Wimbo Mzuri,Sauti Zao ni nzuri,Ubunifu wa Hali ya juu Sana huu. Mwenyezi Mungu awabariki sana kwenye hii kazi AICT Chang'ombe Choir. Stay blessed always 🙏🙏🙏
Hii wimbo niliusikia nikiwa nairobi na tape yao niliininuua pale lagos road kwa duka la musiki nduti one stop mpaka leo ninausikiliza kwa yutube mwaka huu wa 2024 na nyimbo zao nyingine nimezisikiza nazimebariki sana. Mungu azidi kuwafunulia zaidi. Ni taheruka wa butembo D R Congo.
Huu wimbo uko na nguvu za kipekee, umenipa nguvu Sana . Watu walisema mengi wakati nilinyanganywa pikipiki ya kanisa yaani nikapitia Mambo magumu mpaka kanisa wenyewe wakakosa kuamini ya kwamba nimeibiwa pikipiki.lakini mungu akaonekana mtu wa nne kwangu baada ya maombi ikapatikana imewekwa Kwa miwa. Kutoka kisii hadi migori
Kwaya nayoipenda sana, namshukuru Mungu kwa ajili yenu. Naomba nami nimtolee Mungu sadaka kwa kufanya ukalimani wa lugha ya alama (Sign Language Interpretation) hata wimbo mmoja naamini Mungu atanibariki zaidi.
You are the best sana tu, since.. Ushauri tu badilisheni ladha ya nyimbo maana zinafanana sana hata kama hujauliza unajua tu ni ninyi.. Mtunzi wa nyimbo kama ni mmoja ni kawaida kutunga nyimbo zenye test moja hata mziki pia huko hivyo... I love u
Msi mfurahishe mwanadamu maana nikiumbe kisicho rithika. Kila mtu Ninae share nae nyimbo zanu ana penda sana naku wa ombea baraka. Msi jichanganye msije mka kuwa kama wale wengine. Mungu awa bariki zaidi 🙏🙏
Thank God for this Choir. Music that is very nourishing spirits. AICT my favourite any time am in Dar-el-salaam and always here in Kenya always blessed. Hongera kwa nyote kwa kazi nzuri ya Msalaba.
I can't have enough of this song, so touching to the point of tears. For sure ours is a gracious God, willing to forgive us. Hongera wana AICT CVC kwa kazi nzuri, Mungu na awajalie mema yake. Yet another great new soloist there. Listening all the way from Nairobi, Kenya.
God bless you so much, you are a vessel of honor in God's kingdom. By serving Him you are best utilizing the special gift He deposited in you therefore He's raising you from glory to glory. In your next album production inform me, good to support God's work. God bless you
Soy Ecuator Guineano me encanta este grupo de alabanza,y me encantaría conocer de dónde es este grupo,y en ke país se. Encuentra? Y kiero el nombre completo de esta chica ke canta,esta canción de Adamu,porfa y ke tengáis un feliz Domingo
Oooh niko huku Bwana. Ninakupenda sana ji😮ni 7:34 nakungoja tu unitendee makuu ❤❤❤
Wimbo Mzuri,Sauti Zao ni nzuri,Ubunifu wa Hali ya juu Sana huu.
Mwenyezi Mungu awabariki sana kwenye hii kazi AICT Chang'ombe Choir.
Stay blessed always 🙏🙏🙏
WOW...huyu dada anaitwa nani...aisee abarikiwe sana anaimbwa vizuri sana
Rahabu kajole,
Haa, Mungu wa mbinguni anamtumia sana
Mm nampenda bure anaimba sana Mungu amzidishie
Hii wimbo niliusikia nikiwa nairobi na tape yao niliininuua pale lagos road kwa duka la musiki nduti one stop mpaka leo ninausikiliza kwa yutube mwaka huu wa 2024 na nyimbo zao nyingine nimezisikiza nazimebariki sana. Mungu azidi kuwafunulia zaidi. Ni taheruka wa butembo D R Congo.
Huu wimbo uko na nguvu za kipekee, umenipa nguvu Sana . Watu walisema mengi wakati nilinyanganywa pikipiki ya kanisa yaani nikapitia Mambo magumu mpaka kanisa wenyewe wakakosa kuamini ya kwamba nimeibiwa pikipiki.lakini mungu akaonekana mtu wa nne kwangu baada ya maombi ikapatikana imewekwa Kwa miwa. Kutoka kisii hadi migori
Kwaya nayoipenda sana, namshukuru Mungu kwa ajili yenu.
Naomba nami nimtolee Mungu sadaka kwa kufanya ukalimani wa lugha ya alama (Sign Language Interpretation) hata wimbo mmoja naamini Mungu atanibariki zaidi.
Tunashukuru sana kwa moyo wa kujitoa tutakapo andaa album nyingine utahusika
Naupenda sana hii choir!nyimbo zenu zinanibariki ajabu....Mimi naitika
My favourte choir mbarikiwe sana Mungu azidi kuwainua viwango vingine vikubwa zaidi .Nawapenda
Ameeeeeee barikiwa xan
AIC Changombe vijana choir you are my favourite since 2007 enzi zile za Guza song you never disappoint.
You are the best sana tu, since.. Ushauri tu badilisheni ladha ya nyimbo maana zinafanana sana hata kama hujauliza unajua tu ni ninyi.. Mtunzi wa nyimbo kama ni mmoja ni kawaida kutunga nyimbo zenye test moja hata mziki pia huko hivyo... I love u
Amina tutalifanyia kazi ndugu
Mimi naomba mbaki kwenye Key yenu. Huo ndio utambulisho wenu unaowatofautisha na kwaya nyingine. - From Kigoma TZ.
@@gibsonntamamilo490 safi wabaki hivi hivi Mana wakipiga sebene watapotea
Ni kweli wachanganye key ladha itakua tamu zaid
Msi mfurahishe mwanadamu maana nikiumbe kisicho rithika. Kila mtu Ninae share nae nyimbo zanu ana penda sana naku wa ombea baraka. Msi jichanganye msije mka kuwa kama wale wengine. Mungu awa bariki zaidi 🙏🙏
Nice CVC.. Hongereni kwa utume..!
Waimbishaji wapya wenye vipaji vikubwa vya sauti ...!. Nimeipenda hivyo..!! Sifa na utukufu vyote ni kwa Mungu...!
Nitawapenda mpaka kufa naona yusufu ndani ya suti Safi saaaaanaaa
Mungu awe nanyi wanakwaya ya A I C changombe.
Mungu azidi kuwabariki kwa huduma yenu,
Ningependa kuwajua masoloist Wako vizuri sana.
Karibu sana kanisani kwetu
Hongera sana Dada yangu rahabu kipaji kimekuwa tutakumisi sana A.C.T mganza
Amen dada huyu wawapi
Dhambi ilianza mtini ikamalizikia mtini Mungu atusaidie.Barikiweni sana kwa nyimbo nzuri
Hyu mwanadada Kuna kwaya alikuwa hapo zamani tafadhali inaitwaje..
Aise hongeren sana kwa vidio ya huu wimbo,nakumbuka mliupiga sku ya uznduz wa kanisa la nyihogo pale kahama,,,
Mbarikiwe saana....Wapendwa
Nambie veda mayunga apa from kahama
Huyo mrembo mwenye anaimba ako na talanta,nimependa huu wimbo.Mungu na abariki hii kwaya
Mtoto wa geita Chato huyo uko vizuri mumy
Aiseeee mpo visuri Sanam balikiwe saaaaaana nami natamani kuwa kama nyie daaaah
Nifuraha Kweli kuabudu Mungu pamoja na wandugu Wa kanisa hui. Mungu awabariki
Wonderful song !! Good voices !! Mungu awabarikiwe !!
Nawapenda sana cvc mungu awatumie ipendavyo😅
Siku zote Mungu atusaidie tuushinde Ulimwengu huu mbingu nikuzurii Sana
This is CVC i know. Brilliant work. The rhythim, the sound tells. This is your logo keep it up. Listening to this song I can feel the God's hollyness.
Thank God for this Choir. Music that is very nourishing spirits. AICT my favourite any time am in Dar-el-salaam and always here in Kenya always blessed. Hongera kwa nyote kwa kazi nzuri ya Msalaba.
Naomba kumfahamu mwalimu wa kwaya yenu jmn ...waimbaji mpo vzuri sn jmn
Nawakubali hadi naumwaaaa.... Mwaaaaaaa
I can't have enough of this song, so touching to the point of tears. For sure ours is a gracious God, willing to forgive us.
Hongera wana AICT CVC kwa kazi nzuri, Mungu na awajalie mema yake. Yet another great new soloist there.
Listening all the way from Nairobi, Kenya.
Nawapendaaaa snaaaa jaman . God bless you abundantly AICT
Mungu aendelee kuwatumia vyema, nimebarikiwa na wimbo Sana Sana.... Mungu atawalipa msipozimia mioyo
Naitwa Godfrey Baruth from kitunda tabora, nawapenda sana katika huduma yenu ya uimbaji mungu awabariki sana.
Sikonge ❤
Nyimb munaweza
Indeed God's love is strange..... He still loves us despite our shortcomings.
Will strive to follow him.
Great song 🎤
Wimbo mzuri sana kwa mutindo na kwa maneno.
This young lady she sings well and perfect!! She deserves to be in Kenya indeed
Kenya has not reached the level of having girls like this.
Invest much, may be after 10 years you may
I think u have yo own young ladies
@@ngwalabenedictor4678 surely bona waonea wakenya?
This is my ever listening choir.. God bless you in abundance 🙏🙏
Safi sana
Safi sana mko vizuri cvc
Penda saa
Wow...!! Ma favourite..watching frm Kenya..b blessed i say...🙏🙏🙏
This is always the choir of my choice. Changombe nawapenda sana
God bless you so much, you are a vessel of honor in God's kingdom. By serving Him you are best utilizing the special gift He deposited in you therefore He's raising you from glory to glory. In your next album production inform me, good to support God's work. God bless you
Mungu awabariki sana
Hongereni mbarikiwe, mmeimba vizuri sana
I like your songs since time memorial they are refreshing and soul touching 🇰🇪
Aimeeeeeeen,wimbo mzuri sana huu,nazidi kubarikiwa
Mungu Mzuriii Sana 🙏🙏🙏🙏🙏 Asante kwa huduma ya yenu damu Ya. Yesu iwafunike milele
Napenda sana nyimbo zenu zin ni bariki sana
A nice song, from Kenya I am blessed by that choir
Ujumbe mzur sana Mungu awabariki 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤
Very beautiful song!
Bring your Albums to Nairobi.
Mungu awabariki sana kwakazi zenu mnazotuletea
Napenda sana kazi zenu wapendwa mungu zaidi kuwabariki sana
Mzuri sana kazi ya Mungu isonge mbele
Mungu nisaidie nisije nikajificha ninapokutenda dhambi.
Damu mpya na anaimbisha vzr sana. ...hongereni sana
Safii sana rahabu umejuaa kunifurahishaaa CVC juuu
Mzidi kubarikiwa ktk utunzi wenu
Sound quality💥,music quality💥,ujumbe💥,,,,💥💥💥bless
Mungu awabariki sana tene aongeze masolo wa kutosha
Search a powerful and awasome songs ...Be blessed changombe ...Much.love from.kenya
Amen mbarikiwe sana kwa huduma nzuri
Nawaelewa Sana tunawasikiliza tupo na juma julius kutoka igunga ziba
U've been a blessing to me en my entire family love u Aic chang'ombe.
Soy Ecuator Guineano me encanta este grupo de alabanza,y me encantaría conocer de dónde es este grupo,y en ke país se. Encuentra? Y kiero el nombre completo de esta chica ke canta,esta canción de Adamu,porfa y ke tengáis un feliz Domingo
Nimebarikiwa sauti nzuri sana
Binti kajore hongera
Mungu awabaliki mnanibalikisaana
Kwaya yangu naipenda
A fantastic sollolist ❤ 😍
Nzuri kama kawaida
254 watching
Amen. Powerful and touching song. I can't finish listening to it.
Asante kwa huduma ya uimbaji mliyonayo nyimbo zenu zinatubariki sana
Wimbo mzuri sana na wenye upako 🙏🏻
Wimbo mzuri sana. Mbarikiwe.
Aict hatari sisi
Mungu azidi kuwatumia katika kazi yake, Mabariwe kwa kazi nzuri
My all time favourite choir . God bless you much
Asanteni,,,Sana daaaaaa♥️♥️♥️♥️♥️♥️💯
My favorite choir❤️❤️❤️🙏
A i c Changombe is a well organised team,may God bless you and uplift you.
Huu wimbo ni mzuri sana,
Mbarikiwe sana CVC .
Hongereni Sanaa mmeibuwa vipaji vyema
Wimbo mzr sana, mbarikiwe xana xana
Amina mungu azidi kuwainua
Mungu azidi kuwatumia
Amen nice song
HUUWBO UMENIGUZA JAMANI JAMANI.
Nawapenda sana watumishi wa Mungu
Bwana yu pamoja nas
Amen 🙏🙏 Golry to Golry
Barikiweni sana
dada rahabu umejitahd sana tena mmno mungu awapaliki
mungu awabaliki
Huyu dada ni wawap
Wimbo muzuri san,,, ❤❤❤
Nyimbo nzuri sana lakini picha ya nyoka inakosea wimbo wenu
Bwanaawabariki watumishi waMungu
You have been my blessing. God bless AIC Chang'ombe
❤ good work and plesings
Wow🎺🎻🥁🎙️🔉💕
My favorite choir.❤️❤️❤️
Love you chang'ombe choir My Almighty God bless you more
Mbarikiwe sana
oooooh!!! HALELUJAH!!!!
Perfect 👍 kabixa ♥️💯
Nyimbo zuri mubarikiwe
Pongezi kwenu watumishi bwana awe nanyi
Wimbo mzr sana
Amazing Sana,, my favourite choir forever