Ibraah - Nafunga Mwaka (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025
  • Download and Stream on all Digital Platforms Link
    onerpm.link/Na...
    Subscribe for more official content from Ibraah:
    / ibraah
    Follow Ibraah
    Instagram: / ibraah_tz
    Twitter: / ibraah_tz
    Facebook: / ibraah255
    Listen to Ibraah
    / ibraah
    Audiomack: audiomack.com/...
    Apple Music : / ibraah
    Spotify : open.spotify.c...
    Boomplay: www.boomplaymu...
    The official RUclips channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.
    For Bookings & More
    Email: Ibraahmanagement3@gmail.com
    Call: +255 652 102 829
    #Ibraah #Nafungamwaka #KondeMusic

Комментарии • 1 тыс.

  • @sergesNtunzwenimana-s8x
    @sergesNtunzwenimana-s8x 2 месяца назад +46

    Kutoka Burundi Leo nataka nione wale mupenda hii ngoma nakubali
    Ibra

  • @Young_boys24609
    @Young_boys24609 29 дней назад +1

    nimependa ❤❤❤❤ sana

  • @VenasAbdallah
    @VenasAbdallah 2 месяца назад +322

    Wa Kwanza hapa kutoka Burundi BUJUMBURA likes zangu jamani familly Leo ni Siku yangu yaku zaliwa likes zangu jamani baraka zangu

  • @AsuberthKipalala
    @AsuberthKipalala 6 дней назад +1

    Chiziiiiiiiii kalogwa tena😂😂

  • @JKRules9
    @JKRules9 2 месяца назад +19

    Hii ngoma Hatari 🔥🔥🔥🔥

  • @HusseinHamisi-c2c
    @HusseinHamisi-c2c Месяц назад +1

    ❤❤ hatari chinga boy

  • @KingRemy-vd8rn
    @KingRemy-vd8rn 2 месяца назад +294

    Tim konde geng mimi wa kwanza Léo kutoka Congo 🇨🇩 naomba liké zangu plz 🙏🏼🇨🇩🔥

    • @FABBYCLASSIC
      @FABBYCLASSIC 2 месяца назад +1

      ruclips.net/video/6giD_u-CIlY/видео.htmlsi=kHEYOW4S9rMVsMiN

    • @MusicDistance
      @MusicDistance 2 месяца назад +3

      😂😂😂

    • @amour0072
      @amour0072 2 месяца назад +1

      MKUNDU WA BABAKO NIANGALAKATA.. KA RWANDAIS KAKU GOMA.. LIFUNI YA MAMA NAYO.. LIBOLO YA HARMONIZE ... uko na support nyimbo zawajinga

    • @THABITHAMIS
      @THABITHAMIS 2 месяца назад +2

      Mbn hujajichubuaaaaaa

    • @Chief.godlove.mwakibete
      @Chief.godlove.mwakibete 2 месяца назад +1

      JIUNGE NA FREEMASONS CHAMA HURU CHENYE KULETA MAFANIKIO NA UTAJILI MKUBWA DUNIA KUJIUNGA FREEMASONS MPIGIE WAKALA MKUU MR OMARY SHABANI NAMBA NI SIFULI SABA TANO MBILI NNE MOJA SITA MOJA SABA TANO

  • @mbogomedia4373
    @mbogomedia4373 2 месяца назад +172

    Tuongeze kumfollow kichaaa wetu ibrah afike 1M JAMANI

    • @ELLYTECH
      @ELLYTECH 2 месяца назад +2

      Kichaa wetu keshalogwa tena😂😂

    • @yassinm69
      @yassinm69 2 месяца назад +1

      Aongeze kasi

    • @mon_kaka254
      @mon_kaka254 Месяц назад

      Freshi babu

  • @AsmoreTune07
    @AsmoreTune07 2 месяца назад +74

    Mungu ibariki Tanzania kama ulivyo mbariki mwanao mpendwa yesu kristo akatufia msalabani ili kutuondolea na Dhambi zetu🙏🇹🇿 # Ameni

    • @FABBYCLASSIC
      @FABBYCLASSIC 2 месяца назад +1

      ruclips.net/video/6giD_u-CIlY/видео.htmlsi=kHEYOW4S9rMVsMiN

    • @ibrahimfarouq8339
      @ibrahimfarouq8339 Месяц назад

      Waliokufa kabla Yesu kufia msalabani dhambi zao inakuwaje sasa maana si wana dhambi ya asili?

  • @SeneNdagi
    @SeneNdagi Месяц назад +1

    Sikiza wimbo acha hizo taka taka 🔥🔥🔥 tunakubali hukuuu 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @HarrisonKulali
    @HarrisonKulali Месяц назад +3

    Wangapi wako hapa kusikia tu oyaaa weee oyaaa....Chinga wajua mpaka wakera

  • @Ęl_Sébastien-pt7ed
    @Ęl_Sébastien-pt7ed Месяц назад +1

    Moto chinga

  • @DjumaLawi
    @DjumaLawi 2 месяца назад +28

    Mimi wa kwanza South Africa ❤❤

  • @kamuchidyblez2136
    @kamuchidyblez2136 2 месяца назад +37

    Usichoke chiziii hakunaaa kupoaaaa toaa kituu wekaa kituu kilaa playlist ya radio station na all TV ngomaaa lazimaaaa zilieeee sanaaa wekaa likeee kama umekubalii videoo kalii na ngomaa kalii piaaaa

  • @FireNail55
    @FireNail55 2 месяца назад +69

    Nakuona chinga yani mwaka huu umeumaliza vizuri sana naomba like zangu❤❤❤❤

  • @rosariomazu9656
    @rosariomazu9656 Месяц назад +1

    Hi ngoma ni hatari🔥🔥🔥🔥🔥🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @ZawijiMohamedLuwali
    @ZawijiMohamedLuwali 2 месяца назад +17

    Chizi umetisha sana 🎉🎉

  • @MunaQatar-k3h
    @MunaQatar-k3h 26 дней назад +1

    Ndio😊mwakaa

  • @kitikhan-go7he
    @kitikhan-go7he 2 месяца назад +4

    Waaaaaooooooo ... Ni kama india yani ,,, aisee umefunga mwaka kwa staili yako ya kipekeee

  • @kondeboishukuru
    @kondeboishukuru 2 месяца назад +30

    🔥🔥🔥Kweli uyu dogo anakuja kivingine maana apa kazima ile ngm ya mond Kama iviiiii😂😂😂

  • @RomanMwinyi
    @RomanMwinyi 2 месяца назад +5

    Oya oyaawee kama nime toroka milembee angalia bana mzee wa milembee tusitoloke otee chiiiiiingaa ume kuaaa mdogo wangu kazii kwako

  • @eliasmika3072
    @eliasmika3072 2 месяца назад +4

    Haaaaapa nomaaaa sana aki narudia kusikiza tena na tena kazi mzuri.......

  • @Bentrixx_
    @Bentrixx_ 2 месяца назад +28

    Ibraah funga mwaka kakaaa🎉🎉🎉🎉

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 2 месяца назад +5

    Mkifanya mambo yenu bas angalien mnadhalilisha kivazi che hadhi subhanallah.

  • @SeifJuma-l8t
    @SeifJuma-l8t 2 месяца назад +3

    Ilii goma kali sana Kwel funga mwaka oya wee kama nimetoka milembe 🔥🔥🔥✈️💯 Chinga🇹🇿

  • @smartyusufu1670
    @smartyusufu1670 2 месяца назад +26

    OYA OYA WEE KAMA TUPO GANG GANG🎉🎉🎉

  • @GameTechSolution
    @GameTechSolution Месяц назад +4

    afu mnamfananisha chinga na macvoice mpo saw
    ibraah on fire🔥🔥

  • @ammyskills5588
    @ammyskills5588 2 месяца назад +3

    Duh huyu jamaa ni balaa 🔥 amebadilika ghafla tu🔥🔥🔥

  • @blesmedia689
    @blesmedia689 2 месяца назад +8

    Mwaka Umeufunga kibabe brother 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jtdphenom
    @jtdphenom 2 месяца назад +1

    Bonge la ngoma Ibraah, Kaza buti

  • @BanitwoJuma
    @BanitwoJuma 2 месяца назад +65

    Yani mimi sijui wagai ila Nataka like kutoka 👌🇲🇿🇲🇿 mozambique

  • @DebruyneGskBrazileiro
    @DebruyneGskBrazileiro 2 месяца назад +22

    Oya oya weeh, vip brother kuhusu TIK TiKTA, oya weeh tunaisubili kwa hamu sana. Oya gang gang😂😂😂

  • @mexcortez
    @mexcortez 2 месяца назад +12

    IBRAAH ON FIRE🔥🔥‼️

  • @PCBOYchibuOfficial
    @PCBOYchibuOfficial 2 месяца назад +11

    Chiziiih!🙌🔥💪❤🌍

  • @leykekasereka
    @leykekasereka 2 месяца назад +6

    Oya ! Oya ❤️❤️❤️ good Dong🔥🔥

  • @EtooMbavalinho
    @EtooMbavalinho 2 месяца назад +1

    Wewe ni mtalamu sana king off new school wewe bingwa kaka namba moja

  • @DavidNdegeya
    @DavidNdegeya 2 месяца назад +5

    This year ibraah was good better than all wasafi nzima 🥹🥹 South Africa 🇿🇦🇿🇦tuko pamoja wanaangu 👍

  • @spizzotyga2458
    @spizzotyga2458 2 месяца назад

    Oyaaaa weeeee gang gang

  • @ivantompoo-c9k
    @ivantompoo-c9k 2 месяца назад +18

    Ibraaah ulipo nipo

  • @AmLegembo
    @AmLegembo 2 месяца назад +2

    Sasa ndo nimekuamini kila dude ni kubwaa kaka upo fire ani🔥🔥

  • @mashabikiwaharmonize
    @mashabikiwaharmonize 2 месяца назад +40

    Tunao funga mwaka tukiwa KONDE GANG damu tuonyeshe upendo hapa

  • @MaenroufMahamoud
    @MaenroufMahamoud 2 месяца назад +2

    Safi kabisa chiziii chiziii 🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲

  • @AsifiweDawson
    @AsifiweDawson 2 месяца назад +2

    We kwel umetoloka milembeee chiziii weweeeh aya izo apoooop 👊👊

  • @LovelyGlaciers-vn8xb
    @LovelyGlaciers-vn8xb 2 месяца назад +51

    Oya oya oya oya 😂😂❤❤❤ naomba like yama chinga kutokeya Zambia kuchalo 💥💥💥💥💥💥💥💥💥

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 2 месяца назад +8

    I Can’t Wait This Lazm Uhuwe Chinga Never Disappointed ❤🎉✅🇨🇩🇰🇪🇹🇿🇺🇸🏆🙌🔥🔥

  • @ikosawamusic
    @ikosawamusic 2 месяца назад +4

    Alierudi tena leo kusikiliza hii weka makopa ya Ibra hapaaaa

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 2 месяца назад +2

    Chinga umekuja kasi sana saiv🔥

  • @silvernayzer4107
    @silvernayzer4107 2 месяца назад +17

    Oyaaa we KING OF NEW GENERATION 🎉🎉🎉

  • @DozenKizzyElias
    @DozenKizzyElias 2 месяца назад +5

    Kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩 Uvira nipeni mauwa yangu

  • @FrankPande-x9p
    @FrankPande-x9p Месяц назад

    Nouma kama nimetoroka mirembe....Big up

  • @ChingaKenboy-fz8yr
    @ChingaKenboy-fz8yr 2 месяца назад +13

    Tunaisubilia sana 🎉🎉🎉#Chinga

  • @MaenroufMahamoud
    @MaenroufMahamoud 2 месяца назад +2

    Chiziii chiziii uliotorokamlebe 😊❤❤❤

  • @brainlightservices3905
    @brainlightservices3905 2 месяца назад +4

    Hit song ...kali sana Jamani...big up brooo

  • @Akili820
    @Akili820 2 месяца назад +11

    Ibrah asiye kupenda aende aka lale sisi tupo sambamba na wewe, 🇨🇩☝️

  • @KidBoy-b3m
    @KidBoy-b3m 2 месяца назад +3

    Ibraah naku kubali sana toka DRC congo 💪💪💪

  • @EphantusMaina-y1z
    @EphantusMaina-y1z 24 дня назад

    Mwoto 🎉🎉more love from Kenya

  • @BadbwoyBurundi
    @BadbwoyBurundi 2 месяца назад +5

    Oyaaa chizi katoloka yuko huku Burundi 🇧🇮🔥🔥🔥

  • @mooflavour
    @mooflavour 2 месяца назад +1

    Oya weee😂🔥🔥🙌🏻

  • @mahmoudmchiu5369
    @mahmoudmchiu5369 2 месяца назад +2

    unabaya au munasemaje maseraaaaa

  • @AdamVMLugambwa-ct6rt
    @AdamVMLugambwa-ct6rt 2 месяца назад +1

    Unaweza we mkubwa na simdogo Tena ... One step

  • @JeanLunda-nv5fd
    @JeanLunda-nv5fd 2 месяца назад +4

    Nakukubali Sana kutokea Congo 🇨🇩🇨🇩

  • @isayaogmalume
    @isayaogmalume 2 месяца назад +2

    Nafunga mwaka ikue namba 1 🎉🎉😂😂❤❤❤chiziii

  • @MtajiriCartel-g3x
    @MtajiriCartel-g3x 2 месяца назад +2

    Hakuna mdaa wa kusubiri boooommmm💥💥💥💥💥💥

  • @bobbybrayanskiprotich.5575
    @bobbybrayanskiprotich.5575 2 месяца назад +1

    Sijafurahia haujasema chingaaa much love from kenya Good song

  • @stinofire324
    @stinofire324 2 месяца назад +4

    Mimi ndo shabiki namba moja wa ibrah kutoka Congo RDC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 je n'a weye unamu kubali uyo kijana ka toroka milembe 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Dottoselemanisaid
    @Dottoselemanisaid 2 месяца назад +2

    🎉🎉🎉noma sana

  • @J3OG-x9d
    @J3OG-x9d 2 месяца назад +9

    bumbaclot❤️‍🔥🙌

  • @ShamanyekisimbaTravail
    @ShamanyekisimbaTravail 2 месяца назад +1

    Ongera chinga Ila Acha vita na Simba wcb for life 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @lazzbishar9281
    @lazzbishar9281 2 месяца назад +16

    Chingaaaa🔥🔥🔥

  • @JemoohJelyza
    @JemoohJelyza 2 месяца назад +2

    Chingaaaa 👑👑👑

  • @CarlitacelestinoLimas
    @CarlitacelestinoLimas 2 месяца назад +6

    Oya Oya Oya weeee🤗🔥🔥🔥🔥🇲🇿

  • @officialChamboy
    @officialChamboy Месяц назад +2

    Tulioangalia zaidi ya mara moja❤❤❤❤❤

  • @DepseBanza
    @DepseBanza 2 месяца назад +2

    Good song chinga Mkali wewe# Depse from Drc🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @raymondfrancis7921
    @raymondfrancis7921 Месяц назад

    Dogo akipigiwa promo ya maana anataboa international, yupo versatile sana, pure artist.

  • @JamesPhiri-sz5qn
    @JamesPhiri-sz5qn 2 месяца назад +2

    Kabisa kutoka Zambia 🇿🇲🇿🇲 tuko pamoja

  • @eliudibrahim3058
    @eliudibrahim3058 2 месяца назад

    Ibraaaaaaaaaaaaaaah My Namesakeeeeee el Fuego.

  • @brianmwendwa7381
    @brianmwendwa7381 2 месяца назад +4

    noma sana🎉🎉🎉🎉

  • @JuniorJoylandz
    @JuniorJoylandz 2 месяца назад

    Chinga from Konde gang 🔥🔥

  • @Mussasospeter-b3d
    @Mussasospeter-b3d 2 месяца назад +4

    Kama limetoroka milembe🔥🔥🔥 chiziiii😅

  • @joeljohn6351
    @joeljohn6351 2 месяца назад +2

    Huu mwaka umefungwa kibabe mwanetu ✌️✌️✌️

  • @mkmsapoofficiel1437
    @mkmsapoofficiel1437 2 месяца назад +9

    Funga mwaka 🎉🎉

  • @JohnRaperJohnRaper
    @JohnRaperJohnRaper 2 месяца назад +1

    Chinga from konde gang🎉🎉🎉 wapi wa kenta❤❤❤

  • @DonbrightKenny
    @DonbrightKenny 2 месяца назад +25

    Mimi hapa wakwanza kutoka B🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 nipen like zangu jamani acheni wivu basi #CHIZIIIII KAMA TUMETOROKA MIREMBE OYAAA

  • @RoyAshuma
    @RoyAshuma 2 месяца назад

    Chinga wewe nomaa...unajua mpaka unakera🔥🔥🔥💚💚👊

  • @JustineChinguile
    @JustineChinguile 2 месяца назад +5

    Dah kumbe sis wakenya awàtuweziiiiii chiziiiiiiiiiiiiiiii gang gang

  • @yuzotv458
    @yuzotv458 2 месяца назад +1

    DUDE KALI🎉🎉🎉🎉

  • @DumperClassic
    @DumperClassic 2 месяца назад +3

    Ngoma la kufungia mwaka ❤❤❤

  • @BarnabasViva
    @BarnabasViva 2 месяца назад +1

    Ibraah wa moto sana💥

  • @Katetejr
    @Katetejr 2 месяца назад +2

    Unyama sana chinga,, ila ilo nyashi apo daaaah😋😋😋😋😋

  • @salumukatani03-u8b
    @salumukatani03-u8b 2 месяца назад +2

    Oya oyaaaaa oya chinga kaua💯💯🔥🔥🔥🔥

  • @babuwabongo-pn9zs
    @babuwabongo-pn9zs 2 месяца назад +3

    Cyaze brother nice song kbx me folm rwanda🇷🇼

  • @OnesimeSindayigaya-b5t
    @OnesimeSindayigaya-b5t 2 месяца назад +1

    Ibraaaaaaaah ngoma kali sana

  • @Charlboy
    @Charlboy 2 месяца назад +3

    Oya oya 😂😂😂😂oya oya weee...hatari oyaa 🔥

  • @fortclassic6361
    @fortclassic6361 2 месяца назад +1

    Umetisha chinga boy chiiizii

  • @HassanHassan-fq6lo
    @HassanHassan-fq6lo 2 месяца назад +3

    Akinilia buyu sijui itakuaje 🤔. 🙌🙌☠️🔥🔥

  • @LucasWalks284
    @LucasWalks284 Месяц назад

    Fahari ya kwetu Masasi Mtwara Tanzania ❤😂

  • @princelinje6206
    @princelinje6206 2 месяца назад +3

    Chizi katoroka milembeeeeeeee

  • @bahatisawela3373
    @bahatisawela3373 2 месяца назад +1

    imeishia hiyooooo

  • @NurdinIddy
    @NurdinIddy 2 месяца назад +14

    Jama naombeni tuipereke 1 on tranding

  • @zhaomanajer1644
    @zhaomanajer1644 2 месяца назад +2

    First born ☝️🥰🥰🥰