The song, Maneno Saba ya Yesu Msalabani, is purely a masterpiece. There is a very special thing about Tanzanian Choirs, especially those from the Protestant established churches. They sing pure gospel. Pure scriptures. Simple and clear. Period. Pray for our Kenyan choirs. They dont sing from the Holy Bible, oftenly. They obsess about the clothes they wear, hair styles, beautiful faces and all. It is largely cosmetic gospel. The audience is not God, unfortunately. That's why after so many years of trying, not a single choir can measure up to a Tanzanian village choir. Tuombeeni kwa dhati, ndugu zetu, tuweze kujitoa manga katika huduma ndio tuweze kuongozwa na Mwenyezi Mungu, na kuwezeshwa kuimba.
Mko vizuri sana CVC,namshukuru Mungu kwa kunikutanisha na 9 nyie June 2019,nilibarikiwa sana,nawakubali sana,mnaimba kwa kumaanisha,yaani hamjawahi nilaza njaa kabisa.Huwa nikila nyimbo zenu huwa nashiba kabisaaaaaa.Mungu awabariki sana,akina dada Diana,Bahati,Lydia,Mary na wengine woteeeeeeeeeeeeeee
Maneno Saba Msalabani, ni mahubiri kamili. Mungu ni mwema sana, Kuala hawa waimbaji wa AIC Changombe, uwezo wa kutunga nyimbo safi sana. Mungu ni mwaminifu.
Hakika haya ni mahubiri kabisa tangia nimeanza kuwasikia mpaka leo ni miaka zaidi ya 14 huwa nabarikiwa sana Mungu aibariki kazi yenu mzidi kutuhubiria nawapenda sana.
NAWAPENDA SANA AIC...KARIBUNI SANA BAGAMOYO.........WIMBO NI MZURI SANA KWA MAANA YA KWAMBA UNAWEZA KABISA KUKUFANYA UKIRI KWA KINYWA YA KUWA YESU NI BWANA...MUNGU AWAINUE SANA WAPENDWA WETU.....KEEP IT UP
Jamani Mwenyezi Mungu ka wabariki saaana munakuwa kwaya ambayo ime nibariki Sana mara kwa Mara. Baraka ziwe nanyi katika huduma hii ya utangazaji wa habari njema. Ni mushabiki wenu Erick toka DRC BUKAVU
Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu CVC. Nakuona Hosea, Nakuona Meshack, Nakuona Mama ITEMO, na wengine. Ninabarikiwa sana na wimbo huu. Baraka za Bwana zimfikie Mtunzi, waimbaji na Kanisa kwa ujumla.
Mungu ni Fundiche Ku tends wema Na Ku Hurumia Na Uvumilifu DUNIA Inanichocha na Choka Mimi Mwami Yesu Ni pe Nguvu Bila Vile Utanipoteza Chetani Ana Winda Moyo Wangu Yesu Nipiganie Vita mi na Chindwa Christu Ni Wezeche Ni Simame IMARA Acha Mungu wa Mbiguni a mibarikie Ba Pendwa Iyi Wimbo Iko Ina Ponya Bidonda y’a Roho yangu Pôle pôle ❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂❤
Siku zote ninapotazama nyimbo zenu tangu nikiwa kijana mdogo sana, mpaka leo namuomba Mungu sana katika Kristo Yesu atunze mbegu aliyoipanda ndani ya kundi lenu CVC. Tunaotazama na kusikiliza huwa Mungu anatubariki na kutuhudumia kupitia nyimbo zenu lakini ni hakika mbegu ya huduma Mungu aliyopanda ndani yenu si ndogo. Ni maombi yangu Mungu atunze mbegu hiyo kizazi hata kizazi. Nawapenda CVC your my all time number one best gospel choir in Tanzania.
Maneno saba Msalabani, is a fully fledged sermon, packaged in a song. Tis kind of masterful composition of a song only happens to a people that are called and ever prepared to be used by the Lord, to spread the worthy word of the Lord. Excellent work, Changombe, to God's grace!
Always producing and ministering inspiring songs to this generation. May God keep you to preach and spread the gospel through your songs... Much love from +254🇰🇪
Wana CVC mtabaki kuwa the best. Mungu amewaneemeshea baraka na nehema kochokocho.. Hongereni sana kwa wimbo huu unaogusa na kufundisha zaidi kuhusu Yesu msalabani. Deffa na wacheza vyombo mko poa. Mungu azidi kuwatumia kwa utukufu wake. Amina
Am always proud of this choir, am praying that one day, I will get all their CDs copy songs;Efeso, pumzi, usiku wa manane, pazia, iweni Safi, gusa, nyenyekeeni, nk, will be blessed.
Baas muki tukipeleka hivi tutakuwa Sawa. Keep posting your songs on you tube .. you are a blessing and will remain a blessing. Rose Gewe l.see you thank you for joining us in this song.. Instrumentalists l.see you...upako waa ajabu Diana James,Mr and Mrs Meshack Bahati, the Kashimbas barikiwa sana.Endeleni Kwa neema hii
God bless you guys this’s a powerful song maneno mzr sana muendelee na huduma ya Bwana nina imani this song will touch everyone’s because now day’s wa toto hawajali wazazi wao pia wazazi hawajali watoto wao God for gave us🙏🏽🙏🏽🙏🏽
2024 niko hapa Nikiwaona CVC kweny Ubora wa Hali ya Juu kabisaaa🔥🔥🔥
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu ,Mungu awabariki sana waimbaji wote. Chang'ombe choir.
The song, Maneno Saba ya Yesu Msalabani, is purely a masterpiece. There is a very special thing about Tanzanian Choirs, especially those from the Protestant established churches. They sing pure gospel. Pure scriptures. Simple and clear. Period. Pray for our Kenyan choirs. They dont sing from the Holy Bible, oftenly. They obsess about the clothes they wear, hair styles, beautiful faces and all. It is largely cosmetic gospel. The audience is not God, unfortunately. That's why after so many years of trying, not a single choir can measure up to a Tanzanian village choir. Tuombeeni kwa dhati, ndugu zetu, tuweze kujitoa manga katika huduma ndio tuweze kuongozwa na Mwenyezi Mungu, na kuwezeshwa kuimba.
Mko vizuri sana CVC,namshukuru Mungu kwa kunikutanisha na 9 nyie June 2019,nilibarikiwa sana,nawakubali sana,mnaimba kwa kumaanisha,yaani hamjawahi nilaza njaa kabisa.Huwa nikila nyimbo zenu huwa nashiba kabisaaaaaa.Mungu awabariki sana,akina dada Diana,Bahati,Lydia,Mary na wengine woteeeeeeeeeeeeeee
Nawapenda bure mola awajalie kabisa,mnatia nguvu na moyo pia mungu awaongeze masiku
Hawa watu ni hatari sn kwa kuimba hakika wamebarikiwa sn
Yesu watunze hawa wanakwaya jamani
Moyo wangu umefarijika sana jamani
❤
Thanks for keeping the banner of Christ high for many years now
Nimebarikiwa Sana na nyimbo zenu, sitachoka kuangalia na kusikiliza May Alimighty bless u so much ❤❤❤❤❤
Karibu arusha jamani mimi ndugu yenu mary niko arusha ngaramtoni karibuni sana
Niseme nini mimi ila Mungu mwenye Enzi hawabarika Sana Chang'ombe 😭😭😭 nahisi nipo kwa Bwana Tayari 🙏
Maneno Saba Msalabani, ni mahubiri kamili. Mungu ni mwema sana, Kuala hawa waimbaji wa AIC Changombe, uwezo wa kutunga nyimbo safi sana. Mungu ni mwaminifu.
Hakika haya ni mahubiri kabisa tangia nimeanza kuwasikia mpaka leo ni miaka zaidi ya 14 huwa nabarikiwa sana Mungu aibariki kazi yenu mzidi kutuhubiria nawapenda sana.
Maneno saba ya Msalabani ,Baba uwasamehe hawajui walitendalo 🙏🙏🙏sisi tu wanyonge na wadhaifu wa Moyo ❤ooh Lord have mercy on us 🙏🙏26/02/2024.
nabarikiwa San na kwaya aic changombe mungu awabariki sanaa
Wimbo unanibariki sana hasa nikikumbuka mateso ya Bwana wetu Yesu,mbarikiwe sana CVC.
Amen 🙏🏾
Nyimbo nzuri kwa kweli mungu awatangulie katika uimbaji wenu
Wimbo mzuri sana unamsogeza mtu karibu Mungu wetu. Barikiwa sana. Pia naomba kujua namna ya kuupatawimbo huu.
NAWAPENDA SANA AIC...KARIBUNI SANA BAGAMOYO.........WIMBO NI MZURI SANA KWA MAANA YA KWAMBA UNAWEZA KABISA KUKUFANYA UKIRI KWA KINYWA YA KUWA YESU NI BWANA...MUNGU AWAINUE SANA WAPENDWA WETU.....KEEP IT UP
What a song😘😘 nimeusikia upendo radio, sauti tu nikajua ni CVC, Mungu awabariki sana kwa utumishi huu
Daaah yaani sio mara mia hata, mara mia mbili, au mara mia tatu nitauangalia na kuusikiliza
Jamani Mwenyezi Mungu ka wabariki saaana munakuwa kwaya ambayo ime nibariki Sana mara kwa Mara. Baraka ziwe nanyi katika huduma hii ya utangazaji wa habari njema. Ni mushabiki wenu Erick toka DRC BUKAVU
Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu CVC. Nakuona Hosea, Nakuona Meshack, Nakuona Mama ITEMO, na wengine. Ninabarikiwa sana na wimbo huu. Baraka za Bwana zimfikie Mtunzi, waimbaji na Kanisa kwa ujumla.
yani natamani muda wote niusikilize mbarikiwe sana
Mbarikiwe na Bwana Yesu Kristo!
Pia ninaposikiliza ninabarikiwa na sauti adimu sana siku za leo., sauti ya besi iliyotulia wow!
Nawapenda bure ndugu zangu Mungu hawabariki sana🎤🎤🎻🎸
Ninawapenda Sana kwa ujumbe mzuri waneno la mungu🙏🙏🙏
Hamjawahi kukosea aiseee kwa nyimbo tu kuimba mpo vizuri AIC Chang' ombe.
Mungu awajalie umoja mlionao udumu siku zote
Dhamaculous!!!!!!!CVC keep moving and GOD will bless you 😇🙏❣️ much love from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Barikiweni sana.. strong msg
Huu wimbo huwa unanibariki Sana ,,,, kwakweli mnapepo yenu kwaya nzuri Mungu awazidishie ❤❤❤❤
Hongereni mko pow ila zameni ndani mioyo
Mungu ni Fundiche Ku tends wema Na Ku Hurumia Na Uvumilifu DUNIA Inanichocha na Choka Mimi Mwami Yesu Ni pe Nguvu Bila Vile Utanipoteza Chetani Ana Winda Moyo Wangu Yesu Nipiganie Vita mi na Chindwa Christu Ni Wezeche Ni Simame IMARA Acha Mungu wa Mbiguni a mibarikie Ba Pendwa Iyi Wimbo Iko Ina Ponya Bidonda y’a Roho yangu Pôle pôle ❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂❤
Jamani hil dhehebu gani nyimbo zao nzuri sana sana jamani
AIC Chang'ombe Vijana Choir
I think ni Anglicani
This song is so good that I keep on playing and it's has teachings am blessed. my all time choir mob love from 254
Siku zote ninapotazama nyimbo zenu tangu nikiwa kijana mdogo sana, mpaka leo namuomba Mungu sana katika Kristo Yesu atunze mbegu aliyoipanda ndani ya kundi lenu CVC. Tunaotazama na kusikiliza huwa Mungu anatubariki na kutuhudumia kupitia nyimbo zenu lakini ni hakika mbegu ya huduma Mungu aliyopanda ndani yenu si ndogo. Ni maombi yangu Mungu atunze mbegu hiyo kizazi hata kizazi. Nawapenda CVC your my all time number one best gospel choir in Tanzania.
mmenikonga moyo sana kwakweli ni mnaimba ila tabiazenu ziendane na uwimbaji mungu anaangalia matendoo
Maneno saba Msalabani, is a fully fledged sermon, packaged in a song. Tis kind of masterful composition of a song only happens to a people that are called and ever prepared to be used by the Lord, to spread the worthy word of the Lord.
Excellent work, Changombe, to God's grace!
This song truly give me morale of having heart of forgiveness and unitia nguvu wakati Niko shidani and remember God is there for me nikiamini
MUNGU AWABARIKI SANA MAANA NABARIKIWA SANA NA NYIMBO ZENU NA MUONA HAPO DAUD ZEPHANIA KWA MBALI NAWAPENDA SANA CVC
Mgekuwa mnaimba hivi siku zote ingekuwa safi sana
Leo ndio ñimeusikia huu wimbo ila umefanyika baraka sana kwangu, mmbarikiwe saña 29/3/2024
Amen
Mbarikiwe xana watumishi wa bwana,Mungu azidi kuwatia nguvu msikate tamaa
Always producing and ministering inspiring songs to this generation. May God keep you to preach and spread the gospel through your songs... Much love from +254🇰🇪
Mbarikiwe San wanna chango'mbe
MUNGU anawatu wampendae kabisa kwanamna hii balikiwa❤
Wana CVC mtabaki kuwa the best. Mungu amewaneemeshea baraka na nehema kochokocho.. Hongereni sana kwa wimbo huu unaogusa na kufundisha zaidi kuhusu Yesu msalabani. Deffa na wacheza vyombo mko poa. Mungu azidi kuwatumia kwa utukufu wake. Amina
Mubarikiwe saan watumish Mungu aendelee kuwatumia
Mbarikiwe sanaaa sanaaa sanaaa
🎶Nataman mngeendelea mpaka maneno 80😊🤝
Hahahhaha nimecheka ujue...
Yaan wimbo unafaliji sana kweli tena wakati huu wa mateso yke yesu mbalikiwe sana sana sana
😂😂😂😂 unautani wa ngumi
Amen amen nabarikiwa sana napockiliza nyimbo zenu cvc chang'ombe hakika jina la bwana lihimidiwe milele
Mingu awabaliki xana,pia hongera san mwalimu wa kwaya hii, unakpaji kizuri na chakiwango cha juu sana.mungu awabariki
Nimebarikiwa sana ,hongereni waimbaji Mungu awabariki sana
Baba uwasamehe hawajui walitendalo
Wimbo nzuri wa Pasaka, mbarikiwe sana.
+254 tunazipenda nyimbo zenu
Baba awabarki kwa uimbaji
as passover is around..God forgive me.usiniache peke yangu
Nyimbo nzuri sana.
Safi Sana ,,acheni kuruka km watu wa mikoa yetu
Hallelujah hallelujah Hallelujah hallelujah hallelujah Hosanna na muana wa DAWUDI Yesu nifundishe kutenda Mwema ❤❤❤
Am always proud of this choir, am praying that one day, I will get all their CDs copy songs;Efeso, pumzi, usiku wa manane, pazia, iweni Safi, gusa, nyenyekeeni, nk, will be blessed.
Where are you based? If in Kenya kindly in box me l show where to get call their CDs
Ujumbe Mzito sana na wabaraka mno kwa maisha ya mkristo, Mungu aibariki kazi hii
I can't get enough of listening and watching this song ...it's blessing to my life. Christ said it is finished.
Mungu awabariki na azidi kuwainua viwango na viwango
Naonda sana nyimbo zenu mme imba kama wa romani catholic kabisa mbarikiwe
Akiii mbarikiwe sanaa
Mko vizuri watumishi, mbarikiwe sana kwa maono ya wimbo huu
Wimbo na mziki vimeenda shule.this is the best choir
Amen... Ee Mungu tuhurumie
Iam always proud of this choir Mungu hawabariki sana
Nimebarikiwa / huwa nabarikiwa sana na nyimbo zenu
MUNGU azid kuzibark karama zenu 👏👏
Nabarikiwa sana na ujumbe, mziki mzima wa huu wimbo, Mungu awabariki wote walioshiriki kuandaa
Mungu awabarik wimbo huu unasisimua mioyon
Shalom shalom 🙏
Wow.creativity on another level.
God bless you.
Mnisambazie huu upako
Thx Chang'ombe for good work ur doing very interesting ad nice song it has touched my heart ad it will always keep us closer to God
Your my best Choir I Iove to spend my time listening to your songs. May God take you to the higher level.
hakika mikononi mwa Yesu mambo yote ni salama. CVC may the almighty bless you abudantly. You are a blessings
Barikiweni sana. Uvuvio huu udumu milele
Nyimbo bora ya nyumbani Kwangu kwa Muda wote
Mbarikiwe sana.
Huwa napata kubarikiwa na nyimbo zenu jamani. Hongereni wanaCvc
What can I say? So touching. I have repented throughout the song. God bless you wapendwa.
Baas muki tukipeleka hivi tutakuwa Sawa. Keep posting your songs on you tube .. you are a blessing and will remain a blessing. Rose Gewe l.see you thank you for joining us in this song.. Instrumentalists l.see you...upako waa ajabu Diana James,Mr and Mrs Meshack Bahati, the Kashimbas barikiwa sana.Endeleni Kwa neema hii
Yaani wakiweza wanaweka kila mwezi wimbo mmoja. Their songs have deep meanings
Jamani, da Bahat umemyoa kwanini?
Ety huyo anayeitw rose gewe origin yk wap maan majina ya kwetu
Mungu akubariki sana Kwa ujumbe wa ijuma kuu,
My best Song Ee Mungu mbarikiwe sana
Mungu awabariki nataman nisikilize kila Muda mpk mwili unasisimuka mungu awabariki sana na azidi kuwatumia
Mungu awabariki Sana muendelee kuichapa injili
Mungu awabarki aisee hii ni njema san
Nawakubali sana wana CVC choir chang'ombe
Mko juu sana Mungu awainue zaidi
Mungu awainue kwa viwango vya rohoni zaidi
Mwenyezi awafanye upya kila siku kwa maana kazi mnayoitenda haina kifani.
Kina defa
Zakayo nawatambua sana
This is inspired song, so powerful, singing the Bible, singing the Word...keep doing Gods work...Kutokea kenya Nawapenda sana kwa Jina la Yesu.
My all time choir I love this choir with all my heart May God bless you guys with more songs to bless us much love from🇰🇪
You did it "pazia LA hekalu " Yove done it again Maneno 7...keep up guys en more blessings
Amen 💥
So powerful song. God give me the grace to forgive.
Mbarikiwe watumishi kwa kazi nzuri ya wimbo mzuri wa mahubiri sahihi. Nabarikiwa na kazi zenu...Praise the Lord.
nyie ni wabunifu sana...Mungu awabariki kwa umoja wenu.
Mungu awa bariki naishi DRC
Wimbo Mzuri sana Mungu awabariki
Amen huwa najisikia furaha sana
Ninapo sikiliza nyimbo zenu mungu awabariki
acsente Bwana YESU na Kazi Ulitenda Musalabani Acsenti na Damu yako Uwokovu Amen Hosannas
God bless you guys this’s a powerful song maneno mzr sana muendelee na huduma ya Bwana nina imani this song will touch everyone’s because now day’s wa toto hawajali wazazi wao pia wazazi hawajali watoto wao God for gave us🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Huu wimbo lazima kila siku niusikilize una ujumbe mzuri
Big up chang'ombe nawapenda sana
Wonderful summary of the Gospel of Christ. God blessings from Kenya
Mbarikiwe sana Watumishi wa Mungu, Hiyo siku kumbe nilikosa mambo mazuri hivo....!!!!
Wimbo mzur sn mbarikiwe waimbaji
I really appreciate this choir you're blessed for sure. I see God when I listen this song. Nawapendaa mnoo