MKOBA WA MAMA Episode [ 29 ] {S2 } Tradition & Love story

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 398

  • @Yesunijibuu
    @Yesunijibuu 14 дней назад +38

    kiukwel sibomana anaitendea haki part yake kama unamkubal la lafuzi yake ya kigoma tujuane kwa like

  • @MOASLLY
    @MOASLLY 13 дней назад +10

    Sema vaito ana vibes sana... 😂😂😂 Kavumilia aw sio

  • @luckybahati1944
    @luckybahati1944 13 дней назад +6

    Sigomana na vaito leo wamenifurahisha sana 😂😂😂

  • @fatematrtr4995
    @fatematrtr4995 13 дней назад +7

    😂😂😂😂😂VAito chiz sijawah hisi khaaa umu ndan wote wakar hongeren xanaa tunaenjoy kwakweli

  • @FatoAssaneIbraimo
    @FatoAssaneIbraimo 14 дней назад +36

    Alie furahia kuona vaito kaludi gonga like apa🇲🇿🇲🇿

  • @HafswaKhalfan
    @HafswaKhalfan 13 дней назад +8

    😂😂😂ila vaito wewe nni kiboko umenichekesha sana maua yako❤❤😂😂😂

  • @MarianNdunde
    @MarianNdunde 14 дней назад +12

    Sibomana Leo umenichekesha sana 😂😂😂😂

  • @KhadiyjahMrope
    @KhadiyjahMrope 14 дней назад +6

    Weweeee vaitoooo kamandaaa Anza kuwanyoooshaaaaa🥰😍🙌👌😋🥳🔥🔥🔥🔥

  • @rogynee8135
    @rogynee8135 10 дней назад +1

    Aaah ngoja ngoja 😂😂😂. Kaka MWANJIII 🎉🎉

  • @Scolayusuph558
    @Scolayusuph558 13 дней назад +8

    😂😂 kwan uyu vait0 mnemt0a wap jaman

  • @jacksonchingwaba1626
    @jacksonchingwaba1626 14 дней назад +25

    😂😂😂😂 Vaito yupo hai
    Like zenu hapa mliorudia mara mbili

  • @BrysonJohn-
    @BrysonJohn- 13 дней назад +10

    Mimi nasema nikiwa naakili zangu timamu hii szon ya mkoba wa mama ndiyo szon bora mwaka 2024/2025 hongelen sana timu Tanu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @tanuplus
      @tanuplus  13 дней назад +2

      Asante sana

    • @Badablaise-vc6zu
      @Badablaise-vc6zu 13 дней назад +1

      Na vaito mumemutoa wapi❤❤❤❤❤😂😂😂😂

  • @anitakerubo9429
    @anitakerubo9429 14 дней назад +6

    😂😂😂😂sibo leo umeiunda suku yangu vaito hayuko ni wewe sasa😂😂😂😂asante❤❤❤

  • @batofrancis6930
    @batofrancis6930 14 дней назад +27

    Kama unaamini Vaito alikuwa ana act like here 😂😂😂

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 14 дней назад +11

    ila baby vaito wewe ninmtu na nusu😂😂😂 ngoja tuone next 😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉

  • @rogynee8135
    @rogynee8135 13 дней назад +5

    HUYU mganga kwa nini ana msaidia sana mama ake tofa. Usikute anataka nguvu za TOFA

    • @YahyaHarubu
      @YahyaHarubu 13 дней назад +2

      Kashaa anza kuumla mama tof😂😂😂

    • @rogynee8135
      @rogynee8135 11 дней назад +1

      😂😂😂 huyu lazima anatak nguvu za tofaa

  • @jasminabubakary5601
    @jasminabubakary5601 14 дней назад +7

    Bora vaito kaamka😂😂😂😂😂😂

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 14 дней назад +8

    😂😂😂😂😂😂Kidaliiiiiiiiiiiiii 😂😂😂😂😂😂kidali anawataka wote 😂😂😂😂😂😂

  • @AnnSaidi
    @AnnSaidi 14 дней назад +5

    Vàito kaamka kwa mbwembwe 😂😂😂

  • @JanethAnania-w3s
    @JanethAnania-w3s 14 дней назад +4

    Ila sibo mana umenifulahisi sio kwabao hilo😂😂😂 pole tofa wetu

  • @shidashida6060
    @shidashida6060 14 дней назад +2

    Vaito kaamka tena 🤸🏻🤸🏻🤸🏻 yaani mimi Vaito angekufa ningeacha kuangalia mkoba wa mama 😅

  • @zuwenakizere4687
    @zuwenakizere4687 14 дней назад +5

    Vaitoooooooooo😂😂😂😂😂 asante sana hii move kwaajili yako naaangali😂😂

  • @willykijanaa
    @willykijanaa 14 дней назад +8

    Jameni sitaki likes lakini pongezi Kwa team Tanu🙌🙌

  • @J74251
    @J74251 14 дней назад +6

    Mimi Leo wa Kwanza juu hua naisubiria Sana hii kila mda nawakubali sana🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉🎉❤🎉❤🎉❤

  • @Awoshy
    @Awoshy 14 дней назад +5

    Huu mchezo unazidi kuwa🔥🔥🔥jamani Mwanjiii😂😂😂😂😂❤🎉
    Ila Vaito asante kwa kuamka😊🙏

  • @gagalinodenatrick1652
    @gagalinodenatrick1652 14 дней назад +3

    Ila vaito nyoko sana advatize lakibabe

  • @issamtolwa
    @issamtolwa 13 дней назад +4

    mbwa vaitooo😂😂😂😂😂

  • @PatrickPeter-ce9zn
    @PatrickPeter-ce9zn 14 дней назад +9

    Ila vaito ndo kuamka na mbwembwe kiasi hicho kwel ila vaito mmmh

  • @ChimamyChimamy-e3x
    @ChimamyChimamy-e3x 14 дней назад +7

    Ila halima umesidi sana huruma paka wakera😮

  • @fatyjeet1188
    @fatyjeet1188 14 дней назад +2

    lulu kazana nakuona mbali mdgo wngu pambana saaana unakuja vzuri saaana

  • @EmmyBaisa
    @EmmyBaisa 14 дней назад +2

    Mwanjiii jaman 😂 nilikumiss ❤

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 14 дней назад +3

    Wanaume weusi,wenye vitambi na vipara tumewaelewa leo😂,sibo dada wajua kunikosha😊 # asante tanu kwa dakika 42🎉🎉🎉🎉

  • @NicoleAlexandra-g5e
    @NicoleAlexandra-g5e 14 дней назад +4

    Ila sibomana 😂😂😂😂😂😂🙌🏾

  • @mzenjiikram
    @mzenjiikram 13 дней назад +3

    Oyooooo makofi kwake kidume vayto kimekuja hewan kwa mara nyengine teyyyyyna

  • @BarakaMdaki-o7d
    @BarakaMdaki-o7d 14 дней назад +4

    😂😂😂😂😂 kumbe mganga vava anukula mama ake tofa 😢😢😢 ❤❤❤❤

  • @EMILYMUNYOKI-n6x
    @EMILYMUNYOKI-n6x 14 дней назад +2

    Imebidi aokoke na wimbo, vaito ❤

  • @AnesiaElias
    @AnesiaElias 14 дней назад +2

    Asante kaka tanu nilikuwa nimeimiss aswaaaaaaa kwa dk hizi Asante sana kaka Mungu azidi kukupa kibali uzidi kutuburudisha ❤❤❤❤

  • @GasperMwaisa-rb1lf
    @GasperMwaisa-rb1lf 14 дней назад +3

    Vaito😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 we mwamba kweli tunakuitaji kwenye hii tanfria

  • @fatyjeet1188
    @fatyjeet1188 14 дней назад +3

    lulu kazana nakuona mbali mdgo wangu unafnya kazi nzuri saaaana?!!

  • @SaudaIbrahim-xr4fw
    @SaudaIbrahim-xr4fw 14 дней назад +2

    Jamani Jamani nilikua sili wala sinywi kwa kuisubiri mkoba wa mama 🎉🎉🎉🎉❤ mambo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @CândidoDeJudith-j8i
    @CândidoDeJudith-j8i 13 дней назад +1

    Picha ndo kwaaanza lina anza, welcome Mwanji. Alafu Vaito...

  • @adrianbloodjesus6067
    @adrianbloodjesus6067 12 дней назад

    Wala sio nzuri tena imekua na section nyingi sana mpk ladha yake imekata

  • @SalomeMaswanyia
    @SalomeMaswanyia 13 дней назад +1

    😅😅😅😅😅😅😅😅vaitoooooo🙌🎉🎉🎉🎉🎉maua yakooo

  • @MeshackFisoo-s1g
    @MeshackFisoo-s1g 13 дней назад +2

    Vaito mkali sana

  • @jasminabubakary5601
    @jasminabubakary5601 14 дней назад +2

    Leo umeweka dakika nyingi mpaka raha na kesho tena jamani kaka Tanu❤

  • @Rehema-h6t
    @Rehema-h6t 14 дней назад +5

    Sija chelewa sana jaman like zangu 😂mimi nawapenda wote watazaji wa mkoba wa mama ❤🎉

  • @dapheenndege7191
    @dapheenndege7191 14 дней назад +2

    Yaani mkoba umefika climax,,, hapa ni kukesha tukisubiri, Tanu wachia Kila siku 🎉🎉🎉❤

  • @aminakatana8721
    @aminakatana8721 13 дней назад +1

    Vaito jaman 😂😂😂😂😂😂😂 mmmmhhhh waah sio kwa hali hio mbona nimecheka mmmmhhhh

  • @angelraphael4500
    @angelraphael4500 14 дней назад +4

    Vaitoooóóoóóooóo😅😅😅😅😅😅😅😅😅mimi nina akili mbovu ila vaito umenizidi wallah

  • @halimashaban3858
    @halimashaban3858 14 дней назад +3

    siboman umenichekesh sanaa😂😂😂😂Kofi moja la adab

    • @ميريم-ط1س
      @ميريم-ط1س 14 дней назад

      Mpaka kumbu kumbu za utapeli zikamkujia 😂😂ju ya Hilo kofi

  • @EshaomarmfaumeMfaume
    @EshaomarmfaumeMfaume 14 дней назад +2

    Jamani sibomana leo umenifurahisha aki 😂😂😂chukua maua yako❤❤❤

  • @mariamomary6003
    @mariamomary6003 14 дней назад +3

    Ooh my vaito is back

    • @vaitomasta
      @vaitomasta 14 дней назад +1

      Yeah I'm back

    • @ميريم-ط1س
      @ميريم-ط1س 14 дней назад +1

      Vaito I love you ❤😂😂ww wafanya kuwake hum

    • @vaitomasta
      @vaitomasta 14 дней назад

      @@ميريم-ط1س thanks 🙏 love you too

  • @augustinesombi6285
    @augustinesombi6285 14 дней назад +1

    Singlemana bhana😂😂😂,, umenifurahisha kwa bonge pa bao😂😂😂

  • @magariabdallah8066
    @magariabdallah8066 14 дней назад +5

    Jamani leo nimewahi namba namiiiii naombeni pongezi. Za like 😅😅😅

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 14 дней назад +2

    Tulikuwa tunaisubiri kwa hamu hatimae imetoka na tumefurahi sana Tanu kutuongezea dakia❤🎉

  • @MaryMkumbi
    @MaryMkumbi 13 дней назад +1

    Alipokua msalabani vaito aliteseka akasema eloi eloi vaito amefufuka😅😅😅😅

  • @jamesmartin6347
    @jamesmartin6347 14 дней назад +1

    Napenda venye ucheleweshi movie..

  • @ElizabethFreedom-g4d
    @ElizabethFreedom-g4d 13 дней назад +2

    Tulioanza tokea season1 tujuane

  • @kingkibo1668
    @kingkibo1668 14 дней назад +22

    Nakukubari Sana tanu hucheleweshi kaz Endelea ivo ivo bro tupo na ww bega kwa bega Leo Ningekuwa wa Kwanzaa naomben like 100 tu

  • @QUEENSUU-e7r
    @QUEENSUU-e7r 14 дней назад +2

    Mwanji umekuwa pisi Kali kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🚶🤸🏃

  • @MkayulaDavid
    @MkayulaDavid 14 дней назад +2

    Vaito nilisema huyu msenge hajafa alikuwa anapima tu sasa kazi kwao akina mapombe muhina umeisha

  • @EVEFILMS-s2s
    @EVEFILMS-s2s 14 дней назад +2

    Mbwela gari iliishia msongola nini mpaka leo hujafika mjini😂😂😂

    • @FatmaNoor-11
      @FatmaNoor-11 13 дней назад

      Nmecheka mm 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ramadhaniilali6114
    @ramadhaniilali6114 14 дней назад +4

    Wakwanza from Europe 🎉

  • @sashaamoha
    @sashaamoha 14 дней назад +1

    Yaani hizi movie leo zimenifirahish kuliko siku zote kwenye mission mpk nkashindwa kucoment😂😂😂😂😂😂😂siboman🎉🎉🎉vaito🎉🎉🎉🎉mtoto w vava🎉🎉🎉🎉ach nrud mission nkacoment😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @brightonjonas69
    @brightonjonas69 14 дней назад +5

    Natafuta mwanamke mwembamba kiasi mrefu. Umri 30 mpaka 35. Ambaye ameshaacha usumbufu na yupo tayari kutulia na kujenga mji wake. Aje nimuuzie matofari.

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 14 дней назад +1

    Hahahaa vaito🎉🎉🎉is back

  • @FatumaHassan-g1k
    @FatumaHassan-g1k 13 дней назад +1

    Vaito😂😂😂❤❤

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 14 дней назад +4

    Huyu mama tofa ananiudhi sana 😏😏😏😏

  • @MarianNdunde
    @MarianNdunde 14 дней назад +3

    Wa 10 ,, Kenya Love ❤❤

  • @xaviodominic-tm1bn
    @xaviodominic-tm1bn 14 дней назад +1

    Ila sibomana 😂😂😂😂

  • @SalmaMakilika
    @SalmaMakilika 14 дней назад +1

    😂😂😂😂kwelii kidalii

  • @MarryG-p9d
    @MarryG-p9d 14 дней назад +2

    Vaitoo mwamba karud hewan😅😅😅

  • @rubyrung8808
    @rubyrung8808 14 дней назад +1

    Vaito kaokoka😂😂😂😂😂

  • @MOASLLY
    @MOASLLY 14 дней назад +1

    Hii ndio BURUDANI yangu kwa sasa... Kutazama mkoba wa mama...! ❤❤❤❤
    Funga funga tuondoke..... 😢😢😢

  • @Emilymama2boys
    @Emilymama2boys 14 дней назад +3

    Semeni kitaumana 😅😅😅 mateso yake bwana vaito kasongo mbona wewoooo😅😅😅😅

  • @FgfgyGfyghhgft
    @FgfgyGfyghhgft 14 дней назад +1

    Hila vaito mh shikamoo khaaaaa🙌

    • @FgfgyGfyghhgft
      @FgfgyGfyghhgft 14 дней назад

      C kwambwembwe izoo 😂😂😂😂🙌

  • @abdoulsaid4390
    @abdoulsaid4390 14 дней назад +1

    Daah lulu pamba una kipaji kikubwa mno nakuona mbali miaka michache ijayo

  • @ZacariasMachembaMachembaZacari
    @ZacariasMachembaMachembaZacari 14 дней назад +3

    🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 pamoja sana

  • @VasilinOmar-td7eg
    @VasilinOmar-td7eg 13 дней назад +1

    Safi sana vaito

  • @HassanTule
    @HassanTule 14 дней назад +2

    Sibomana wa kienyeji kabisa alafu anabonge la shuzi mtoto kaumbika mtoto rabbi zidna ilman walzukuna faaman

    • @anifamickidard4555
      @anifamickidard4555 14 дней назад

      😂😂😂😂

    • @FurahaKulapha
      @FurahaKulapha 14 дней назад

      Ukasema uchanganye na dua😂😂

    • @HassanTule
      @HassanTule 14 дней назад

      @@FurahaKulapha Sibomana kanichanganya sana 😅😅

  • @Rebel25445
    @Rebel25445 14 дней назад +4

    ❤❤

  • @gagalinodenatrick1652
    @gagalinodenatrick1652 14 дней назад +1

    Awamu hii sibomana ndio champion 🏆 chukua . Maua yako mama

  • @muhindomakelele8666
    @muhindomakelele8666 14 дней назад

    Kasongo Yeye
    Mobali nanga
    Kasongo Mbona wewo
    Zonga Libala ooh ye ye ye ye
    Kasongo Mbona Wewo
    Mbona Wewo
    Mobali Nanga yeee
    😂😂😂

  • @BrownTz-r1t
    @BrownTz-r1t 11 дней назад

    Nakukubali sana lulu endelea kukaza nakuona mbali pambana usichoke me ni shabiki yako no Moja nakubali sana Kaz zako na unajituma sana🎉

  • @malichanda3146
    @malichanda3146 14 дней назад +3

    😂😂😂😂😂vaito bwana 😂😂😂

  • @DelvinChepkorir-t1d
    @DelvinChepkorir-t1d 14 дней назад +2

    Mwanji amekua Pissi kali😅😅😅😅

  • @JohnTarzon
    @JohnTarzon 13 дней назад

    Tanu hiii muviii balaaaa sana Tena sana usicherewa kutoa vijana Wana Fanya kazi nzuri sana

  • @jasminabubakary5601
    @jasminabubakary5601 14 дней назад +1

    Tanu kaka nakubali kaz yako lakin fanya mpango urud kijijini ndo huwa pananoga kuliko mjini❤😊

  • @KarimAbdulNshimirimana
    @KarimAbdulNshimirimana 14 дней назад +1

    Asanten team tanu kwa burudan inayo tufunza dunia fitna zake

  • @SarahSarah-jj6us
    @SarahSarah-jj6us 14 дней назад +3

    Atimae vaito kaamka😂❤❤

  • @VascoShega
    @VascoShega 14 дней назад

    Ongereni sana kwa kazi nzuri

  • @officialhamiboykenya674
    @officialhamiboykenya674 14 дней назад +3

    Karibuni nyote

  • @charleschiwinga4204
    @charleschiwinga4204 13 дней назад

    Lulu nakuona mbali naona Sanaa kubwa sana ndani yako for sure

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 14 дней назад +1

    kqeli zakoyo chaumbea haamini hata na wenzie😂😂😂😂😂nicheke mieeeeee mrs zakayo uko wapi ingiraneza 😂😂😂😂

    • @Mustykhan
      @Mustykhan 14 дней назад

      🫣🫣🫣🙆‍♂️🙆‍♂️😥

  •  13 дней назад +3

    PUMBAVU ZAKO VAITO...IZO VOCALS ATA STUDIO AUTO TUNE INAKATAA
    😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆

    • @vaitomasta
      @vaitomasta 13 дней назад +3

      😂😂😂 duuuh saw bhn

    •  13 дней назад +1

      @vaitomasta hongera saana nakufuatilia nikiwa kenya

    • @vaitomasta
      @vaitomasta 13 дней назад

      Nashukulu sana ndugu, msichoke 🙏🙏

  • @augustinesombi6285
    @augustinesombi6285 14 дней назад +1

    Hii episode leo watu wawili wamenivunja mbavu 😂😂😂😂,,, Singlemana na Vaito,, mateso yake bhana Vaito😂😂😂😂😂

  • @frankemmanuel5239
    @frankemmanuel5239 14 дней назад +3

    Oyooo saf sana tanu weka tuweke

  • @aminakatana8721
    @aminakatana8721 13 дней назад

    Hongera sana kaka Tanu❤❤❤❤ kwa kutujali

  • @mr_kajomba_og5719
    @mr_kajomba_og5719 13 дней назад +1

    Vaitoooooooooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @biimumwinyi4310
    @biimumwinyi4310 14 дней назад +1

    Ukutr kuna mganga anaota kua vaito ameamka😂😂😂😂