Umejibu vizuri waziri lakini, Kwa gharama hizo, naona serikali kama anabeba mzigo ambao sijui kama tutapata return inayo kusudiwa. Lakini, Kuna kama kaupendeleo fulani. Mimi nilikuwa nadhani, kwakuwa serikali inapesa kiasi hicho, ingenunua mbolea yakutosha ili Kila mkulima ambaye anahitaji mbolea aipate hapohapo kijijini Kwa 50,000 bei ya juu. Pia, ununuzi wa matrekta madogomadogo yapatikane Kwa nafuu au kukopeshwa. Lakini pia uhakika wa masoko, serikali inunue na baadaye yenyewe iuze huko. Hakika hii ingeleta tija Kwa haraka sana then hayo mnayo yafanya yangeendelea hatua Kwa hatua na Kwa ufanisi kuliko hivi Sasa tunavyo kwenda. Anyway tumuombe Mungu atusaidie tufanikishe na tupate tija kama taifa na isije ikaja kuwanufaisha wachache tu. Mungu ibariki Tanzania.
pointi yake, iko hapa, kila mtu kwenye mradi wa BBT, angelikaaa kwenye nafasi yake (wakulima -SUA, watunzaji, na wauzaji-Other colleges),na kuhusu kusafisha mashamba, tengenezeni utaratibu rasmi wa ukataji mkaa kwa vipindi tofauti na nyakati tofauti, mashambà yatajisafisha yenyewe....
Bashe, you are well learned! Safi sana!
Kila biashara inalipa sana kwenye makaratasi TENA inalipa zaidi kwenye kuelezea KWA mdomo....nimekaa paleeeeeeeee
Umejibu vizuri waziri lakini, Kwa gharama hizo, naona serikali kama anabeba mzigo ambao sijui kama tutapata return inayo kusudiwa. Lakini, Kuna kama kaupendeleo fulani. Mimi nilikuwa nadhani, kwakuwa serikali inapesa kiasi hicho, ingenunua mbolea yakutosha ili Kila mkulima ambaye anahitaji mbolea aipate hapohapo kijijini Kwa 50,000 bei ya juu. Pia, ununuzi wa matrekta madogomadogo yapatikane Kwa nafuu au kukopeshwa. Lakini pia uhakika wa masoko, serikali inunue na baadaye yenyewe iuze huko. Hakika hii ingeleta tija Kwa haraka sana then hayo mnayo yafanya yangeendelea hatua Kwa hatua na Kwa ufanisi kuliko hivi Sasa tunavyo kwenda. Anyway tumuombe Mungu atusaidie tufanikishe na tupate tija kama taifa na isije ikaja kuwanufaisha wachache tu. Mungu ibariki Tanzania.
Safiii Sanaaa
Huyu jamaa AKILI KUBWA SANA SANA.
Kilimo kwanza bashe
Hii ishu ya BBT imekaa kipigaji sana.
Hilo neno ndilo lililo akilini mwako tangu ulipo timiza miaka 18
@@davidkamando9630 aya
Umejiona una hekiimaa mwenyewe kujibu haya... Inasikitisha sana
Subirini muone anguko lake
Nguvu ya soda

Ngonjera2