Jifunze kuongea kiingereza hata kama umeishia shule ya msingi.
HTML-код
- Опубликовано: 20 дек 2024
- Naitwa Hassan na nimekuwa nikifundisha kiingereza (English) kwa zaidi ya mwaka,
Hadi sasa nimefundisha watu wengi kiingereza kupitia darasa zangu za mtandaoni kupitia zoom na whatsapp.
kama unapenda kujifunza, tuma ujumbe whatsapp kwa +255686768181.
karibu ujifunze nami kiingereza, unaweza kunifollow pia instagram kama Easy.English.tz, Pia madarasa yetu yapo Dar-es-salaam. karibu sana.
Hae my teacher nakuviatilia kutoka kenya naomba nijuunge darasa lako la wasp
nicheki kwa +255757845757
Nawawezaje kuongea kingeleza
@@easy_english_tzuna darasa
Mm cjui kabisa natamani kujua mm 😢
You don't have a group?
Neno ambalo nimeenjoy na nimefahamu kulijua zaidi ni whose nilikuwa sijui maan yake na matumizi yake but hayo mengin nilikuwa nayafahamu na matumizi yake Asante sana🎉
Asante Mwalimu nakuelewa sana na miaka hamsini napenada kujifunza kingreza nimeishia la saba tuu
Miaka hamsin kingerez kitakusaidia Nini wew kalime tu😂😂
😂😂😂😂😂
Asante sana teacher kwa somo la leo neno lilokuwa linanishinda ni la whose, sasa nimejua matumizi yake
Namba uniunge washapp
Thank much i like you'r information
Tunakushukuru sana Kwa kazi nzuri ulio icaguwa.basi ni unge na wewe ili niweze kuzungumuza kingereza
Asante sana,may you repeat the differences between at and in.
Asante kaka nakufuata sana , naitaji nijue kuongea kingereza
Thank you teacher i under stand today mean of whose
Napenda hili darasa ❤
Napenda sana kujua kingeleza nifanyeje
You are very good teacher
Napenda aise daa uko vizuri kaka nita kuwa nakucheki coz kwakweli sisi lasaba C tunatesekasana na luga uku kitaa
Neno whose nilikua sijui maana yake, Asante sasa nimejua, halafu Kuna neno difference na neno different yananichanganya mwalimu, lipi ni lipi!
Whose hili neno nimekuwa siliekewi lkn nashukuru mungu Sasa nishajuwa mungu akuzidishiye
Ongera kwa somo nzuri.iliyokuwa changamoto kwangu ni jinsi ya kutumia whose na who;Lakini pia how much na how many.Asante .
i want to know about the different between whom and who please explain me that teacher 🙏🙏
Who their meaning IS (Nani)? Even if Idon't Whom IS What 😓
Thanks you for your time to learn
Whose na who ndy yalikuwaa Yana nichanganyaa thank teacher nitazidii kujifunza mpka nielewe 🎉
Asant sn kaka nakugatilia kutokea marekani 🙌🔥
wow! nawakubali sana
Asante kutufunza Mungu akubariki
Yes teacher i understand
Umetisha sana bro.. J have got something
Ahsante
Naomba unisaidie kaka ang
Naomba nijiunge darasa Whatsapp
Difference between and whose
Nini mana kiswa neno where are you located
Nimeipenda hii
Mtusaidie sana mwarimu nawafurahia sana
Hello teacher can you help me to connect on your class teaching
Thank you teacher
Thank teachers nkufuatilia kutoka Kilimanjaro moshi ❤❤❤❤
Mwalimi uko vizuri
Nakufatilia vizuri Sana Mwalimu
Asante sana nakufatilia nikiwa Abu Dhabi naomba kujiunga kwa darasa lako
Teacher who'se n jipya.kwangu ahsante
Nawaunga mkono!❤❤
Assalam Aleykum vp hali yako Asante sana kwa kunifundisha Allah akubarik samahani naomba namba yako ya simu mana sikumaliza kuisoma
Nimefurah sana kujua tofaut ya whose na who
Na kufuatilia nikiwa Zanzibar 😊
Thank you
Asante ninaamini nitajifunza zaidi
Whose na who ndy yalikuwaa Yana nichanganyaa thank teacher nitazidii kujifunza mpka nielewe
Asante nilikuwa nakutafuta nakupataje
Thx bro
nashukuru kwakunifundisha kujua kingereza . nilikua sijawahi kulijua vizuri how long nimelijua vizuri
Thanks
Umetisha mkuu
Pamoja sana
Whose leo ndio nimelijua, asante teacher
Shukran sana Mwalim kwa darasa muhimi nimependa unavyo fafanua lakn mimi hua napoteza kumbukumbu akili inasahau utanisaidia vipi naomba niandikie number ya what'sap humu ahsante sana
Good job
Drs nzur saana
Asantee nitakutafuta
Teacher naombauniunge nimekuelewa niwae mwanfunzi wako nimependa🎉🎉🎉🎉🎉
Samahani sana kwa kukusumbua nimashaiona
Difrence between
Umetisha
I'm here to learn English❤❤
Hello thanks
Mm kaziyangu ni kusfilisha mizigo njeyanchi hua huko tunapata tabu sana kwenye mashwali yakuulizwa umebaba nn unaenda wap unashushia mzigo wap? Nk
Habar kaka nakufuatilia nikiwa nchi za kiarabu. Iv mpka ujue kingereza inachukuwa miez mingapi??
miezi 3 hadi 6
Ahsante, kunifuatilia
Asante sana nimejua neno whose @@easy_english_tz
Najiunga aje na group lako la whatsapp?
Nimejifunza neno Whose ambalo nilikua sijui maana yake🤝
Assalam alaykum mm ni mwanafunzi natamani sana kujua kingereza ila sijui unaweza kunisaidia kwa uwezo wa Allah
Mimi sijui hata kidg Jmn nataman kujua hv nitajua kweli🤦♀️
Mm sijui ata kidogo nitajua kwery
God job brother please sey Samsing
Nakupataje sasa
Whose, Different between
Nfuatilia nikiwa Nairobi Kenya
My teacher
Teacher mim sjui hata kdg naomb unisaidie
Jinsi ya kuongea kingereza kwa muda mrefu?
between
Asante
Hello brother naomba unifundushe tafadhar natamani kuwaza kuzungumza kingereza vizur
Asante kaka
Nipo Chemba dom nimekwama kielimu sasa Nina miaka 42 na inafanya huduma za kiroho kweli Nina uhitaji wa lugha hii je kweli ntaweza?.
Nafuata vipindi vyenu ni elimu safi
Kaz nzur San
Hello,how are you teacher
Mimi nikuambie hongera mwalimu
nice
Hi brother naomb uniunge na group lako la whatasap
Morning my teacher
Naomba nijiunge kwenye group lako
Mwanangu kweli unatufuza vizuri ila juwa kama sisi wazee tuko tunakufatiliya ili na sisi tujuwe na manisha unakwenda mbiyo sana
Asnte San teacher
Difference between
Asante kakake
❤❤❤❤
Hello teacher Naomba nijiunge nawewe ilinijue kingereza
natamani sana nijifunze zaidi
Asante sana
i need to know the uses of this word "No longer"
Naitajii kujua hii sentensi kwa kiswahili, 0pen the cover on the left side of the main unit.
Naomba namba yako nijiunge na daresay lako
Neno ambalo lina penda sana kujiludia ni what lakini neno ambalo nimejifu lilikuwa linanipa shida ni Hows nineno balo niguma lakin nimefulai kujifunza
Hellow,naomba kujiunga na darasa lako la wasap
Nilijifunza sana
Good bro
Mwalimu umenifunza kitu❤