Highlights | Mwamnyeto Foundation 2-1 Mbeya All Stars | Mechi ya Hisani 15/06/2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 июн 2024
  • Timu ya Bakari Mwanyeto na Zawadi mauya (Mwamnyeto Foundation) imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbeya All Stars iliyojumuisha wachezaji mbalimbali wenye asili ya mkoa wa Mbeya.
    Mbeya All Stars ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya 5 kupitia kwa George Mpole kabla ya Yacouba Sogne kuchomoa dakika ya 16 na kisha Denis Nkane kufunga la ushindi dakika ya 90.
    Ni mchezo wa hisani uliopigwa leo kwenye Dimba la Sokoine Mbeya, ukiwa na lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya watu wenye uhitaji.... Mchezo huu ni sehemu ya tamasha lililo chini ya Taasisi ya Mwamnyeto Foundation.
  • СпортСпорт

Комментарии • 5