Mpina awaka Serikali kuagiza sukari zaidi ya inayohitajika, asema inaenda kuua viwanda, soko la miwa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 июн 2024
  • Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema kuwa Serikali isipolinda viwanda vya ndani itashindwa kukkusanya kodi akisema kkuwa Serikaii imeagiza sukari tani 410 wakati kiasi cha sukari kinachohitajika ni tani 120 pekee.
    Mpina ameyasema hayo leo Jumanne, Juni 4, 2024 wakati wa mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2024/25 ambapo ameeleza kuwa kwa kuagiza kiasi hicho cha sukari Serikali itaua viwanda vya sukari nchini na kusababisha wakulima wa miwa kukosa soko.

Комментарии • 13

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 3 дня назад

    Wee Mpina skika uko vizuri

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk Месяц назад

    Wezi wanaitafuna hii nchi

  • @jamesbayo1910
    @jamesbayo1910 Месяц назад

    Mpina Mungu akupe Uluzi zaidi ili itete Haki .Raisi. Samia Unamlea na kimbembeleza Mwigulu. Wizara ya fedha anakaa muda wote ni mali yake. Mbadilishe wizara .

  • @geraldsakaya6747
    @geraldsakaya6747 Месяц назад

    Mungu akubariki Muheshimiwa Mpina,

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Месяц назад

    mpina ana roho mbaya mno,anaona wananchi walaji wanafaidika na bei nafuu ya sukari kutoka nje roho unamuuma sana,alipokuwa waziri wa kilimo aliwanyanyasa wavuvi mno!!

  • @diegoshanga8184
    @diegoshanga8184 Месяц назад

    Luhanga njoo huku!! Chadema huko hapakufai kingozi!!

  • @Wamisangi
    @Wamisangi Месяц назад

    Huyu Mbunge vipi? Anatetea viwanda/sekta ya sukari ambavyo haina tija??? Kama viwanda haviwezi kuzalisha kwa kushindana katika soko acha vife visibebeshe walaji mzigo wao ili wavilinde..

    • @ufundi_tz
      @ufundi_tz 27 дней назад

      em soma tena ulicho kiandika ??? umeandika pointless tupu mzee 😂

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 3 дня назад

      @@ufundi_tz analalamika kweli huyu..yeye ndo alimpa wazo Magufuli anzishe na kufufua viwanda vilivokufa ss sijui kwann anaongea vingine.. alafu ni yy tuu na Bashe ndo wanapinga hili..yaani kazi kweli

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Месяц назад

    Hao mawaziri pia ni tatizo kubwa sana. Wakati Nyerere alikuwa hajawahi kuwa hata awamu za nyuma leo Mwigulu anakuwa mbabe kwa wabunge na kuongea ovyo kwa wabunge kana kwamba wao ni wajinga. Hasa Mpina akisimama Mwigulu anajiona kuwa kana kwamba Mpina siyo mbunge ati kwakuwa yeye ni waziri. Tulikosa sukari wakati viwanda vinaanza kutoa sukari ndiyo wanaagiza hiyo sukari.
    Sasa hii ni Inchi au ni ujinga?

    • @charlesmwambinga4355
      @charlesmwambinga4355 Месяц назад +1

      Uliipata hiyo sukali kwa 2800 or 2500 mkuu ? Bei ya sasa shilingi ngapi ? Ndo maana niliacha kunywa Chai...😂😂

    • @edgaredward3490
      @edgaredward3490 Месяц назад

      Chai hainyweki😂😂😂​@@charlesmwambinga4355

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 3 дня назад

      @@charlesmwambinga4355 😂😂