Wabarikiwa aic chang'ombe much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 katika kainisa letu la mochenwa F.P.F.K upendo choir twapenda nyimbo zenu Mungu awabariki sana na familia zenu🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hii album iko kiwango cha juu mnoo hasa kwa upande wa melodies na wahusika mnalijua hilo....... mmeweka standard ambayo naamini Mungu atawasaidia kwenda zaidi ya hapo ila kiufupi mmekuwa ni mfano wa kuigwa
Nabarikiwa zaidi ya sana jinsi mlivo na uimbaji wenu hakika nyie siyo waimbaji wa kutafuta pesa bali ni wahubiri Mungu awabariki zaidi na ainue vipaji zaidi
Naipenda sana kwaya hii zaidi baraka niipatapo katika nyimbo mbalimbali sawa wimbo Utu wetu wa ndani wafanywa upya siku kwa siku. Mimi nipo mashariki ya Congo drc BUTEMBO naisalimu pia wenzangu pale mbezi beach haleluya kwaya . ni mimi kambale
I also pray for the same but saa zingine ukiangalia itakuwa vigumu Kwa sababu kazi nzuri ina hutaji muda mzuri na mipangilio but they can be putting for us on you tube nyimbo moja mija
Amen barikiwa na utumishi wenu bwana awabariki nami najiskia kujegwa na neno la Mungu na la uzima niweke mbali na uovu wa mwovu Bali niwe chomba cha uzima chako mama
Mbarikiwe sana kwa kazi nzuri, ila nina kaushauri kadogo kwenu watu wa mziki wambie wabadilike kidogo maana biti zinafanana tangu Album ya kwanza mpaka hii changanyeni mapruduza tofauti tofauti, mbarikiwe sana
Kule Karibu na mwisho kuanzia dakika ya 5:30 kuna mtumishi mmoja anabariki anavo cheza vizuri kiubunifu. Kabla hatujapokea yeye alikua Kesha barikiwa na wimbo zamani, camera ilimuona mwishoni, sipati picha mwanzoni! Ubarikiwe kaka.
Nyimbo zenu zanibariki mno,natamani sana kupata kanda zenu sijui vipi mnazisambaza kwa njia gani kwetu hapa Kenya niko katika mji wa Kitale.
Nmekua wa kwanzaa,
Ebu gonga like hapo kama tuko woote
Nakupenda dada unavyojiachia Mungu akubariki sauti yako nzuri
Waoooh asanteni sana CVC nabarikiwa sana tokea Vunja , Gusa ,Mpinga kristu, Pazia LA hekalu mpaka sasa Mungu awabariki zaidiiiiii
Kuhush kusolo uyu dada na wenzake watat wako vzr sana i seee
Sana ❤❤
Wimbo nzuri sana
Mungu awape nuru iwaangazie siku zote maishani mwenu
Barikiwa Aic Changombe
Kweli wacha tujengwe katika neno LA mungu
Wabarikiwa aic chang'ombe much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 katika kainisa letu la mochenwa F.P.F.K upendo choir twapenda nyimbo zenu Mungu awabariki sana na familia zenu🇹🇿🇹🇿🇹🇿
This is a great hit. Hilo patano lenu na Mungu lidumu. Bw. Awabariki.
Nawapenda Sana aic chang'ombe mungu awabariki Sana na masorolisti mlishapata jamani mbarikiwe Sana wapendwa katika bwana
Kazi nzuri saaana.....Lydia mama mungu akubariki sana
Kasi nzuli sana
Ku
8pakua
Neno lako bwana nitaa ya miguu yetu 🙏🙏🙏🙏be blessed
Hii album iko kiwango cha juu mnoo hasa kwa upande wa melodies na wahusika mnalijua hilo....... mmeweka standard ambayo naamini Mungu atawasaidia kwenda zaidi ya hapo ila kiufupi mmekuwa ni mfano wa kuigwa
Bwana Yesu asifiwe Sana nimebarikiwa na hiyo wimbo Mungu awape neema zaidi pastor Geoffrey kutoka Kenya.
Nabarikiwa zaidi ya sana jinsi mlivo na uimbaji wenu hakika nyie siyo waimbaji wa kutafuta pesa bali ni wahubiri Mungu awabariki zaidi na ainue vipaji zaidi
Those guys ,I mean men. Wako sawa kabisaaa
Nataka kuja kwa hii choir aki....wah# you guys ,mikono iko juu. That choir
Hongeren sana,nawapenda mpaka bas
Mungu awabaliki Kaz nzur nawaona vijan wapya kabisa
Jamani hongereni sana.mbarikiwe
Lidy kama lidy ila ni mama kashimbaa😘😘😘😘😘😘
Safi sana mungu awabariki
Ni kweli huu wimbo uko kwenye kiwango kikubwa sanaaaa🎉
Mungu na akawabariki wanachangombe
Naipenda sana kwaya hii zaidi baraka niipatapo katika nyimbo mbalimbali sawa wimbo Utu wetu wa ndani wafanywa upya siku kwa siku. Mimi nipo mashariki ya Congo drc BUTEMBO naisalimu pia wenzangu pale mbezi beach haleluya kwaya . ni mimi kambale
Kazi njema wapendwa, Mungu awazidishie, kaka Tom hamna vumbi,
Kwa YESU raha sana Lydia kwenye ubora wako ❤🎉🎉
These are the true people in Africa amen napenda nyimbo hizi nzuri sana.
Iyi njo RAHA y’a Mbiguni Yesu butamu amen hosannas Hallelujah acsenti saaana ba pendwa
Mungu awabaliki sanaaa
Asanteni wapiga midomo ya bata, gitaa nabarikiwa sana,Mungu awabariki
Watching from kitale-Kenya
Another classic from AIC changombe... you're really blessed.
Much Love from Kenya 🇸🇸🇸🇸🇸🇸
Yani MI natamani kila mwaka muwe mnatoa album mpya msikae muda mrefu 🔥🔥🔥🔥🔥
I also pray for the same but saa zingine ukiangalia itakuwa vigumu Kwa sababu kazi nzuri ina hutaji muda mzuri na mipangilio but they can be putting for us on you tube nyimbo moja mija
Jamani mungu anavyombo vingi mubalikiwe sana
Hakika kazii zenu ni nzur sana jaman
Nawapenda waimbaji wa changombe,Mungu awabariki sana
Tunawapata vizuri hapa Lubumbashi -DRC -CONGO,,, By Joel.S.Nehemiah
Amen barikiwa na utumishi wenu bwana awabariki nami najiskia kujegwa na neno la Mungu na la uzima niweke mbali na uovu wa mwovu Bali niwe chomba cha uzima chako mama
Mbarikiwe sana....da lydia Mungu azidi kukuinuaa
Nawapenda ninyi watu jamani mi najengwa sana na nyimbo zenu
Mungu awabariki kwa kushikamana
Kazi nzuri sana. Chan'gombe🙏
Wonderful enough mnanibariki Sana CVC nkiwasikiliza nasahau shida zote za apa dunian
❤napenda sana mungu awabaliki
Ubarikiwe sanaa Yanii Sautii yako ni dhaabu iziyo isha samanii,,,,ubarikiwe sanaaa pamoj na wanakway wotee
Mungu awabariki sana mana mnanifarij san🥰❤️❤️💯
Lydia Kashimba good job elekezeka hatua zetu Kwa Nemo....yashike maisha yangu Bwana,Linda maisha yangu Jehova na Huduma ya aic changombe choir
Watoto waminibariki, instrumentalists l see you,the team on the trumpets....pendeza sana
Naipenda sana Hii kwaya toka nianze khsikiliza nyimbo zao hasa huyu Dada Lydia mwimbishaji namkubali sana mwenye namba yake anipe nimpe pongezi🙌💰
Bwana Yesu tunakuomba uyaelekeze hatuwa zetu kwa neno lako. Na tuweze kwendelea kutumika katika hekaluni mwako. Amen
This song usually bless men whenever am down....so touching.barikiweni sana
Hongereni sana kazi imejaa ufundi mkubwa
Bado nazidi barikiwaa, JIWE imetawala moyoni mwangu
Wooh to be built in the world of a God search a blessed message
Be blessed changombe .
Much love from kenya
Naipenda kwaya hii hadi sio poa jamani
Barikiwa sn waimbaji wote
Chang'ombe nawakubali sana
Great music,Beautiful work
Neno lako bwana limekuwa taa ya miguu yetu,🙏🙏🙏
Safiiii lidya sautiiiii tamuuuuu baraaa
Glory to god,,I really blessed by this choir 🙏🙏
Oh Hallelujah karibuni AIC YAKAMETE KENYA
Mbarikiwe sana kwa kazi nzuri, ila nina kaushauri kadogo kwenu watu wa mziki wambie wabadilike kidogo maana biti zinafanana tangu Album ya kwanza mpaka hii changanyeni mapruduza tofauti tofauti, mbarikiwe sana
Watoto wako wanafanana na jilani ako au?
Nawapenda sana naipenda huduma yenu Mungu awabariki
Mko juu sanaa
Presente desde Caracas Venuzuela, escucando su musica, Mucho Gracias AIC Changombe grupo
From Kenya I really appreciate your great work may you be blessed so much.#A.I.C CHANG'OMBE
❤❤ nzuri san
Jaman huyu dada ameimba ila sishangaai mmebarikiwa na Mungu
dah asante Sana maana nilikuwa nasubiria huu wimbo utoke
What a great song making me dance along be blessed you people of God wishing you succes from DRC
Wow. this song inspires me. Good work!
Nime barikiwa sana na huu wimbo
Ni sawa wapendwa
Another blessing music from my choir...am from dispora(kenya)
Wonderful ❣️ may the Lord bless the work of your hands
Anen
thankfully May choirs duuh mungu awatie nguvu hakika mnatubaliki kwa nyimbo zenu
my favourite choir for all time ,am in a deepest love with their services to my heart
Glory to God, blessing songs 🙏
Amen Mungu awakumbuke saaaaaana jaman
Cette chanson inspire.
Que vous bénisse.
Pasteur Jean-Pierre. DRC
Moto kama pasi....
Mungu azidi kuwaweka
More love from kenya❤❤❤you bless me
Hua mnanibariki sana na huo uimbaji wenu
Nawapenda xana cvc God bless you
Huu wimbo unanibariki sana 🙏🏻🙏🏻
I real love this choir,,,, God bless u
Mnanyimbo nzuri hongelen sana,
Beautiful song and the lyrics are bullets to our enemies. Thank you for posting
I love the soloist very proud in Jesus while singing and dancing well in lord Jesu's Christ keep up
My favourate choir of all time
Nadhani ni mimi pekee kumbe tuko wengi🇰🇪🇰🇪to🇹🇿🇹🇿
👍
Kule Karibu na mwisho kuanzia dakika ya 5:30 kuna mtumishi mmoja anabariki anavo cheza vizuri kiubunifu. Kabla hatujapokea yeye alikua Kesha barikiwa na wimbo zamani, camera ilimuona mwishoni, sipati picha mwanzoni! Ubarikiwe kaka.
BARIKIWA SANA ...
Am really blessed by this song
Solo ubarkiwe kwa saut nzur
Wow great
Remain steadfast in Jesus and keep your faith on him.
Keep the fire burning May God shower Blessing as you continue Praising HIM
Mbarikiwe
Great work servants of the most High! I love your singing
👍
Huyu Dada unapenda Sana kwa sauti yake nipatie number yake kutoka Kenya
Nimeshindwa kuuchoka huu wimbo sollo umesimamia kucha
💎💎 ongelen sana
God bless changombe choir from kenya bomet county
👍
Nawapenda sana jaman Mbarikiwe
Very nice song's
You have ever blessed and uplifted my soul with your songs mungu azidi kuwajaza na uwezo kuhubiri zaidi kwa mataufa yote shallom