KIJANA Aliyejitosa Mbele ya 'MAGUFULI' Akamponza Mkurugenzi!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 ноя 2024

Комментарии • 93

  • @jamesshao538
    @jamesshao538 5 лет назад +17

    Daaah mwenyezi Mungu akulinde my President

  • @johnvhghfscyusuph2331
    @johnvhghfscyusuph2331 5 лет назад +7

    tuitishe maandaman. magu akimaliza muda wake tuandamane aongezewe awamu nyingine ya pili. wananchi tukiamua tukamuomba kwa pamoja sidhan km itashindika. huyu mzee anafanya kazi nzur cyo cri namkubali sana cjui km tutampata km yy. tumludishe awamu nyingine aongoze jumla miaka 20.mwenyezi mungu akubariki raisi magufuli

    • @aridiyahya8049
      @aridiyahya8049 5 лет назад

      Johnvhghfsc Yusuph nami ningependa awepo mpaka 2035

  • @josephkitaraga2925
    @josephkitaraga2925 5 лет назад +14

    Mungu akupe miaka 100 raisi wetu

  • @joelinparexo8063
    @joelinparexo8063 5 лет назад +8

    Mungu akutangulie Rais wetu mpendwa jpm

  • @lazarojassely4178
    @lazarojassely4178 5 лет назад +7

    Karibu Mwanjerwa ,Karibu Mbeya karibu Sae useme neno na Mbeya hakika itabadilika

  • @salmaoriginaloriginal6478
    @salmaoriginaloriginal6478 5 лет назад +6

    Wallah nakupenda kwa moyo wang wote Allah akulinde kwakila baya

  • @hechihechie5558
    @hechihechie5558 5 лет назад +10

    Nakuombea Rais wetu!!kweli imekuwa Baraka kwa taifa ketu

    • @jolitekidyega6292
      @jolitekidyega6292 5 лет назад

      Umeeoonaa eeee utukukosea kukuchagua mheshimiwa JPM

  • @agnesignas4398
    @agnesignas4398 5 лет назад +13

    Miaka kama yote kwako mheshimiwa rais wetu

    • @Petmates.s
      @Petmates.s 5 лет назад

      Pamoja sana mjomba magu njooo mbeya utumbue msjip

  • @ARCHANDRAMUMBUNGU
    @ARCHANDRAMUMBUNGU 5 лет назад +6

    MUNGU AKUPE MIAKA 10000000000000

  • @mariusfaustine3919
    @mariusfaustine3919 5 лет назад +12

    Karb Mbeya Baba maana tumekumc sana naimani Mungu yu pamoja nawe Jpm

    • @dickaugustino2214
      @dickaugustino2214 5 лет назад

      Kuna sehem walimzomea rais huyu wakati wa kampeni mwaka 2005 lkn leo aibu kwao,kutokana na kazi anazofanya

    • @emmanuelsichone874
      @emmanuelsichone874 5 лет назад

      Marius Faustine rais songwe kuwilaya inaitwa ileje inakabarabar kamoja jafupi kalami tunaomba nakengine hasa kutoka mbalizi mpaka kuunganisha makao makuu lleje rais msikivu

    • @graceakikunya8624
      @graceakikunya8624 5 лет назад

      Upo juu Baba yetu,karibu Mbeya yetu.

    • @dickaugustino2214
      @dickaugustino2214 5 лет назад

      @@graceakikunya8624 mlimzomea mby huko grace

  • @mofathool4158
    @mofathool4158 5 лет назад +4

    Kipenzi cha watu rais wetu mpendwa

  • @raymondkaswaga8334
    @raymondkaswaga8334 5 лет назад +3

    Rais anayekumbuka kuzungukia wananchi wake ni rais bora sana

    • @lauracollin9089
      @lauracollin9089 5 лет назад

      Raymond Kaswaga mungu akubaliki rais wetu njoo na ngoleme

  • @suzannmaswatu6501
    @suzannmaswatu6501 5 лет назад +4

    usiache na kufika kijiji cha ipuli kata ya nduguti ,wilaya ya mkalama mkoa wa singida ,nina miaka 40 sijawahi kuona maji ya bomba japo tunaona visima virefu vinachibwa miaka mingi lakini havijawahi kutoa maji

  • @reganngamilotv7237
    @reganngamilotv7237 5 лет назад +4

    Miaka 25 ikulu bila upinzani, Mungu akutie nguvu

  • @emanuelmuna2296
    @emanuelmuna2296 5 лет назад +3

    kinachonifurahisha Rais wetu ziara zake zote ni kwa wananchi safi sana maan kuna kero za kila aina

  • @koladjulius9945
    @koladjulius9945 5 лет назад +11

    Nahisi kama unakaribia kwetu mbeya mungu akutangulie mheshimiwa

  • @batulemwamwaja6524
    @batulemwamwaja6524 5 лет назад +1

    real talk

  • @rashidilikongo7499
    @rashidilikongo7499 5 лет назад +6

    Hakika weye Ni raisi wa watu

  • @isayadanson12
    @isayadanson12 5 лет назад +5

    Huu ndio uongozi tulipoteza imani na serikali lakini mku heshima kwako mungu aendele kukupa busara na hekima uvushe salama safari yetu

  • @johnvhghfscyusuph2331
    @johnvhghfscyusuph2331 5 лет назад +4

    ukimaliza muda wako raisi maskini tutapata shida sana cjui km tutakua tunasikilizwa tena

  • @saramwinuka5033
    @saramwinuka5033 5 лет назад +5

    Asant rais kwakuja makambako mngu akupe miaka mingi ya kuish makambako oooyeee

  • @richardchota4167
    @richardchota4167 5 лет назад +5

    Haya maoni na malalamiko yetu tunaomba yafuatiliwe na vyombo vya habari ili wakajionee ninachokisema hapa , watu wanateseka na kuonewa sana mkoani Mara walaya ya tarime kijiji cha Nkongore

  • @joshuajoseph3618
    @joshuajoseph3618 5 лет назад +2

    mungu akubariki natamani ustoke madarakani mpaka mwisho wadunia utuongoze

  • @allymliloh1760
    @allymliloh1760 5 лет назад +13

    Sugu jiandae kisaikojia jembe liko jirani 😂😂😂😂

  • @mbodzebemasika7477
    @mbodzebemasika7477 5 лет назад +4

    Yaani Magu akikutembelea kwenye eneo lako..utakoma maana wananchi pia wanakusemea

  • @aridiyahya8049
    @aridiyahya8049 5 лет назад +2

    Mkuu unadhamira nzuri. I wish kila mtendaji na mtanzania tungekuwa kama wewe

  • @leilainnocent6532
    @leilainnocent6532 5 лет назад +12

    Natamani umri wa rais upungue ili aendelee kuiongoza nchi yetu kwa mda mrefu pia

    • @dickaugustino2214
      @dickaugustino2214 5 лет назад +1

      We kama mm leila

    • @anuaryally6177
      @anuaryally6177 5 лет назад

      Uyo ni dogo tu anamiaka 35 ila anadongo baya la mwili

    • @rostamkamazima1012
      @rostamkamazima1012 5 лет назад +1

      Sijui ujinga utawaisha lini!

    • @leilainnocent6532
      @leilainnocent6532 5 лет назад

      @@rostamkamazima1012 ujinga ukiisha kwako wewe na wengine utaisha

    • @Keputchelo1621
      @Keputchelo1621 5 лет назад

      Hizi akili mchecheto au akili nyege huoni dunia inaendaje funguka

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 5 лет назад +5

    Naaminia rais wetu sio sharobalo wa bata ni rais wa wanyonge na mchapakazi yupo jilani na wananchi

  • @nipolive..2745
    @nipolive..2745 5 лет назад +3

    Tumeshakuelewa baba wewe hakunaga

  • @rehemaswalehe6423
    @rehemaswalehe6423 5 лет назад +3

    natamani makambako hiyo ingepigwa picha niiione jaman.

  • @danielnjau372
    @danielnjau372 5 лет назад +5

    Mungu akupe miaka Mia mbili

  • @yelemibadru1649
    @yelemibadru1649 5 лет назад +4

    naomba watanzani tubadirishe katiba ili rais huyu awe wa maisha

  • @thebmcblackmiccatcher3949
    @thebmcblackmiccatcher3949 5 лет назад

    Best president

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 5 месяцев назад

    Magufuli oyeeee...rest in power sir

  • @hdmtanzania2617
    @hdmtanzania2617 5 лет назад +2

    Mwenyez Mungu aendelee kukupa afya tele utuongoze watanzania

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 5 лет назад +5

    kwani ni rais unakataa tukikuongeza miaka?

    • @anuaryally6177
      @anuaryally6177 5 лет назад

      Usikonde nitabonga naye atakubali tu aminia

    • @marcmaxim2930
      @marcmaxim2930 5 лет назад

      Nachukia sana anaposema hataki kuongezewa muda yan daaaah ,hatutapata kama magufuli tusidanganyane

  • @agnesschongolo4527
    @agnesschongolo4527 5 лет назад +3

    Muandis bhana kasahau kunyosha adi koti mana shuhuli yake ya mheshimiwa alijua

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 лет назад +5

    Ewe mwenyez tunazid kukuomba endelea kuriongoza vyema taifa letu na raisi wetu ewe mwenyez MUNGU mkuu

  • @uziasinkambaa7824
    @uziasinkambaa7824 5 лет назад +3

    Mh lini utakuja Songwa nahasa wilaya ya momba, mambo ni ovyo sanaaaaaaaa.

  • @angeluslijuja2413
    @angeluslijuja2413 5 лет назад +1

    Mungu akufanikishe zsidi ktk uongozi wako na watendaji wako wote kwani umekuwa mi baraka kwa watz

  • @luhigoemmanuel8720
    @luhigoemmanuel8720 5 лет назад

    Bigger up my president kwa jitihada kubwa kwa nchi yetu mungu akubariki tunakuombea na tuko pamoja na ww

  • @rivernile6955
    @rivernile6955 5 лет назад

    True. Ni Raisi was maana sana. Dunia hii yetu itafanywa vizuri na viongozi ambao hupenda mwenyenzi mungu.

  • @josephatjoseph2679
    @josephatjoseph2679 5 лет назад

    daa kweli baba mwenye nyumba sio mzungukaji sana unge kuta sasa iv anaongelea marekan kwa njia ya email au whatsapp lakin ametulia nyumban kwake ana zungukia mashamba yake hongera sana rais kwa kupunguza safar za nje ya nymba yako

  • @richardchota4167
    @richardchota4167 5 лет назад +4

    Global tv fuatilieni matukio kama hayo ninayowambia ili muokoe wanyonge

  • @mkillagodfrey5599
    @mkillagodfrey5599 5 лет назад

    unaeleweka sana Mh Rais Magufuli.

  • @zainaburajabu2863
    @zainaburajabu2863 5 лет назад +1

    Mzee DSM wilaya ubungo maji shida pita na karbu hasa mabibo mtaa wa kanuni safiii sana

  • @mariammgenu1648
    @mariammgenu1648 5 лет назад

    Tunakuelewa sana mheshimiwa

  • @mikerkayombo3147
    @mikerkayombo3147 5 лет назад

    SAFI

  • @jolitekidyega6292
    @jolitekidyega6292 5 лет назад

    Atuja kosea kukuchagua mheshimiwa Rais JPM mungu akulinde mheshimiwa

  • @jamespeter794
    @jamespeter794 5 лет назад

    MUNGU akulinde akuepushe na maadui wote hakika unawafanyia watanzania kazi,kweli unaelewa maana ya utumishi

  • @zubedaselemani6344
    @zubedaselemani6344 5 лет назад

    😂😂😂jmn navyompenda magufuli 2020 kura angu kwake

  • @richardchota4167
    @richardchota4167 5 лет назад +1

    Kuna baadhi watu wanaonewa sana hawana pa kusemea shida zao , mfano mkoani mara wilaya ya Tarime mjini , kijiji cha Nkongore , wananch wamenyang'anywa mlima Nkongore na wamevamia magereza bila fidia yoyote ile , pili umeme hicho kijiji kimerukwa bila kuwekewa umeme huo ni uonevu mkubwa sana

  • @shabanimsoka3949
    @shabanimsoka3949 5 лет назад

    Wwe ndo laisi bola kwa mmi ninavyoona uyitumikie taifa miaka.100 Au mbaka mungu atapokuchukua.

  • @ashamwandu3781
    @ashamwandu3781 5 лет назад

    yani adi huruma, mhe Rais we ni kimbilio la wengi, mtukula wamama wajasiliamali wananyanyaswa wananyanganywa pasport na kuombwa faini dollah hamsini, na hazitolewi listi, na afsa huchukuwa rushwa kwa uonevu tusaidie.

  • @muhubiriproduction69
    @muhubiriproduction69 5 лет назад +1

    mzee baba leo umekubali kuwa tunaishi kwa nguvu ya mkopo? hahahahaaa, tatizo haikuwa tunasema bure, ni kuwa tulikuwa tunashangaa ukisema kila kitu tunafanya kwa pesa zetu wenyewe eti hatutegemei mikopo yao, kamwene kamwene kamwene

    • @aridiyahya8049
      @aridiyahya8049 5 лет назад

      Muhubiri Production wewe hukopi? Kwanza unajitegemea Afu baadae unakopa

  • @malickissa6036
    @malickissa6036 5 лет назад

    Hiyo ndio kawaida yao viongozi wa serikali

  • @Keputchelo1621
    @Keputchelo1621 5 лет назад

    Bado ile ahadi ya milioni hamsini kila kijiji haitekelezeki huku kwetu

  • @boniphacetv739
    @boniphacetv739 5 лет назад

    mbona babati hauji

  • @danielnjau372
    @danielnjau372 5 лет назад +1

    Raisi naomba milioni hamsini

    • @fundieddy9164
      @fundieddy9164 5 лет назад +1

      Daniel Njau, hicho kiasi cha pesa ulichomuomba rais ukizidisha kwa idadi ya watanzania wote itamlazimu atenge sh. ngapi?😄😄😄

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 5 лет назад

    Huyu ni waziri mkuu sio raisi wa nchi hii hatuna raisi hapa

    • @mswadikubushumbilo7170
      @mswadikubushumbilo7170 5 лет назад +1

      Why?unasema hivyo?

    • @xxxrileyxd3864
      @xxxrileyxd3864 5 лет назад +1

      Unaonaje ukiwa wewe rais?kama unamuona huyo hafai

    • @morefireministrychurch177
      @morefireministrychurch177 5 лет назад +1

      Emanuel Michael wewe kichaa tu akili yako iko matakoni na macho c jui nikutuzi je

    • @atiliokigahe4683
      @atiliokigahe4683 5 лет назад +1

      Aya bwana wenzio ni rais wetu huyu .

    • @modestusndunguru4479
      @modestusndunguru4479 5 лет назад +1

      we choko... nini.... nenda hukohuko unakoliwa.. huyu... ni miongon mwa marais bora dunian kwa sasa.. pole...... never seen before