Feitoto apiga mbili, Azam FC ikiifumua Kagera Sugar 5-1 Chamazi (Magoli) - NBCPL 25/05/2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 май 2024
  • Feisal Salum amefunga magoli mawili Azam FC ikiibugiza Kagera Sugar mabao 5-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC iliyopigwa leo kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.....
    Magoli mengine kwenye mchezo huu yametoka kwa Gibril Sillah dakika ya 50’, Kipre Jr dakika ya 65' na Iddy Nado dakika ya 90, huku Feisal akifunga yake dakika ya 72 na 79.

Комментарии • 155

  • @mudinhomeshack9041
    @mudinhomeshack9041 21 день назад +2

    Huyu kipre ni balaa

  • @upepobeka6877
    @upepobeka6877 21 день назад +1

    Mbona kama ni mchongo

  • @saheelameir4313
    @saheelameir4313 21 день назад +2

    Fei ni MVP

  • @SuzanGabriel-tp2cx
    @SuzanGabriel-tp2cx 21 день назад

    Jamani hii nchi ngumu yani hii mechi wamenunua kabisa, yani watu wanaacha tu mpira wanausindikiza hadi gorini kweli jamani, uwo mpira drama. Igizo lilikuwa zuri sana.

  • @SadikiSaid-cp1pt
    @SadikiSaid-cp1pt 21 день назад

    kipa karuka Gori rapiri kama ana ogerea

  • @mathewmponejas3536
    @mathewmponejas3536 21 день назад

    nani kaona magori yote ni upande mmoja

  • @user-tq1jz3wm3f
    @user-tq1jz3wm3f 21 день назад

    Wengine wanasema offside hemu jamani msojuwa offside kapeweni elimu ya offside,

  • @sangjr8219
    @sangjr8219 21 день назад

    Kagera mlistahiri kushuka kabisa daraja. Maana hii ni dhahiri match fixing ni kuanzia marefa mpaka Kagera wenyewe

  • @allymkazi2775
    @allymkazi2775 21 день назад +1

    Match fixing !!!!

  • @Ibrahim_2714
    @Ibrahim_2714 21 день назад

    sauti haipo

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 21 день назад

    Tutaona mengi ya kustaajabisha na ya kufikirisha hivyo hii ndo Kagera iliyokuwa ngumu dhidi ya yanga na Simba kufungwa magoli mepesi hivi

  • @FayhimaJustine-it9nz
    @FayhimaJustine-it9nz 21 день назад

    Balaaa magoli 6

  • @user-ep5ol3kz4h
    @user-ep5ol3kz4h 21 день назад

    Kagera asante kwa kushiriki

  • @libandaonline5358
    @libandaonline5358 21 день назад

    Yanga wanaumiiiia

  • @user-ql8zo6we9z
    @user-ql8zo6we9z 21 день назад +1

    Goli la pili ni offside

  • @Suleyham
    @Suleyham 21 день назад

    Azamiano afciano chama letuano

  • @AliyussufMakame-js5dp
    @AliyussufMakame-js5dp 21 день назад +1

    Mtaumwa sana na fei mtasema kila kitu yake yanamuendea

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 21 день назад

    Asa offside iko wapi nampira katoka nao yeye huku wala hakusimama

  • @HusseinKitumba-fd6nu
    @HusseinKitumba-fd6nu 21 день назад

    Off side

  • @anowenseemirly
    @anowenseemirly 21 день назад +1

    Kaz mnayooo