MAANDAZI YA KISHUA YANAPIKWA HIVI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 102

  • @maruunyange1091
    @maruunyange1091 4 года назад +13

    Wewe ni malkia wangu wa nguvu!! Wewe ndosababu ya Mimi kuanza kuuza maandazi, yani ninavyokupenda na kukuombea heri Mungu ndoanajua my dear.

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  4 года назад +4

      🙏🙏🙏🙏🙏oooh jamani...asante sana sana dear,Mungu atubariki sote...nafurahi sana video zangu kuwa za manufaa kwako...Mungu aendee kukufungulia milango ya rizki dear wangu...

    • @kpetres2872
      @kpetres2872 4 года назад

      @@kekiplus1andonly Nataka nijifunze mapishi kwa ajili ya biashara nipo dar, nakupataje

    • @kpetres2872
      @kpetres2872 4 года назад +1

      Dada me pia natamani kujifunza 0625566775.nisaidie

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  4 года назад +1

      @@kpetres2872 ni DM instagram kekiplus.youtubechannel

    • @sarahabdalah1553
      @sarahabdalah1553 3 года назад

      Maziwa ya moto au baridi samahani

  • @abellachristian3440
    @abellachristian3440 3 года назад +11

    Auweki chapa mandashi, na Simba au sio lazima, na aukandii mafuta.asante

  • @sophiekimathi
    @sophiekimathi 3 года назад +2

    Nimepika Leo na yako very soft. Asantee

  • @vipvip-zv7xv
    @vipvip-zv7xv 2 года назад

    Wwow Mashallah tabarakallah.. asnte dad nampend n ntajarb

  • @nicerkenny4239
    @nicerkenny4239 3 года назад +1

    Nimepika leo asubh ndo nakula jamniiii matamuuu hatar malaini saana ubarikiwe🥰🥰🥰🥰🥰

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 года назад

      Karibu sana dear,nafurahi sana kuskia ivo ,ubarikiwe

  • @merrynimependaninzurisanaa9775
    @merrynimependaninzurisanaa9775 4 года назад +2

    Ahsante dada yangu ubarikiwe sana

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 2 года назад +1

    Ahsantee dada kwa video yako, Aiseee leo nimepika mandazi mazuri laini sana, Kila siku huwa napika mandanzi yanakuwa makavu kama hafu keki ❤😘🙏🏽

  • @ireneparesso9705
    @ireneparesso9705 4 года назад +3

    Nimeona hii recipe jana leo nimepika andazi limetoka vizuri sana kama sponge yaan mpk nimeenjoy,,thanks dia

  • @lucycharles1043
    @lucycharles1043 4 года назад +2

    Mashallah lazima nitajaribu hii recipe mungu azid kukubariki kwa kutuletea mambo mazuri

  • @sadauwimana9550
    @sadauwimana9550 3 дня назад

    Mansha Allah❤

  • @FillFeelthetable
    @FillFeelthetable 4 года назад +5

    Wow, this deseert dish looks so delicious! It's the best video I've ever! The shape is so pretty. I will make it this weekend. Thank you for sharing the good recipe! Have a good weekend. Friend!

  • @mamacikuu
    @mamacikuu 4 года назад +5

    Nashukuru sana kwa hii recipe maandazi yalikuwa laini na matamu Sana, asanta nitakufollow kwa karibu Sana lots of love kutoka Nairobi❤️💖❤️💖💕!

  • @marynyabenda4414
    @marynyabenda4414 3 года назад

    Niliangalia mara moja nikapika hakika ni mazuri sanaaa ,thnx mamy

  • @sesiliavitalis1817
    @sesiliavitalis1817 3 года назад

    Nimetumia njia yko mandazi yametoka mazuri sanaa nilitakujutumia njia ingine nikajaribu yko 🥰🥰 barikiwa🙏🙏

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 года назад +1

      Ooooh kweli?nimefurahi sana ulichagua recipe yangu.
      Asante sana,nafurahi umenjoy pishi lako

    • @sesiliavitalis1817
      @sesiliavitalis1817 3 года назад

      @@kekiplus1andonly 🙏🙏

    • @maryamsalum5389
      @maryamsalum5389 3 года назад

      @@kekiplus1andonly maziwa ya Moto au ya baridi

  • @janethalbart4993
    @janethalbart4993 4 года назад

    Barikiwa sana,cyo mchoyo wa ujuzi.

  • @AuntDotcom-sk5lo
    @AuntDotcom-sk5lo Год назад

    Looks yummy

  • @maidamatinya348
    @maidamatinya348 4 года назад +2

    Safi sana dear Dada!

  • @ChitranjalisvlogsRecipes
    @ChitranjalisvlogsRecipes 4 года назад +1

    Wow Looking amazing 👌. Big like dear 💕💕

  • @mariamissaahmed7675
    @mariamissaahmed7675 4 года назад +1

    Super recipe Thank you

  • @deborafisoo9367
    @deborafisoo9367 4 года назад +1

    Nimeyapenda hayo 😋 nitatapika

  • @joyceslameck1368
    @joyceslameck1368 4 года назад

    Mazur Sana mpaka nmetaman kupika nw👏

  • @aminamohamed3916
    @aminamohamed3916 4 года назад +1

    Salàm alekum mashallaah

  • @Thatkaguruguy
    @Thatkaguruguy 3 года назад

    Asante going to try this today

  • @nanahtalib8843
    @nanahtalib8843 4 года назад +2

    Nice Mashallah

  • @marynyabenda4414
    @marynyabenda4414 3 года назад

    Asante sana mamy kwa mafunzo yko naenjoy saaana maandazi ayo

  • @halimahalum3008
    @halimahalum3008 4 года назад +1

    Masha Allha shukran nimeyapenda sana

  • @zaymatyahya8929
    @zaymatyahya8929 4 года назад +1

    Asante kwa recipe dear nimeipenda nataka kupika ila huwa sipendi mayai naweza itumia bila yai?

  • @mariammaina2141
    @mariammaina2141 4 года назад +3

    Hiyo napika jioni, Asante sana

  • @nahyahnana8024
    @nahyahnana8024 3 года назад

    Maziwa yawe ya moto

  • @tripple5
    @tripple5 4 года назад +2

    Nip apa mdg wako nimefika ❤

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  4 года назад +2

      Oooh jamani naah wangu ,shukran sana mdogo wangu,upo na mimi kila hatua..Allah aendelee kukuweka ,na dua za heri nakuombea.

    • @tripple5
      @tripple5 4 года назад

      @@kekiplus1andonly Amiin ❤

  • @alfredinakatto1605
    @alfredinakatto1605 3 года назад

    Sio lazima kuweka chapa mandazi?mandazi mazuri sana

  • @agneschundu1063
    @agneschundu1063 Год назад

    Duh!kweli yakishua

  • @husnahashim5866
    @husnahashim5866 3 года назад +2

    Maa Shaa Allah dear😘, lkn hujawek chapa maandashi & amira?

  • @mapishinarose2415
    @mapishinarose2415 3 года назад

    Maziwa umetumia ya moto ama baridi

  • @pinoyjuicybites5955
    @pinoyjuicybites5955 4 года назад +1

    Yummy perfect snacks.

  • @happybryce9715
    @happybryce9715 4 года назад +1

    Hapo umeelezea

  • @foodbae124
    @foodbae124 4 года назад +1

    Mpz mm nikikanda unga mlaini sana maandaz yanajaa mafuta ndan sjui nakwama wapii eti 😣

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  4 года назад +2

      Mmmmh,ulaini wa kawaida tu,sio mteke,mteke lazima unywe mafuta

    • @foodbae124
      @foodbae124 4 года назад

      @@kekiplus1andonly thank you

  • @sophiamwakila3300
    @sophiamwakila3300 4 года назад +5

    Please can you write the subtle in english for those they don't know your language

  • @mrchepoo1166
    @mrchepoo1166 3 года назад

    Mamy ko chapa mandashi sio lzm

  • @rossamengo7211
    @rossamengo7211 4 года назад +1

    Aaahhhaaa am back my dear,yaonekana nimekosa mengi mazuri hapa,maana naingia tu pap nakutana na maandazi kichapo duuu, yani wee acha tu dada mimi ninavyo penda mandazi ni Mungu tu anisaidie, si nyute mdomoni jamani wala silali bila kuyapika haya ndio kuwania hivi

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  4 года назад +1

      😂😂😂😂jamani @rossa Mengo nilikumiss,karibu sana..hujakosa,mengi kiivo..

    • @rossamengo7211
      @rossamengo7211 4 года назад

      Miss you more my darling, stay safe and take care of your self

  • @muugolo7080
    @muugolo7080 2 года назад

    Chapat ya maj

  • @happinessayo378
    @happinessayo378 2 года назад

    Kama auna Amira amavanila una

  • @efraimrichard4954
    @efraimrichard4954 3 года назад

    Nashukuru Sana Ni matamu nimejaribu kuyapika

  • @sylviemugeni1887
    @sylviemugeni1887 4 года назад +1

    kweli

  • @ney2308
    @ney2308 2 года назад

    👏👏👏👏👏❤❤❤❤😍

  • @ireneshapa4074
    @ireneshapa4074 2 года назад

    Baking powder sio lazima please nijibu nimesikiliza mala nne sion baking powder

  • @shamsaamos3130
    @shamsaamos3130 4 года назад +2

    Kwakweli ni ya kishua

  • @odiliamrema2792
    @odiliamrema2792 3 года назад +1

    Baomba nsaidie dada jins ya kuyaweka mandaz yawe lain na yasiwe na ukungu kwa nje mana yakikaka hata siku 2 yanaweka hiyo hal

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 года назад +1

      Labda unayafunika kwenye chombo kisichopitisha hewa kabila hayajapoa,yakiwa ya moyo funika na kitambaa tu,yakipoa sasa weka kwa chombo kisichopitisha hewa,na ugumu wa nje labda donge linakuwa umelikata bila kuhakikisha ni laini kwa juu,..kama sio ivo nisaidie kujua unapikaje na kutunza ili nijue tushauriane..asante

    • @azizaaziz9261
      @azizaaziz9261 3 месяца назад

      Unakandia maziwa ya barid??

  • @yasintamtui8609
    @yasintamtui8609 4 года назад +1

    Asante nimeyapenda

  • @farhatmethot4423
    @farhatmethot4423 3 года назад

    Kama huna vanilla my unatumia nini kukata harufu

  • @renatusgasper209
    @renatusgasper209 2 года назад

    Unadarasaa la kufundishaa watu

  • @user-nf3iv3gf6u
    @user-nf3iv3gf6u 3 года назад

    Hv siagi ndo blueband?

  • @naelldickson4093
    @naelldickson4093 4 года назад +1

    Asanteee

  • @nimsmsa6635
    @nimsmsa6635 3 года назад

    Unaweza kukanda bila kutia mayai? Au mayai huchangia mahambri kua malaini? Please nijibu

  • @evengelyneirakoze1515
    @evengelyneirakoze1515 4 года назад +1

    Naam.

  • @edithafaustine4809
    @edithafaustine4809 4 года назад

    Shukran

  • @asiy2283
    @asiy2283 4 года назад

    ❤❤

  • @husnaally1306
    @husnaally1306 3 года назад

    jaman kama sina siag niwekee nn

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 года назад

      blueband/au chochote cha kufanana na blueband/mafuta

    • @RahmaKoko-r8m
      @RahmaKoko-r8m 8 месяцев назад

      ​@@kekiplus1andonlymm nina shida na we nitafute wasapp dada angu

  • @babyplus5093
    @babyplus5093 3 года назад

    No yk plz nahitaji kuongea n ww

  • @rolithagodfrey3226
    @rolithagodfrey3226 4 года назад +1

    Sorry,maziwa yabaridi au yamoto?hayatakuwa magumu ukikandia vyote baridi?

  • @dinasamweliikopoaunatumiak3681
    @dinasamweliikopoaunatumiak3681 4 года назад +1

    Mandaxi matamu

  • @ummymajaliwa2216
    @ummymajaliwa2216 2 года назад

    I tried today hope yatatoka vizuri nikiwa nayachoma its my first time 🥱😋🤣