JINSI YA KUTEMBEA KATIKA UTAJIRI l PASTOR GEORGE MUKABWA l ANNUAL CONFERENCE 2024
HTML-код
- Опубликовано: 8 фев 2025
- Subscribe our channel for more
/ bishopdicksonmtalitinya
follow me on instsgram
pCiK8Wz9MWhB/?igshid=MDJmNzVkMjY=
follow me on facebook
web. MTBCMinistries
mawasiliano :0754822304
Sadaka (offerings):
TIGO LIPA NO : 17459609
CRDB NO : 1050487687900
#mtbc #connectinglivestochrist #annualconference #2024 #ministry #wealth #christianity
Kama tuna muelewa mwalimu Chapa like halafu kuanzia SASA kile kiwango tuko nacho Kwa MPESA tuanze Ku transfer bank kuanzia SASA tucheze na bank
Naamini Mungu atanisaidia ili nitoke kwenye madeni ambayo yamenikozesha amani.Anisaidie ili nifuate kanuni zake,ili nitakapoanza biashara nifanikiwe.Mungu naomba msamaha kwa yote nilifanya kinyume na mapenzi yako.Baraka kwako mtumishi.Esther kutoka kenya
Amina nimebarikiwa sana,kupitia mafunzo haya Mungu naomba mwakani mwezi kama huu nitoe ushuda wa madiriko ya maisha yangu.
Amina ...nimebarikiwa sana na some hili.
Asante sana mtumishi Mungu akupe maisha marefu
Be blessed man ofGod
Unataka utoke mahala ulipo kiuchumi
1. Patia Mungu nafasi
2.Zalisha
3.Wekeza
4.Jifunze kuweka akiba
5.Kuwa mwaminifu
Barikiwa sana mtumish wa mungu much love from Kenya
Unanibariki sana mtumishi, mungu akuinue sana.
Mungu akubariki mahubili yako yameinua sana.
Amina nq ubarikiwe sana, nimejifunza kitu hisiweke hela chini ya gaodoro. Naitoa leo naipeleka kwa watu wa riba
Mungu kubarki Sana mtumishi, umenipa hatua tena.
Amen 🙏🙏🙏,barikiwA sana,kwa ujumbe mzuri wa mafanikio🙌🙌🙌
Aminaaa sana ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Baba mchungaji ahsante sana kwa somo lako zuri hakika umenifumbua macho.Mwenyezi Mungu akubariki sana.🙏
Hakika nabarikiwa Sana kupitia masomo unayofundisha,Mungu akutunze mtumishi,
Jina la bwana lipewe simu, pastor hii neno imenijenga sana namshukuru mungu
😂😂😂 jina la bwana lipewe!!!!???.
Baba umenisaidia saana Mungu akubariki
God is Great n omnipresent Always.... God's Grace Is Sufficient For Us....Naomba Neema ,Kibali na Imani ya Bwana Yesu Kristo Mwokozi Wetu... Amen n Amen n Amen 💘💗❤️🙏🙏.
Hapa kwenye uaminifu nikweli kabsaaa mimi nilianza biashara na m1.5 but leo Ooooooooohhhhhh hallelujah Mungu wambinguni nimwema im more blessed🙏🙏🙏
Ni kweli baba nibariki na mimi niwe baraka kwa wengine
Wow mafunzo ya baraka sana baraka mtumishi
Amen najionaga mimi ni tajiri mkubwa
Asante umenifuza sana mkabwa hapo kwenye mfano wa soseji
Ubarikiwe Sana mtu wa Mungu.
hapo mwisho nimeelewa vizur😂 ati dady kisa vitu vitamu.
Ninakupenda unanibariki sana
Amen mtumishi nafunguliwa sana na mahubiri yako.Mungu azidi kukutumia zaidi 🙏
Mungu akutunze mtumishi wa Mungu.
Napenda pale pastor ukiongea (useme kule nyumbani) proud to be a kenyan ❤❤
Balikiwa saana mutymishi wa mungu akulinde
Amen and amen, God help so I can grow up in my life
Watching live from Bomet Kenya
Asante mtumishi umenisaidia sana
Shalom shalom,mimi Niko Burundi mnanifurahisha sana
Ahsante sana baba
Amen amen Pastor nmebarikiwa sana
mungu niweke kiwango kingine
Naomba mungu anipe fursa
Ubarikiwe sana
Amen leo tumefika ju ya huyu Man of God 🙏
Amen
Natamani sana kuwa tajiri kiuchumi lakn sijui nianze wapi eeeh mungu nisaidie
Mafunzo mazuri pastor Asante
Barikiwa sana Pastor
Asante baba
Amina
Eee umenigusa sana nimtoto lakini na Mimi nimepitia yakutembea peku kwenda shule Asante baba mungu akubariki .Ewe mungu nibariki namimi niliteseka sana nilisahau baba Asante sana 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😂😂😂😂😂😂😂😂
Amina
Amennn amennn
Mchungaji nabarikiwa sanaaa na mafundisho yako. Unapatikana mwanza sehemu gani?
Amen!!!
Amen, good massage
Huyu Mtumishi namuelewa sana
Amen amen and amen 🙏🏾🤲🏾
🙏
❤❤ameen
Amen🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amen❤❤❤❤
Amen
Mmenikosea sana aisee yaani hii video mmeikata kata sana
Asanti❤❤❤❤❤❤
Manabii wa uongo kazi kwelikweli
Ameeeeeeeeeeeeeeeen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nashukuru mchungaji kwa somo juya uchumi. Swali nihili. Nime mujuwa Mungu kanisani moja,sasa hapo nimepata mafanikiyo hapo. Sasa baada yasiku nimetoka hili kanisa kwaajili ya changamoto fulani limetokeya. Huko nime kwenda kwabudiya MUNGU marakwamara. Huyo mchungiji ana pashwa kula fungu la kumi langu? Ame yuletu mahili nime okokeya?
Ajira inakupa mtaji but kazi inakupa mafanikio makubwaaaaaa.
🎉🎉🎉
Kweli pastor
Zaka tumewekewa asilimia 10 Ila kwa upendo unaokuwa nao kwa Mungu unaweza ukaongeza asilimia ya Zaka ya kumtolea Mungu 11%.....na kuendelea
Wanauliza maswali wengine hatuwa sikii
Hapa kwenye kuangalia fursa pasta tuweke sawa maana unaweza ona fursa ila ikawa kwaupande wako haina faida
Ubarikiwa mtumishi amina
Iyo ndo hesabu ya biashara bishara yako ndo ilipe mkope na sivinginevyo ulifanya tofauti au kwa tamaa umejimaliza
NINAZO BIDHAA NYINGI DUKANI PASTOR FUNGU LA KUMI LILILO KAMILI NITALIJUAJE
Shaloom!!! Ajiri mwasibu wakufanya mahesabu
Shalom, kwa ufupi unatakiwa ujuwe kwa mwezi unapata kiasi gani dukani, kiasi unachopata kwa mwezi gawanya kwa 10 ndio upeleke fungu la 10
Toa 10% faida unayo ipata baada ya matumizi ya BIASHARA
Amen amen amen 🙏
Leo hamn maomb ya mwez wa tisa
Pastor maybe kama mtu alisahau
Ni Jacky kutoka Nairobi,Nina swali kuhusu fundisho la juzi,kuhusiana na swala la kuinua sadaka ya kujenga madhabahu,umanufaa wake ni upi sababu zaka Zina manufaa yake?
Amina
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Amen amen 🙏
Amen 🙏