I know English, me I'm using the reverse-tactic to instead learn Kiswahili, kwa sababu naweza kuongea kido, lakini nipo hapa kuboresha Kiswahili, Nathani muda kwa muda nitakuwa fiti kabisaa kwa Kiswahili.. 😊
Samahani mwalimu mimi ninatamani sana kujua kingereza ila sijui ninakwama wapi na ninajua kidogo sio sana mwalimu kama unadarasa WhatsApp niunge basi na mimi nijifunze zaidi
Asante sana mwalimu
ila ulikuwa kimya sana mwalimu sijuwi Kwanini
Kwani hana Mume!?😂
Mimi najua salamu hizo zote ila bado nataka kuzungumza kingereza chote kabisa na kuandika unapatikana wapi. ❤❤❤
Welcome back madam nilikusubiri Kwa muda mrefu sana
Asantesana
Finally teacher you back.
Welcome
Shukurni madam ❤
Thanks 🙏🙏🙏🇹🇿
Allah akulinde mwalim wangu
Thank you teacher have a nice day
Asante sana kwakufundish kingelez mwalimu wetu❤❤❤
❤ thank you madam
Mm sijue naomba unefundishe natamani sana ni jue kingereza
I am glad to meet you teacher
thank you teacher
Nimefurah nilikungoja sana my teacher
❤❤❤
Hongera dada kwa kutufunza nimefaidika kweli
Hallo teacher it's good god is bless you
Asante Mwalimu, sijui, kingereza, Kabisa, lakini, namim naitaji, kujifuza, ilinijue, nifanyeje
Asante mwalimu mm sjui kabisa nataka kujua naomba mwalimu
Thank you madam you teach me well
Hello ,how are you doing?I understand teacher thank you 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Asante sana
Haba nahitaji kujifunza lugha ya kingeleza unapatikana wapi
God bless you Doroth.❤
Thank❤
Nashukuru sanaa kwa darasa lako Mungu akubariki
Dada jamani mbona masomo yameishia kati
Super teacher
Nakupenda mwarim ira urikuwawap urikuwa unaumwa au poresana kam urikuwa muzim mungu mukubwa
I think well when i listen ure subject
Jaman ulipotelea wapi tena?
Shukrani Madam!
I'm glad to know you thank U❤
Napenda sana darasa zako na ningependa vitu vengine nikuulize pia privete
Mwalimu mzuri alla akupe umuri mzuri uafundisha somo lako zuri
Shukurani mwalimu ❤
so good
Thank you my dear
Hello naomba unifunze kingereza tafazali naweza towa malipo
Inothatwasengilsh🎉🎉🎉🎉
Nice to see you ticher
ASANTE SANA MWALIMU MZULI
Hello madam, please naomba namba zako nataka unifundishe kingereza
Good morning teacher, please how can I reach you?
Mama yetu,ww ni zaidi ya mwalim,watoto wako hukutuaga! Kwann mama ulitutoloka?we miss u much,tunakupenda sn
Mwalimu na omba nambayako ya. Whasp tuongee kibinafs
Unapatikana wapi mwl mzuri
Mwalimu uko vizur xana
Naweza kupata wapi?
(M)teacher i have a guesstion that say why to talk we like to study and not we like study
Asante dada
We umeolewa uwe unanifundisha mwenyew nyumbani ❤❤
😂
😂
Kwani kuna shido😎
🙏🙏🙏
Nafulai sana 😅😅😅
Nashkuru umerud mwalim nilikumic sana 😊
Ulikua wap
Madam Dorothy
Shule yako ipo wapi madam tuje kujifunza darasani
Me pia
Mwalimu kwema
Madam naomba namba zako
mwalim mzuli sana nakupendabule
4:27
Soma polepole
I know English, me I'm using the reverse-tactic to instead learn Kiswahili, kwa sababu naweza kuongea kido, lakini nipo hapa kuboresha Kiswahili, Nathani muda kwa muda nitakuwa fiti kabisaa kwa Kiswahili.. 😊
Same!
Dddsddßdddddddddddddddddddddduu😂😂🎉😊@@steffisafisafi3365
Dfdr🎉ddd
Ddd
Samahani mwalimu mimi ninatamani sana kujua kingereza ila sijui ninakwama wapi na ninajua kidogo sio sana mwalimu kama unadarasa WhatsApp niunge basi na mimi nijifunze zaidi
Madam Dorothy natamani kujua kingereza jamani lakini najua kidogo
Mimi naitaji kuelewa kuzungumza na kuelewa tatzo nililo sielewi napokua nasemeshwa mimi
Naomba namba yako tafadhar samahani
Upo maeneo gani mwalm naitaji kuja kujifunza
Jamani unalemba Sana sauti
Unapatikana wana
I have a teacher
😅😅😅😅😅
samahan naomb unielekeze nataka kujifunza English
Natak kujua na mimi kuongy
Madam tunaomba namba yako tafadhali
Asant sana mwalimu naongea kiingereza kupitia wewe Hakika Nina furaha Mungu akutunze zaid na zaid
Kwa mda gani umetumia
Habr ticha naomba mawasiliano zaid nahitaj mwalim wa karibu Kwa muda wa zaida nitatoa na ada
Unapatika wp dad
Mwalimu kwani huna dalasa wasp tujiunge
M salamu najuwa ila nataka nijuwa kuonga nakuandika
Naomba nambayako ya whasp
Mwalimu naitwa NAOMI nimependa masomo
Jmn mimi ndio naanza kujifunza kiingereza
Unapatikana wp
I am a heavy equipment operator
Mwalim naitaji kujua kingereza
Hamjmbo mm n mgeni natka kujiunga
Group wsp hauna mwalim
Tembelea
mwalimu nata uanzie mwanzo kwenye helufi
Welcome my dear
Mwarmu hakuna draxa
Habri Mwalimu hizo salamu zote nimejua Ila sijajua kuzungumuza kingereza Na kuandika
Hi mwalimu mzuri, ntaweza kuipata phone number ya kwako please?
Weka number yako
Thanks a million!, sorry madam how can i get your phone number?
❤❤❤❤
Mama yetu,ww ni zaidi ya mwalim,watoto wako hukutuaga! Kwann mama ulitutoloka?we miss u much,tunakupenda sn
Weka number yako
Mama yetu,ww ni zaidi ya mwalim,watoto wako hukutuaga! Kwann mama ulitutoloka?we miss u much,tunakupenda sn
❤❤❤