Namna ya kujibu maswali ya kiingereza Mjini

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии • 60

  • @HafsaShekigenda
    @HafsaShekigenda 2 месяца назад +1

    Mashaallah uko vizuri ❤❤

  • @theopistamganwa7752
    @theopistamganwa7752 2 месяца назад +1

    Ahsante kaka nakuelewa nisaidie zaidi

  • @ElieNguo-zz3sv
    @ElieNguo-zz3sv 2 месяца назад +1

    Somo lako ni nzuri sana tutajifunza pamoja Ila utusukumiye kitabu hiki

  • @194summer
    @194summer 2 месяца назад +1

    Ubarikiwe hasani hii ni kazi yako

  • @ChamaForo
    @ChamaForo Месяц назад

    thank youHassan for teacher many people

  • @indiraconnolly2889
    @indiraconnolly2889 2 месяца назад +2

    Asante sana kwa video hii mwalimu. Natoka Kanada na lugha yangu ya kwanza ni kiingereza. Video zako zinanisaidia sana kujifunza kiswahili :) Nashukuru sana kwa kazi yako.

    • @easy_english_tz
      @easy_english_tz  2 месяца назад +1

      Nashkuru kwa kunifuatilia...unaongea kiswahili kizuri kabisa, Hongera

    • @indiraconnolly2889
      @indiraconnolly2889 2 месяца назад

      @@easy_english_tz Asante sana kwa jibu lako, mwalimu.

  • @husseinbakari9618
    @husseinbakari9618 4 месяца назад +1

    Hongera hassani imeishia lasaba na nahitaji kujua kiingereza

  • @VfannOfficial
    @VfannOfficial Месяц назад

    Jaman nataman! Kujua kingereza mwalimu

  • @jonmgonja3153
    @jonmgonja3153 3 месяца назад +1

    Mungu akupe maisha malefu na baraka nyingi

  • @DENNISShombo
    @DENNISShombo 3 месяца назад +1

    Asante san bro kwakazi yako mungu akulinde san tu

  • @GiftSakala-u8k
    @GiftSakala-u8k Месяц назад

    Asante sana kaka
    Mimi nipo Zambia lsk
    Kila kitu kipo sawa unaeleweka vyema.

  • @OlivaMponda
    @OlivaMponda Месяц назад +1

    Transportation in the city is good because there are many cars but transportatio in village there are few cars

  • @AminahMusa-j1s
    @AminahMusa-j1s 3 месяца назад +1

    Hongera san kaka kwa support yk

  • @EmaKazamwedo
    @EmaKazamwedo 26 дней назад

    Nakuchukuru zaidi unawekakitu kichwani mwangu nipo Congo 🇨🇩 lubumbashi

  • @charufamasika
    @charufamasika 4 месяца назад +1

    jambo mwalimu mimi ni cedrick from congo from congo i live to butembo city mina furaiya uwalimu wako asante

  • @RehemaHaule-nm6nv
    @RehemaHaule-nm6nv Месяц назад

    Ubarikiwe kaka

  • @getrudleonce8875
    @getrudleonce8875 Месяц назад

    Nakufuatilia kutoka Lind vijiji, asante kwa somo la leo.

  • @kalistishirima5314
    @kalistishirima5314 2 месяца назад +1

    Ipo kaka

  • @NasilJames
    @NasilJames 3 месяца назад +1

    Mwalimu vizuri utuandikeye board asante

  • @davidraymond5679
    @davidraymond5679 Месяц назад

    Unafundisha poa sana broo

  • @TawosiTawosi
    @TawosiTawosi 4 месяца назад +2

    Shukrani 🙏 naomba namba

  • @AliceUwimana-j6l
    @AliceUwimana-j6l 2 месяца назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @irankundahussein
    @irankundahussein 2 месяца назад +1

    Mimi na ishi kigali
    Nimependa sana masomo Yako Sana niunge na group
    Yawenye ku Anza kudjifunza kingereza Asante sana

  • @ibrahimnyabwa8088
    @ibrahimnyabwa8088 2 месяца назад +1

    Sawa kaka asante Mungu AKUBARIKI nimechukua namba yako natumai nitapata cm nitafuatilia thank you so much

  • @SamiaRajab-f2b
    @SamiaRajab-f2b Месяц назад

    Asante nipo omani❤❤

  • @MaryamHAMISI-ei9fq
    @MaryamHAMISI-ei9fq 5 дней назад

    Somozuliili I am from Oman and I need to learn.

  • @LugasWaswa
    @LugasWaswa Месяц назад

    Mimi naangaliya kutoka kenya 🇰🇪

  • @SalmaMakuwani
    @SalmaMakuwani 2 месяца назад +1

    Naomba niunge kwenye group lako pls

  • @johnmalale3860
    @johnmalale3860 3 месяца назад +2

    Ni nini, tofaut ya city na town!?

  • @DevothaLevocatus
    @DevothaLevocatus 7 дней назад

    Nataka kujifunza

  • @SophiaPeter-s3y
    @SophiaPeter-s3y 2 месяца назад +1

    Mwalim naomba niunge kwenye group nataman kujua kingereza

  • @honorascohonoraty2843
    @honorascohonoraty2843 2 месяца назад +1

    Niunge kwenye group lako

  • @SylvesterNyandamatumbati-z2u
    @SylvesterNyandamatumbati-z2u Месяц назад

    Good morning teacher

  • @OlivaMponda
    @OlivaMponda Месяц назад

    In the city there are many roads but in the village there are few roadd

  • @HassaniFakhi
    @HassaniFakhi 2 месяца назад +1

    Nimejifunza hii video kutoka Dubai kaka inshaallah nitakua nakuruatilia Kila mara

  • @virginia-r6w
    @virginia-r6w 2 месяца назад +1

    Number ya kunjiunga na masomo

  • @virginia-r6w
    @virginia-r6w 2 месяца назад +1

    Asante mwalimu Mimi Virginia kutoka kenya number ya kunjiunga na masomo

  • @chalesSijaona-d4n
    @chalesSijaona-d4n 3 месяца назад +1

    MTU akiuuliza,what's the different,differential, ni kosa,hakusoma?

  • @AlisLaizer
    @AlisLaizer 2 месяца назад +1

    Nimependa dalasa lako natamn nijue ila sasa najiuliza je nikimtumia mt xmx akanijibu kwa kingeleza na nikaishiwa kuelewa inakuaje

  • @SalehHamad-o8z
    @SalehHamad-o8z 2 месяца назад +1

    Mm naomb namb yak ya wasp

  • @RadhiaJum
    @RadhiaJum Месяц назад

    Naomba uniunge kwenye group

  • @OlivaMponda
    @OlivaMponda Месяц назад

    In the city is good because there are many cars but the village there a few cars

  • @SonyErikson-q2h
    @SonyErikson-q2h Месяц назад

    Ndiyo

  • @chalesSijaona-d4n
    @chalesSijaona-d4n 3 месяца назад +1

    Akiuliza,what's the different in city's au in city ni, kosa,nipo,Mtwara

  • @MariamJuma-g7w
    @MariamJuma-g7w 4 месяца назад +2

    In the city we get water from taps while in village we get water from wells

  • @GraceMwinuka-r8f
    @GraceMwinuka-r8f 10 дней назад

    Morogoro

  • @janethmasuba4915
    @janethmasuba4915 Месяц назад

    Why do people... kwanini tunaweka do kwani tukisema tu Why people move... haitafaaa ?

  • @nasibushirima9542
    @nasibushirima9542 2 месяца назад +1

    Mimi nimependa somo lako nipo tayari kua mwanafunzi wako nakuelewa sana niunge kwenye gurp lako niaze masomo tafadhali

  • @getrudleonce8875
    @getrudleonce8875 Месяц назад

    But sija pata vizuri your no.

  • @FaresiNijimbele
    @FaresiNijimbele 4 месяца назад +1

    Taps

  • @ShabaniJumaMrisho
    @ShabaniJumaMrisho 4 месяца назад +1

    Namba yako aipo Whatsapp

  • @ShabaniJumaMrisho
    @ShabaniJumaMrisho 4 месяца назад +3

    Namba yako aipo Whatsapp