Nauli ya kutoka Tanzania na Kenya kwenda USA au Canada ni dola ngapi? Unapataje tickets za bei nafuu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 33

  • @sop408
    @sop408 Год назад +1

    Thanks mybrother EBM hicho unachofanya hakuna thamani ya kukulilipa maana ni njia ya mafanikio kwa muhusika alie sikia akathubutu

  • @eugeneshirima2
    @eugeneshirima2 3 месяца назад +1

    Unaeleweka vizuri kaka

  • @sop408
    @sop408 Год назад

    Thanks mybrother for your companion in Tanzanian ni msaada mkubwa kwa jamii ila kuona hilo linataka macho ya moyoni

  • @magangamaganga9878
    @magangamaganga9878 Год назад +1

    Asante sana Kaka kwa maelezo mazuri 🙏

  • @BaigonMacha
    @BaigonMacha 8 месяцев назад

    Shukran kk nimekuelewa vyema

  • @MethewCharles-s5b
    @MethewCharles-s5b 15 дней назад

    Kk upo vzr kwa darasa

  • @sop408
    @sop408 Год назад

    Hongera sana

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 Год назад +1

    Mim nitaenda marekani siku moja na nitaenda kipindi cha winter.

  • @binabeid3980
    @binabeid3980 Год назад

    Hongera EBM kwa sasa tumekulewa vzr sn tuu kwa kutupa update hiziii

  • @kapeljjkapeljj5407
    @kapeljjkapeljj5407 Год назад

    Thank God nilibahatika nikaja na emirate kwa 500$ last yr mwez wa11ila niliconnect mara 3😅 DAR to Maryland Glory to God

  • @makibadatela7865
    @makibadatela7865 Год назад +1

    Nauli ya kwenda na kurudi ni kiswahili kwa Kingereza ( Return ticket )

  • @ibrackibrahim6909
    @ibrackibrahim6909 Год назад

    Aiseee unatisha sana

  • @sop408
    @sop408 Год назад

    Your are teacher for us little brothers and sisters from your original country

  • @ibrackibrahim6909
    @ibrackibrahim6909 Год назад +1

    Habari ya jioni kiongozi, tunasubiri tuone kazi za fool sponsorship October, November and December ili tulipiye tuhanze process

  • @msengasikaonga3039
    @msengasikaonga3039 Год назад +1

    Nakufatilia Niko Kitwe Zambia

  • @sop408
    @sop408 Год назад

    Kiukweli nilishapoteza ndoto za ughaibuni ila umeziamsha tena nimejaza dv lotary msimu huu tunangoja majibu

  • @Jay-p6l1i
    @Jay-p6l1i 4 месяца назад

    Bro kama unatoa mzigo kenya kuja tanzania ni utaratibu gani mtu afanye ili mzigo umufikie alipo

  • @NthabisengNdlovu-q1r
    @NthabisengNdlovu-q1r Год назад

    Kaka nipo south African ni bei gani naitaji namba yako plz

  • @Salumchiwili2023
    @Salumchiwili2023 Год назад

    😂😂😂 duh hatar nilijua ni oG

  • @JoshuaKeheta
    @JoshuaKeheta Год назад

    Tunashukuru

  • @RisteboyJoelboy
    @RisteboyJoelboy Год назад

    Iyo imekaa

  • @ZaitunRashid-f5l
    @ZaitunRashid-f5l Год назад

    Nataka niende Kenya ni shngapi?

  • @YasminYasmin-e8r
    @YasminYasmin-e8r Год назад

    Habar kaka m nataka no yko

  • @ebenezerykimendo-oe2mx
    @ebenezerykimendo-oe2mx Год назад

    naomba na email yako ili tuwasiliane na kunipa ushauri wa jambo ambalo nalifanya kwa ajili ya safari yakuja huoko marekani ndio naanza mchakato

  • @Oswardsiame869
    @Oswardsiame869 Год назад

    Habari kaka mimi naitwa furaha kandonga naomba namba yako

  • @yonakatoto4067
    @yonakatoto4067 Год назад

    Bro tusaidie mawasiliano

  • @mukhtarally5819
    @mukhtarally5819 Год назад

    Mkuu unakujja lini Tanzania

  • @StevenShushu-ne1xx
    @StevenShushu-ne1xx 4 месяца назад

    Mh

  • @Salumchiwili2023
    @Salumchiwili2023 Год назад +1

    Samahani brother EBM hiyo Tv hapo ni inch ngapi 😅

  • @Vick-9o-c
    @Vick-9o-c Год назад

    Nimependa Sana hiyo background..

  • @MethewCharles-s5b
    @MethewCharles-s5b 15 дней назад

    Kk naomba email yako

  • @bigirimanaemmysalleh4312
    @bigirimanaemmysalleh4312 Год назад

    Nisaidie na your Email tubonge niko nampango

  • @MethewCharles-s5b
    @MethewCharles-s5b 15 дней назад

    Kk naomba email yako