GB64 ASHINDWA KUJIZUIA ASHANGILIA PARADE LA YANGA LIVE/ SIMBA LAZIMA TUKUBALI YANGA IMETUACHA MBALI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 май 2024
  • #BATTLETV
  • СпортСпорт

Комментарии • 136

  • @user-rf7ni6tr2o
    @user-rf7ni6tr2o 22 дня назад +13

    Kumbeee kweri mnapewagaaa juisss duuu

  • @SmartDavies-zn6lb
    @SmartDavies-zn6lb 22 дня назад +14

    Fanya mazoezi baba jobe hakuweki benchi😂😂

  • @RAMADHANAllykibanga
    @RAMADHANAllykibanga 22 дня назад +6

    Upo sawa kabisa

  • @humphreyleodgar9434
    @humphreyleodgar9434 21 день назад +5

    GB64 anza Mazoezi unapata namba Simba

  • @HamadHamduni
    @HamadHamduni 21 день назад +3

    Fitina ndo asili ya simba

  • @JofreyNoel
    @JofreyNoel 21 день назад +2

    pole sana kamanda

  • @amisamaurid1882
    @amisamaurid1882 21 день назад +2

    Huyu xaxa ndo anafaa kuwa msemaji wa simba sio Ahmed Ally anawadanganya💛💚💛💚💚💛💚😂😂😂😂😂😂

    • @allysaidi-uy9rm
      @allysaidi-uy9rm 21 день назад

      Ndugu Ahmed Ally chawa wa viongozi sio msemaji

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 21 день назад

    Safi sana tupiganie timu yetu zidi ya mabeberu waliojificha kwenye kinvuli cha mpira.

  • @user-yh3dv2bl7u
    @user-yh3dv2bl7u 21 день назад

    Kaka pamoja sana viongoz wanajali matumbo yao

  • @oseasimpasa-bj5ds
    @oseasimpasa-bj5ds 16 дней назад

    Wamefurai viongozi

  • @ushiwamarandu7433
    @ushiwamarandu7433 21 день назад +1

    DUH...! yamekuwa hayo tenaaaa!

  • @Dulastz
    @Dulastz 22 дня назад +3

    Jmaa kaongea kwa hisia san

  • @nuruosward8161
    @nuruosward8161 21 день назад +1

    Huku makazin hatuna hata rahaaa kitaaa ndo usiseme kwenye daladala ndo mamaaaaa yaaan mashabiki wa simba tunatamani

    • @user-iz3hs8jl5p
      @user-iz3hs8jl5p 21 день назад

      bado hajasema ! namtasema! yaani mpaka msemee ! yaani apo baado, mmmmh!"

    • @nuruosward8161
      @nuruosward8161 21 день назад

      @@user-iz3hs8jl5p vina muda bac haya mambo ni yamsim tunateseka lkn hatupitish bakuli la mchanga🤣nahata ukisema nikama ujasema

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 22 дня назад +2

    Ukweli unauma

  • @allysaidi-uy9rm
    @allysaidi-uy9rm 21 день назад

    Mtani upo sawa tena sana! Vumilia ndio ukubwa huo pia yanga waliyapitia hayo

  • @SalehChico-dw3ei
    @SalehChico-dw3ei 15 дней назад

    Acheni mungu awafatilie wanaofanya mema sio mokolo

  • @oscarfrancis2464
    @oscarfrancis2464 21 день назад +4

    Unasemaga kweli gb , na msema kweli siku zote hutengwa na kushambuliwa

  • @bethmahela2182
    @bethmahela2182 22 дня назад +2

    GB 64,unaongea kweli kaka

  • @user-mo7qi3do1x
    @user-mo7qi3do1x 21 день назад +1

    Kaka tusemee bana watu tumepata ata mishutuko ya motoo ukuu ahaa,😅😅

  • @vivathebest5300
    @vivathebest5300 17 дней назад

    Huyu jamaa ameongea mpk nimejisikia huzuni ingawa me ni yanga 🔰🔰🔰 mtani hatujamzoea hizi kina Mangungu na try again waiache Simba🥲

  • @elizabethmgassa7243
    @elizabethmgassa7243 21 день назад +3

    Umesema km mimi gb64

  • @AbdallahMaulid-oc7gx
    @AbdallahMaulid-oc7gx 20 дней назад

    Uposahihi mwanangu

  • @Official_mhengatz01
    @Official_mhengatz01 20 дней назад

    Hiv wewe GB64 ukipewa Simba utaipeleka wapi unavyo sema uachiewe Simba Yako unahela ww mbwa😥😥😥😥😥

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 22 дня назад +1

    Wewe toka ulipolia mimi nimekuacha nilikuwa nawewe sana brother mpira ni starehe sasa unapolia hiyo ni vitaungeshuka daraja wewe ungekuwaje si ungejiua

  • @user-gr9px4pi2w
    @user-gr9px4pi2w 21 день назад +1

    Maneno kuongea ni rahisi sana ,kazi vitendo, hebu wana simba mpeni huyu bwana nafasi ya mwenyekiti alafu tuone atafanyaje dawa ni hiyo tu . Domo kaya bila vitendo halitofaa

  • @user-dt2hs4we6z
    @user-dt2hs4we6z 21 день назад

    Ww boya sana huyo bencikh Hana Lolo nae

  • @AugustineokochaKifrebe-yd7cw
    @AugustineokochaKifrebe-yd7cw 21 день назад

    Yupo sahihi mwamba!

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 22 дня назад +4

    msipo achana ma MO mtaendelea kuteseka mpeni kigwangala

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 21 день назад

      Kigwangala mpe mama yako amtombe ataweza lakini kuendesha Simba hawezi kulipa hata mishahara ya mwezi mmoja

    • @user-mi7yx8ew1k
      @user-mi7yx8ew1k 21 день назад

      ​@@laninjeje8290auna akili ww msenge barid maswala ya wazazi unayaleta vp apa shoga ww ww mpe mo akufile

  • @BensonMpomo
    @BensonMpomo 21 день назад

    mmefika mbali sana mungu hausiki na mpira nyie pelekeni rambirambi kule congo ito ni laana

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 22 дня назад +4

    Huyu ana high convincing power, akiitetea simba unakubali, akiiponda utampigia makofi

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 21 день назад +1

      Sifa ya mtu muongo muongo ..... Huyu anabadili uongo kuwa ukwel .... Na ukwel kuwa uongo ila sisi tunapiga humu tu humu tu

    • @kibasamohamedi8029
      @kibasamohamedi8029 21 день назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kweli aiseeeeeee

  • @athumansaidi7663
    @athumansaidi7663 20 дней назад

    Saf kaka

  • @Kimjongun4996
    @Kimjongun4996 21 день назад

    Aliyekuja kuiharibu Simba ni mangungu na try again na ndo mgogoro ulianzia hapo timu kuyumba, mangungu na try again waonendoke Simba.

  • @MichoMpambalyoto
    @MichoMpambalyoto 17 дней назад

    huna baya kak GB 64 nakuongeza cheo GB 1000

  • @KemiChilstopher
    @KemiChilstopher 21 день назад +1

    Hao watawala watoke

  • @AnthonyVitalis-iy5su
    @AnthonyVitalis-iy5su 22 дня назад

    Hao Dem mazulia wanapatikaña wapi

  • @mwalimuchristian3273
    @mwalimuchristian3273 21 день назад +1

    Story nzuri Kwa GB ni kuitusi Simba

  • @muddylikwena128
    @muddylikwena128 14 дней назад

    Fanya mazoez mzee uliokoe chama

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 21 день назад

    Mo ni jinamizi linaloitafuna simba

  • @shukurually8769
    @shukurually8769 21 день назад

    Viongozi wa simba watupishe kiukweli ila haya mambo ya gb64 yalipaswa yafanywe na matawi yote tz lakini matawi wapokimya wapumbavu sana sasa kunamaana gani ya kuwa na matawi na wanachama

  • @allyrembo6714
    @allyrembo6714 22 дня назад +3

    Gb64 nilikua nakuona ni mtu mwenye busara na akili timamu kumbe sivyo unaakili za mitandaoni mtu mzima hovyo unayo ongea wala hayafanani na uso wako habu waulize man united leo wako wapi waulize kaizer chief leo wako wapi wakati simba anashinda miaka 4 yanga walikua wapi mpira hauko hivyo

    • @shaksylight1115
      @shaksylight1115 22 дня назад

      UNAFANANISHA MAN U NA SIMBA KWEL JUZI KACHUKUA KOMBE MBELE YA MAN CITY UHESHIMU MPIRA

    • @estonsaimon6671
      @estonsaimon6671 22 дня назад +1

      Halafu inabidi ujiulize wakati Simba wanabeba ubingwa mara 4 Yanga walikua na hali gani kiuchumi kama klabu na currently Yanga anabeba ubingwa mbele ya Simba wakiwa na hali gani? Coz kipindi kile Simba alikuwa na Mo halafu Yanga walikua wanabeba bakuli kuchangishana na hawajawahi kugombania na timu nafasi ya pili lakini saiv Yanga Wana mdhamini na Simba Wana mwekezaji je nn sababu ya Simba kukaa vibaya

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 21 день назад +1

      UNA MAANISHA TUSISEME TUKAE KIMYAA USITULETEE MIFANO YAKO YA KIPUUZI PUUZI HAPA

    • @user-yb9cl6fr6l
      @user-yb9cl6fr6l 21 день назад +1

      Wewe.usitumie kigezo Cha kaiza chifu haya kwani kaiza chifu haja chukua club bingwa afrika wewe ushachukua acha ujinga mo kaiyua simba nayeye ndio kirusi kwasasa pale

    • @azammaganga9101
      @azammaganga9101 21 день назад

      😂😂😂😂😂kwahiyo unataka mo aondoke simba kuna mtu mwingine unamfahamu anataka kuwekeza simba?​@@user-yb9cl6fr6l

  • @RahmaKhalfani-qp3vc
    @RahmaKhalfani-qp3vc 21 день назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @farajahiyob7398
    @farajahiyob7398 21 день назад

    Duh, yaani machungu haya pia ingetumiaka kudai katiba mpya ni dakika sifuri ndani ya wk ingepatikana

  • @JitihadaMasimba-ng5mv
    @JitihadaMasimba-ng5mv 22 дня назад +1

    Gb Mtani punguza kdogo watakuweka ndani tena

  • @joshuamwambene2874
    @joshuamwambene2874 22 дня назад +2

    Huyu shabiki wa kweli Simba tatizo siyo makocha Simba

  • @saimonntani6831
    @saimonntani6831 22 дня назад +2

    Msiseme tumechhoka kwamaneno,inatakiwa muendena petroli majumbani kwahao viongozi alafu muone kama hawataiacha Simba.hao viongozimikunduyao lengolao kkuishushaSimba..hao wapo upande wayanga kwahiyo mukiwaachia hao viongozi yanga watabeba miaka20 ijayo.😊

  • @stephanongosela7089
    @stephanongosela7089 21 день назад

    Tatizo unongea sana

  • @GodfreyNefary-mq5gr
    @GodfreyNefary-mq5gr 21 день назад

    Akikamwa wa kudili nao tunawajua ndo tutawaonyesha kuwa tunauchungu na timu yetu

  • @samwelbatholomew3209
    @samwelbatholomew3209 20 дней назад

    Toa nyongo baba ila jera tema mate chini

  • @ahmadmasunda9892
    @ahmadmasunda9892 21 день назад

    WALE WOTE WATATU YAANI MAYELE BANGALA PAMOJA NA DJUMA WALIKUWA NA MKATABA WA MWAKA YANGA ACHA KUJITIA UJINGA WEWE TAALUMA YAKO MWALIMU NA WALIMU HAWANA TABIA YA KUSEMA UONGO

  • @johnmgoroba379
    @johnmgoroba379 22 дня назад

    kaka nakuuliza huyo mwanajeshi ni timu?

  • @abdallahmesso7732
    @abdallahmesso7732 20 дней назад

    Acha kichaa ukipewe wewe hiyo timu utaweza au maneno uongo majungu simba yenu una timu yako wewe nani upigiwe simu

  • @anthonylusuva6039
    @anthonylusuva6039 21 день назад

    Simu ulichangiwa Simba wakuachie utawalipa nini wachezaji? Eti Mo akuachie timu halafu unasema unauchungu unauchungu gani wewe.

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 21 день назад

    GB 64 ni njaa sana ndo maana anaropoka ropoka kila mitandaoni, tafuta hela brother acha kuomba ombamba kwa watu

    • @user-mi7yx8ew1k
      @user-mi7yx8ew1k 21 день назад

      Kaomba kwa nan tatizo mkiambiwa ukweli mnanuna tulia dawa ikuingie

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 21 день назад

    😂😂😂😂 Kanichekesha eti haya hutaki kula vumbi haya ita maiki tuambie simba yetu inaendaje hamtaki

  • @user-su7np6sn7s
    @user-su7np6sn7s 21 день назад

    Eti Mungu atawauliza kuhusu mashabiki wa Simba
    Yaani Mungu aulize Kweli kuhusu wa Simba ili iweje Sasa
    Eti kwanini mnawaacha watu wa Simba wanakufa
    Kwani Hao watu wasimba itakua wamemufa Kwa jihadi kwaajili ya Mungu au kwaajili ya makolo
    Pumbavu zako we

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 21 день назад

    Kolo leo nanyi mnatukana 🤣🤣🤣🤣

  • @user-vl1yt4nb9o
    @user-vl1yt4nb9o 21 день назад

    Bado hujasema

  • @hajially4527
    @hajially4527 21 день назад

    Huyu kesho kolo wanamrudisha lokap

  • @kalifumuleonard68
    @kalifumuleonard68 21 день назад

    Chawa huyo wa UTO!

  • @user-en1re7ot8c
    @user-en1re7ot8c 22 дня назад

    Nakukubabaliii sana mwamba unaongea ukweliii haujawai pindiii nimekukuballl

  • @saidseleman2973
    @saidseleman2973 22 дня назад

    Uyu farah

  • @mshua337
    @mshua337 22 дня назад

    Hili jamaa kumbe liongo aisee.Bangala alihojiwa kabisa akasema ana asilimia chache za kuendelea Yanga kwa sababu anaangalia Hela.Djuma aliandika barua ya kuomba kuondoka baadae akaghairi Yanga wakaona usitutingishe sepa.hayo mambo ya sijui nani ni mchezaji wa mtu binafsi ni upuuzi tu

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 21 день назад +1

      Hili ni Ubuntu apo apo Bothoo
      Leo atakua upande wa Ubuntu kesho atakua bothooo .......

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 22 дня назад

    Mzaramo umesikia na tumbo tumbo lako umeombewa upate ajali

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h 22 дня назад +1

    Kama walikuwa wachezaji wa watu kwanini Yanga walimuuza mayele.

    • @Official83640
      @Official83640 22 дня назад

      Mayele kauzwa?

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 21 день назад +1

      ​@@Official83640😂😂😂 we unahic kafanyaje??? Au na wewe ni ubuntuuu

    • @Official83640
      @Official83640 21 день назад

      @@mwanangusana Nimeuliza swali nahitaji kujibiwa sio kutoa maneno mengi

    • @fredmbossa-kc3qn
      @fredmbossa-kc3qn 21 день назад

      ​@@Official83640ingia transmarket utaona mayele kauzwa na yanga tena utaona hadi bei ....

  • @ignatiomatimba3554
    @ignatiomatimba3554 21 день назад

    Wewe usiharibu umaarufu wa timu yetu wewe. Kupana na kushuka Kwa Simba ni kawaida kimchezo. Kulaumu si vizuri tuijenge timu yetu

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 22 дня назад +1

    Kumbe mzaramo na mziwada wanasafirishwaga😂😂

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 22 дня назад +1

      Pass millions
      Doctor Moo
      Aggy Simba
      Mwakitalima
      Mzee wA salute
      Kisugu
      Wanapewa posho kulipiwa ticket za uwanjani na kupewa jez za Bure za msimu mzima

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 21 день назад +1

      Huyu alikuwa kwenye kamati ya mapambiooo 😂😂😂 ila baadaa ya kukatwa posho na katibu mzaramu ..... Ametoka amegeuka upande wa bothoo maana alikuwa ni Ubuntu huyu kama akina kisugu

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 21 день назад +1

      ​@@jaffjeff6912kamati ya Ubuntu ao katibu wake ni mzaramoo chini ya mwenyekiti pass milioni makamo mwenyekiti Kisugu

  • @user-ni1rk2il1v
    @user-ni1rk2il1v 22 дня назад +2

    Wee jamaaa Tako kwelii kwani wee nanii mbona unajiona Kila kitu unajua afu kumbuka furaha haidumu hata huzuni pia haidumu

    • @husseinmillinga
      @husseinmillinga 21 день назад +1

      Wewe ndio unashida

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 21 день назад +1

      USITULETEE MAMBO YA HUZUNI NA FURAHA HATUPO MATANGANI WALA HARUSINI LAZIMA TUONGEE.

  • @salmamlokela1987
    @salmamlokela1987 22 дня назад +1

    😂😂😂😂

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 22 дня назад +1

    Bado Hamjasema na Mpaka Mtasema

  • @binwasiumbanga9256
    @binwasiumbanga9256 21 день назад +3

    Ukikamatwa unakua mnyooongee,Mangungu anakusikiliza tu, ngoja awatume wajomba😂😂😂

  • @VailethMlowe-zf3bs
    @VailethMlowe-zf3bs 21 день назад

    😅😅

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 21 день назад

    😛😛😛😛😛😛😋😋😋😋😋😋🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺 yanga bingwa adi 230🤣🤣🤣🤣

  • @JofreyNoel
    @JofreyNoel 21 день назад

    kiukweli simba mmepotea

  • @samwelipetro3097
    @samwelipetro3097 21 день назад

    Ila jamaaa anaongea ukweli

  • @PatrickMbilinyi-bm2yt
    @PatrickMbilinyi-bm2yt 19 дней назад

    Hamia yanga wewe mamluki 0:35

  • @ezekielmlay8219
    @ezekielmlay8219 21 день назад

    Nenda yanga kenge wewe mdomo tu mpenzi gani wa simba huyooooooo

    • @user-iz3hs8jl5p
      @user-iz3hs8jl5p 21 день назад

      hatutaki mamli sisi nyie vp mboma kama mna2shskixia mashabiki wenu ha2wataki

  • @erastocyprian3555
    @erastocyprian3555 22 дня назад +1

    Tabuuu leeee😂😂😂😂

  • @user-dt2hs4we6z
    @user-dt2hs4we6z 21 день назад

    Huna lolote naweee

  • @HASHIMUMKUNDA-pz1wd
    @HASHIMUMKUNDA-pz1wd 21 день назад

    Kwani huyu jamaa yupo upande gani?

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 21 день назад +1

      Either buntuu or bothoo ila ni ao ao akina dunduka ........

  • @show...002
    @show...002 21 день назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @hashimhassanimassawe8366
    @hashimhassanimassawe8366 21 день назад

    Kwelikabisa.yanga.anapenyeza.helampaka.gb.64.kweli.sasa.huyumusonda.na.fred.nani.bora?leounasifia.wachezajiwa.yanga.unadharau.wa.simba.we.yakwakotimu.unavyosematimu.ciyaviongozi.kwani.weyakwako.chawa.mpumbavu.kabsa.wewe.unaakili.mlaunga.mkubwa.we

    • @benardpeter3562
      @benardpeter3562 21 день назад

      Yani hata ulichokiandika ukirudia kukisoma huwezi kuelewa🤣🤣🤣🤣hata urudie mara mia unaweza SEMA trekta linalima

  • @JosephDamasimushy
    @JosephDamasimushy 21 день назад

    Mpira sio mdomo wewe MB 64

  • @LeonardMasalu-ns5km
    @LeonardMasalu-ns5km 20 дней назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ramadhanimrungu5806
    @ramadhanimrungu5806 21 день назад

    Ww wakele tu watakuweka ndani tena

  • @MichaelMipawa-vx5om
    @MichaelMipawa-vx5om 21 день назад

    Acha ushoga weweeeeeee

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 22 дня назад

    Huyu mtu ana hasira kwa simba kufanya vibaya... amenyooka kama rula

  • @josephmwise3177
    @josephmwise3177 22 дня назад +1

    Unawachokoza Viongozi wako kwa kumtegemea Mwalimu?

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 21 день назад +1

      VIONGOZI WA SIMBA SIO VIONGOZI WAKE MWACHE ASEME.

  • @user-kz2jk1jf5l
    @user-kz2jk1jf5l 21 день назад

    Wanawagawa mashabiki wa simba unaongea kisa umebaguliwa haupati posho unaumia sana sio kwasababu ya simba nikwasababu nawew siku hizi haupati posho huo ndio ukwer

  • @AbbasPuyaga
    @AbbasPuyaga 22 дня назад

    Kwani si ubadirishe timu kwanini ung'ang'anie Simba?? acha kupayuka payuka ndugu

  • @hamzarumela1784
    @hamzarumela1784 21 день назад

    Huyu nae keshakuwa kirusi tu

  • @user-ik2fg6iu2m
    @user-ik2fg6iu2m 21 день назад

    Wewe simpenzi arsnal miaka hajachukua kombe ushawsikia kuipenda mancity acha ushamba uo

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 21 день назад +1

      MSITULETEE MIFANO YA KISHAMBA SHAMBA.

  • @johntulio2644
    @johntulio2644 21 день назад

    Huna lolote wewe, ni Chawa tuu, kusema timu yako na kusifia timu nyingine!

  • @mwalimuchristian3273
    @mwalimuchristian3273 21 день назад

    GB 64 Amelsewa sifa Sasa na anakoelekea si kuzuri

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 21 день назад +1

      KWANI WEWE USHAPAJUWA WAPI ANAPOELEKEA???

  • @user-kf6tz1px6f
    @user-kf6tz1px6f 21 день назад

    Acha hivo wewe yanga nini?

    • @JofreyNoel
      @JofreyNoel 21 день назад

      watanzania tuna upeo mdogo

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 22 дня назад

    Ujinga wako usituletee .

  • @binomar8524
    @binomar8524 21 день назад

    GB ww nimjinga sana si mshabiki

  • @user-yh3dv2bl7u
    @user-yh3dv2bl7u 21 день назад

    Gb 64 nakuelewa sana

  • @maulidmusa8902
    @maulidmusa8902 21 день назад

    Huyu Ni mpumbavu. Kulikoni asitoke Simba kwani si babake Wala mamake

  • @saidmbarouk3553
    @saidmbarouk3553 21 день назад

    😂😂😂😂

  • @lotimwansule5017
    @lotimwansule5017 20 дней назад

    Mjinga wewe mbona unatoa povu sana ,uondoke ww ,tuachie simba yetu