MCHUNGAJI ABADILI DINI NA KUA MUISLAMU,AFUNGUKA MAZITO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 1 тыс.

  • @Anonymous-p2f
    @Anonymous-p2f 5 месяцев назад +10

    Pole mtu wa Mungu. Hukuwahi kuifahamu imani yako. Na hii imani ya Kiislamu uliyopokea, nakushauri uijue kisawasawa; vinginevyo, utahama tena. Changamoto katika maisha ya imani ni kawaida na ndicho kipimo cha imani yako.

    • @hamisishabani4072
      @hamisishabani4072 5 месяцев назад

      @@Anonymous-p2f HUYU MZEE MPENI HONGERA,MSIMPE POLE,HUYU MZEE ALIKUWA NI KIONGOZI WA KANISA.HUYU ANAJUA,NA NDIO MAANA AMEONA BORA AWACHANE NA IMANI ILIYO NA MASHAKA,NA AMEIFUATA IMANI ILIYO SAHIHI!! NA NDIO IMANI WALIZOKUJA NAZO MANABII WOTE!! HEBU MTAFUTENI PIA MZEE WA UPAKO ANTHONY LUSEKELO,YEYE AMESOMA CHUO CHA BIBILIA NA.ANA DIPLOMA,LEO HII TUNASHUKURU AMEUTHIBITISHIA UMA WA WAKIRISTO NA WATANZANIA KWA UJUMLA,AMETHIBITISHA YESU HAKU MKIRISTO NA WALA HAJAWAHI KUFANYA IBADA NDANI YA KANISA TOKA AZALIWE,NA WALA HALIJUI KANISA.YESU ALIFANYA IBADA.NDANI YA SINAGOGI( MSIKITI)!! FUNUA BIBILIA UKARASA WA MWISHO UTAONA TAFSIRI YA SINAGOGI NI MSIKITI!! NA SIO KANISA!!

    • @JumaMHDaffa
      @JumaMHDaffa 4 месяца назад +1

      ukweli utabaki kuwa ukweli tu,huku hakuna Mfalme zumaridi wala kiboko ya wachawi!!nyie pigweni pesa tu

  • @saveyoursoul3649
    @saveyoursoul3649 4 месяца назад +2

    Waafrika wengi bado hawana ufahamu sana juu ya imani za dini na dini.
    Hivyo watu wakiona mtu kabadili dini wengi wanahisi kama kuna masilahi na si katika kutafuta ukweli.
    Someni mzifaham dini na imani zenu, kisha utajua maisha na imani ya dunia vipoje.
    Ukiwa huna uwezo wakufatilia dini yako, basi fuatilia kwa wengine, wenzetu wazungu, wengi wanasoma dini zao na sasa uislam unaongezeka kwa kasi huko ulaya na marekani kuliko afrika.
    Hivyo Pastor anakaribishwa katika imani, tunamuomba asome dini aifaham aonoze wengjne.
    Jazakallah kheir😊

  • @AbthuuSalum-fh1es
    @AbthuuSalum-fh1es 5 месяцев назад +19

    ❤Mashaallah allah akupe kila lenye kheir na ww akupe msimamo ktk dini ya uislam pia akupe khatma njema inshaallah

  • @JokhaJokhaabla
    @JokhaJokhaabla 5 месяцев назад +20

    Mashaallah mashaallah mashaallah Allah akuzidishie zaid na zaid hakuna dini ya kweli zaid ya kiislam umefanya jambo jema sana Ashhadu anlaa ila hailla llah ashhadu anna Muhammadu RRasulullah

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 5 месяцев назад +41

    Hawa padili wanajua dini yahaki niyipi ndomna wanatoka huko wameingia kwadini ya haki alhamdulillah ❤❤

    • @saumodzumbo9671
      @saumodzumbo9671 4 месяца назад +1

      Alihambhulillah

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 4 месяца назад

      @@saumodzumbo9671 kwani huyo Allah hajui kiswahili?

    • @JokhaJokhaabla
      @JokhaJokhaabla 4 месяца назад

      @@robertphilip385 bila ya Allah usingejua unachokiongea wala usingeongea icho kiswahili kila unachokiona ww basi vyote bi vya Allah subhanallahu wataala hakuna kinachoshindikana kwake

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 4 месяца назад

      @@JokhaJokhaabla jibu swali kwanini huyo alah hajui kiswahili?

    • @zuenahassan8882
      @zuenahassan8882 4 месяца назад

      ​@@robertphilip385Allah ndie mungu alieumba kila kitu kwaio usikufuru mungu ukadhani Allah n kiumbe kama wwe...ati Allah aseme kiswaili mbona wwe usemi kizungu

  • @PhoneShop-e8d
    @PhoneShop-e8d 5 месяцев назад +34

    Takibiiiir Allahuakbar karibu sn n Allah akuhufadhi mana umekua mpya ucekua na madhambi kama mtoto mdgo maashallah

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 5 месяцев назад +101

    Alhamdulillah hata mimi nilitoka kwenye ukirsto nipo kwa allah ❤❤

    • @omytifa6403
      @omytifa6403 5 месяцев назад +7

      MashaALLAH ❤❤

    • @ahmednassor9131
      @ahmednassor9131 5 месяцев назад +10

      Mashaallah, wewe ni shuja wa akili na nafsi,Allah atungoze sote tulia badili Iman

    • @AnkallyPandu
      @AnkallyPandu 5 месяцев назад +8

      Mashaallah zainab mungu akupe nguvu zaidi na pia Allah atujaze nguvu kwenye dini ya Allha na atujaze upendo tuwe tunapndana tuseme inshaallah

    • @zainabumartin9520
      @zainabumartin9520 5 месяцев назад +4

      @@AnkallyPandu amina yaarby

    • @zainabumartin9520
      @zainabumartin9520 5 месяцев назад +7

      @@AnkallyPandu insha allah shukurn sana

  • @MwanahawaSaid-z9e
    @MwanahawaSaid-z9e 5 месяцев назад +30

    MashaAllah, kilalaheri mzee wetu Allah akuongoze na ukuzidishie iman

  • @MariamSalim-l1m
    @MariamSalim-l1m 5 месяцев назад +7

    Maxhaallah 🤲 allah akujalie wewe na cc tuondoka ktk hii dunia hali n waislam🤲🤲

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 5 месяцев назад +22

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah amuhifadhi mzee wtu

  • @hamisishabani4072
    @hamisishabani4072 5 месяцев назад +14

    MAA SHAA ALLAH!! MZEE SULEIMANI UMEFANYA MAAMUZI SAHIHI WALA HUJAKOSEA,PAMOJA NA KEJELI NYINGI NA CHUKI NYINGI KUTOKA HUKO ULIKOTOKA KWENYE UKIRISTO.WALA USIJALI.UKO KWENYE DINI YA KWELI SALAMA NA AMAINI KABISA.

    • @JohnsonMichael-c2x
      @JohnsonMichael-c2x 5 месяцев назад

      Chaguo lake sisi hatuna Shaka yoyo yesu yuhai

    • @Maerys-xm8xt
      @Maerys-xm8xt 5 месяцев назад

      Yesu alikua hai tu,iyo hamfaham tu. Allahu Akbar

  • @ShamsiMikdad-bj7me
    @ShamsiMikdad-bj7me 5 месяцев назад +24

    Masha allah akuongoze akupemwisho mwema

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 5 месяцев назад +19

    ❤❤ MCHUNGAJI MUNGU AKUTANGULIE NA AKULINDE ❤❤
    MAAMUZI YA KUWA MUISLAM KIUKWELI WEWE MUNGU AMEKUPENDA NA ATAKUONGOZA NA UKWELI UTAUONA.❤

  • @fatemafatema4780
    @fatemafatema4780 4 месяца назад

    Mungu akubarik sheikh Sule wewe sio mshikina wewe unafanya kazi ya mungu .aachana nao binadam haachi kusema haachi kuteta. Wewe ni mtu unafanya kazi ya Allah mungu akubarik.❤❤❤ hongera dr.sule.

  • @alisalmin512
    @alisalmin512 5 месяцев назад +8

    Mashallah tabaarakallah. Allah atujaalie mwisho mwema amiin

    • @onlyYanga-e1p
      @onlyYanga-e1p 4 месяца назад

      Huna msimamo na imani yako sasa utakuwa na Iman kwa dini??? Nawasiwasi nahata huko ulikoenda nimihemko2 unatafta faraja2, nakuhurumia mzeee

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 5 месяцев назад +6

    Mashaaalah Suleiman,ndio mtt w nabii Daudi na ndio aliokarabat MASJID AL AQSA ILIOKO JERUSALEM ISRAEL,

  • @HamimSaid-g5p
    @HamimSaid-g5p 5 месяцев назад +27

    Huyo mzee alikuwa kiongozi katika iman ya kiikristo
    Tena msomi ila amefahamu ukwel ni upi Allah(swt) ATUJAALIE MWISHO MWEMA SOTE
    INAPENDEZA SANA MAA SHAA ALLAH ❤

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 5 месяцев назад +4

      Alikuwa kiongozi wa nani, wakati kiongozi wetu sisi ni kristo pekee, ndiyo maana hakuna mkristo wa kweli anayemwamini Muhammad maana wokovu watoka kwa wayahudi siyo waarabu.Huyo mchungaji njaa amefuata wasichana baada ya kuona huku amekatazwa

    • @corrolesscps
      @corrolesscps 5 месяцев назад +1

      Tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru. Yohana 8:32

    • @HamimSaid-g5p
      @HamimSaid-g5p 5 месяцев назад +2

      @@FridayMwassa hahahaha

    • @zulekhaa6817
      @zulekhaa6817 5 месяцев назад +4

      ​@@FridayMwassa😂😂😂
      Unaona uchungu , ww lala tu hukohuko utapata ulichoahidiwa na Allah.
      Na wewe amka ujiwe ipi dini ya kweli.
      Yesu sio dini wala sio mtoto w mungu na wala sio mungu ni binaadamu km wewe tofauti n kwamba yesu ni mtume wa mungu.

    • @GdFf-ik2eo
      @GdFf-ik2eo 5 месяцев назад +4

      Alhamdulilahi
      Mungu atudumishe ktk dini ya haqqi

  • @hajatihajati5357
    @hajatihajati5357 5 месяцев назад +9

    Mimi na kupenda sana Dr Sule wetu Mwenyezi Mungu akulina na akuongezee umri uendelesha kazi zake

  • @salimramadhani740
    @salimramadhani740 5 месяцев назад +5

    Allah 🤲 ❤from Burundi 🇧🇮 Lives in cape Town

  • @dunstankihaa2383
    @dunstankihaa2383 5 месяцев назад +4

    Warumi 10:2 "kwa maana nawashuhudia kwamba wanajuhudi Kwa ajili ya Mungu lkn si katika maaria"

  • @PriscaLuyenga
    @PriscaLuyenga 5 месяцев назад +7

    Hujajitambua kaka, kinachokisumbua hujamjua Mungu.na hujajitambua kama wewe ni mwanaume unatakiwa kula kwa jasho unataka vya bure huna sera juu ya Imani ya ukristo

    • @MariamAlly-hk7io
      @MariamAlly-hk7io 5 месяцев назад +1

      Anatangaza dini ya haqq
      Baada ya kuitafuta miaka mingi
      Allwah atuongoze kwake
      Kumpa nihiyari si lazima

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 4 месяца назад

      ​@@MariamAlly-hk7iokwahiyo mempokea kwenye dini Yanu ya ibilisi wasaidizi wake majini

    • @MariamAlly-hk7io
      @MariamAlly-hk7io 4 месяца назад

      @@robertphilip385 usilolijuwa litakusumbua
      Sawa na usiku wakiza
      Pole Sana Kwa kiza kinene

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 4 месяца назад

      @@MariamAlly-hk7io Mariam Toka huko utaishia jehanam kilichoni chekesha kwenye hiyo dini yenu eti huko peponi mwanaume atapewa mabikira 70 lkn chaajabu kuran haisemi kuhusu nyee akina Mariam mtafaidika na nini? Maana mwandishi wa kuran mtume muhamad kaweka tamaa zake mbele eti hatapeponi kutakua na ngono 😂😂😂😂😂😂Biblia inasema huko hakuna kuoa Wala kuolewa maana wote tutakua kama malaika

    • @MariamAlly-hk7io
      @MariamAlly-hk7io 4 месяца назад

      @@robertphilip385 tumeridha Kwa ajili ya Allwah aliyetuumba
      Yeye nimjuzi tena mwenye hikma
      Muumba WA kila kitu hata tukiwa Mia moja
      Kwetu ni salaam kawlam minrabbi Rahim

  • @peternyaga-jh7zb
    @peternyaga-jh7zb 4 месяца назад +1

    And the scripture must be fulfilled.. nyakati za mwisho watu watajitenga na Imani na kugeukia Dunia

  • @MpajiKhamis-ht8mx
    @MpajiKhamis-ht8mx 5 месяцев назад +6

    Allah Akusimamie kw kila hatua na karib katk Dini ya haki Islamic Takbirrrrrr☪️☪️☪️

  • @Benny318m
    @Benny318m 5 месяцев назад +14

    Ulikuwa ukifanya kazi kwa mtazamo wako ukitarajia malipo, lkn kazi ya Mungu ni huduma na Mungu mwenyewe ndiye anae kulipia, usifanye kazi ya Mungu kwa kutarajia malipo kutoka kwa mwanadamu, babu YESU KRISTO bado anakupenda sana, alikufa msalabani kwa ajili yako babu ni furaha kubwa sana mbinguni mwenye dhambi mmoja akitubu lakini ni huzuni kubwa sana mtakatifu mmoja anaporudi nyuma, YESU KRISTO yupo tayari kukupokea wakati wowote mwana wa Mungu karibu tena katika tumaini la YESU KRISTO WA NAZARETH MWANA WA MUNGU ALIYE HAI

    • @MariamAlly-hk7io
      @MariamAlly-hk7io 5 месяцев назад +1

      7sikweli achana na mawazo hayo
      Ktk uislam hakuna malipo yyt
      Huku niallah Tu na njaa tunaiweza

    • @MariamAlly-hk7io
      @MariamAlly-hk7io 5 месяцев назад +1

      Ili tupate malipo mazuri ya akhera
      Pesa zipo makanisani alikotoka

    • @Sabrinaabdilah
      @Sabrinaabdilah 5 месяцев назад +1

      Ukiristo unanistaajabisha munafanya ibada na mawigi munamkosoa mungu munavaa uchi visketi vifup sio dini ya haki iyo

    • @Benny318m
      @Benny318m 5 месяцев назад

      @@Sabrinaabdilah madhaifu yapo kila mahali mwana wa Mungu wa thamani mbinguni hawaingii wakristo wala waislamu bali wenye moyo safi

    • @Mammymuhamed
      @Mammymuhamed 5 месяцев назад +1

      ​@@Benny318mmungu Hana mwana. Hakuzaa wala hakuzaliwa, Wala hakuna alofanana naye Wala mshirika katika uungu wake.

  • @SHIDAJUMA-s9l
    @SHIDAJUMA-s9l 5 месяцев назад +8

    😊mwenyezi mungu akuwezeshe inshallah

  • @suleimanabdulrahman6417
    @suleimanabdulrahman6417 4 месяца назад +2

    Mimi pia nilikua mkristo, mimi ikatoka kule 2016,na Sasa niko mwislamu, na maisha yangu imebadilika kabisa, Allah amenifungulia njia zangu. Nam shukuru Sana Allah.

  • @ernestmkongo9875
    @ernestmkongo9875 5 месяцев назад +16

    Hatua iliyobaki kwake itakuwa kumpokea Yesu kama Bwana na Mwokozi wa Maisha yake. Amekuwa na juhudi lakini si kwa maarifa. Bwana Yesu umkumbuke huyu Mzee amalize safari salama.

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 5 месяцев назад +3

      Unauchungu ni babako mzazi?😂😂😂

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku 5 месяцев назад +1

      Allah azidi kumuonesha usahihi wa dini ya kiislam mbele ya Mwenyezi Mungu

    • @mohamedmakambi4412
      @mohamedmakambi4412 5 месяцев назад +1

      Takbiriiiii Takbiriiiii Takbiriiiii

    • @FatumaMuya-w5h
      @FatumaMuya-w5h 5 месяцев назад +1

      Allahu Akbar

    • @GlorydavidJeremiah
      @GlorydavidJeremiah 5 месяцев назад

      Kwa kweri

  • @BassaJamilu-d4o
    @BassaJamilu-d4o 5 месяцев назад +2

    Mashallah Allah akupe maisha mema ya dini y kisikam

  • @hadijaalpha7547
    @hadijaalpha7547 5 месяцев назад +4

    Takhbir☝️Allahu Akhbar ❤❤❤

  • @fatmamuhammed9713
    @fatmamuhammed9713 4 месяца назад +1

    Uislam ni dini ya haki na najivunia kuzaliwa kwenye uislam kwa pande zote mbili ambazo ni kwa baba na mama wote ni wa lslaam Alhamdulillah

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 5 месяцев назад +4

    Tumpongeze mzee wetu na tumuombee kheri ktk maisha yake.

  • @NunuuOmar
    @NunuuOmar 3 месяца назад

    Subhanallah...walhamdulillah..wastagh'firuhu innahukana tawwaba.

  • @HemedYusuf
    @HemedYusuf 5 месяцев назад +11

    Allah awabarik nyoote mnaoiona kher ya mungu nakuja kwenye Nuru ya uislam hakika uislam ndio dini ya hakki

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 4 месяца назад

    Masha Allah Masha Allah Tabbarak Rahman...amechagua jina sahihi la Dr sule

  • @AbasiHassan-w4s
    @AbasiHassan-w4s 5 месяцев назад +3

    Alhamdulilah. Allah akutangulie

  • @dansonmketi4827
    @dansonmketi4827 5 месяцев назад +1

    Yohana mtakatifu 14:6 .Yesu anasema mimi ndimi njia,ukweli na uzima,,kwa hivyo kitu nitakacho sema ni kwamba kila mmoja ana haki ya kuichagua njia ya kumfikisha aendapo,,ila tusiingiliane kidini na kurushiana mawe sote tumeumbwa na Mungu na tunamtumikia Mungu mmoja🙏

    • @Zainab_salat
      @Zainab_salat 5 месяцев назад

      Sasa na watu kipindi sio ya Yesu je? Tuna mwamini 100 sio kuabidi

    • @mbwanarajab7238
      @mbwanarajab7238 5 месяцев назад

      Hayo maneno sio ya yesu bali ni ushetani kwani bible imeandikwa na zioo bible zipo nyingi , Lutheran, katoliki , Sabato nk
      Kila Moja inasema tofauti
      Waisrael wamejiita nchi yao ni ya Mungu na kuonyesha watu weusi ni wa shetani
      Yoote hayo ni uongo na ukiristo ndio uchafu duniani

  • @mathayomarco9172
    @mathayomarco9172 5 месяцев назад +23

    Wala ndugu mnao mwamini Kristo msione ajabu. Bwana wetu Yesu Kristo alisema, wametoka kwetu kwakuwa hawakuwa wetu.

    • @PeternicolausMlonganile-zw8im
      @PeternicolausMlonganile-zw8im 5 месяцев назад

      Nimekuelewa sana

    • @RastaSuma
      @RastaSuma 5 месяцев назад +8

      Yaani hata yesu hautambui ukristo kwani ulizuka baada ya yeye kuondoka duniani ila anautambua Uislam kwani yeye na manabii wote walikuwa waislam wakiwa wanamubudu Mungu mmoja. Warumi walitupotosha sana wakatuaminisha kuwa yesuni mungu ilihali Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa wala hakuna anayefanana naye.

    • @maymunahomar5016
      @maymunahomar5016 5 месяцев назад

      ​@@RastaSumaSadaqta 💯

    • @MariamAlly-hk7io
      @MariamAlly-hk7io 5 месяцев назад

      Mna macho hamuoni
      Masikio hamuoni
      Mnazibwa hamuoni

  • @AbbakarTuppa
    @AbbakarTuppa 5 месяцев назад +4

    Allah amlipe mazur Kwa uchaguz sahih Kwan ata yesu hajaingia kanisan,

  • @JOSEPHMODESTUS-v2b
    @JOSEPHMODESTUS-v2b 5 месяцев назад +4

    Mashallah Allah akupe kila lenye kher na amani

  • @cutealaufy9508
    @cutealaufy9508 5 месяцев назад +12

    Karibu kwenye dini ya haki Allah akuongoze na uwalete wafuwasi wako kwenye hii dini haki .

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 5 месяцев назад +23

    Welcome back brother to your original faith Alhamdulilah Rabbil Aalamiin Allah bless you and all Muslims Umma

    • @SamwelJoseph-yk3cw
      @SamwelJoseph-yk3cw 5 месяцев назад +3

      Hujui unacho ongea, uislam Umeanza mwaka wa 570 baada ya Yesu, unawezaje kusema ati you're welcome back to your original faith, 😂😂😂nothing you know about Islamic history.

    • @rayaalhabsi1725
      @rayaalhabsi1725 5 месяцев назад +2

      @@SamwelJoseph-yk3cw Huyo yesu alikuwa ni muislam na kuanzia nabii Adam mtu wa kwanza ku umbwa katika binadamu alikuwa muislam, na wewe pia ume zaliwa ukiwa muislam

    • @SamwelJoseph-yk3cw
      @SamwelJoseph-yk3cw 5 месяцев назад

      @@rayaalhabsi1725 hujui chochote wewe,

    • @rayaalhabsi1725
      @rayaalhabsi1725 5 месяцев назад +2

      @@SamwelJoseph-yk3cw wewe unajuwa kitu gani huna elimu yeyote ile, nenda kasome upate elimu

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 5 месяцев назад

      ​@@rayaalhabsi1725mmh jifariji

  • @mtalesophia3830
    @mtalesophia3830 4 месяца назад

    Allahu akbar Allah akuongoze zaidi na away goes pia ndugu zako Inshaallah

  • @qhatramohamed7006
    @qhatramohamed7006 5 месяцев назад +7

    Mashaa-Allah Allah azidi kukuongoza karibu sana katika dini ya haki

    • @Gax_tz
      @Gax_tz 4 месяца назад

      Fact

  • @HamisAbdallah-cj2sc
    @HamisAbdallah-cj2sc 5 месяцев назад +2

    ASALAM ALEY KUM DR WATANHAZAJINWAKO WAKIKE WAVIKE STARA YA KISHERIA HAWANA SRARA !!! WANAVAA FAAHENI HAKUNA HIJABU APO

  • @HassanMavumbi-ib2jn
    @HassanMavumbi-ib2jn 5 месяцев назад +9

    ALLAAH Amempa Nuru

  • @maria_mutondioriginal5
    @maria_mutondioriginal5 5 месяцев назад +1

    Kaka wewe siyo wa kwanza kufanyiwa hivyo na watu wa dini kumbuka maneno ya Yesu kuhusu yule msamalia mwema wote walimpita yule mgonjwa kuanzia mchungaji, mwinjilisti, farisayo wote walimpita ila mtu baki ndiyo alimuokoa! Ukristo siyo dini wala watu bali ni uhusiano wako binafsi na Bwana Yesu. Nachojua Yesu bado anasema na kondoo wengine anao na anakupenda kila la kheli mpendwa. ❤

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 5 месяцев назад +9

    Ukirsto nimasilahi tu kule wanadanganya watu kupewa pesa lkn mzee umetambua kwenye dini yahaki ni yakislamu ❤❤❤

  • @Maerys-xm8xt
    @Maerys-xm8xt 5 месяцев назад

    Mtasema sana, kawaidaAllah akuwekeye wepesi mzee wetu InshaAllah.

  • @bernadetteshukuru9154
    @bernadetteshukuru9154 5 месяцев назад +3

    Poleni sana mzeyee mbona unapoteya sana baba yangu kwa nini unamukana baba yako Mungu nakumukubali shetani iyo ilikuwatu kipomo chaimani yoyote anaye mutumikiya Mungu kwakweli nicherti apitiye majaribu yaimiza musafiri mwendo heri mucho muzuri kuliko mwazo mwicho wako umeonekana vibaya baba yangu heri ugebaki kusaliya nyumbani kuliko kumukana Mungu aliye tufiya msalabani Mungu akukoseche amani kila mahali utakapo pita 🙏

    • @JokhaJokhaabla
      @JokhaJokhaabla 5 месяцев назад

      Utaenda kujuta uendako

    • @NizigimanaFatuma
      @NizigimanaFatuma 5 месяцев назад

      Amemukata mungu ao amemjuwa mungu mmoja ambaye hakuzaa wala hakuza wala hakuzaliwa uymungu wako alokufa sisi mungu wetu yuu hai milele na milele mungu hafi muzee wetu yupo vizuri allah amujaliye nanyiye endeleeni kumkufuru mungu

    • @AbubakarahmedKassim
      @AbubakarahmedKassim 4 месяца назад +1

      Masha allah karibu sana mzee kwenye dini ya haki achana na hao ambao bado hawataki kumtambuwa Mola wa haki mungu ni mmoja tuu ni allah peke yake na issa ni mwana wa mungu

    • @JokhaJokhaabla
      @JokhaJokhaabla 4 месяца назад

      @@AbubakarahmedKassim swadakta Allah azidi kutuongoza katika njia ilionyooka

  • @kaoretosha6668
    @kaoretosha6668 5 месяцев назад +2

    Amerudi kwa Mungu wa Yesu na manabii......

  • @RaymondLaban
    @RaymondLaban 5 месяцев назад +4

    Hata Yesu alisema wako watu ndani ya zizi wasio wa zizi hili huyu ni mmoja wao msishangae

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 5 месяцев назад +2

    Pole sana Mzee, ndivyo walivyo hao wenzetu.

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 5 месяцев назад +4

    Muhimu asome aelewe deeply sio juu juu ataona raha ya iman ya kweli

  • @MwanaidyShaban
    @MwanaidyShaban 5 месяцев назад

    Mashalaah baba yetu ala akutangulie katika dini ya Hali dini ya kwanza duniani dini yenye heri na baraka

  • @MarkazThanawiyy
    @MarkazThanawiyy 5 месяцев назад +4

    Mimi niko Murundi kayanza province ukuje kutufanyia ziyarat basi mweshimiwa uyo

  • @ZanuraBakari
    @ZanuraBakari 4 месяца назад

    Mashaalah .karb suleiman haki itasimama na watafuta haki . Din yenye dilili zote ni Islam hakika

  • @jumawahanzemsirywamsisiry7394
    @jumawahanzemsirywamsisiry7394 5 месяцев назад +7

    Allah amfanyie wepesi

  • @hassanounAbdul
    @hassanounAbdul 5 месяцев назад

    Mashaallah mzee utaipata pepo biidhn llah duniani utateseka ila Akhera utaingia peponi kwa kuwa umeingia kwenye Uislam

  • @DaudiMwangati-id1tk
    @DaudiMwangati-id1tk 5 месяцев назад +6

    Mmemdanganya mzee alikuwa mpagani huyo haelewi kitu .

  • @Zainabu-z1e
    @Zainabu-z1e 4 месяца назад

    Mashall kila laher likufikie popote ulipo mungu akudumishe kwenye din yet ya kislamu

  • @FatmaHassan-t4q
    @FatmaHassan-t4q 5 месяцев назад +8

    MashaALLAH mwenyezmungu azidi kukuongoza kwenye njia za kheri

  • @HappyMunisi-ig6he
    @HappyMunisi-ig6he 5 месяцев назад +1

    Pole mzee,,unaonekana ulikuwa unaishi kwa kumtegemea mwanadamu,,ndomaana ulishindwa kuzishinda changamoto 😢😢

  • @RAMATHANI-eu5dk
    @RAMATHANI-eu5dk 5 месяцев назад +3

    Mashallah cheikh Suleiman Mungu Akulipe.

  • @TwazihirwaJosam
    @TwazihirwaJosam 5 месяцев назад

    Duuuuu mwenyezi Mungu akutanguliee maanaa badooo ukweli umo ndani yakoo endelea kujifunzaa badooo kazi ya Mungu aifanyi ivoo hata kristo alipitiaa magumu sanaa hataa nabii ayubu alipitiaa magumu ili imani yakee ikuee na ww ulikua unapitiswaa kalibuni ila kalibu umeikataa mwenyezi Mungu atakurudisha mwenyewe

  • @NassorKham
    @NassorKham 5 месяцев назад +3

    Karibu ktk uislam, umeamua kuachana, na maslahi ya kidunia.

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 5 месяцев назад +2

    Tunakuombea dkt sule allah atakufikisha salama uendapo

  • @StellaChulle
    @StellaChulle 5 месяцев назад +4

    Huyo wala si mchungaji anawadanganya. Tapeli mkubwa na mgang njaa.

  • @aminaabdulghanim8256
    @aminaabdulghanim8256 5 месяцев назад +1

    ❤ mashallah tabaraka kaka Suleiman

  • @honestngowo3944
    @honestngowo3944 5 месяцев назад +3

    Huyu ni mrundi tena katoka burundi wiki hii😂😂

  • @MwanajumaDot0-ej6jy
    @MwanajumaDot0-ej6jy 5 месяцев назад +1

    Mashaallah takbir alfu mabruk nimeskia raha kuskia ivo

  • @KhamisOmar-kt4kz
    @KhamisOmar-kt4kz 5 месяцев назад +18

    Mbona wakiristo mnaumia kiasi hicho polen nynyi ambao Allah hajawaonyesha njia

    • @ellahjonas4881
      @ellahjonas4881 4 месяца назад

      Ila mungu wetu ni mmoja tu kikubwa imani kuna kitabu gani kilichosema mbinguni tunaingia kwa dini mtumikieni Mungu kiukamilifu acheni maltman ya dini zenu

    • @TheophilyGaspal-q4t
      @TheophilyGaspal-q4t 4 месяца назад

      Bado tupo watu ambao tunaiman na Yesu kristo,

    • @rizikirichard7977
      @rizikirichard7977 4 месяца назад

      hakuna mkristo anae umia kwani nyinyi huwa mnafrahi kusikia mwislamu anaenda ukrsto?

    • @epifaniamilinga2848
      @epifaniamilinga2848 4 месяца назад

      Lazima tuumie,kumkana Yesu !

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 4 месяца назад

    Najivunia kua muislam thank you Allah 🙏

  • @MngwaliAllykizangwa
    @MngwaliAllykizangwa 5 месяцев назад +3

    Umefuata njia iliyosahihi ,umejitambua sasa umetoka katika giza la kuamini kila neno.

  • @زينبتنزانيا
    @زينبتنزانيا 4 месяца назад

    Mashallah Allah akuongoz mjomba karib Sana , Allah akuzidishie umrumrefu😊

  • @CatharinAlois
    @CatharinAlois 5 месяцев назад +4

    Polesana,pastor lkn njia ya mbinguni ni YESU tu, acha kutangatanga,YESU anakuja upesi

    • @aliissa-je6gt
      @aliissa-je6gt 5 месяцев назад

      Wacha ujinga ww mshamba😅

  • @skwtv8133
    @skwtv8133 5 месяцев назад +1

    Waraqa bin nafar ndio mwanzilishi uislamu,hio ameingia kwenye dini yao.isio ya Mungu.

  • @ImaniTinda-h6x
    @ImaniTinda-h6x 5 месяцев назад +3

    Nakupa pole Kwa maana yesu ndie njia kweli na Uzma hakuna njia nyingne itakayokufikisha mbinguni

    • @JokhaJokhaabla
      @JokhaJokhaabla 5 месяцев назад

      Pole yko

    • @NizigimanaFatuma
      @NizigimanaFatuma 5 месяцев назад +1

      Toka uko huyo yesu wenu alikuwa akimuabudu mungu kisha nyie mnamwabudu mumepoteya aceni kutaka kuwapoteza wengine

    • @JokhaJokhaabla
      @JokhaJokhaabla 5 месяцев назад +1

      @@NizigimanaFatuma hakika hawajui walitendalo

    • @AzizMasenga
      @AzizMasenga 5 месяцев назад

      Yesu yupi unae msema?maana marekani kuna yesu wengi SNA.

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 5 месяцев назад +2

    DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI

  • @barnabasmboya7688
    @barnabasmboya7688 5 месяцев назад +20

    Ni hasara kubwa sana ukimwacha YESU KRISTO. Umepata hasara kubwa sana. YESU KRISTO bado anakupenda na waislamu wengine wote

    • @HabibuUrasa
      @HabibuUrasa 5 месяцев назад +8

      ukifa nje ya uislamu ni motoni kosa kubwa kwa makafiri ni kwamba yesu kwao ni Mungu wakati yesu ana Mungu wake na huyu Mungu wa yesu ndiye Mungu wa waislamu. ambaye ndiye Mungu wa kila kitu kwa kiarabu anaitwa ALLAH

    • @RoseMayige-gn9qb
      @RoseMayige-gn9qb 5 месяцев назад +3

      ​@HabibuUrasa Yohana 14:6 - Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
      Mzee umeingia gizani kabisaa! Uzee huo ndo ungekaa vizuri na Yesu ili muda wako wa kuishi ukiisha, akukaribishe Mbinguni. Ila sasa usipomrudia Yesu, kuzimu inakungoja kwa hamu kubwa! Ila bado unayo nafasi ya kumgeukia YESU KRISTO, MUNGU WA KWELI.

    • @omaribrahim1087
      @omaribrahim1087 5 месяцев назад

      Kwa hiyo wewe una akili zaidi kuliko yeye

    • @RoseMayige-gn9qb
      @RoseMayige-gn9qb 5 месяцев назад +1

      @@omaribrahim1087 Neno la Mungu ndivyo linajieleza.

    • @Annalisejg2ur
      @Annalisejg2ur 5 месяцев назад

      ​@@RoseMayige-gn9qbkwa hiyo yesu si mungu

  • @TheophilyGaspal-q4t
    @TheophilyGaspal-q4t 4 месяца назад

    Mzee amechagua mwenyewe, baada ya kumsikiliza nimegudua tatizo ameishi mdan ya din nasio ndan ya Yesu, baada ya kukosa msaada amekosa subira kwa mungu wake

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 5 месяцев назад +2

    Karibu karika mwiislam

  • @muhsinkimaro4283
    @muhsinkimaro4283 5 месяцев назад +2

    Jambo jema sema, umeiona kesho yako, ila nakuomba usiingie kwny mfumo wa sule wa kutumia majin kutengeneza maisha

    • @MariamAlly-hk7io
      @MariamAlly-hk7io 5 месяцев назад

      Majini ninviumbe ukiweza kuwatawala
      Tumeruhusiwa
      Ola si mchezo mchafu

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 5 месяцев назад +14

    Pole sana. Imani yako ilikuwa kwa binadamu na siyo kwa Mungu.

    • @yusafbayu7016
      @yusafbayu7016 5 месяцев назад +1

      Njooni kwa dini ya kweli

    • @KARIMUSEFU-sx9tq
      @KARIMUSEFU-sx9tq 5 месяцев назад +1

      Broe huna haki ya kusema hvyooo .me mkristo ila naijua sana Bible yulko sahihi

    • @omaribrahim1087
      @omaribrahim1087 5 месяцев назад +1

      Pole wewe hapo tu utagundua kwamba uislamu ndio ya haki

    • @hope_402
      @hope_402 5 месяцев назад

      ​@@yusafbayu7016kasome hiyo quran vzr alaf utajua dini ya kweli ipi...huyo Muhammad ambaye hajui akifa anaenda wap...injil,zabur na tourati vipo wapi 😂😂😂😂jibu unalo mpaka hapo...tuendelee au tuachie hapo kwa leo????

    • @hope_402
      @hope_402 5 месяцев назад +1

      ​@@omaribrahim1087hakuna haki...dini ambayo inasambazwa kwa lazima mpaka kuuwana dini gan hiyooooo?????

  • @saimonmalusu3664
    @saimonmalusu3664 4 месяца назад +1

    Mnatuongezea waasi nchi kwetu kwanza ana kibali huyu cha kuishi nchi

  • @Asheri-hn3zw
    @Asheri-hn3zw 5 месяцев назад +5

    Huyu mzee au jamaa hakuwa na imani dhabiti bali alikuwa anaenda kibinadamu so siyo mfano wa kuigwa kiimani

  • @Mishi-wo2xi
    @Mishi-wo2xi 5 месяцев назад +1

    mashaallah mzee penda sn allah akufnyie wepes

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 5 месяцев назад +7

    ❤ KUWA MUISLAM NI RAHA❤

  • @KijukuuMtemi
    @KijukuuMtemi 5 месяцев назад +1

    Mzee mungu amekuokoa uislam ndo dini ya kwel ukiristo sio dini Kwa akili ya kawaida tu utakua sio dini

  • @Maggie-yx8pw
    @Maggie-yx8pw 5 месяцев назад +8

    Babu Mwenyezi Mungu akurehemu wewe ulifuata Dini kwa Mijali ya Msalahi na sio Kumtumikia Mungu. Hata hukoo utawakimbia cku isiyo na Jina......

    • @MariamAlly-hk7io
      @MariamAlly-hk7io 5 месяцев назад +1

      Ukweli alioutafuta ameujua
      Acheni buggudha
      Ibrahim alifanya kama hayo
      Kabla hajamjuwa muumbaji wa haqq

    • @JokhaJokhaabla
      @JokhaJokhaabla 5 месяцев назад

      Hasara yk

    • @JokhaJokhaabla
      @JokhaJokhaabla 5 месяцев назад +1

      Utakuja kujua huko mbele kama uislam ni dini ya hakki au laa mzee wa wawatu yupo sahihi Allah amzidishie

  • @S.SWarfa
    @S.SWarfa 5 месяцев назад

    Ukhti Ma Sha Allah vaa nguo ya mikono mirefu

  • @danieldume7203
    @danieldume7203 5 месяцев назад +5

    Pole sana

  • @MajidAbdullah-p9s
    @MajidAbdullah-p9s 4 месяца назад

    mashalla Allah bless you. I hope if Ican have number 4 Sule

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 5 месяцев назад +7

    Kumbe unataja misaada wakujali, sio kuokoa kiroho chako

    • @chihoma-m4f
      @chihoma-m4f 5 месяцев назад

      mama kimekuuma kuwa muislamu huyo mzee

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 4 месяца назад

    Mashaallah' Mashaallah' Mashaallah❤❤❤❤❤

  • @katogeorge9834
    @katogeorge9834 5 месяцев назад +8

    Huyu hata mwonekano ni muislamu wa long time, masikini wa fikra

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 5 месяцев назад +1

      Tajiri ya wa fikra ni ww tu unaemuabudu mungu ambae picha zake zimezagaa mitaani😂😂😂😂😂

    • @Kalunirashidi
      @Kalunirashidi 5 месяцев назад +1

      alafu mwoenekano ndio nni wewe ndio mjinga kiboko ya wachawi amewapiga pesa kaondoka mlikuwa mnashinda mnaimba kumbe mlikuwa mnapigwa pesa anaakili mnauziwa paka mchanga maepo unasema wasilam wajinga uliona wapi mslm anauziwa maepo mchanga nyie ndio wajingawaliwao

    • @Kalunirashidi
      @Kalunirashidi 5 месяцев назад

      ​@@HemedSeriousfikira zenu ndio mfu mnauziwa paka maepo nyie natambuea kiboko ya wachawi amewapiga pesa amjitambuwi at a kidogo nye mnauziwa paka mchanga anjiatambui nyani aoni kiende chamwenzio

    • @Kalunirashidi
      @Kalunirashidi 5 месяцев назад

      nyie ndio firazeni mnauziwa maepo kambia kuuziwa mchanga

    • @RosemaryMigire
      @RosemaryMigire 5 месяцев назад

      Halafu kweli hana raha kwa ajili ya uongo katamani wake wanne huyo

  • @SinaHafidhi
    @SinaHafidhi 4 месяца назад

    Ma shaallah Allah atienguvu aijue dini

  • @gidionileonardi4959
    @gidionileonardi4959 5 месяцев назад +6

    Mzee pole sana walioshindwa kukusaidia ni wanadamu wenzio lakini cha ajabu unamwacha Yesu je hebu tafakari Yesu alishawahi kukuacha

    • @abadimapunda7218
      @abadimapunda7218 5 месяцев назад +1

      Wakati yesu anakufa aliwa acha na nani?

    • @milanozanzibar
      @milanozanzibar 5 месяцев назад +1

      jifikirie ww uyo mzee kafika mahali sahihi

    • @samxx411
      @samxx411 5 месяцев назад +2

      Si kapaa huyu kaachwa au kamchukua??

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 5 месяцев назад +1

      Kwani wew yesu unae si kakuacha kaenda huku tutamkuta na sisi

    • @hassanjonas1491
      @hassanjonas1491 5 месяцев назад

      Ameingia sehemu sahihi Sana

  • @MohammedShehe-ed4xw
    @MohammedShehe-ed4xw 5 месяцев назад

    Dini ya kweli ipo haki hizo dini nyengine ni biashara tu ,asante kwa kutafuta mwisho mema Allah akuongoze

  • @GraceofGodTelevision
    @GraceofGodTelevision 5 месяцев назад +3

    Hata anavyojieleza naona dishi limeyumba sana, sikulaumu Mzee nadhani hujui ulipo Wala huelewi ulichopaswa kufanya

  • @Kuluthum-fd3mw
    @Kuluthum-fd3mw 4 месяца назад

    Mashaalah mashaalah mashaalah mashaalah mashaalah mashaalah ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ Allah akbaru 🤲