🎉Mtumishi wa Mungu, hili somo unalolifundisha ni Gumu sana, bahati mbaya unawafundisha watu ambao huenda darasani ili wafaulu mitihani, ni watu wachache humu watakuelewa...
@@hamisiismail2577 ungekuwa mfatiliaji wa kusoma vitabu usingeuliza hivyo ila anaongea ukweli sana maana mm nimeshasema na hapa ndio nilielewa mambo mengi sana ambayo kwenye biblia hii tunayoisoma hayapo na kama yapo basi yameandikwa kama kichwa cha habari tu
Ndugu yangu acha kuamini ujinga bibi sio kitabu cha mungu hizi history zawatu wala sio kitabu alichopewa yesu yesu alipewa ingiri nahiki ni Bibilia lazima ujue kutofautisha bibilia na ingiri Ingiri ilikua kitabu kimojatu kilicho tumia hii bibilia nimkusanyi wa vitabu vya wazungu Tena wa Roma harafu wakavikusanya wakaviweka pamoja nakuita bibilia ubarikiwe sana assalamualaikum 🙏🇹🇿🙏🇹🇿
Mungu akubariki sana mtumishi, kukuelewa inahitaji uwe umejaliwa na Mungu mwenyewe, nnje na hapo lazima watu wasikuelewe mimi nimeelewa sana na injili hii twende mbele wataelewa siku moja
Unajarib kumpa moyo mtu anajipinga hata mwenyewe kila siku...ike mada ya adam kuwa n mke mwingne alitumia mistar hiohio kei anaitumia kutuaminiasha walikuwa watu wengne tofaut na adam dah Mungu atusaidie
Pole , umelishwa sana matangoporii na ulokole/uprotestanti,. umeanza kuelewa kuwa Mungu ni zaidi ya maandiko ya biblia. njoo kwenye kweli ili uwe huru.
Nashukuru Kwa masono Yako, Kwa kweli nakuelewa, Kwa kuwa watu wamefunga Kwa mapokeo ya wazee wao, wanaweza wasikuelewe na wakaona unawapotosha. watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa. Wakipata maarifa ,wanasema wanapotoshwa.
Umri wa ulimwengu ni mkubwa kuliko maandiko ya biblia yanavyo sema. Adam hakuwa wa kwanza kuumbwa kimwili. Bali kiroho ni wa kwanza kuumbwa. Mwanadam aliumbwa miaka mingi na maandalizi ya kumjua mungu yalifanyika polepole hadi Adam alipochaguliwa kuwa muwakilishi wa mungu na kupewa mwongozo. Imani imetumika kuuficha ukweli
Ndomaana wengi hawakuelewi, kwasababu ya terminology unazo zitumia, hiyo nje na ndani ya wakati kwao ni somo lingine kwao ili kuwaandaa walielewe somo hili. Shida ni kuelewa tu, mwalimu uko sahihi sana
Wewe mtoto wa Mungu unaependwa soma vizuri biblia omba roho mtakatifu akusaidie kuielewa vizuri ndo uje uongee hapa UNAPOTOSHA maandiko, Na kama unajua ukweli halafu unadanganya waziwazi ni hatari kwako Mungu akurehemu ubadilike
Usitumie elimu ya dunia hii kufundisha neno la yahweh tafadhali,pia soma andiko jinzi lilivyo andikwa 2petro 3:8 inasema kwa yahweh siku moja ni sawa na miaka elfu na miaka elfu kwa yahweh ni sawa na siku moja inamaanisha kuumba mbingu na inchi na vyote vilivyomo kwa siku saba kwa yahweh sii kazi ngumu kama unavyo fikiria wewe,pia unachanganya maandiko na ndio maana kuelewa maandiko kwako itakuwa ngumu sana omba roho wa yahweh akufunulie ndio ufundishe na uwache kufundisha maandiko kimwili,kubali kufundishwa kwanza ndio ufundishe coz ata apolo alikua akifundisha kwa nguvu katika sinagogi lakini kuna baadhi ya mambo alikua haelewi so ilibidi afundishwe zaidi ni prisila na aquila kule efeso japokua alikua mtu wa elimu nyingi matendo 18:18-28
Hallo! Mtumishi naitwa Simon niko chato naomba kuliza. Tunatambua kua dini zote Bara I africa zimeletwa na wakoloni kuanzia karne ya 14 hadi 19, je wa africa walio kuwapo kabla ya wakati huo na walikufa Bila kusikia habari za wokovu Mungu atawakumu vipi naomba nisaidie tafadhari!!!
Isaya ndug yang ktk iman fnya kazi ya BWANA kma kna jamb nyuma ya pazia,angalia vzr maana utakua umekja ktk wkt usio kusudiwa hvyo utukufu wa mungu haupo kma mwanadam aufikilivyo
Somo zuri sana Mwalimu Benson. Naomba kuuliza swali. Kuna muda naona kama mafundisho yako yanakinzana hivi. Kuna siku ulifundisha ukiwa studio na kusema Watu weusi tuliletewa neno la Mungu ambalo lina vitisho ili tutawaliwe na ukatolea mfano wa Jehanamu kwamba ni swala ambalo limechomekwa ili kutufanya tutii neno bila maswali kwani Mungu kwenye Biblia alisema hajawai kuwaza kumchoma mwanadamu, Lakini kwenye mafundisho haya umesema kama Jehanamu ipo na wazinzi watachomwa swali je, upi ni msimamo sahii? Is Hell real??
Umemfanya Mungu kama mtu dhaifu sana anayejenga nyumba kwa miezi 17, Kumbuka Mungu aliumba kwa Kutamka vikawa! God created the World and alll in it for 7 literally days! Ikawa asubuhi ikawa jioni"
Ndgu unatamani kuwa mwalimu lakini unahitaji kukaa chini ya mwalimu mwenye ufahamu akufundishe vizuri.naomba nikufundishe sura ya kwanza inaeleza Kwa ufupi kama kichwa Cha habari sura ya pili ndo maelezo anafafanua Kwa upana zaidi mwandishi ni sawa na barua umeandikiwa juu unaambia YAH: baada ya hapo unapewa ufafanuzi sasa sura ya pili jinsi ulivyo. Soma pia mwzo 1:24 hapo mwandishi anasema Mungu AKASEMA NCHI IZAE VIUMBE WANYAMA NA VIUMBE,,SURA 1:25 ndo tendo linafanyika sasa MUNGU AKAFANYA MNYAMA WA MWITU. sasa na hapo tutafasilie mbona kasema neno na kafanya .na wewe unatafuta kiki mwisho huchelewi kutuletea somo la tunda walilokula
Huyu ni mjanja mjanja. Mwanzo sura 2 ni ufafanuzi wa mwanzo sura ya 1. Na ukitaka kulijua hilo anzia sura 2:4b ina eleza kuwa siku ile Bwana alipoumba mbingu na nchi..... siku ipi? inakurejesha sura 1. Kwahiyo sura 2 ni ufafanuzi wa mwanzo sura ya 1.
Mwalimu unahakili Sana uwezo Huyo Uliutowa Wapi Wazungu walitunyanyasa Mda Mlefu. Unavyo tufundisha nasi tunazo nguvu tupohapa Marekani Asante Saaaaana
Wewe Mungu ana mshirika hana mtoto hajazaa wala hajazaliwa Mungu halali Yesu alilala fofofo, Mungu haoni njaa Yesu aliona njaa Mungu hajazaliwa Yesu Kristo amezaliwa sifa za Mungu ,anasema Mungu wenu ni yule alie zitengeneza suala mukiwa matumboni mwa mama zenu huyo ndie Mungu wa kweli
Ee Bwana Yesu msaidie huyu ndugu maana anapotosha mno. Kuumbwa mnyama wa kufugwa haimanishi waliumbwa kwanza watu wa kuwafuga. Mwl Benson ninakukubali sana lakini katika hili unapotosha na Mungu akusaidie maana kwa hekima yako utapotosha sana Mungu akusamehe na akusaidie
😢pole sana mwalimu muongo.Mungu.alitamka tu vitu vikatokea hiyo ya miaka billion ni ya kwako na wajinga wenzako.Nnakupa homework katafsili na kitabu cha ufunuo kwa nadhalia hiyo Usimchunguze Mungu sana unatenda dhambi kubwa
Mchungaji nimekufuatilia lakin unajichanganya mwenyewe, Yaani unashundwa kutenganisha mabadiliko ya mwanadamu kwa nyakati Tofauti. Hayo maandiko hajafanyika kwa siku Moja Kuna mabilion ya miaka yaliyopita.
Mwalim isaya uko vzr ila unaposema walikuwepo wanadam kabla ya Adam ntapata kigagaziko kdg maana unaposema wanadam maana yake ni watokanao na adam.ila Mungu akutie nguvu.
Asante sana mwalimu kwa mafundisho .Mungu akuzidishe kipawa hicho.
Ubarikiwe saaana Mwalimu
🎉Mtumishi wa Mungu, hili somo unalolifundisha ni Gumu sana, bahati mbaya unawafundisha watu ambao huenda darasani ili wafaulu mitihani, ni watu wachache humu watakuelewa...
We unakubali..kulikuwa na Adamu kabda ya Adamu?
Tunamuelewa sana maana hivyo vitabu ambavyo havikuwekwa kwenye biblia mm nimeshavisoma na ni vingi sana
@@hamisiismail2577 ungekuwa mfatiliaji wa kusoma vitabu usingeuliza hivyo ila anaongea ukweli sana maana mm nimeshasema na hapa ndio nilielewa mambo mengi sana ambayo kwenye biblia hii tunayoisoma hayapo na kama yapo basi yameandikwa kama kichwa cha habari tu
Mungu akutie nguvu maaan unaelewesha watu ambao hatusomi biblia ndoomana watu hawkuelewi me binafisi nakupata vizur
Kwaio wewe dada unakubali kua kabla ya Adam kulikua kizazi kingine?
Asante sana baba chungaji Kwa kutufunuliya ukweli ambao tulikuwa hatukuwi, ao labda waliyo tutafsiria ndio walio tutafsiria vibaya.
Ndugu yangu acha kuamini ujinga bibi sio kitabu cha mungu hizi history zawatu wala sio kitabu alichopewa yesu yesu alipewa ingiri nahiki ni Bibilia lazima ujue kutofautisha bibilia na ingiri Ingiri ilikua kitabu kimojatu kilicho tumia hii bibilia nimkusanyi wa vitabu vya wazungu Tena wa Roma harafu wakavikusanya wakaviweka pamoja nakuita bibilia ubarikiwe sana assalamualaikum 🙏🇹🇿🙏🇹🇿
Mungu akubariki sana mtumishi, kukuelewa inahitaji uwe umejaliwa na Mungu mwenyewe, nnje na hapo lazima watu wasikuelewe mimi nimeelewa sana na injili hii twende mbele wataelewa siku moja
Kwahy we peke qko ndo unaelewa kuliko wote
@@SamweliJoshua-t9o rudia kusoma tena, lasivyo utakuwa na moyo mbovu wa kiburi
@@SamweliJoshua-t9otupo wengi saana tunao elewa
Asante kwa somo zuri mwalimu. Unaifahamu Biblia saana. Asante. Mungu atukuzwe milele
Uko vizuri mwalimu,
Ubarikiwe Sana mwl. Nimeanza kukuelewa elewa.
Barikiwa mpendwa Isaya Benson nakupata sana.hiki ndicho ORIGINE ya uumbaji tume ita systématique théologie whaou shukururani sana neno Lipo
Unajarib kumpa moyo mtu anajipinga hata mwenyewe kila siku...ike mada ya adam kuwa n mke mwingne alitumia mistar hiohio kei anaitumia kutuaminiasha walikuwa watu wengne tofaut na adam dah Mungu atusaidie
Barikiwa mwalimu nakufuatilia kwa karibu
Asante pasta wangu Mimi najifunza sana juu ya kueoewa bibilia takatifu .
Mimi nakuelewa vizuri sana...usijali ,watu wengi watakuelewa baadaye sana...endelea kufunza...watakuja pole pole tu...
Hapana hayo mafundisho si kweli Wala si wa biblia hii, ni ufunuo wako na upotofu, Mimi nakushauri kwenda shule ya biblia kusoma uelewe hilo somo
Nakushukuru.sana kwakuritambua.neno.ramungu.naunastahiri.kuamwarimu..rakini Nina swari huyo maraika ariyeungana.riri.arikua.yukokwenye hiimaya.nani b riri ariporaniwa aripoterea kusikojurikana huko mungu.hakuwahikufika ndiomaana hakujurikani Asante. Sana
Pole , umelishwa sana matangoporii na ulokole/uprotestanti,. umeanza kuelewa kuwa Mungu ni zaidi ya maandiko ya biblia. njoo kwenye kweli ili uwe huru.
Ahsante mwalim
Mwalimu somo lako ni zuri sana na linaukweli, ila kwa wenye itikadi hawawezi kuelewa kwakuwa uwelewa wao umefungwa na itikadi aliyokaririshwa.
Pole sana ndg yangu umeenda wrong vibaya mno,neno la MUNGU SIYO AKILI NA UJUZI WA KIBINADAMU. MATHAYO 16:13-18.🙏
Kweli kabisa ... Nakuelewa vzr Sana mpendwa ktk Bwana ... Mungu akupe maisha marefu yenye baraka... Nimekuelewa vzr
Ubarikiwe Sana, Kuna jambo nimejifunza hapa
Nashukuru Kwa masono Yako, Kwa kweli nakuelewa, Kwa kuwa watu wamefunga Kwa mapokeo ya wazee wao, wanaweza wasikuelewe na wakaona unawapotosha. watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa. Wakipata maarifa ,wanasema wanapotoshwa.
Samahani mwalimu Asante kwa mafundisho yako unauliza wewe unasalia dini gani
Atakuwa msabato
Asante kwa Neno la Mungu.
Ubarikiwe sana naona naanza kuelewa vizur.
Nimekuelewa sana baba
Asante mwalimu
Mungu akutunze Mwl
Amina.somo zuri.
Umri wa ulimwengu ni mkubwa kuliko maandiko ya biblia yanavyo sema. Adam hakuwa wa kwanza kuumbwa kimwili. Bali kiroho ni wa kwanza kuumbwa. Mwanadam aliumbwa miaka mingi na maandalizi ya kumjua mungu yalifanyika polepole hadi Adam alipochaguliwa kuwa muwakilishi wa mungu na kupewa mwongozo. Imani imetumika kuuficha ukweli
Nimekuelewa pastor
Aisee mm nakuelewa mno pia hayo maswali yamekuwa yakinisumbua sana
Usijali juu ya comment mbovu,,,,,keep it up,,,kuna kitu tunajifunza
Barikiwa
Ndomaana wengi hawakuelewi, kwasababu ya terminology unazo zitumia, hiyo nje na ndani ya wakati kwao ni somo lingine kwao ili kuwaandaa walielewe somo hili. Shida ni kuelewa tu, mwalimu uko sahihi sana
Kwaiy mungu aliumba kwa miaka elfu 6
Nimesikiliza ujumbe wako nikaulewa.
Nakutia moyo endelea na Mungu akusaidie.
Unapotosha Mungu akurehemu!!
Huyu mtu asifuatiliwe muongo sana
Soma mwanzo 1:27
leta cha kwako ili uchalenji otherwise siliza au usisikilize
Mwl nakuelewa sana
Very logical!
Mwalimu bravo, wafunze wakristo kwani hawaelewi awo hawataki kuelewa mafunzo sahihi.
Daaa!! Wewe unatuchananya kabisaaa Bwana wa kweli asimame juu ya haya
Eko sana mwalimi,umetisha hapo kwenye Ezekiel 28:11
Ee Bwana Yesu mrehemu huyu ndugu. Msaidie kulitambua neno lako kwa msaada wa roho wako mtakatifu na wala si kwa hekima yake ya kibinadamu.
Pole bro
Wewe ni wakala wa giza😮😮😮😮😮
Wewe mtoto wa Mungu unaependwa soma vizuri biblia omba roho mtakatifu akusaidie kuielewa vizuri ndo uje uongee hapa UNAPOTOSHA maandiko, Na kama unajua ukweli halafu unadanganya waziwazi ni hatari kwako Mungu akurehemu ubadilike
Nakuelewa sana mwalimu
Mm bado sijalizika
Bigup bro
Mwanzo 1
5 Mungu akaiita nuru Mchana, na giza akaliita Usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku moja.
Labda Anazungumzia vtu zngine ila sio mwanadam alieumbwa na Mungu, wa kwanza ni adam ndie alie fanyika nafsi hai akapewa na bustani ailime.
Umejaribu bali mengine umekosea usimfikirie Mungu sawa mwanadamu!!!
Hapana huo ni uongo , bwana adam na hawa alikua mwanadam wa kwanza , hiyo sura ya pili inakamilisha uumbaji wa Mungu,
Mwalimu ninakuelewa sana
Usitumie elimu ya dunia hii kufundisha neno la yahweh tafadhali,pia soma andiko jinzi lilivyo andikwa 2petro 3:8 inasema kwa yahweh siku moja ni sawa na miaka elfu na miaka elfu kwa yahweh ni sawa na siku moja inamaanisha kuumba mbingu na inchi na vyote vilivyomo kwa siku saba kwa yahweh sii kazi ngumu kama unavyo fikiria wewe,pia unachanganya maandiko na ndio maana kuelewa maandiko kwako itakuwa ngumu sana omba roho wa yahweh akufunulie ndio ufundishe na uwache kufundisha maandiko kimwili,kubali kufundishwa kwanza ndio ufundishe coz ata apolo alikua akifundisha kwa nguvu katika sinagogi lakini kuna baadhi ya mambo alikua haelewi so ilibidi afundishwe zaidi ni prisila na aquila kule efeso japokua alikua mtu wa elimu nyingi matendo 18:18-28
Sasa unatoa story na sii neno la mungu
Hallo! Mtumishi naitwa Simon niko chato naomba kuliza. Tunatambua kua dini zote Bara I africa zimeletwa na wakoloni kuanzia karne ya 14 hadi 19, je wa africa walio kuwapo kabla ya wakati huo na walikufa Bila kusikia habari za wokovu Mungu atawakumu vipi naomba nisaidie tafadhari!!!
May God bless you
Alaaninwe
Katika hilo sio kweli mtu wa Mungu
Unahitaji kuombewa ili upate uelewa wa kweli. Una uwezo wa kufundisha lakini si kwa usahihi. Mungu akupe ufunuo mpya wa kuielewa Biblia .
Baada ya wewe kujua namna ya kufundisha na kuelewa bibilia imekuaje dini ziwe nyingi za kikristo?
@@barrynzeyimana6270mbn ni rahisi tu kuelewa ufafanuzi wa hizi dini
Huyu bwana ni mpotoshaji sana. Yaani tafsiri zake anataka kufanya kuwa halali.
Acha kupotosha.
Isaya ndug yang ktk iman fnya kazi ya BWANA kma kna jamb nyuma ya pazia,angalia vzr maana utakua umekja ktk wkt usio kusudiwa hvyo utukufu wa mungu haupo kma mwanadam aufikilivyo
Somo zuri sana Mwalimu Benson. Naomba kuuliza swali. Kuna muda naona kama mafundisho yako yanakinzana hivi. Kuna siku ulifundisha ukiwa studio na kusema Watu weusi tuliletewa neno la Mungu ambalo lina vitisho ili tutawaliwe na ukatolea mfano wa Jehanamu kwamba ni swala ambalo limechomekwa ili kutufanya tutii neno bila maswali kwani Mungu kwenye Biblia alisema hajawai kuwaza kumchoma mwanadamu, Lakini kwenye mafundisho haya umesema kama Jehanamu ipo na wazinzi watachomwa swali je, upi ni msimamo sahii? Is Hell real??
Ndugu usiwapotoshe watu
Yani siku hizi tunatakiwa kuwa makini mno matapeli wa neno la MUNGU wamekuwa wengi wanalopoka tu ovyovyo
Taaluma siyo utapel, turud ktk vitabu jaman, ayo siyo mahubir sijajua hayo masomo lakin ktk hili is about academic
Dah! Hii dunia inasiri kubwa sana kiukweli.
Nikweli mwalimu
Ebu ungetulia kwanza , 😮 mwl kichwa chako kimepata moto
Enendeni ulimwenguni mwote mkaihubr injil kwq kila kiumbe,,,hii ndo kaz anayoihitaji bwanayesu ila hapa tunapata maarifa ya ziaada keep it up
Kujua kusoma biblia siyo kujua kuelewa kilicho fichika humo. Asante mwalimu, huo ndiyo ukweli.
Umemfanya Mungu kama mtu dhaifu sana anayejenga nyumba kwa miezi 17, Kumbuka Mungu aliumba kwa Kutamka vikawa! God created the World and alll in it for 7 literally days! Ikawa asubuhi ikawa jioni"
Alivyotamka kikoja kikawa alikaa miaka mingi sana ndio atamke cha pili hakutamka kwa mfulizo
Mmmmmh hatari sana
Ndgu unatamani kuwa mwalimu lakini unahitaji kukaa chini ya mwalimu mwenye ufahamu akufundishe vizuri.naomba nikufundishe sura ya kwanza inaeleza Kwa ufupi kama kichwa Cha habari sura ya pili ndo maelezo anafafanua Kwa upana zaidi mwandishi ni sawa na barua umeandikiwa juu unaambia YAH: baada ya hapo unapewa ufafanuzi sasa sura ya pili jinsi ulivyo.
Soma pia mwzo 1:24 hapo mwandishi anasema Mungu AKASEMA NCHI IZAE VIUMBE WANYAMA NA VIUMBE,,SURA 1:25 ndo tendo linafanyika sasa MUNGU AKAFANYA MNYAMA WA MWITU.
sasa na hapo tutafasilie mbona kasema neno na kafanya .na wewe unatafuta kiki mwisho huchelewi kutuletea somo la tunda walilokula
Nimekuelewa mtumishi
Kwa leo pia umechemka kwa somo lako kwa kutoshindwa kutofautisha master plan ya Mungu na utekelezaji wa Mungu.
Huyu ni mjanja mjanja. Mwanzo sura 2 ni ufafanuzi wa mwanzo sura ya 1. Na ukitaka kulijua hilo anzia sura 2:4b ina eleza kuwa siku ile Bwana alipoumba mbingu na nchi..... siku ipi? inakurejesha sura 1. Kwahiyo sura 2 ni ufafanuzi wa mwanzo sura ya 1.
Wachache sana tunakuelewa
Mwalimu unahakili Sana uwezo Huyo Uliutowa Wapi Wazungu walitunyanyasa Mda Mlefu.
Unavyo tufundisha nasi tunazo nguvu tupohapa Marekani
Asante Saaaaana
Mwalimu Gani Hana andiko ya mambo ya kabla nadharia TU anafundisha
Acha uongo kwa Mungu kufumba na kufumbua anaweza umba mambo makuu Sana
Acha kutuchanganya.
Asante,mwalimu,nauliza kiisha Kaini kufukuzwa,alienda kwenye inchi ya Nodi,akakakuta watu,hawa wametoka wapi??????
Nakuoelewa sana endelea na masomo kwakuwa wengi watakupinga kulingana tumekalilishwa na maneno yasio na ukweli
Kwahivo Edeni imekua Mara mbili
Uthibitisho wa mandiko atataki maneno ya mdomo
Mmm we mbaba muongo looo
Sio kweli hakukuwa na binadamu kabla kuumbwa adamu na hawa..
Ulinisaidia sana nilipatA masomo mengi kwako asante
Mmalimu jambo, muke n'a mime wa kwanza ni unabi wa Mungu kwa mutu n a dunia, mwisho sasa ukatimia kwa Sara ya pili. Mengine uliyasema njo vile ilivyo
Amina
Hapo umechemka
Facts!
Mungu unayemuhubiri ni kiumbe na ni shetani uthibitisho upo katika biblia hizo za kisasa.
Wafalme1:22-20;-
Mwalim si mwalim tena,
John 1:1 mungu ni neno, esiowandikwa kwa BIBLE haituushu
Kabisa yani. hayatuhusu yangetuhusu wangetuandikia
Respect you bro! 👏
WEWE NIMWALIU, JE,UBATIZO SAHIHI NI KWAJINA LA YESU AU NI BABA MWANA NA ROHO MT,
Wewe Mungu ana mshirika hana mtoto hajazaa wala hajazaliwa Mungu halali Yesu alilala fofofo, Mungu haoni njaa Yesu aliona njaa Mungu hajazaliwa Yesu Kristo amezaliwa sifa za Mungu ,anasema Mungu wenu ni yule alie zitengeneza suala mukiwa matumboni mwa mama zenu huyo ndie Mungu wa kweli
mwalimu nakufata vizuri hiyo haimanishe hivyo ,soma 1wakorintho 15:45
Sio kweli hiyo bibilia inapotoshaa watu
Ee Bwana Yesu msaidie huyu ndugu maana anapotosha mno. Kuumbwa mnyama wa kufugwa haimanishi waliumbwa kwanza watu wa kuwafuga. Mwl Benson ninakukubali sana lakini katika hili unapotosha na Mungu akusaidie maana kwa hekima yako utapotosha sana Mungu akusamehe na akusaidie
Shalom mtumishi
Je? Lilith alikuwa mke wa kwanza wa Adamu
Naitwa Ing'weng'we Baghabagha (Dodoma)
😢pole sana mwalimu muongo.Mungu.alitamka tu vitu vikatokea hiyo ya miaka billion ni ya kwako na wajinga wenzako.Nnakupa homework katafsili na kitabu cha ufunuo kwa nadhalia hiyo
Usimchunguze Mungu sana unatenda dhambi kubwa
Dunia ina miaka mabilioni sio ya miaka elfu sita
@@warakawayohana2896 nimesema mabilioni ya uumbaji man, jamaa kasema mungu hakuumba kwa ck moja ni miaka billions ilipita mpaka akamaliza uumbaji
Kumuita mwenzio mjinga ni Ukristo au ustaarabu kweli!? Kama hujubakiani na hoja respond kwa hoja si kwa matusi
Hawa wajinga waliosoma Sunday school wakafundishwa na wajinga wenzao yaan duh ni hatari. Waafrica Wana akili mgando sana
nauliza swali je ni kweli dunia kwa maana planet ilikuwa kipande au pande la moto na lilichukua muda gani kupoa
Mchungaji nimekufuatilia lakin unajichanganya mwenyewe, Yaani unashundwa kutenganisha mabadiliko ya mwanadamu kwa nyakati Tofauti. Hayo maandiko hajafanyika kwa siku Moja Kuna mabilion ya miaka yaliyopita.
Unapoteza watu sana ole wako hujui husemalo
Mwalim isaya uko vzr ila unaposema walikuwepo wanadam kabla ya Adam ntapata kigagaziko kdg maana unaposema wanadam maana yake ni watokanao na adam.ila Mungu akutie nguvu.