Ibraah - Tano (Visualizer)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 янв 2025

Комментарии • 693

  • @mashabikiwaharmonize
    @mashabikiwaharmonize 19 дней назад +111

    Wapi mashabiki damu wa CHINGA na konde gang 🎉 tuonyeshe upendo hapa

  • @KingRemy-vd8rn
    @KingRemy-vd8rn 19 дней назад +48

    Tim konde geng mimi wa kwanza Léo kutoka Congo 🇨🇩 naomba liké zangu plz 🙏

  • @SeifJuma-l8t
    @SeifJuma-l8t 19 дней назад +35

    Chinga 👊👊Huu mwaka wako kaka umetixha magoma Yana sumbua mtaan uku kila kona utaskia kama nimetoka mirembe 🔥🔥🔥🔥

  • @issafoundation1758
    @issafoundation1758 19 дней назад +37

    Noma sana kama unaamini goma hili linaemda kua trending ñ01 gonga like wanangu wa gang gang❤❤❤❤❤

  • @mooshflixit
    @mooshflixit 19 дней назад +182

    Team Kondegang kutoka Kenya mpo waapi??

    • @Sizervin-r7d
      @Sizervin-r7d 19 дней назад +7

      Tuko hapa bana

    • @NickyMiles-m8p
      @NickyMiles-m8p 19 дней назад +4

      Tupo hapa bro,,,ibrah to the world,,kama geng geng kama tumetoroka milembe

    • @mathiasbosire7927
      @mathiasbosire7927 19 дней назад +4

      Niko hapa kutoka kisiii

    • @BUDDYMWAFRICA
      @BUDDYMWAFRICA 19 дней назад

      GangGang ❤❤❤😂

    • @ISAACLEVIS
      @ISAACLEVIS 19 дней назад +1

      ruclips.net/video/QUwKCVJB7MA/видео.htmlsi=PTd7Q7HvqZMSrn6b

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 19 дней назад +27

    Tano by chinga ni noma sana 🔥🔥🔥🙌

  • @Numberoneu-x4i
    @Numberoneu-x4i 19 дней назад +22

    Wapi like tano za mkenya aliye kuwait anajitafuta...luv u King chinga

  • @Wilondja-jf5te
    @Wilondja-jf5te 19 дней назад +22

    Nipeni tano ❤❤

  • @JamesComplexnumber
    @JamesComplexnumber 19 дней назад +10

    Oya oya,, kam nimetoka rock city nipe tano 🇹🇿🇹🇿

  • @BUDDYMWAFRICA
    @BUDDYMWAFRICA 19 дней назад +11

    Hii ngoma moto 💥💥💥oyaa wanangu wa GangGang ❤❤. Kama woo..teeeeh tunaluka wotee❤❤

  • @michaelayubu9456
    @michaelayubu9456 19 дней назад +16

    IBRA ni soo hii ni hit song itachafua sana mwaka huu na ujao❤❤❤❤like za kutosha kwa Mwamba IBRA

    • @OmbeniBagemagome
      @OmbeniBagemagome 16 дней назад

      uyu jamaa ka tambiya eti kafunga mwaka, tukutane mwakani
      nashangaa kumuona tena uuu mwaka

  • @watambulaioci
    @watambulaioci 19 дней назад +11

    Ibraah ! Unazidi kutukosha, ngoma kali sana, amapiano tulivu kabisa. Wewe ni fire 🔥🔥🔥🔥.

  • @masmokamkenya6037
    @masmokamkenya6037 19 дней назад +10

    Mzee nikama umeamua kuwakalisha chini watanzania wote kwenye industry🔥🕺

  • @TreverLilechi
    @TreverLilechi 11 часов назад

    Najua watoto wa KASONGO mko huku piga like tukisonga

  • @rockonsonmlandi2818
    @rockonsonmlandi2818 19 дней назад +12

    Goma nimelisubiri asubui ..linafika jion ...safi sanaa 👊

  • @mfalmekaka
    @mfalmekaka 19 дней назад +7

    Oya wee! Oya wee ! Kama ametoloka milembe! Mpe TANO. Wangu wa Gang gang

  • @jogayatheboss2224
    @jogayatheboss2224 19 дней назад +16

    Ibraah from konde Gang umetisha sana mwaka huu Team konde weka like hapa tusonge mbele@konde gang @ibraah@harmonizer🔥🔥🔥

  • @RicaDrc
    @RicaDrc 18 дней назад +8

    Brother nakupakumi paliya tano saluti brother ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Kiboko_ke
    @Kiboko_ke 18 дней назад +5

    Gang gang from Kenya 🇰🇪 weka tano ngoma la ukoo limepigwa 🎉

  • @MasoudMakanya
    @MasoudMakanya 19 дней назад +7

    Oya gang gang gang gang gang,,,,, wahuni nipe tano

  • @FBBOY.1
    @FBBOY.1 18 дней назад +7

    Kaza mwanangu❤

  • @RahimuHabibu
    @RahimuHabibu 19 дней назад +8

    Bombo claaaaaaaaa

  • @mkutiamani
    @mkutiamani 18 дней назад +6

    Ndomana mtandao wa RUclips sijawah uelewa nyimbo wanazotaka wao ndo wanaweka namba 1

    • @queen_zashi
      @queen_zashi 18 дней назад

      Nashangaa et kwanini

    • @dullanapulungany-l4x
      @dullanapulungany-l4x 17 дней назад

      nikwel ngoma kma hii inakosaje kuwa top three on trending mpka xx

  • @HashimuKonda
    @HashimuKonda 19 дней назад +5

    Ibraah umetisha chinga mungu akafungulie Njia💯💯

  • @MR_RAMSATZ
    @MR_RAMSATZ 18 дней назад +3

    tunasapoti Hadi mwishoo wap team ibraah like hapaaa

  • @jaywilliam8059
    @jaywilliam8059 19 дней назад +5

    mwkahuuuu kk humetamba sana yani mwaka kesho 2025 sijuwi hitakuwa je ila natarajiya makwunwa sana kwako kama hunahikubali hiyo ebu nipe tano hapo like kama zote

  • @Mackey_PEntertainment
    @Mackey_PEntertainment 19 дней назад +2

    Fans wa KM Worldwide from 254 🇰🇪 mko wapi huku... let's gather here for The King Of New School 🔥 🔥🔥

  • @mohamedmwabeha
    @mohamedmwabeha 19 дней назад +5

    Wanangu wa Gang Gang🔥🔥🔥🔥

  • @FattyDapetty-tj9vr
    @FattyDapetty-tj9vr 19 дней назад +5

    Oyaaaaa kama nmetoka mirembe wanangu wa geng eng❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @djjagurcrazy
    @djjagurcrazy 19 дней назад +11

    Wakwanza from 🇧🇮🇹🇿 gonga like apa

  • @MapigoTV-tz
    @MapigoTV-tz 2 дня назад

    Ka Giggy Money nakapenda sana ❤ kama na wewe unakapenda nipe like 👍

  • @owenchatanda9903
    @owenchatanda9903 9 дней назад

    kaamaaa nimetorooookaa mireeeembe💯💯💯💯

  • @EdwardElias-z3g
    @EdwardElias-z3g 18 дней назад +2

    Timu konde kutokea mbeya tujuane kwa like🎉

  • @goldenskid
    @goldenskid 18 дней назад +1

    Kijana anajituma sna isay #Golden skid was here💯🇰🇪🔥

  • @WesleyNyangena-o8q
    @WesleyNyangena-o8q 18 дней назад

    Uyu boi ashaàmua, buda nyuma yako mbaya sana usiniangushe

  • @IdrissaAli-ql9gd
    @IdrissaAli-ql9gd 18 дней назад +2

    ❤❤❤❤❤umeuwa ibra tz

  • @RashidiRehani-v1l
    @RashidiRehani-v1l 18 дней назад +2

    Butamu yamingiiiu🎉🎉🎉🎉

  • @DiofueliahMwaluswaswa
    @DiofueliahMwaluswaswa 19 дней назад +5

    mbona kaka upo fire🔥🔥sana

  • @paschalmiambi346
    @paschalmiambi346 19 дней назад +3

    Omg Ibraaaah Ibraaaah🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Konde Boy Gang oyaa wanangu wa Gang...kama tupo Gang🤛🤛🤛🤛🤛🤛

  • @Raywizzy_msafi
    @Raywizzy_msafi 16 дней назад

    Huyu sikuizi amekua mnyama hatari🔥🔥🔥🤝🤝 anyways much love from🇰🇪

  • @coasterianbwoy4540
    @coasterianbwoy4540 19 дней назад +4

    Chiingaa umetisha kakaa🔥

  • @caroljoshua2202
    @caroljoshua2202 19 дней назад +2

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Chinga fun🔥🔥🔥🔥moto

  • @MzeeMadea
    @MzeeMadea 2 дня назад

    Gang27🆔 masterlife..... 🔥 Fire nang'oro

  • @alexandrodieumerci
    @alexandrodieumerci 19 дней назад +1

    Kwa nini kucheza kwenu hakuzingatii maudhui ya wimbo!!! Watu wengi ila danse hamna kwa nini?????? Kama unasema kuruka si muruke wote tukaone vibe!!! Kwa nini mmeamua kuchezea barabarani ambapo hakuna uhuru wa kutosha!!!! Si mngeenda sehemu zingine tulivu halafu mkacheza kwa vibe Kali kwa kuzingatia maudhui ya wimbo!! Jamani sijapenda kabisa maana wimbo huu ibraah hujautendea haki maana goma kama hili lenye vibe namna hii lakini likachezwa na watu ambao wanafanana na walionyeshewa na mvua daaah,from BURUNDI 🇧🇮🇧🇮 Niko hapa mmakonde wa kweli

  • @ChescoNIZIGIYIMANA-l5y
    @ChescoNIZIGIYIMANA-l5y 19 дней назад +4

    Bombo craaaaaaa💥💥💥💥💥⚡

  • @pmanpjjp
    @pmanpjjp 15 дней назад

    Kazi kazi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @HenrishMathew
    @HenrishMathew 19 дней назад +2

    🙌🙌gomaa la ukoo teen age🏹💔shalap

  • @isayaogmalume
    @isayaogmalume 19 дней назад +1

    Oya wanangu wa gang gang 🎉🎉

  • @mswalehmswazi2507
    @mswalehmswazi2507 19 дней назад +6

    Mzuka mkubwa🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @RamadhaniBisimwa
    @RamadhaniBisimwa 5 дней назад

    Awakuwezi jamani 👑👑👑👑

  • @RabanusHosea
    @RabanusHosea 18 дней назад

    Goma Kali sanaaaaa😂😂😂😂

  • @asantechota8974
    @asantechota8974 19 дней назад +3

    Bombo craaaaaah ibrah ameamua kuizima singeli ya waleeeeeeeeee kaja na new style

  • @MEGAHKE-xy7gq
    @MEGAHKE-xy7gq 12 дней назад

    ❣️❣️❣️❣️❣️kazi nice san zally keep it up

  • @Muidumbe450
    @Muidumbe450 18 дней назад +2

    ❤❤❤ Noma sana Chinga

  • @DonbrightKenny
    @DonbrightKenny 19 дней назад +2

    Wangu WA Gang Gang
    Kama unaamin mungu yupo na wew nope Tano👊👊👊👊👊

  • @snogad
    @snogad 18 дней назад +3

    Chizi limeteka bendera 💯🔥🔥

  • @CalmboySGB
    @CalmboySGB 18 дней назад

    Ibraa we noma endelea kukiwasha tunakukubali

  • @Dainaphiri
    @Dainaphiri 15 дней назад +1

    Fan's kond gng from burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 tunawakubali sana 🔥🔥🔥

  • @fannyboybabuji2166
    @fannyboybabuji2166 19 дней назад +1

    Wanangu wa gang mukowap gonga like yako

  • @Jumajey457
    @Jumajey457 17 дней назад

    Chiz glass umetisha umewehuka sana skuiz big up🤛

  • @fristonactary1371
    @fristonactary1371 13 дней назад

    Sema Huyu Ibra Msenge Kumamke Walahi Eeh ! Yan Vers Inaingia Ad Kwenye Ubongo Duh! Nimesikiliza Mala 36

  • @RiderBoy-w6c
    @RiderBoy-w6c 19 дней назад +6

    Ibraah ❤

  • @Akilimbilicomedy77
    @Akilimbilicomedy77 19 дней назад +3

    Umetisha sana kaka ibraah mungu akupe maisha malefu ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @DonMuyuya
    @DonMuyuya 19 дней назад

    Funga tuu mwaka❤❤😂😂

  • @immathebway
    @immathebway 19 дней назад +1

    Chiziiii time is tym Mr Chingaaa
    Mwanangu wa gang gang tupate hapa

  • @MOZ_KILLER255
    @MOZ_KILLER255 15 дней назад

    oyaaaaaaaa umepinda kaka 🔥🔥🔥

  • @Is_jooh
    @Is_jooh 19 дней назад

    Mwanangu chinga kweli bendera ipo mahali salama

  • @Charlotteiyungu
    @Charlotteiyungu 19 дней назад

    Ngoma kali ya mwaka mpya bila kazi unaweza bro ❤❤❤❤❤❤ kama nimetoka Mirembe Dodoma kwenye uwanja wao ulioko mashariki ya mwaka mpya

  • @hashimuomary4569
    @hashimuomary4569 19 дней назад +1

    Tunakukubali mwanetu wa gang gang chama la wana lakn izo oyaaaa oyaaa zinakua nying afande

  • @AllyMchenga
    @AllyMchenga 19 дней назад +3

    Mwamba unaweza mpaka unaboa anii 🔥🔥🔥

  • @basilymwakasege8739
    @basilymwakasege8739 19 дней назад +2

    Chinga kama chinga ....tano zako nimezipokeaaaaaa.... Congratulations

  • @KatemboJosh
    @KatemboJosh 19 дней назад

    ❤❤❤❤❤❤❤ wa Congomani tujuwane apa

  • @floodboytz
    @floodboytz 18 дней назад

    Oyaaa kama nmetoroka milembe

  • @NGOSHA
    @NGOSHA 19 дней назад +3

    Ibraah hatar sanaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Marombosoofficial
    @Marombosoofficial 19 дней назад +3

    Noma sana chiziiiiiiiiii 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 2024 fire wich 2025 we the best ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @CLEO_254
    @CLEO_254 19 дней назад +1

    Share,,,ibra afike hata 1million subs,,,,huyu kijana ni mwamba🎉🥳

  • @BrendonMandeyah
    @BrendonMandeyah 19 дней назад +3

    Team Konde from Zimbabwe🔥🔥🔥🔥 #Jeshi

  • @Sarai542
    @Sarai542 19 дней назад +1

    ❤❤❤Oyaa wee....wanangu wa gang gang

  • @jonesdangote501
    @jonesdangote501 18 дней назад

    Chizi siku zote🎉

  • @JasiriKML
    @JasiriKML 19 дней назад

    ❤❤❤❤❤❤ kazi kwanza brother kaza buti uwazidi wote naendelea ku fuatilia kazi zako❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🐘🐘🐘🐘🐘

    • @JasiriKML
      @JasiriKML 19 дней назад

      Jasiri hekima apa congo

  • @MC_STAR-W
    @MC_STAR-W 18 дней назад

    Ooooooya wee skuizi unachafua mwanangu wee💪

  • @marafikistation
    @marafikistation 17 дней назад +1

    DOGO SAIZI UMEANZA KUFELI HIZI NYIMBO ZA OYA OYA JAWUUU 📄

  • @timothypengejoshua8692
    @timothypengejoshua8692 19 дней назад

    Hivi akakajamaa 🎉🎉🎉🎉

  • @CharlesNdimila
    @CharlesNdimila 19 дней назад +1

    Waueeeee konde gang ndo mchongo

  • @chadsolace
    @chadsolace 19 дней назад

    Kama wo wote comment ya ukoo nikicomment tunalike wote 🎉

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f 19 дней назад

    Oyaaa mbon nyingi Sanaa oyaa oyaa da! Paka inapowaa😂😂😂😂😂😂😂

  • @Razeboy-j7q
    @Razeboy-j7q 19 дней назад +1

    Mm wa kwanza hapa from Kenya 🎉🎉🎉

  • @muksinmkahakala8604
    @muksinmkahakala8604 19 дней назад +1

    Broo mwaka umeufinya vzr sana

  • @Newsoundsworldwide
    @Newsoundsworldwide 19 дней назад

    Ivyooo sound baba ni balaaa #lyzee

  • @tanzaboy4824
    @tanzaboy4824 19 дней назад

    Nyimbo mbaya sana

  • @MathayoMathayo-c6y
    @MathayoMathayo-c6y 18 дней назад +1

    Noma sana nakubali hakika we nimona sana

  • @muzihilipiusdaudi6792
    @muzihilipiusdaudi6792 19 дней назад +2

    CHINGA ACHA UHUNI UNATUAMBUKIZAA❤❤

  • @kingchitah96
    @kingchitah96 18 дней назад

    Jizi kweli🎉🎉🎉oyaaa weeeh

  • @Kizzyboytz
    @Kizzyboytz 19 дней назад

    Oyaaeee wanang wa gang gang 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @snogad
    @snogad 18 дней назад +1

    Oyaa weeee....mwamba atakuja kusababisha tetemeko la ardhi 💯🔥🔥

  • @BlackbodyjohnByJonasmuherya
    @BlackbodyjohnByJonasmuherya 19 дней назад +1

    Na mkubali sana ibrah

  • @timothypengejoshua8692
    @timothypengejoshua8692 19 дней назад

    Kwenye hii video nimeo atari pale kwenye ibrah anatembelea juu pembeni kabisa gorofani Kuna kuteleza jamani 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Drizeylife
    @Drizeylife 18 дней назад +1

    Ibraah always kill👊🏼🔥

  • @MsafirDaud
    @MsafirDaud 18 дней назад +1

    Kaka ndo mana mie Huwa nakukubali sana mungu akulinde brother...!!4"🎉

  • @salimngari6295
    @salimngari6295 19 дней назад

    Nakubali gang