Nimependa mapishi yako Aroma of zanzibar very simple azina makorokoro mengi na food inakuwa ina taste nzuri sana. Kuanzia leo nitakuwa nakufatilia mpaka nijue Alhamdulillah jana nimejua kupika kachori leo nitajifunza chapati yako maana mimi sijui kabisa kupika chapati.
Asante sana mama Aroma, nimepika kachori zangu na zimekuwa tamu sana na chachandu pembeni. Niliongeza vitunguu, kwasababu navipenda. Familia yangu imezifurahia sana Endelea kutupa mambo motomoto. Shukran sana
Asentesana hiyo ni batetawada hi apana iko kchori kachori na tia choroko ille billa ngoji ya choroko natia bitungulu na geengeri na garam massala na chumbi. Binzari powederi ya dhaniajira na rissin na sukri machanga kidogo alafuna fry kwa utto na fanya kachori namuna hiyo
mashAllah...nafurahia sana kuona mapishi haya kama ya kwetu mombasa jamani.... mad love all the way from Malaysia. what you have here is amazing even those who dnt speak swahili will have access to swahili recipes.....mashaAllah...thumma mashaAllah
Mimi nilijaribu hili pishi jaman lakini kilicho Nikuta Sina hamu mwenzenu Yani kachor ziliorojeka zote kwenye mafuta cjui nlikosea waP hebu nijuzeni tafadhali
Pole sana kwa matokeo hayo, itakua viasi vyako ni vilaini sana vina maji maji , vinatakiwa viwe vimaji au pia au mafuta yalikua hayakupata moto wa kutosha ina sababisha hivyo
Mommy,i just made this now,all my kids and my husband who loves to eat finished everything on the plate,mkabaki kuramba sahani.Asante kwa kutufunda ma.
nimekufollow siku ya pili tu lkn nimejifunza mengi na inani inspire kujaribu! asante sana! ukweli sijajutia kujisubscribe! keep it up! nimependa ujuzi wa chutney sikujua km naweza tumia frozen coconut kwa huku niliko! Big up kazi nzuri sana! shukrani!!
Alkm salaam, viazi vya karai are done in Kenya they are different from kachori. Viazi karai are not mashed, potatoes are boiled and cut into slices and then are sandwiched with chili paste
Aleikum Musalaam, sorry wallah hii video ya zamani nafkiri nilikua nimechoka maana nilifanya video 3 kwa siku lakini nimezionyesha kidogo kwenye final video ya Zanzibar mix pamoja na urojo
Mapishi ya huyu dada is the reason why nimeolewa now. Allah akubarik❤
❤️❤️❤️❤️❤️❤️
nakushukuru sana, Mwenyezi MUNGU akubariki, umenifahamisha njia rahisi ya kuandaa kachori, naamini wengi watakuwa wamefaidika. Allah Baarik
Amina
Aamin
Unasaidia saana mapishi yako 👏🏻Binafsi najifunza mengi
shukrani sana sijawahi kupika kachori huwa nakula tu za watu wanaopika leo nimepika kama wewe ulivyoelekeza na watu wamezipenda very sweet
Shukran kwa marejesho, nimefurahi kusikia . Thanks for your support
Nimependa mapishi yako Aroma of zanzibar very simple azina makorokoro mengi na food inakuwa ina taste nzuri sana. Kuanzia leo nitakuwa nakufatilia mpaka nijue Alhamdulillah jana nimejua kupika kachori leo nitajifunza chapati yako maana mimi sijui kabisa kupika chapati.
Hatariiii jmn upo vzr
Shukran kwa mafunzo hayo mash Allah. Allah akulipe kwa muda wako
Shukran
Ahsante sana ww ndo wa mwanzo uloelezea kipimo cha maji ya kuchanganyia unga
Shukran, najitahidi unajua kufanya vipimo vya unga na maji ni ugumu kwa sababu unga wote sio sawa
MashaAllah unaeleza kwa maskini mpaka itakuwa rahi kwa mtu kuelewa.
Alhmadulilah
Asante... Watching from sweden 🇸🇪
Thank you for the support
Asante sana ubarikiwe mno wanangu wamefurahia
Asante Sana najivunia kupika kwaajiri yk mungu akujalie umri mlefu Amina.
Amin kwetu sote, ahsante sana
nashukuru sana dada nime furahi kwa mapishi
Allah akuzidishie Kwa wema na huruma yako asante dada
Amin, shukran
Allah atakulipa kipenzi dada kutufunzaa hi
Ahsant dada Allah akuhifadhi nashari za maadui zako
Shukran amin kwetu sote
Asante ukhty shatraa mashaAllah aleysh unatusaidia sana
Ahsante dada kwa elimu hii adimu
mashallah; nafurahi saana kuona mapishi yako@ aroma of zanzibar
Shukran, thank you for your support
Nimefurahia sana maana nilikuwa sijui kuandaaa
Nimepika asubuhi hii, nimekula kwa chai, ni Tamu sana.. Asante mamy kwa kushare pishi hili 👌🙏
Hongera , hata namie nimetamani
Love you, Sweetie..😋🌹🌺⚘♥️..Aroma Zanzibar..Watching From Germany. ⚘♥️
Thank you for your love and support
@@aromaofzanzibar 🥰♥️⚘🌹💐🧡Love your Recipe,s. Sanaaa
asante sana kwa pishi hili na mie pia ntajaribu maana nalipenda sana..shukran
Masha Allah always ur the best wallah proud of u
Mungu akusaidie sister umenifunza vitu vingi.
Amin kwetu sote
Mashallah vakula vyako navipenda viko simple kupila na vizuri unapika kwa tungo mashallah
Shukran
Asante sana mama Aroma, nimepika kachori zangu na zimekuwa tamu sana na chachandu pembeni. Niliongeza vitunguu, kwasababu navipenda. Familia yangu imezifurahia sana Endelea kutupa mambo motomoto.
Shukran sana
Naitaji bagia
Jinsi yapika bagia
Masha Allah 👌 shukrani
napenda kachori sna ila cjawahi kutia gilgilani, In Shaa Allah nitajaribu.Ahsante sna @Aroma of Zanzibar
+Maasum Chehraa Hamna tabu, sio lazima hiyo ni personal preference yangu
Asentesana hiyo ni batetawada hi apana iko kchori kachori na tia choroko ille billa ngoji ya choroko natia bitungulu na geengeri na garam massala na chumbi. Binzari powederi ya dhaniajira na rissin na sukri machanga kidogo alafuna fry kwa utto na fanya kachori namuna hiyo
Asante! Upishi laini na safi sana. Naja hivi sasa na bisha mlango unifungulie tafadhali.
Unakaribishwa
mashAllah...nafurahia sana kuona mapishi haya kama ya kwetu mombasa jamani.... mad love all the way from Malaysia. what you have here is amazing even those who dnt speak swahili will have access to swahili recipes.....mashaAllah...thumma mashaAllah
+sanura hussein ahsnate sana, thank so much for yr support
Nice napenda Sana kachori hongera
Mimi nilijaribu hili pishi jaman lakini kilicho Nikuta Sina hamu mwenzenu Yani kachor ziliorojeka zote kwenye mafuta cjui nlikosea waP hebu nijuzeni tafadhali
nimezipenda. na kipindi hicho cha lockdown nitazijaribu im sha allah. hongera sana mama yng
Asant mungu akulipe
Nimecheka sana "wenye kucha ndefu mtahadhari zitaingua humo ndani"... Hatari...
Andrew Mwakibolwa 😂😂😂 kweli lakini lazima niwakumbushe
Asante sana madam kwa upishi huu wa kachori yaan nimekufuatilia vzr nimejaribu kupika hazijatoka vzr yaan zimerojoka mno sujui nimekosea wap
Pole sana kwa matokeo hayo, itakua viasi vyako ni vilaini sana vina maji maji , vinatakiwa viwe vimaji au pia au mafuta yalikua hayakupata moto wa kutosha ina sababisha hivyo
Nimependa wenye kucha ndefu. Sasa moto unatakiwa kuwa mkali au wastani
Moto wastani
Thanks for the receipe I will try it Ramadhan inshaallah
Hope you enjoy
Shukran kwa mapishi,Nataka unifundishe kupika shewarma
Shawarma impo humu tafuta utaona
MashaAllah. Very Nice n easy. Mimi natumia mayai kuzitengeneza. Yako nzuri zaid. Asante 🤗
Nakupenda sana kwa darasa lako limetuliaaaaaa
Ahsante sana, nashkuru
Mommy,i just made this now,all my kids and my husband who loves to eat finished everything on the plate,mkabaki kuramba sahani.Asante kwa kutufunda ma.
ahsante my dear nimejifunza nilikua cjui cnapikwaje
Masha allah. One day i will try
Nlkuw naomba mapishi y vileja vya tambi
Mie sio mpishi wa vileja, nenda Shuna's Kitchen utapata
Ok sw
asante sana Kwa pishi hilo
mashaallah mungu akuzidishie
Amin
Asante nimejaribu imekua nzuri Sana
Shukran
shukran mngu akujazi kheri
Mashaallah😋😍
Habibaty. Umenifrahisha eti wenye kucha angalieni zisije zikaungua🤣
Lazima niwahadharishe 🤣🤣
😄😄😁😁
Beautifully made , real tutor. keep it up
Thanks dear
mashallah shukran kwa somo ukt
MashaAllah very nice sister
Thank you so much 😊
Nimepika lep kwann viazi vimechanganyika wakati wa kuchomaa jaman
Pole sana itakua vina maji
@@aromaofzanzibar ama ulee unga wa ngano nilifanyaa mwepesi maana viaz vilikuwaa vikavu tu
shukran kwa majibu. ntajaribu tena then ntakurudia.
Ok, nnangojea ...;)
Asante nimejaribu nataman uone😀😀
Thank you Dada trying this one today
Nakupenda dada kwa mapishi yako....
Maanshaalah baarakalahulakum
MashaAllah Mie nimefurahi...Na najifunza mengi ...Ramadhan Maqbul sister
You are the best 😍
Make kaak with cinnamon yemeni style please.
Welldone, good job.
Thank you!
Hujaweka pilipili fresh
Ukipenda kuweka sio vibaya, mimi nna watoto wadogo hawali pilipili
thax dear i learn through ur videos
Thank you for your support
Shukran dada kwa mapishi yako . I really enjoy watching ur videos and trying ur recipes . Mungu akujazi kheri!
+Mariam Othman Ahsante sana, amin kwetu sote. Ahsante kwa support
Aroma of Zanzibar shkran ya ukhty twataka viazi va rojo
asanteni sana kutufunza mapishi tofauti tofauti
nimeanza kujifunza kupika cz ya chanel yako ya mapishi.so nice hongera sn
I love that channel. It is so nice
Thank you for your support
Duuh nzuri sana mapishi yako nimekupenda buree... Natamani niwe wewe ila nitaendelea kujifunza taratibu kwa chanel yako😘😘😘
Ahsante sana, utajifunza mengi hapa kwani kuna mapishi mengi tu
Aroma of Zanzibar asante dear
tupo Europe aunt, video zako nafs yafarajika wapata moyo zaid wa kupika mapish ya home:)))) Allah akuzidishie❤
Shukran, thank you for your support
Thanks , try and watch English video may be you will understand better
mashallh
mashallh kachori nzuri ntajaribu
Aroma of Zanzibar
Aroma of Zanzibar
super dishes mashalla
Natamani hta nikutumie picha najifunzaga Sana kwak0 Leo mepika kachori
Niletee kwenye instagram au facebook jina la aroma of zanzibar
shkari sana nimekuwaga najiuliza gisi yakuzipika
Very nice to watch I hope to prepare .
Thanks for your support
wow! yan aroma ni kiboko mashallah
jamani i wish ningekuwa huko arumo of zanzibar ungenichoka
Karibu mama, milango yangu iwazi
Aroma of Zanzibar thanks dea
Jicho ka ngamia mix yake ni vipi
????
asant my kwa kutuelimisha
Am here 2020 ramadhan thnks 4 the recipe
Thank you! this is my most watched recipe this Ramadhan
Iknw how to cook bt hapa na zidisha ujuzi zaidi and asante sanaaa tena sana
Ahsante sana
Napenda sana unavopika 👏🏾 new sub💃🏽
esther ngowi Unakaribishwa, shukran
Aroma of Zanzibar zx
napenda sana recipe zako ni nzuri na rahis kupatikana God bless you dear
Ahsante sana, nashkru. Thank you for your support
Ahsante nimezipenda
нaвarι..
υnaweza ĸυcнanganya ngano na мazιwa вadala ya maji
Nzuri dear, sioni kama itakua na shida yoyote , sijawahi kufanya hivyo fanya majaribio uangalie vipi itatokea na vipi utapenda
shukran kwa mapishi mungu akupe kila lakheri
Amin kwetu sote
I Love ur chicken biriani awesome.
nimekufollow siku ya pili tu lkn nimejifunza mengi na inani inspire kujaribu! asante sana! ukweli sijajutia kujisubscribe! keep it up! nimependa ujuzi wa chutney sikujua km naweza tumia frozen coconut kwa huku niliko! Big up kazi nzuri sana! shukrani!!
Shukran, thanks for your support sister
Shukran Sana... iftar yangu Leo Ni ilikuwa kachori tamu hatari ila sijaweka pilipili nyekundu Wala giligirani... 😘
Nakupendag San mom
Yaaan unajuag kuenielekeza napik kam unavyoelezea
Masha Allah shukran ukhty
Asante nimejifunza
Asanteee sana
Nini kinasababisha wakati wa kuchoma zifunguke?
Zikiwa na maji maji hazijashikana vizuri
@@aromaofzanzibar Shukran
Ahsante mpendwa
Asante sana
Assalamu Aleikum. Shukran kwa msada wako. I enjoyed all your videos, I just have a question kachori si viazi ya karai au kuna tafauti?
Alkm salaam, viazi vya karai are done in Kenya they are different from kachori. Viazi karai are not mashed, potatoes are boiled and cut into slices and then are sandwiched with chili paste
MashaAllah Allah Bless you tunafaidika- unaishi wape mimic niko oman
Shukran Amin, thank you for your support
Shaikha Harthy 😃😃😃😃😃😃
Thanks so very much for helping.
Ahsante sana
Ok thank you xo much.
Assalam aleykum ningependa kuona kachori uliyopika baada ya ishaiva
Aleikum Musalaam, sorry wallah hii video ya zamani nafkiri nilikua nimechoka maana nilifanya video 3 kwa siku lakini nimezionyesha kidogo kwenye final video ya Zanzibar mix pamoja na urojo
Mashaallah hongera my
Mashaa Allah you're blessed with sweet hand I like all of your videos even though my ears couldn't stand your voice but my eyes enjoyed 😊
Thank you watching, am sorry that your ears cant stand my voice , its what Allah has blessed me with.
Nakupenda ,
Ahsante sana
Ahsante nimejifunzaa♥