Mahubiri yenye ujumbe mzuri mno kutoka kitabu cha Mithali 6:16-19. A.I.C Chang'ombe nyimbo zenu zinanibariki mno. Endelea kumhubiri Yesu kwa nyimbo. Amina
I don't know what I would do without Changombe Vijana Choir...you guys uplift my spirit whenever I'm down...God abundantly bless ... everything about this choir is just amazing... keep up with the good work for He who started the good work in you will surely accomplish it...Serve Him He will never ashame you
Aki ,I cannot get enough of your songs.very blessing...i'm always moved by your vocals guys.keep up instrumentalists and soloists...May God bless chang'ombe vijana choir..always following you from kenya...
The song "Wastahili" is not just an ordinary song. The book of Revelation talks of Heaevenly beings that surround the throne of the most High God, Excellent in Wisdom and Wonderful in Counsel as constantly saying you are "worthy"; numerously. This song is a masterpiece. An Icon. Much more than Fold, Silver and Diamond. Pure scripture! Of course to God's Glory. To me, it's the song of the decade, 2010 through 2020 !
Hitaji la moyo wangu Kila uchao nikutane na kwaya hii siku moja..nimejifunza mengi kimuziki,mavazi yenu,...niseme Nini?? Chang'ombe Chang'ombe..mungu awatende wema👍👍🙏
Wao, I love the message of the song; The blessings of the Lord maketh Rich and added no sorrow to it! May God see you through your content monetization efforts as you spread the gospel.
Neema gospel and AICT Changombe ni kwaya 2 tofauti. Ingawa choir zote 2 ziko chini ya kabisa ya African Anglican church na nafikiri wako chini Ya diocese moja though l am not very sure. Cha maalum ni kwamba wanamtukuza Kristo
Dada wa mwisho ameingia poa mbarikiwe
Nice one cvc huku Kenya mimi nawapenda sana.Mungu awatie nguvu tena na tena mzidi kumtumikia mara mingi nyimbo zenu ni scriptural napenda ubunifu wenu
Nimekubali kufundishwa........kazi nzuri wapendwa......Lydia kashimba round hiii uko Moto mama mungu akuinue zaidi......
Kwa kweli anavionjo vyake amazing sana🥰🥰
Mfikishieni habari madam lydia......mwambieni tunampenda sana kwa namna anavyomtumikia Mungu she is a blessing since album ya vunja
Yuko wapi Siku izi
Hiv ndo alikuwa Nyakato eeh!?? Koz nimefananisha sura yake...!
Amen salama zimefika mtumishi Madam Lydia yuko nabado anaendelea kutumika nasi cvc tizama vizuri utamuona. Barikiwa nyote
Mahubiri yenye ujumbe mzuri mno kutoka kitabu cha Mithali 6:16-19. A.I.C Chang'ombe nyimbo zenu zinanibariki mno. Endelea kumhubiri Yesu kwa nyimbo. Amina
Mungu awabariki Sana,songeni mbele Amina
Wow hakika mmetangulia wengine wanafuata. Mungu awatangulie.
Mungu aendelee kuwatumia kwa viwango vya juu CVC, Lydia uko vizuri mama, you voice 🔥🔥🔥❤️🔥❤️🔥
My Godness cvc mko vizuri sanaa Mungu awabariki, muendeleze unjilist huo kupitia uimbaji.🙏
Vizur sana naupenda sana nyimbo zenu
mtabaki kia juu kwa kweli, mmewakumbuka na wenye matatzo ya kuskia MUNGU awabariki kwa kweli
Jeremia, Stev , Yusuph nawakbhl sana kaz yenu ni njema mno
I don't know what I would do without Changombe Vijana Choir...you guys uplift my spirit whenever I'm down...God abundantly bless ... everything about this choir is just amazing... keep up with the good work for He who started the good work in you will surely accomplish it...Serve Him He will never ashame you
Prov 6:16.....I love these ministers of God,they sing the word of God.God bless you,much love all the way from kenya
Be blessed changombe you realy blessed me nikiwa Kenya aki.
Nabarikiwa sana na nyingi zenu Mungu azidi kuwatia nguvu watumishi wa Mungu
Hongera sana
Asanteni sana AICT Chang'ombe Choir kwa huduma yenu ya Kiroho inatujenga sisi kiimani tulio mbali na Tanzania.
Hongereni kwa kazi nzuriii...sichoki kuwasikikiza..Mungu awabariki sanaaa
Uinjilist mwema sanaa, Mungu awazidishie.Ameen🙏
Amin. Watumish wa mung nafarijika San na uimbaji wenu
My friend Lydia Kashimba you never disappoint when it comes to voice projection and management. Diction and confidence, you are Blessed. Blessed CVC
nimekubali hawa wapigaji wa vyombo wako vizuli pamoja na huyo Dada wa kisukuma anaimba kwa hisia kali kweli napata raha kweli
umejuaje ni msukuma
Mungu awazidishie utukufu
Huyu dada kaimba vzr afu kadance kisasa na beat had Raha
Kazi nzuri mubarikiwe na bwana nimemuona na mdogo wetu lahabu mtoto wa hapa kwetu CHATO munganza
Mbarikiwe sana kwa nyimbo nzuri pia naona watu wa nyakato mwanza mungu azidi kuwapa mafunuo mapya
Tumsikilize roho mtakatifu 🙏🙏🙏🙏
Younga dar afrcom
Album nzur sana nimeipenda mmekua creative sana mnatoa vitu vizur vinavyovutia MUNGU awabarik sana
Hakika tukubali kufundishwa kwa neno. 🙏🏻
Yes vionjo tofauti mmejaliwa hazina ya waimbaji "kweli wanyenyekevu watapata mema"
Aki ,I cannot get enough of your songs.very blessing...i'm always moved by your vocals guys.keep up instrumentalists and soloists...May God bless chang'ombe vijana choir..always following you from kenya...
Mbarikiwe sana kazi zenu zina upako mkubwa sana kwetu.🙏
The song "Wastahili" is not just an ordinary song. The book of Revelation talks of Heaevenly beings that surround the throne of the most High God, Excellent in Wisdom and Wonderful in Counsel as constantly saying you are "worthy"; numerously. This song is a masterpiece. An Icon. Much more than Fold, Silver and Diamond. Pure scripture! Of course to God's Glory. To me, it's the song of the decade, 2010 through 2020 !
Inabariki sana hapa Kenya.
Mbarikiwe sana kwa kazi nzuri
Onother vvip class from changombe congrats guys
asanteni sana kwa wimbo mzuri Mungu awabariki kwa huduma nzuri
Mungu wa mbinguni aendelee kuwatunza ndugu zangu kazi ni nzuri kuliko maelezo aiseee inabariki mno
am blessed I always love your songs from Kenya 💓💓💓
Nimeipenda hii wapendwa inavuma mbarikiwe sana
Nice CVC.. Hongereni kwa utume..!
Waimbishaji wapya wenye vipaji vikubwa vya sauti...!Nimeipenda hivyo..!! Sifa na utukufu vyote ni kwa Mungu...!
Amen god bless you guys I love cvc choir so much keep up guys
Ahahaaaaaaaa kwakweli mnajua kunishibisha jamani mweeee, MUNGU awabaliki
Woooow! May God Bless you , May this Ministry go far
Hakika huwa nabarikiwa sana kwa uimbaji wenu watumishi wa Mungu.
Ombi langu kwa Mungu ni kwamba, awakumbuke katika utukufu wake.
Amen
Muimbishaji yupo vizur Mungu awabark
I enjoy this song based on the teachings and we'll arranged co-ordination of voices.
Mungu awabariki kwanyimbo nzuli Sana nawapenda kwajina la yesu
Pongezi kwenyu Wana Chang'ombe🙏🙏🙏be blessed
Kazi nzuri Good
Hitaji la moyo wangu Kila uchao nikutane na kwaya hii siku moja..nimejifunza mengi kimuziki,mavazi yenu,...niseme Nini?? Chang'ombe Chang'ombe..mungu awatende wema👍👍🙏
I love so much this choir from Burundi
Mubarikiwe sana watumishi Wa mungu
Moto Kama pasi.....baraka tele AIC changombe
That is CVC hta Mbingu zinafahamu
Good, you keeping respect. Nimeipenda sana
Tunashukuru Mtumishi
Endeleeni kutubariki👏
Nawaona nawaona .Mungu azidi kuwainua zaidi❤❤❤❤
Wow nimebarikiwa
Mbarikiwe sana kwa huduma nabarikiwa sana nikitazama nyimbo zenu
Nice powerful song
Wao, I love the message of the song; The blessings of the Lord maketh Rich and added no sorrow to it! May God see you through your content monetization efforts as you spread the gospel.
Thanks Amen
Hongereni sana Mungu awabariki.
Nimeikibali ridhim ya kinanda cha Lucky Dube kwenye wimbo wa 'guns and roses' likichagizwa na gitaa zito la bezi
The guitor man wacha tu
Kwani huyu 2nd soloist si wa Aic nyakato.mwapendeza kweli
Kuna wawili hapa nawaona niwa Aic nyakato nikadhani nimewafananisha
Ni huyu mmoja Sio wawili
@@marymyonga3808 huyu wa mwanya amebarikiwa na sauti akisolo wimbo was ahsante yesu (nyakato choir)
Yeah wamesolo na lemi Aiseeeee Ni balaaa Hawa watu nawapendaje Yani Mungu kawabariki najifunza Sana kwa hawa
Hata huyo wa kwanza
Msg well heard.. Go go to the fullest 🙏🙏❤️❤️❤️
Mko vizur san Mungu awatie nguvu
Mungu azidi kuwatia nguvu
@@emanuelnassary5659 Amina🙏🙏
Asante Mungu kwa kazi nzr
Wimbo safiiii
More grace natamani kuwaona
Tumsikilize roho mtakatifu atufunzeee.....dada Lidiya umeenda haki sana wimbo huu
cvc huwa ninawapenda sana munajua munae mtumikia mung awainue zaid ya hapo
Bariweni sana cvc choir
Mungu awabariki
Kazi yenu ni njema wapendwa
Kwaya bora ya muda wote tangu nimepata akili
Neno la saba
Ujumbe mzuri,,,
Best
Naipenda kwaya hii
Nyimbo nzuri mno ila naona baadhi ya wanakwaya wa AIC NYAKATO vip ni USAJILI MPYA au ? Naomba kufahamu
Wamehamia hukuu
Wonderful
Amina kimbwa 🙏🙏🙏🙏
Nawaasalimu Nyote kwa Jina la Yesu Salimia Instrumentalists wooote na vocalists
Mnaimba vzr lakini kwenye muonekano wa sare bado Sana hamna mpangilio mzuri
Nice one
🔥🔥🔥🥰🥰🥰🥰🙏🙏🙏
Hongera
Yakale ni dhahabu
Mungu aendelee kuwbaliki kwa namna mnavo itangaza neno lake
Amen
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Tofauti ya hii choir na ile ya Neema ni gani?
Neema choir ni kwaya kubwa, hii ni kwaya ya vijana, ila zote zipo kanisa moja.
Neema gospel and AICT Changombe ni kwaya 2 tofauti. Ingawa choir zote 2 ziko chini ya kabisa ya African Anglican church na nafikiri wako chini Ya diocese moja though l am not very sure. Cha maalum ni kwamba wanamtukuza Kristo
Kwaya mbili tofauti zinazoabudu kanisa moja