Kilometa 250 kujengwa awamu ya pili mradi wa uendelezaji wa jiji la Dar es Salaam (DMDP)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2024
  • Zaidi ya kilometa 250 zinatarajiwa kujengwa katika awamu ya pili ya Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam (DMDP), utakaoanza Aprili mwaka huu.
    Hayo yameelezwa leo, Alhamisi Januari 18,2024 na Meneja wa Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (Tarura) Mkoa wa Dar es Salaam, Geofrey Mkinga wakati akitoa taarifa kuhusu mwenendo wa miradi ya DMDP kwa Kamati ya siasa ya Mkoa na Wilaya zote tano za Dar es Salaam waliotembelea ofisini kwake.
    Mkinga amesema awamu ya pili ya DMDP utagharimu zaidi ya Sh1 trilioni fedha zitakazotolewa na Benki ya Dunia (WB) na Serikali ya Uholanzi kwa ajili ya utekelezaji wa miundombinu ya barabara, usimamizi wa taka ngumu (madampo), masoko na vituo vya mabasi, mifereji na bustani.

Комментарии • 4

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 5 месяцев назад

    Tegeta barabara nyingi za ndani ni pana itapendeza sana zikiwekwa lami wakati wa mvua shida sana matope na madimbwi

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 6 месяцев назад

    Ilala vp au ndo imelala?ulongoni pugu banguro kifuru kinyerezi segerea kivule na mwanagati vp?

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 6 месяцев назад

    Barbara nyingi za DMDP awamu ya kwanza zina mashimo

    • @MeddyClever
      @MeddyClever 6 месяцев назад +1

      Sio kweli wacha uongo we kima