Amen' Mungu na ayapande mahubiri haya ya imani iliyo kweli kwa makanisa yote,ua madhehebu yote hasa Pentekoste kwasjili ya utukufu wake Mungu mwenyewe. Ubarikiwe sana Askofu na baba wa kiroho mwenye wito wa Mungu,Amen" Niliachwa na mke wangu mwaka 2008 mpaka 2013 lakini nilimuomba Mungu ule mwaka wa 5 akanitendea kwa kumgusa mke wangu akarudi mwezi wa saba 2013 na mpaka leo imepita miaka mingine 14 tukiishi kwa upendo,heshima,amani na kuvumiliana. Watoto pia niliwagharamia hata elimu nzuri wakiwa na mama yao na wanarejea tena kwa maombi tu ingawa siwamudu tena kama baba baada ya kulishwa na kuaminishwa mabaya mengi juu yangu lakini bado Yesu ni Bwana.
God bless the Bishop here, you have spoken the absolute truth, this is the message of the spirit speaking to the church, many of the servants do not speak, the problem is the money ahead,😭😭
Kuachana ni dhambi milele!wengi ni makristo wa uongo na wamejiingiza kwà siri ,hakuna mtu mwenye kibali cha kubadili maandiko isipokuwa ni mpunga kristo pekee!!!

Bless you Bishop tunajivunia wewe,mafundisho yako yametufikisha hapa tulipo,tunajivunia Yesu uliyetupatia.
Mungu akubariki sanaa Askofu ujumbe huu ni Mkubwa... Mungu atusaidie sanaaa
Bishop Asante kwa ujumbe wenye afya kwenye kanisa la Leo. Upentekoste halisi
Yes bishop mume mmoja na mke mmoja mpaka kifo kitakapowatenganisha.Hesabu gharama kabla ya kujengs mnara/nyumba/ndoa
Mungu akutunze Bishop, watumishi wa aina yako wamebaki wachache sana, hii ndio maana ya kichwa chenye nywele nyeupe.
Ubarikiwe kwa mafundisho mazuri 🙏🏻
Nikweli mch sasahv watu wanaangalia namba ya watu.hakuna kukemea dhambi
Amina MCHUNGAJI mwakyego lazimazambi zikemewe bila kwangalia sula zawatu.
God bless the Bishop here, you have spoken the absolute truth, this is the message of the spirit speaking to the church, many of the servants do not speak, the problem is the money ahead,😭😭
Amina Mtumishi wa Mungu. Nimeipenda hii
Amen Baba nashukuru sana
Amina
Barikiwa baba
Kweli askofu Mimi shahidi nilienda kwa kanisa moja la kipetekoste walinishauri pia niachane na mume wangu
Amina baba
Umeongea vzuri sana ila Imani na nguvu ya kanisa hili la pentecoste chenga
Ni kweli kabisa mimi nimeshuhudia hayo
Kweli kabisa
So good 👍
1:42
Siyo wote wenye mvi wana hekima na bsara. Na pia mvi zingine ni za ukooo na cy uzee.
imina
HILI NFILO NENO LA KWELI KWENYE KIPENGELE CHA NDOA.NJOOONI MSIKILIZE WAPENTEKOSTE
Nikweli muchungaji sisi washilika wakawaida tuna nyanyaswa kosandogo unatengwa
Kuachana ni dhambi milele!wengi ni makristo wa uongo na wamejiingiza kwà siri ,hakuna mtu mwenye kibali cha kubadili maandiko isipokuwa ni mpunga kristo pekee!!!
Bishop nikweli kabisa baba
Nimekuelewa ubarikiwe mtumishi
Mufano minimetengwa kwasababu mwanangu koowa bila Italiatibu wandowa nikatengwa Mimi mama yake Tena mwanangu hasali baba yake hasali
Shida hatusomi biblia tukayajua maandiko (Ezekiel 18:20-22)
NENO litakusaidia kuujua wajibu wako kama mkristo.
Umeonewa na asiyejua kweli