дней назад +1

    Haya kazikazi🎉🎉

  • @sarahdonte2183
    @sarahdonte2183 18 дней назад +3

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @isaackfaraja3956
    @isaackfaraja3956 18 дней назад +1

    Kazi nzur sana

  • @gogofrema1315
    @gogofrema1315 18 дней назад +1

    Nyie watu hamulalagi.

  • @AminaRamadhan-h1o
    @AminaRamadhan-h1o 18 дней назад +1

    Njoeni jama ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Rebel25445
    @Rebel25445 18 дней назад +1

    Tanù kàzi njema

  • @NivahBuyayi
    @NivahBuyayi 18 дней назад +1

    Tanu mwenyewe

  • @domysulley1887
    @domysulley1887 18 дней назад

    Huyu mjinga salha anafanya nn haeleweki bora msimuweke afu anakaa muda mrefu tuu

  • @SaidiYusuphOggar
    @SaidiYusuphOggar 18 дней назад +1

    Fest

  • @RashidMussa-q4c
    @RashidMussa-q4c 18 дней назад +1

    Hongerani sana

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 18 дней назад +1

    Mashallah ❤❤❤❤❤❤

  • @ValentineChepkemboi-jt7it
    @ValentineChepkemboi-jt7it 18 дней назад

    Halima unajistaki kwa Today kwamba unamfatilia ona sasa Kofi umepewa😂

  • @NajmaRajabu-y8b
    @NajmaRajabu-y8b 18 дней назад +1

    Tanu apoi 🔥🔥🌹🌹

  • @FatumaMwaravino
    @FatumaMwaravino 18 дней назад

    Leo ndo mapema kabsa 😂😂😂

  • @AsuniAbdillah
    @AsuniAbdillah 18 дней назад +1

    Watu mkochapu nilidhani ntakua wakwanza mimi 😂

  • @EzekiaMsemwa-sk7ow
    @EzekiaMsemwa-sk7ow 18 дней назад

    Ila halima wwni chizi unamfukuzia wakati ulikuwa nae😅😅

  • @EzekiaMsemwa-sk7ow
    @EzekiaMsemwa-sk7ow 18 дней назад

    Kweli wa bush ni wa bush

  • @LilianAchieng-j3x
    @LilianAchieng-j3x 18 дней назад

    Sina usemi mm🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Ekerenga045
    @Ekerenga045 17 дней назад

    Happy because of your work🎉

  • @SharfaFarhan
    @SharfaFarhan 18 дней назад +3

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @BrainMbihi
    @BrainMbihi 18 дней назад +1

    Tanu nywele imeenda wapi

  • @WaithiraGift
    @WaithiraGift 17 дней назад

    Naaarabu😂😂😂😂in love with you 🎉🎉

  • @JuliusJembelayexu-dh5mm
    @JuliusJembelayexu-dh5mm 16 дней назад

    Faito tixha xana ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉 mlambe mtu

  • @Halimah-z9o
    @Halimah-z9o 18 дней назад +2

    ❤❤❤🎉🎉🎉12

  • @Emilymama2boys
    @Emilymama2boys 18 дней назад +1

    ❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @BattoSam-bp3sk
    @BattoSam-bp3sk 18 дней назад +2

    21

  • @حليمهالبلوشي-ز5ث
    @حليمهالبلوشي-ز5ث 18 дней назад +1

    ❤❤❤❤❤😂😂😂😂

  • @RakmaRakma-o9b
    @RakmaRakma-o9b 15 дней назад

    🙏🙏🙏❤️❤️🇧🇮