NAMNA YA KUFIKA CANADA | KAZI ZA CARE ZINAKUTOA KIMAISHA | CHUNGA MAISHA YAKO YA MTANDAONI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии • 277

  • @OfficialDatingAssistance
    @OfficialDatingAssistance  7 месяцев назад +27

    TikTok: Alex_Karia

  • @jacquelinepalangyo412
    @jacquelinepalangyo412 6 месяцев назад +6

    Hakika huyu kaka Mungu amempa hekima kubwa sana,Mwenyezi Mungu amsaidie apate Mke mwema na amtangulize Mungu ktk hilo sana,nae atampa anachokistahili,nampenda mwanaume mwenye hofu ya Mungu sana,Mungu tukutanishe na watu sahihi ktk maisha yetu,hakika nimeipenda hii interview.

    • @deniskg310
      @deniskg310 5 месяцев назад

      Alex Karia namjua tangu ubungo kibangu, ni kijana mtanashati, straight forward, na amejaliwa vipaji vingi hasa uongozi.
      He is a good man, atafika mbali.

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 7 месяцев назад +11

    Napenda kuangalia vipindi vyako but hii nimeipenda sana for me . Alex ameonge kijamii kiujana .ndoa ila yot ameeka mungu mbele ndio maana anafanikiwa .kufanikia not only material . Nafsi (Faith) 🇬🇧

  • @miriamkakwezi7309
    @miriamkakwezi7309 6 месяцев назад +2

    Huyu kaka anaroho nzuri sana, siku moja niliingia live yake nikamuomba kunitafutia kazi marekani akaniambia fika marekani nitafute.. he is very good.. mungu atambariki sana sana...

  • @devothasimbi6495
    @devothasimbi6495 7 месяцев назад +11

    Ahsante Shena kwa kutuletea mtu mwenye kunyoosha maneno hongera kijana ana nondo zenye mashiko.

  • @Justinevitus
    @Justinevitus 2 месяца назад +3

    Asante kwa hii interview nimejifunza

  • @angelamaingi817
    @angelamaingi817 7 месяцев назад +7

    Asante sana mwanangu Alex Karia, mimi ni mama mtu mzima (71) ni likuwa naishi na mtoto wangu Califoni ,lakini sasa niko Syato.na shikilia mama mwingine kazi ameenda Kenya. Naatarudi. Mimi ni MTANZANIA.Naomba unipe number ya huyu mama MTANZANIA. ATANISAIDIA NIKO NA GREEN GARD TAYARI. UBARIKIWE AMINA

    • @tagomshana4032
      @tagomshana4032 2 месяца назад

      Dada chena Mimi naitwa Salome nafatiliasana kipindi chako ksbla hujafunga kipindi dada Mimi ni mtanzania nipo Canada ninsviza yakutrmbea naomba sana nikutane naAlex jamani nipe mwangaza zaidi sasa ninamwaka mmoja naomba sana namba za Alex maana ninaujzi wa care give

  • @kevinmushi8209
    @kevinmushi8209 7 месяцев назад +8

    Sister unajua sana very smart question

  • @verynicemoshi9959
    @verynicemoshi9959 7 месяцев назад +8

    Vipindi vyako vinafundisha sana Mungu akubariki sana mdogo wangu

  • @AikenAidan-wf6wy
    @AikenAidan-wf6wy 7 месяцев назад +7

    Jamaa Ana Akili sanaa ✅💪🏽big up Alex

  • @HanifaChalresy
    @HanifaChalresy 7 месяцев назад +5

    Dada shena binafsi nimejifunza mengi Sana toka kwa huyo kaka,pia nimefurahi sana kusikia yeye ni msabato jamani waoooo,mie nipo dubai na nimuadiventista msabato pia,kaka mungu akubariki sana

  • @elibarikimaganga9571
    @elibarikimaganga9571 7 месяцев назад +1

    Asante sana dada Shena, yaani kwenye hii interview nimejifunza mengi sana

  • @naomijoseph7749
    @naomijoseph7749 7 месяцев назад +6

    Alex umenitia moyo Sana sana Barikiwa

  • @charlesmakelele4268
    @charlesmakelele4268 23 дня назад +1

    Huyu Dada anahoji vizuri sn,, yaani akupa nafasi ya kujieleza

  • @huludaemmanuel8803
    @huludaemmanuel8803 7 месяцев назад +2

    Kaka Alex Mwenyezi akubariki sana 🙏🏾, Dada Mungu akubariki sana pia🙏🏾

  • @lillyborah1060
    @lillyborah1060 7 месяцев назад +7

    Hongera sana dada Shenna,hupenda sana kukufatilia kwa kipindi chako natoka Kenya 🇰🇪

  • @naomijoseph7749
    @naomijoseph7749 7 месяцев назад +6

    Dada ubarikiwe umetufunguwa macho sana

  • @dorothysista7463
    @dorothysista7463 7 месяцев назад +3

    I am always a silent watcher. I watch you all the time. You aredoing a wonderful job to educate our people. Kazi nzuri sana Shena ubarikiwe sana

  • @mbarakamwayungu3485
    @mbarakamwayungu3485 7 месяцев назад +9

    DADA,MUALIKE TENA ALEX ATUPE MADINI.

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 3 месяца назад

    This man is matured enough 👋👋🙏Uko vzr kaka
    Umejitambua
    Naomba Yesu akusaidie ukutane na mtu sahihi in Jesus name i pray

  • @cookiegurl7780
    @cookiegurl7780 7 месяцев назад +5

    Kazi nzuri sana hii dada yangu mimi nipo uganda 🇺🇬 katika kambi ya wakimbizi ni mtanzania

    • @beatriceemanuel1098
      @beatriceemanuel1098 7 месяцев назад

      Unandoto gani embu nipo tips mwenzio

    • @olivernyange2349
      @olivernyange2349 5 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂 mbavu sana uko uganda,we ni mtanzania!!! TANZANIA Kuna shida gani hadi uitwe mkimbizi

    • @paulinaobiria9649
      @paulinaobiria9649 Месяц назад

      @@olivernyange2349soma uelewe

  • @mburimburi
    @mburimburi 2 месяца назад

    Wow wa nyumban brow ume n inspire mfumwa akurongorie

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 3 месяца назад

    Be blessed bro.
    Ni kweli sio wazungu wote wabaya ,km ilivyo waafrika sio wote wabaya!

  • @tabithadaudi5960
    @tabithadaudi5960 7 месяцев назад +4

    Alex amemaliza,ameelezea vizuti sana yani,hayo mambo ya madawa ni jaribu kwakweli,nakumbuka niliacha kazi sababu hiyo sitaki kuua mtu mimi🤦🏼‍♀️🤦🏼‍♀️🤦🏼‍♀️🤦🏼‍♀️🤦🏼‍♀️🤦🏼‍♀️

  • @masatujustine-vh9xs
    @masatujustine-vh9xs 7 месяцев назад +3

    Habari madaam naomba niunganishe na huyo jamaa,kwa sasa nipo qatar,ahsante.

  • @halimahassan3031
    @halimahassan3031 7 месяцев назад +1

    Asante sana dada yetu Shena kwa kutuletea watu ili tujifunze, be blessed

  • @RajabuKitalambo-q2u
    @RajabuKitalambo-q2u 7 месяцев назад +8

    Nimeomba mwaka huu kwa EBM nimekosa na passport nnayo ila bado sijakata tamaa apa natak nichekeche nideal na summer camp chap kwa nichomoke 🙏🙏🙏

    • @BsekoMimi
      @BsekoMimi 7 месяцев назад +3

      Iyo summer camp inakuwaje ndugu?

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 7 месяцев назад +1

      Rajabu nakupataje ndugu

    • @edwardmkwelele
      @edwardmkwelele 7 месяцев назад +2

      Green Card ngumu kupata lakini ukipata ni rahisi kwenda Marekani njia ingine rahisi ni kuoa au kuolewa

  • @clintonkiprotich-b3p
    @clintonkiprotich-b3p Месяц назад

    Woow thats greatful

  • @Denis-Geodesist
    @Denis-Geodesist 7 месяцев назад +1

    This interview is very informative! Thanks dada Shenna

  • @katumabiyan5090
    @katumabiyan5090 7 месяцев назад +1

    My sister, how, are? You have done a very good innovation of enabling us to interact with our fellows brothers and sisters who are living abroad!!

  • @sarahSavith
    @sarahSavith Месяц назад

    Asante kaka alex

  • @CatherineNyange-ku7yk
    @CatherineNyange-ku7yk 7 месяцев назад +2

    Good interview 🎉

  • @maryannaedward7764
    @maryannaedward7764 7 месяцев назад

    Ubarikiwe kaka kwa kushare information ❤

  • @Salumchiwili2023
    @Salumchiwili2023 7 месяцев назад +1

    Aisee nimpe hongera sana brother aisee kweli amemshinda ebilisi

  • @RahmaNaziru
    @RahmaNaziru 4 месяца назад

    Samaan da shena nakufatilia sana kutokea zanzibar na napenda sana kukufatilia natamani sana kufika canada kutafuta maisha mie nimeishia da7 na kingeleza changu ni broken English nakua nafatilia sana kazi wanazo kua wanatangaza za friii viza na ni kazi ya viwanda na mda ni kwa miezi sita wanakulejesha unasubili msimu mwingine 1:09:28

  • @sophiarwehumbiza209
    @sophiarwehumbiza209 7 месяцев назад +2

    kwa kweli tangu nimejifunza mengi kupitia hii channel asante Shena🥰🥰🥰🥰🥰

    • @VictaMfumbilwa
      @VictaMfumbilwa 5 месяцев назад

      Dada shena Kwa kweli nimejifunza mengi nifanyaje

  • @123simon
    @123simon Месяц назад

    Habari Mimi. Nimevutiwa sana na hayo mazungumuzo ninatamani sana kuja huko Mimi ni Truck Driver

  • @AndrewAloyce
    @AndrewAloyce 7 месяцев назад

    Hakika umeweza....
    Hayo ndiyo mahojiano tunayoyahitaji watu ambao tunajitafuta.
    Hongera Dada
    I wish nipate namba ya huyo KAKA.... Sijajua wewe naweza KUPATA muda wako lini na saa ngapi Ili nipate mwanga zaidi maana huyu amesimulia. 24:44

  • @matthewsasali5632
    @matthewsasali5632 5 месяцев назад +1

    Wanaita 5 eyes counties Australia, Canada, New Zealand, the United Kingdom and the United States...wanashare their data "wanaita intelligence alliance"
    Uki-mess up in one of those countries umejifungia kote

  • @ImaniFamilyChurch
    @ImaniFamilyChurch 6 месяцев назад

    Good presentation very truthful Person.

  • @maria_mutondioriginal5
    @maria_mutondioriginal5 7 месяцев назад +2

    Mh! Kazi ngumu sana care giver 😢🙌

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 2 месяца назад

    Dada shena .hongera sana kwa kazi nzuri. Ninakuomba nitumie Number ya Simu ya yule jamaa .mwalimu wa Ki German ninataka kusoma ki German hapo Tz

  • @bajunimgunya8559
    @bajunimgunya8559 6 месяцев назад

    Alex umetisha sana...umefunguka sana babu

  • @ChadoraMANYENGA
    @ChadoraMANYENGA 7 месяцев назад +1

    Alex Kakaaangu Sio Mchoyooo Huyu ! Sisi Bado Tupo Marekani Tunalea Wezeee Mpaka Kieleweke❤

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  7 месяцев назад +2

      Karibu sana kwenye kipindi tupate kujifunza pia +4367764790884

    • @wasilaahmad7913
      @wasilaahmad7913 7 месяцев назад

      Tuunganisheni na sisi jaman mimi nipo Oman kwa sasa 😢😢😢

    • @ChalaS-uk7kb
      @ChalaS-uk7kb 7 месяцев назад

      Mm nipo oman nataka kwenda Canada tusaidieni connection

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 2 месяца назад

      ​@@OfficialDatingAssistanceninahela nafikaje

  • @AndrewAloyce
    @AndrewAloyce 7 месяцев назад

    Hakika umeweza....
    Hayo ndiyo mahojiano tunayoyahitaji watu ambao tunajitafuta.
    Hongera Dada
    I wish nipate namba ya huyo KAKA.... Sijajua wewe naweza KUPATA muda wako lini na saa ngapi Ili nipate mwanga zaidi maana huyu amesimulia... 24:44 24:44 24:44 24:44 24:44 24:44 24:44

  • @racheljoel-ry2gg
    @racheljoel-ry2gg 7 месяцев назад +3

    hongera sana my brooo...

  • @beatriceemanuel1098
    @beatriceemanuel1098 7 месяцев назад +2

    Asante shena , asante Alex asante asante@shena

  • @sumayaishengoma4543
    @sumayaishengoma4543 7 месяцев назад +2

    Asante 🎉🎉

  • @ElizabethMwangaza
    @ElizabethMwangaza 14 дней назад

    Habari nzuri

  • @charlesmakelele4268
    @charlesmakelele4268 7 месяцев назад

    Habari Madame,,, Asante kwa kutuletea Alex,,, kwa kweli amenitia moyo sn,,, naomba unisaidie namba yake ili niweza ongea nae baadhi ya Mambo.

  • @jumamtepa7424
    @jumamtepa7424 6 месяцев назад

    Naitwa Juma, ni muislamu, napenda sana urafiki na wasabato, nimepemda sana elimu yako, hii ni sadaka uliyoitoa

  • @RahmaNaziru
    @RahmaNaziru 4 месяца назад

    Samaan da shena nakufatilia sana kutokea zanzibar na napenda sana kukufatilia natamani sana kufika canada kutafuta maisha mie nimeishia da7 na kingeleza changu ni broken English nakua nafatilia sana kazi wanazo kua wanatangaza za friii viza na ni kazi ya viwanda na mda ni kwa miezi sita wanakulejesha unasubili msimu mwingine

  • @aidaanatory9330
    @aidaanatory9330 7 месяцев назад +3

    Dada Naomba huyu kaka anaweza kusaidia hata wengne kupata chance

  • @ChukuMrido
    @ChukuMrido 5 месяцев назад

    Safi sana habari nzuri

  • @alhajiabed79
    @alhajiabed79 7 месяцев назад +1

    Hongera sana intreview ipo smart sana

  • @YuxuphMuxh
    @YuxuphMuxh Месяц назад

    Dada Shena habari za muda huu na kaka Alex hapao studio. Kikweli napenda kazi za caregires au Nanny. Na uzoefu nayo.

  • @rebekamusa3230
    @rebekamusa3230 16 дней назад

    14/12/2024♥️♥️🙏🙏🙏RABBY INN

  • @NattiePeter
    @NattiePeter 7 месяцев назад +2

    Nice interview ever….

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 7 месяцев назад +1

    Well said Alex 👏

  • @saumuabdallah198
    @saumuabdallah198 3 месяца назад

    dada unamaanisha nn unaposema chunga maisha yako ya mtandaon hem tuweke wazi... mana cc wngn ndo habar zetu 🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️📌📌📌📌

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 7 месяцев назад +1

    Mtani wangu umevipiga vita vikali hongra sana mpambanaji Mungu akulinde

  • @justinatemba
    @justinatemba 6 месяцев назад +1

    Jamani naoomba namba ya huyu kaka Alex Karia tafadhali

  • @NancyPeter-pf3js
    @NancyPeter-pf3js 7 месяцев назад +2

    Nibiashara ipi ambayo leseni yake or tin yake itanisaidia katika kupata visa nipe mfano tafadhari Ili niwe na aidia

  • @FurahaNgatena
    @FurahaNgatena 2 месяца назад

    he's very open I like him cio mchoyo wa elimu

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 2 месяца назад

    ASante sana Shena umelisuta hilo puuzi

  • @godwinaxwesso8726
    @godwinaxwesso8726 7 месяцев назад

    Shena you are doing great

  • @prophetessbahatikashasha3858
    @prophetessbahatikashasha3858 7 месяцев назад +1

    Hongera sana dada
    Alex shukrani sana
    Ila naomba namba yako
    Nahitaji msaada wako

  • @swahiliwithZita
    @swahiliwithZita 7 месяцев назад +2

    Huyo binti mdogo mwenye miaka 30 bosi nahisi kama namjua hahahaha 😂 nice interview

  • @sammsilanga711
    @sammsilanga711 4 месяца назад

    Habari. Nimefurahi sn kusikiliza mpaka nimepata hamu ya kwenda Canada. Sasa jamani naamzaje natamani kwenda

  • @malundionlinetv16
    @malundionlinetv16 3 месяца назад

    Huÿo anayempinga Alex ni mchoyo wa maishà. Na hana hekima ya maisha.

  • @Big-oc8wl
    @Big-oc8wl 7 месяцев назад

    Dada nakufuatilia sana upo powa sana Kwa taalifa zako.ila kiukweli natamani sana kufanya kazi uko Canada and us.

  • @godwinarttv3249
    @godwinarttv3249 2 месяца назад

    Viongozi naomba kuelewa hapa hivi kama hauna cheti cha secondary huwezi pta visa naombeni nifahamu

  • @rebekamusa3230
    @rebekamusa3230 16 дней назад

    Nina passport nipo dar es salaam ninahangaika sana kupata kufika huko msaada tafadhalini🙏

  • @AmbroseMwanganyi
    @AmbroseMwanganyi 7 месяцев назад

    Pongezi dada kwa kazi njema,niko kenya naomba emeil address ya Kaka Alex.

  • @MaryamMohamed-xy8ti
    @MaryamMohamed-xy8ti 6 месяцев назад

    Mungu awabarki munaokahuko muwena maishamema

  • @paulaugustino3242
    @paulaugustino3242 6 месяцев назад

    Alex mwamba sana katoa nondo kali na pontetial

  • @amanamohd-bo8ih
    @amanamohd-bo8ih 7 месяцев назад +4

    Natam kwend canda lakn wat hawaamin kuwao pesa jamn dad kam unawatu waamif naomba tuwasilian please 🙏

    • @Summerbtz
      @Summerbtz 7 месяцев назад

      Dada kama financially upo vizuri karibu nitakusaidia kufanya application ya visa hata ya matembezi au hizo za conference ukishafika huko basi ndio mwanzo WA kupata connection zingine

    • @ChalaS-uk7kb
      @ChalaS-uk7kb 7 месяцев назад

      Nataka hata mm

    • @ChalaS-uk7kb
      @ChalaS-uk7kb 7 месяцев назад

      Jamani nipo oman narudi mwakani natamani niende Canada nataka mtu muaminifu anisaidie

  • @achianLove
    @achianLove 7 месяцев назад +2

    Jamaa Kutusanua sna

  • @theresiamshana
    @theresiamshana 7 месяцев назад

    Jamani dada Shena naomba no.ya Alex ili aweze kumuongoza Mr.wangu naye anapambana aende Canada

  • @yohanakiongo5094
    @yohanakiongo5094 6 месяцев назад

    Hongera sana kaka na mimi ni msabato mwenzako nina dream ya kuja uko naomba namba ako niweze kuplay green card

  • @NeemaShababi-nu8dr
    @NeemaShababi-nu8dr 7 месяцев назад +2

    Hongera kaka nimefurahi kusikia wewe ni msabato

    • @NeemaShababi-nu8dr
      @NeemaShababi-nu8dr 7 месяцев назад +1

      Napataje msaada wako tafathali msabato mwenzio

  • @HeryethPheneas
    @HeryethPheneas 7 месяцев назад +4

    Jaman hii live Jana nilikua Ata siijali kumbe ya Maan hivi congratulations waadventist

  • @MBARAKAMWALIMU
    @MBARAKAMWALIMU Месяц назад

    Sister naomba namba ya bro alex apo nimcheki , mana ninampango wa kuja canada lakin sina ninayemfahamu wakunielekeza uko

  • @HelinaMsese
    @HelinaMsese 5 месяцев назад

    Wao jaman nimejifunza kitu kikubwa sana

  • @maryamdotto2633
    @maryamdotto2633 4 месяца назад

    Hello sister mm nakupenda sana ila sijui ntakupataj

  • @JohnFocus-l8g
    @JohnFocus-l8g 7 месяцев назад

    Bro anaongea fact 💯 san

  • @irinefrank3114
    @irinefrank3114 7 месяцев назад

    Dada shena nitakupataje for more information from Tanzania

  • @RahmaNaziru
    @RahmaNaziru 4 месяца назад

    Da shena namba kujua juuu ya zile kazi zinazo kua zinatangazwa za kanada za viwanda na uvunaji maepo na wanasema kua friii viza na mshaallah huwa wanautaja vp wanakua wakweli au ni ubaba ifu

  • @Americabeautifulland
    @Americabeautifulland 6 месяцев назад

    Nakubali sana jamani

  • @MaryamMohamed-xy8ti
    @MaryamMohamed-xy8ti 6 месяцев назад

    Alex naomba yako tuweze kuwasiliana

  • @paskalnakiru
    @paskalnakiru 7 месяцев назад

    Mungu kubariki Dada

  • @rahabbrayson6552
    @rahabbrayson6552 7 месяцев назад +1

    Good job Shena

  • @KilengaJoseph
    @KilengaJoseph 7 месяцев назад +2

    kijana mahojiano mazuri sana nimejifunza kitu kwa Alex ,kama sio umri umesogea ningepambania canada .by the way nakupongeza shena unafanya kazi nzuri sana tofauti na baadhi na you tubes wengine ,pia tuheshimu wanajitoa kwa kutoa elimu kwa wengine,

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  7 месяцев назад

      Shukran sana
      Na Nashukuru kwa mchango mzuri kuhusu kuwaheshimu sana wanaotupa elimu 🙏

    • @HassanRamadhan-c8o
      @HassanRamadhan-c8o 5 месяцев назад

      ​@OfficialDatingAssistance Connection ya kazi please

  • @JoharSuleiman
    @JoharSuleiman 3 месяца назад

    Dada naomba unisaidie naitaji kazi ya care child

  • @AgrimAbdi
    @AgrimAbdi 6 месяцев назад

    Naanzaje kupata kazi huko, kwasababu sina hata ndugu

  • @evakabete2944
    @evakabete2944 7 месяцев назад +6

    Mimi pia ndo kazi ninayoifanya hapa Uk .siyo kazi rahisi lakini naipenda sana .napenda sana kumuhudumia binadamu mwenzangu .pia ni kazi ambayo huwa haiishi japo kuwa waafrica wengine wakisikia kuwa huko ulaya unafanya hii kazi wanakuzalau sana na kukutukana kwa kusema kuwa unafanya kazi ya kuosha matako ya wazungu wakati hao hao ndo kila wakipata shida ya hela ndo wanakuomba huwasaidie kuwatumia hela

    • @HeryethPheneas
      @HeryethPheneas 7 месяцев назад +1

      Pole dear usisikie ya watu

    • @evakabete2944
      @evakabete2944 7 месяцев назад

      @@HeryethPheneas ahsante sana dear . Maneno yao yalikuwa yaniniumiza roho sana lakini siku hizi wala huwa siyaweki kichwani kwa sababu hii kazi inanisaidia sana mimi na family yangu

    • @HeryethPheneas
      @HeryethPheneas 7 месяцев назад

      @@evakabete2944 Amina

    • @HeryethPheneas
      @HeryethPheneas 7 месяцев назад

      @@evakabete2944 mm niko Oman pia na sijali wala nn Maan duh nilisikia mengi Sana mara wanalala na mbwa but Ata sijali kwa kuwa mm ndie nilipo

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  7 месяцев назад

      Hongera sana Eva, na pole kwa changamoto za maneno ya ndugu zetu.. Karibu sana kwa kipindi +4367764790884

  • @ZuleykhaIsmail-rc5ly
    @ZuleykhaIsmail-rc5ly 6 месяцев назад

    Habari shena mulize Alex akiwa canada ili apate PR anatakiwa awe na sifa zipi na akipata PR akitaka kuwa nurse awe na viambata vipi

  • @Kibaadvocate
    @Kibaadvocate 7 месяцев назад +2

    Jamaa anajua kujieleza ,,ana madini

  • @GodfreyMdemu-uw2lv
    @GodfreyMdemu-uw2lv 7 месяцев назад +1

    Dada mwambie Alex kwamba iyo invety ya wasabato anitumie Link yake

  • @dorothysista7463
    @dorothysista7463 7 месяцев назад +7

    Pia shida nyingine kuhusu caregiver Tanzania walitoa hiyo course ya nursing assitant, course hizo zipo Kenya na zinawaptia njia ya kutoka. Pia wa TZ ndugu zangu tukazanie lugha ya Kingereza kinatuangusha sana. Nenda RUclips au google ufanye mazoezi ya lugha. This is from my own experince. From USA

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  7 месяцев назад

      Ahsante kwa ujumbe na Karibu sana kwa kipindi +4367764790884

    • @rachelmbwambo1627
      @rachelmbwambo1627 7 месяцев назад

      kweli mdogo wangu nakujua huna choyo,Mungu akuinue sana,

    • @angelinamachibya-nb8sh
      @angelinamachibya-nb8sh 7 месяцев назад

      Coz ya care giver unaipata Alison online na unalipia

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 2 месяца назад

      ​@@OfficialDatingAssistanceninapesa nataka kwenda Canada nafanyaje