nimefahamu vitu vingi sana vya kiroho kupitia ww mtumishi wa Mungu..pia vimebadili maisha yangu.. Asante kwa maarifa Mungu aliyoachilia kwako kwa ajili yetu na kwa hakika yake yamenipigisha hatua sana...
MCH. VIZR SANA KTK MAFUNDISHO YAKO TATIZO LAKO COMENT ZA WATU WANAULIZA MASWALI WAKITAKA MSAADA HUWAJIBU UKAA TU KIMYAA. NAOMBA MAJIBU TUNABARIKIWA PIA TUNAHITAJI MAJIBU YA MASWALI YETU KWAKO.
Pastor you really make me understand to my inner ear,you go deeper in your explanation,to make even a little child understand,💯💯👏👏 , you are a big blessing to me,may you live long,may God bless you abudantly 🙏🙏🙏 🇰🇪🇰🇪.

Sijui niseme nini kweli asante Yesu kwa ufahamu huu ulionipatia siku ya leo
Nabarikiwa sana na mafundisho
I feel blessed pastor thank you may God expand your territory
Mchj mungu akubariki sana kwa somo zuri karibu Shinyanga tunakupenda mungu azidi kukuinua.
Nimefatilia saaaana mafundisho yako hakika nimezaliwa mpya,naomba mtumishi unisaidie nina wito wa kuwa mtumishi
Baba mungu azidi kuku zidishia akili n'a ekima amen
MCH. VIZR SANA KTK MAFUNDISHO YAKO TATIZO LAKO COMENT ZA WATU WANAULIZA MASWALI WAKITAKA MSAADA HUWAJIBU UKAA TU KIMYAA. NAOMBA MAJIBU TUNABARIKIWA PIA TUNAHITAJI MAJIBU YA MASWALI YETU KWAKO.
Amen I'm blessed 👏
Hata mm huyu baba nikimsikiliza nabarikiwa
Asantee sana Pastor, Mungu azidi kukubariki
Amen amen 🙏 Santee Mtumishi wa Mungu 🙏
Amen mtumishi wa mungu ninafatilia mafungisho yako naona kunakitu napata barikiwa sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu ahutunze mtumishi mimi naelewa sana MFUNDISHO YKO
Barikiwa, mafundisho yako yameniongezea kitu ktk safari hii ya kwenda mbinguni
Mungu akusidishie sana unacho kiitaji katika safari hii ya kwenda mbinguni.amen ubarikiwe
Barikiwa sana mtumishi wangu
Barikiwa sana
🙏🙏🙏
Amen...unyenyekevu....ndo naitaji zaidi
Mungu anineemeshe katika jina la yesu Christo
Karibu Moshi mtumishi mafundisho mazuri sana
Asante,barikiwa sana
Ameeeen pastor🎉
GOD Bless you, man of GOD
Barikiwa Pastor
Amenii 🙏🙏
Amen and amen 🙏🙏🙏
Ubarikiwe mtumishi Mungu anakutumia kuamsha watu
Soma efeso"6:10-14
Asante kwa haya mafundisho
Amina
Amen
Nipe mkataba wa kufunga
Pastor you really make me understand to my inner ear,you go deeper in your explanation,to make even a little child understand,💯💯👏👏 , you are a big blessing to me,may you live long,may God bless you abudantly 🙏🙏🙏 🇰🇪🇰🇪.
Mungu akubariki sana mtumishi najifunza sana Kwa neema hii Mungu aliyokupa
Nashukuru sana kunipa neno la faida Mungu akubariki Sana niko Congo DRC
I've been blessed by this wonderful sermon 🙏
Une nifariji sana baba nilikua mwenye kupungukiwa sana lakini wakati nalisikia mafudisho yako Nîme jengwa upia asanti sana
❤️
Nimejifunza kitu kikubwa mno na ninaweza kupata no yako